MZEE KIMITI - "MSING'ANG'ANIE BUNGENI MIAKA YOTE - MTAKUFA KABLA ya MUDA - MSIWATUKANE WAPINZANI"...

  Рет қаралды 24,148

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

MZEE KIMITI - "MSING'ANG'ANIE BUNGENI MIAKA YOTE - MTAKUFA KABLA ya MUDA - MSIWATUKANE WAPINZANI"...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 59
@globaltv_online
@globaltv_online 6 күн бұрын
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
@YacintaJames
@YacintaJames 6 күн бұрын
Mungu akupe miaka mingi zaidi Mzee Kimiti na uendelee na kucheza muziki, ni sehemu ya mazoezi❤
@MjuniLaulian
@MjuniLaulian 6 күн бұрын
Mungu akubariki babu na babu yetu akuongezee miaka mingine ya kheri mungu Yuko juu Yako na uzao wako mwambie na mzee wasila ajifunze kutoka kwako na baba wa taifa na viongozi wetu wakuu wanavyo sitafu na wakaeahimika iyo ni afya ya moyo na akiri na busara sasa mzee mwenzenu mpaka umauti umustafishe
@rithaurassa
@rithaurassa 6 күн бұрын
Mzee Kimiti unaongea point sana. Unapenda ukweli daima..Wengina wachue hatua kwa maadili yak mema hongera san baba kwa kazi nzuri.🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤Mungu akupe miaka mingi mingi yakuishi zaidi.
@TrustElbashil
@TrustElbashil 6 күн бұрын
Pole sana Mzee na hongera sana Mzee 85 sio mchezo Mimi nakukumbuka sana nilipo kuwa mdogo sana ulikuwa mkuu wa mkoa wa mbeya pale kwenye nyumba yako ilomba
@FrancesMachelela-g4y
@FrancesMachelela-g4y 6 күн бұрын
Ubarikiwe mzee wangu poul p kimiti
@boscoafikile4737
@boscoafikile4737 6 күн бұрын
Hongera mzee, jina lako bado linavuma inaonesha ulikuwa na utumishi ulio tukuka. Mungu akubariki
@deohank5995
@deohank5995 6 күн бұрын
Nimecheka Kwa furaha, elimu yako nimeipenda ,Mungu akupe maisha mema
@AthumaniAbeid
@AthumaniAbeid 6 күн бұрын
Sawa Mzee kimiti vema sana
@SwedyOmar-d3v
@SwedyOmar-d3v 6 күн бұрын
PP Kimiti, Mzee anaposifia jambo husema "beautiful ". Mkuu wangu wa UAC Training Institute miaka ya 1970+. Alikuwa Mkuu wa chuo Mahiri sana na kisha nikakutana naye tena mkoani mwangu Kilimanjaro akiwa RC. na kwa kweli alinipokea ofisini kwake kwa bashasha sana mimi mwanafunzi wake bila kuujali UKUU wake akanitekelezea shida yangu bila kikwazo chochote. Hakika Mwenye Enzi Mungu ana kila sababu ya kumpa umri mrefu. Natamani Mwenye Enzi Mungu anijaalie kukutana naye tena Ana kwa Ana.
@PaulRPaul-z1q
@PaulRPaul-z1q 6 күн бұрын
Well said Mh. Paul Kimiti
@selemanimrope903
@selemanimrope903 6 күн бұрын
Tunakukumbuka mzee wetu ulipokuwa waziri wa kilimo mzee mpenda watu
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 6 күн бұрын
Kwa kweli Paul kimiti jina lako bado linabeba heshima na huwenda maombi mema ya watu ndo yanayokubeba na kukufanya ukae na afya njema. Baki ukibarikiwa baba!
