He he he he he he he eee SIMU KUBWAAAAAA MAGUFULI OYEEEEEEEEEEEEEE
@jenifajulius78145 жыл бұрын
Madam Rose sanatu
@abdallahlibwela97615 жыл бұрын
Hawa wanaounga mkono upuuz ni kwa sababu ama ya uchama,au kutojielewa.Kwa kiongozi mwenye busara hawez kumwaga mamilioni kwa watu wasiyokuwa na faida wakati kila kukicha ukienda mazahanati na mahospitali unatozwa pesa kisha unaandikiwa dawa unaambiwa "kanunue". Ukienda mashuleni michango kila kukicha halafu elimu yenyewe duni.Wananchi wanalipishwa kodi kwa kisingizio cha kitambulisho cha ujasilia Mali,jaman hata kama muuza lende au mlima vibarua ni haki kweli??? Halafu leo kodi zenyewe badala ya kuwahudumia wananchi wenyewe,, wanapewa watu wakafanyie starehe zao.Viongozi jamani kuweni na hurumaa na RAIA WENUU.
@adelaidedaycareprenurseryk63245 жыл бұрын
@@abdallahlibwela9761 na wewe mpuuzi bwela kuni nikugegi nene apu ve wa kwoki.
@harrisonsamwel31125 жыл бұрын
@@abdallahlibwela9761 wwe ni mpuuzi hiyo ni sekta iliyoko chini ya serikali kam kwenu hakuna huduma ya afya mkamdai kiongozi wenu huko au mbunge wengine tunavitambulisho hatulipi kodi zahanati zetu ziko mwake ndo mana nina afya shuleni kwenu kama mnachangishwa kashtakini
@restitutamelchiades9025 жыл бұрын
@@abdallahlibwela9761 ndugu yetu acha wivu. Wasanii ni wa muhimu ktk jamii. Kwa iyo wewe ulitaka akupe wewe?
@alvangidion93664 жыл бұрын
This is how TZ, are, always happy with their leaders and citizens, much love my Tz,❤️❤️❤️
@eriminahmshai Жыл бұрын
Mimi nimkenya aki napenda leaders watanzania makofuli hajaisha mungu awabariki sana kwa picture nzuri sana kwa Africa yetu
@lilianlazaro41894 жыл бұрын
Rais wetu Magufuli Juu juu juu zaidi. I like u baba tena saaanaaaa..🙏
@paliscoedison27525 жыл бұрын
Mungu awalinde viongozi wetu. Nimefurahi sana kumuona waziri mkuu akiwa mwenye furaha penda sana mimi
@kingjjwasafi89175 жыл бұрын
Rais wetu uko vizur mungu akubarik
@TibihikaGeradАй бұрын
Hii timu ilikuwa kubwa mno♥️💯❤️
@linkreuben58045 жыл бұрын
Magufuli yupo vizuri sana!
@chikuluchidodokochiitingan3405 жыл бұрын
Madreva hamwakumbuki na wanalipa sana kodi
@aishaabdallah62325 жыл бұрын
Nc magufurii we kwel baba lao majaliw baba lao makonda baba lao mwakiembee baba lao 😘❤💋🔥
@tazanimwingila99555 жыл бұрын
MWESHIMIWA RAIS MUNGU NDIE ALIE KUUMBA SIJAELEWA LABDA NINABII MUNGU AKULINDE KILA BAYA UTUONGOZE TENA MIAKA THERASINI NAJUWA UTALIACHA TAIFA HILI LIPO PAZULI MUNGU AKULINDE AMINI
@abdalahfarida20745 жыл бұрын
Fedha wapewe wachezaji wa Timu ya Taifa kuwapa motisha sio Wasanii wenye ubunifu wao binafsi. Diamond na Msuva nani wakumpa motivation?
@edgargwakisa7575 жыл бұрын
CCM baba lao 👍
@mariammwambungu31744 жыл бұрын
Safi sana mh.Mwakyembe
@yassersaid82334 жыл бұрын
Salute magufuli salute Kasim majaliwa salute samia suluhu salute mkapa salute mwinyi salute ndugai salute from mbunge Wa ilala the real from kariakoo
@patriciamanase2184 жыл бұрын
Lmkmmm
@prophetess_jblessings5 жыл бұрын
Hii nchi naipenda jamani🙄😁
@tanzaniakwanza95645 жыл бұрын
👏👏👏👏👏🔥🔥🙌🙌safi sana kazi nzuri
@fatumasamiasuluhuog86964 жыл бұрын
Nami nalia kw furaha ndo mana nasemaga Mungu Amlinde Rais MAGUFULI kura zote z ndio kw Rais MAGUFULI kipenzi cha wanyonge alipo nipo MAGUFULI hoyee CCM hoyee Majaliwa hoyeee
@edenbaraka75334 жыл бұрын
Bunge bongo movie episod ya ngap
@e.j.starelia56725 жыл бұрын
Chadema ni chama cha kishetani
@joxiahmendez13255 жыл бұрын
Wanapiga makofi kwa CCm wkt ni pesa za watanzania wote!..Piga makofi kwa walipa kodi!...👏
@joycemallange92625 жыл бұрын
Hahaaaa ujinga mzigo
@hajihassan54335 жыл бұрын
Na kampeni tunapiga hapa hapa. Nakushauri Mhe. Rais uuangalie vyema Muungano sisi wanaCCM wa Zanzibar hatujanufaika na wewe, tunaona kazi nzuri unayofanya lkn wapinzani wetu wametushika pabaya kuhusu Muungano. Tupe nafasi za uteuzi na za kikatiba Wazanzibar.
@abuuanswaaronlinetv47474 жыл бұрын
Unataka nafax na wewe Subir ya kaburiiiini fanya mema tu usije haaa
@mylifeforchrist84465 жыл бұрын
I'm just proud Tanzanian political leaders led by maghufuli
Hizo hela wanazochanga ni za mshahala wao au kodi zetu ?
@m.mmarckus62985 жыл бұрын
Mishahara yao kwani siwanalipwa hao
@rosenginai55235 жыл бұрын
😂😂😂😂Swali zurii
@nabii-zc1hm4 жыл бұрын
Mishahala yetu
@emmanuelnkuba85924 жыл бұрын
Kodi zako c zetu.. uctuunganshe wote unatufaham ww
@lydiaaruba66705 жыл бұрын
Simu kubwaa....mimi kama mkenya nawapenda buree viongozi wa Tanzania...JPM OYEEEE
@mdungially23424 жыл бұрын
yaan humu ndan hizi coment nyengine ovyoo ety wapewe vijana pesa wakaowe eboooo raha hutafutwa kwa jasho lake mtu ndi huona uchungu wa kukaa na mke ukimpa mahar ndo unakuta cku mbili kesha acha, na km kubaka kwan wangapi wanawake zao ndan tena zaid ya mmoja ama wawili na bado hizo kesi unaziskia hebu fnyen kz mukaowe, omba pesa labda kuanzia msingi wa maisha na sio kuomba mahar, hayo yashapitwa na wakati tokea mababu na mabibi zetu, mtu kaambiwa vaa kanzu na koti tu twende ukaowe na mpk leo watu wapo pamoja na wengine kukaliana kizuka na kusindikizana kaburin FROM TO ZANZIBAR
@happygw69305 жыл бұрын
Hamna rais mtaopata tz hana akitokea mshukuru Mungu Rais dr John pobe Magufuri ni rais wa kuigwa ubarikiwe baba ingawa tz wananchi sio wote wanajua upendo wako ila sie tunajua ubarikiwe sana sana nakupenda kazi zako daima nakupenda sanaa
@TseaamaQhamaraBura5 жыл бұрын
Tunakupenda Sana Majaliwwa
@salumkhamis78185 жыл бұрын
Katika kuitambua haki na thamani ya watu ni kuchukua fedha kwa tajiri kuwapelekea maskini kwa kukusanya kodi,pia kutambua unyonge na mahangaiko ni pale fedha zinapochukuliwa kwa maskini wakapelekewa matajiri/wenye nazo,Magufuli ni kiongozi mwenye maono na anaetaka maendeleo ila kwa hili la wasanii kuchangiwa hali wasanii wana maisha mpaka wanakufuru kwa ufujaji Wa fedha,mm halijanifurahisha
@senyatumaini38195 жыл бұрын
Hivi ina maana wasanii wote ukumbini ni wanachama wa ccm auuu
@captainenough6815 жыл бұрын
Sanaa ni kazi unapaswa kutambua Umesahau Biblia inasema nini? Nakukumbusha aliye kuwa nacho ataongezewa. Na Mtenda kazi Anastaili ujira wake. Ila yote yana kutoka kwa Sababu ya Uvivu wa kufikiri na zoezi zima limekaa kichama. Diamond kwa show za nje analipwa zaidi ya milioni Mia moja na bado analipwa. Sanaa ni kazi
@tabumussa67054 жыл бұрын
Bunge ili ni safi
@sifasanga78665 жыл бұрын
MAGUFULI for Tz....endelea kutawala.