@bishopprofvictorchisanga2009
@bishopprofvictorchisanga2009 22 сағат бұрын
Mzee Kimiti; Hongera sana. Huenda ni kweli wewe tulikuwa unashinda kwa halali hapo zamani. Lakini sasa CCM inapora uchaguzi na kuwapa wananchi WABUNGE FEKI. Huu ndiyo mtindo wa Leo; WANANCHI, HATA WA MKOA WA SUMBAWANGA, HAWANA WABUNGE WAO, BALI WABUNGE FEKI. Sasa hebu wakemee CCM; waache hii tabia mbaya. CHADEMA haina shida, na siyo KWELI kabisa kwamba CHADEMA wanagombana; hebu waambue CCM wasitufanye kupata UHURU wa kweli Kwa DAMU kama inavyoashiria sasa hivi. Hali ya nchi siyo nzuri kabisa kama unavyosema; ni mbaya; UBAYA huu huusemi Mzee Kimiti. Chama chenye matatizo mkubwa; kinachowaumiza WATANZANIA vibaya sana ni CCM siyo CHADEMA. Saidia kuponya nchi; acha kupondisha UKWELI. UBARIKIWE.
@mkingaJulius-u5y
@mkingaJulius-u5y 6 күн бұрын
Wazee kama hawa ni wa CCM lakini ukawasikiliza mawazo yao ni mazuri kabisa lakini hivi mzee kama wasira ana shida gani mbona watanzania hawamuelewi.kwanini wasira asijitunzee heshima umri umemuacha
@FrankAsseriMaeda
@FrankAsseriMaeda 6 күн бұрын
Kweli baba mazingira Yako na afya Yako inathibitisha. Hiyo ni pepo tosha. Happy birthday yake.
@harounmaarufu3241
@harounmaarufu3241 6 күн бұрын
Mzee pole na hongera lakini viongozi wa nchi hii hawashauriki
@reubeinmmary
@reubeinmmary 6 күн бұрын
Comrade Wasira Amestahili kuwa makamu mwenyekiti hasa kwa kipindi hiki ambacho upinzani umeenda kuleta vibaraka wa mabeberu toka nje kupandikiza vibaraka ktk vyama vyetu vya kisiasa. Huu sio wakati watanzania kuwa makini na watu hawa .hivyo Wasira makamu mw/ kiti nikupongeze sana kwani haijalishi umri wako mkubwa si tatizo.kwani wahenga walisema visima vya kale haikosi maji. Maana yangu ni kwamba wakati huu huu ndio mwarubaini wa vibaraka hawa.mungu mnafiki mzee wetu Wasira.
@raphaelkalundi5489
@raphaelkalundi5489 5 күн бұрын
Ni Mungu tu kukupa umri huo, ni vyema ukakumbuka kuokoka.
@marthamungure1777
@marthamungure1777 5 күн бұрын
Uliwabwaga vibaya sana👏
@BonifaceBonala-w9j
@BonifaceBonala-w9j 5 күн бұрын
Ujumbe huu uende kwa mzee wasira stivin
@ngaydasulle2016
@ngaydasulle2016 6 күн бұрын
Mzee muungwana sana namkumbuka wakati anaishi upanga hata askari police waliokuwa wanalinda nyumba yake akiwa waziri walikuwa wanamsifia sana kwa wema wake.
@josephwilliammnyune5464
@josephwilliammnyune5464 6 күн бұрын
Mzee Kimiti unaongelea haki. Wenzako wanaongelea amani.
@RichardbituroMakole
@RichardbituroMakole 5 күн бұрын
Wengine wanasiku ya kuzaliwa wanapalilia heshima lakini yupo yupo yupoyupoyupooooo😂😂😂😂😂😂😂
@mwambaimara1950
@mwambaimara1950 5 күн бұрын
Wambie hadi wanatia aibu !! Wamewamilikizsha hadi wake zao na watoto wao hadi inachefua !!
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 6 күн бұрын
Umeusema ukweli kabisa..... Uongozi ni kubadilishana
@FrederickThadeo
@FrederickThadeo 6 күн бұрын
pole Mzee wetu mushauli tayison ametushinda
@marymremi1051
@marymremi1051 6 күн бұрын
Nakukumbuka ukiwa mkuu wa mkoa kilimanjaro hakika tuliimba jina lako
@salminasalim5630
@salminasalim5630 6 күн бұрын
Hiyo ni kweli. Kama mfano wa mbunge wa Bukoba vijijini mpaka tumeisha mchoka kabisa hafanyi chochote ananufaisha kwao tu lakini basi Mungu atuchagulie mtu mwingine atakae m'goa huyu Mbunge wa Maruku apepee huko Mungu tuondolee huyu mtu tupe atakae tufaa kutuletea maji watu tache kunywa mavi ya Ng'ombe
@jeremiaaugustino7187
@jeremiaaugustino7187 6 күн бұрын
Hao wamegeuza ajira na neema za familia zao....akili zao hazina uwezo wa kutumia pesa walopata kufanya maisha mengne.....je wataeza kufanya lolote kwa nchi?