@godfreymbwambo44605 жыл бұрын
Jpm alikusanya kutoka kwenye kodi. Ingekuwa kipindi cha JK Tsh. 100 mil. Zingeenda kwa mafisadi. Viva JPM!!
@jumakapilima56745 жыл бұрын
Hujui kitu!!!!
@haidaryhazard76345 жыл бұрын
Pumbafuuuu acha kuropoka
@frankjohn85705 жыл бұрын
godfrey mbwambo mafisadi ni wa chama kipi kati ya vyama vilivyopo tz, hapo naona kwa maneno yako sheikh ni yuleyule ila kanzu ndio Mpya, wimbo unasema ______ni ile ile oooni ile ilee
Kilichoniuma ni kuona mnanila kigoma watu bado wanabeba maji kisimani pesa zinamwagwa hivyo,wakati kuna watanzania wengi bado wana misha ya dhiki.
@calvinlameck15772 жыл бұрын
Enzi ya hii formation ilikuwa poa sana yan!!
@najmarushda43905 жыл бұрын
Mm sielewi hapa kwan Veep jaman
@ziotamusisa56205 жыл бұрын
Ccm chama laooo
@giftymadaraka66764 жыл бұрын
Rais wetu kiongoz wetu hakika unaweza unafaaaaaaaaaaaaa wewe n boraaaaaaaaaaaaaa
@mukanyapumbu77344 жыл бұрын
Ni vizuri.
@kharunadangote42945 жыл бұрын
Hongeren nyote
@Yesuniwokovu4 жыл бұрын
Baba yenu Mh. Dr John Pombe Magufuli anapenda sana mfike mbali wasanii ila mnapojulikana tu tayari mnaona mmefika mnawaza nini na wakatikila kitu mwapewa baba yenu anatamani mfike mbali lakini hamtaki watoto wa matajiri bhana?
@seyaorongo74665 жыл бұрын
Kazi nzuri
@kambonamajaliwa54664 жыл бұрын
Duuui bongo bhana,kasema sh.mia moja watu wanashangilia mpaka basi.siyo milioni mia moja,sh.
@hamedmaskari5185 жыл бұрын
Inukhusu nini festival na ccm
@theresiangunda22985 жыл бұрын
Nyie mnatoa povu kwani mnateseka nini maana siyo kwa comment za mipovu hiyo JPM ni Baba lao
@rehemambwanji16464 жыл бұрын
Safi sana mmetoa mifano
@pastoryconrad67955 жыл бұрын
Ccm ndo Tanzania NA Tanzania ni ccm
@issazakaria8633 жыл бұрын
Majaliwaaaa baba lao magufuri baba laooooo
@ikoziboy44884 жыл бұрын
Kama naskia sauti ya shishi jamani kiherehere
@dionisiamgina64115 жыл бұрын
Jamani nawalimu milioni ngapi ? Nimefurahi ushirikiano wenu
@mamaally61345 жыл бұрын
jamani na sisi wananchi njaa mtuchangie waziri jamani kidogo tu du?
@onesmoakwilini62545 жыл бұрын
Hiz fedha wanatoa wapi.?
@fundivigaetzchannel1899 Жыл бұрын
Utawa ulina na furahaa sana nimemiss utawala wa hawamu ya 5
@danielkwilemba47155 жыл бұрын
Very good
@musarichard29345 жыл бұрын
Kwa fungu lipi lililopitishwa na bunge?..yaani hii nchi watu akili nyingi hadi zimehamia magotini..
@zawadiommary85935 жыл бұрын
Mweshimiwa kasim kasim majaliwa umenifulahisha sana kusema nataka nimletee kizanziba zanziba hongore san piga kazi nataka kesho ukikaliye kiti chakitemi hongera san
@mcjabbyevents49385 жыл бұрын
Ccm oyeeeeee
@abdallahlibwela97615 жыл бұрын
Ama kwa hakika Tanzania bado saaanaa.Hivi kuwachangia wasanii kunafaida ganii? Wakati wananchi wanatesekaa?? Walaaniwe woote waliyoshiriki.
@stephanchotter5955 жыл бұрын
kwan hapo mlikuwa mnafanya nn mlikuwa na kampeni au 🤔🤔🤔🤔🤔
@hildamjema2845 жыл бұрын
Viva ccm oyeeeeeeeee
@assachiwanga965 жыл бұрын
Hela zawatanzania wanyonge wanazigawa kama njugu lakin Haina noma tutafika tu!!!
@ummiynkya3314 жыл бұрын
Wenye nchi ndio wao na wenye pesa ni wao
@alimakame92155 жыл бұрын
Namimi natowa100
@aloycemhangwa45494 жыл бұрын
Tz nchi yenye aman mng balki nchi ytu balk na viongoz wake kama naww unaunga mkno typ amee
@hajimakame10624 жыл бұрын
Kasimu mmajaliwa huna sera mkuu
@adelaidedaycareprenurseryk63245 жыл бұрын
Lawama za nini sasa issue ni UBUNIFU TU CCM OYEEEEEEEEEEEEEE
@adammwamba91775 жыл бұрын
CCM imetowa milioni nne tu...hiyo M 100 katowa raisi hivyo pigeni makofi kwa kusema rais rais rais rais............
@adelaidedaycareprenurseryk63245 жыл бұрын
@@adammwamba9177 MAGUFULI OYEEEEEEEEEEEEEE
@abdalahfarida20745 жыл бұрын
CCM inahonga na kutoa rushwa wafanyiwe kampeni na vijana wasanii. Mbona msichangie Yatima, Wajane, Makanisa na Misikiti. Aibu tupu. Watoto wamejaa tele mijini hawana makazi mnachangia watu wanaojijua. Wasanii wanajijua nyie ndio mnawakwamisha.
@adelaidedaycareprenurseryk63245 жыл бұрын
@@abdalahfarida2074 Haaaaaaaaaaaaaa kweli? Roma haikujengwa mara moja hata Ulaya watoto wa aina aina wapo in fact dunia nzima.
@harrisonsamwel31125 жыл бұрын
@@abdalahfarida2074 wwe ni fala sana hyo sekta iko chini ya serikali na wao nisehem yamafunzo ktka jamii hao watto yatima wametengewa nyumba zao ukiona wako mtaani hawataki kwenda wenyewe kuhusu miskiti serikali inasaidiaga sana mpaka inawajengea kuhus wajane yako masshirika ya maendeleo yakina mama ttzo lenu uelewa mdogo na umaskini ndio unewajaa
@fatmakhanii16765 жыл бұрын
Hayo machozi yatoeni kwa wale binadam wenzetu waliowekwa gerezani bila hatia jueni mungu yupo
@salmaoriginaloriginal64785 жыл бұрын
Gereza lme jegwa kwaajil ya wa2 kama sio mm wewe au yule upo nyonyooo
@monicachoga58785 жыл бұрын
Fatma Khanii walioko jera siwanataka wenyewe kwa niaba ya mabeberu
@fatmakhanii16765 жыл бұрын
@@salmaoriginaloriginal6478 hayajakukuta ndio mana sawa yamejengwa kwa ajili yetu ila sikwawasio na hatia
@gwamakamartin70904 жыл бұрын
We kiazi kweli ww ko gereza atakaa nani na kama wamewekwa bila hatia mbona ww hupo Kyle fyuuu!!
@michaelmponeja21025 жыл бұрын
Nazo hiz haziwez kupotea na chuma ulete?
@maryammaram26125 жыл бұрын
😀😀😀😀
@hamiduhamdun18584 жыл бұрын
Ndio maana ya chama lazima zifanye kazi CCM oyeeeeee
@abbyjustine79065 жыл бұрын
Nashauri sana kujengwe uwanja wa sanaa nchini, pia basata wajitathimini kuwekeza hata kujenga uwanja kwa ajili ya sanaa, pia vijiji vya kuigizia maana hii inaleta mchango sana kwa mapata na ajila kw vijana.
@salumkhamis78185 жыл бұрын
Sasa wasanii wanashida gani?ningekuwa mimi ningewachangisha wasanii wote kisha fedha zikaanza kujenga nyumba za kulea wazee wanaoteseka bila msaada wowote pia kuna walemavu/vipofu wamekaa mijini na mabakuli wakijaribu kujiokoa njaa kwa kuomba mia mia,sio hawa walishatajirika hawana shida yoyote zaidi ya kula bata
@hamishasan77375 жыл бұрын
Allah akupe wepesi Wa fikra akukunjulie shida zako , ziwe nyepes uweze kuzitatua , hiyo message yako imenitoa machozi ,nakutakia maisha mazuri Kwa uwezo wa Allah
@KingKong-db9zv5 жыл бұрын
Dah mzee umeongea fact
@salumkhamis78185 жыл бұрын
@@hamishasan7737 amin nawe pia ALLAH akutatulie shida zako na azinyanyue amali zako mwisho uingie peponi INSHAALLAH
@festoelectrician44304 жыл бұрын
Niceeeee
@davidchambo34684 жыл бұрын
Naiyona 🇹🇿mpya
@mikidadchande89615 жыл бұрын
Naona wanaandaliwa kupga kampeni
@sankofaman41124 жыл бұрын
Na chadema pia walitakiwa waandae. Tatizo ubahili.
@abuuashyam84175 жыл бұрын
😓😷Dah vijana wanabaka kwakutokua na uwezo wakuoa leo mamilion yanaenda kuangamizwa ayoooo bila huruma ,ivi unazana kama mchango uo unapewa vjana kuwezeshwa unazan nivijana wangapi wangenusurika na balaa la ubakaji ?
@stevensosipita56734 жыл бұрын
Wewe ndo huna akili kabisa bwege kwa hiyo unataka serikali ikutolee mahali au pole sana
@salmamalck70245 жыл бұрын
Kama Rais tumepata mungu amlinde sana
@mjubaatv29215 жыл бұрын
daaah, dunian tupo sawa, au la! maswal yanayoumiza kichwa kila siku!!! Ipo siku majibu yataonekana kwa swali lililojifcha
Hata tasinia hiyo pia imebeba vijana wengi tu acha wasaidiwe ni wkt wao wamelia sana kwa kuwa serikali haikuwa karibu nao kutesa kwa zamu now ni wao
@blandinamnyinga83184 жыл бұрын
makonda maneno mengiiii
@abuyabally50865 жыл бұрын
jitekenyee then uchekee hehee rahaa bana ccm
@beltonwambura78645 жыл бұрын
Nimependa sana ,hili limedhirisha amani tulionayo watanzania...JPM kiongozi bora.
@mosescheketela95055 жыл бұрын
Kumbe ni harambe ya ccm kwa wasanii
@sospetermigera6855 жыл бұрын
Wakitoa siasa waspotoa hapendwi ,,nchi yenye watu wa ajabu sana watanzania, magu ongoza no way sisi ndo tunatoa hela
@pasquallungwa35175 жыл бұрын
Kodi zetu za betting hizi daa
@salehesengiyanka53974 жыл бұрын
Rais mtarajiwa
@simonmayunga62525 жыл бұрын
THAT IS MISS USE OF NATIONAL RESOURCES OF THE BENEFIT OF FEW INDIVIDUALS WAKATI WENGI WANALIA, SIASA ZA SHOW KUJIFANYA UNAJALI WATU KATIKA UCHACHE AU MMOJA KUMPA PESA NYINGI ZA KODI ZA WANANCHI ILIUPATE KUOSHA JINA KUWA WEWE NI MPENDA WATU, HUWEZI AHIDI HELA ZOTE HIZO KAMA WEWE SIO YULE UNAYEFANYA WENGI WAUMIE, GONGA LIKE KAMA UMENIELEWA!
@fredypastoryutd48645 жыл бұрын
Hahahahaa hadi nimecheka sh 100 inashangiliwa zaidi kuliko milion 5😂
@alikibausa49845 жыл бұрын
Na Mimi ndio sijaelewa 🤣🤣
@halimambwego35204 жыл бұрын
Katenga fungu la sh 100m
@mariamcevik24904 жыл бұрын
Mia
@akwiliniswai52035 жыл бұрын
Mizaniii mizaniii mizaniii
@sirfabiano7675 жыл бұрын
Hii nchi ya ajabu sana
@hamisimussa22285 жыл бұрын
Nchi haiwexi kuwa ya ajabu Bali wanadamu kama wewe sasa hapo hajabu nini mfuko wa wasanii au watu kushanglia ccm ,haya ndio mambo mnaambiwa hamuwexi kuongoza kwani cdm ingetoa hta m 2 si ingekua vyema
@leonardemmanuel92495 жыл бұрын
Hama nchi waajabu wewe mwenyewe unajuwa hiyo mia moja imetoka wapi?? Basi na wewe kuwa msanii
@ismailmaulid16165 жыл бұрын
kuna mdada anakiherehere hapo hatari
@aldoba28265 жыл бұрын
Mnapeana mipesa Mimi sijala tangu asubuhi.kampeni hizo
@habibaissa67785 жыл бұрын
Aldo Ba2 Hahahaaa! Ww hujala mwenzio mm naumwa nipo kitandani hapa hata pesa ya dawa, chakula cjui pakuipata kwa kweli!!!! Umenigusa sana!
@dickmalove55445 жыл бұрын
Pole sana habiba
@habibaissa67785 жыл бұрын
Dickson Remy Ahsante!
@dickmalove55445 жыл бұрын
Unaendeleaje?
@winniemakeup94225 жыл бұрын
hela ya kula hamna ila ya bando........IPO et
@nasrynnassor14924 жыл бұрын
Shangilieni buree hizo oesa ni nguvu za wananchi Kama hamjui
@entrtmenttelevision55095 жыл бұрын
Vizur
@faustinebosco21375 жыл бұрын
Naona mnawaanda wapiga kampeni
@saradrupiarupia33964 жыл бұрын
Simeni msemavyo lakini RAIS MAGULI Ni jembe halimtupi mkulima ye Ni mtu wa watu Mungu azidi kukupa nnema na nguvu ya kusonga mbele
@kennethmombo49304 жыл бұрын
Magufuli chapakazi wanonuna acha wanune
@mosesedwardmagembe96575 жыл бұрын
Kwanza kabisa nawaomba wote nitakaowakwaza wanisamehe sana. Naipenda sana TANZANIA pia mimi ni mwana CCM. Ila huwa nakosa raha sana kuona matamasha yasiyokuwa ya kisiasa kuibuka ghafla kuwa ya kisiasa. Kuna watu ni wazalendo kweli kweli lakini si wana CCM. Tunawanyima fursa za kushiriki kwenye Ujenzi wa Nchi yao kupitia uchangiaji huu. Mfano tu Rais ni rais wa nchi si wa CCM na amechangia kama rais wa nchi. Inakuwaje mapambio ya CCM? Kwa Katibu wangu wa CCM mapambio hayo ni sahihi kabisa. Tuache ubaguzi wa Kisiasa tunapokuwa kwenye maswala yasiyo kuwa ya kisiasa.