@festokemibala5832
@festokemibala5832 5 күн бұрын
Wasira atupishe hana uwezo wa kuendana na kasi ya mabadiliko hata ya tabia nchi, abaki kulea wajukuu kama anao na kama hana basi isiwe tabu kwa wengine
@eliaspeter1258
@eliaspeter1258 6 күн бұрын
Kweli wape somo
@valenakomba7686
@valenakomba7686 5 күн бұрын
MIMI BABA YANGU AMEFARIKI MWAKA 2018 AKIWA NA MIAKA 95 NA ALIKUWA ANATEMBEA , ANAOGA ,ANAKULA KILA KITU MWENYEWE. KAMA ALIVYOSEMA MZEE KIMITI CHAKILA NA ROHO NZURI NDO SIRI YA MAISHA MAREFU.
@BenjaNetanyahu
@BenjaNetanyahu 2 күн бұрын
Mzee wasila hawezi kusikia ushauri kama huo, anatamani hata raisi wa 10 awe pamoja nae.
@brysonkaale3003
@brysonkaale3003 6 күн бұрын
Muanbie Mzee Wasira anataka kujifanya kijana,jioni hii Mzee Kama yule anaingia kwenye siasa?!,sijui ni njaa Kali au Nini!
@CristinLyanga
@CristinLyanga 6 күн бұрын
Kwa kweli kipindi kama hiki ambacho vijana wanatembea na vyeti kama mwenge bila mafanikio! At leo wanatuletea wasira, na vijana wapo na hata wana ccm wapo. Alaf at wasira? Vcm hawatutendei haki kabisa badala yake wanatuumiza tuu, yasni chama kimekuwa kama mali ya watu wachache dah inauma sana.
@minazsaid2470
@minazsaid2470 6 күн бұрын
Watu kma nyinyi ndio mnatakiwa muongee ili kuwakumbusha waliopo madarakani
@YastaPetro
@YastaPetro 6 күн бұрын
We ndo mzee mwenye busara na kekima sana kuliko lile debe tupu limekalia uchawa
@godwinshoo5032
@godwinshoo5032 6 күн бұрын
Vijana jaribuni kutuliza akili kabla ya kuchukua maamuzi magumu na Mungu azidi kuwalinda maana vijana wengi mliopata nafasi serikalini mmetumika vibaya kuihujumu nchi! Ndiyo sababu CCM imemleta Mzee wasira anayeijua nchi tangu ukoloni mpaka Sasa ili mrudi kwenye uzalendo! wenye akili watamsikiliza!Nchi inapelekwa kubaya na vijana huko maofini!
@AbdilahiMriri
@AbdilahiMriri 6 күн бұрын
Huyu Mzee Kimiti sio mwana CCM tena kumbe siku hizi. Maana katika vipindi CCM umetokea na nguvu za ajabu ni sasa. Hebu ona Chadema wanavyoparurana. Sikilizia tar 5 keshokutwa vigpgo wataorudi CCM. CCM oyeee.nb
@gwajimagwajima
@gwajimagwajima 6 күн бұрын
Unaongea kama unakunya
@MihayoMageta-k4n
@MihayoMageta-k4n 6 күн бұрын
Kumbe bia inaongeza umri aise😅
@abuumuhammad7133
@abuumuhammad7133 6 күн бұрын
Umechanganyiliwa umeona unachuki maana tunaona wanekashfu mambo mengi ya Serekali.ya Mama Samia ni baadhi ya watu wa dini fulani tu yaana wao ndio chuki kali
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 6 күн бұрын
Mzee wewe hauna roho mbaya unajua uliotufanyia hata sisi watoto wa malofa kabisa waziri wa kazi na maendeleo ya vijana kweli ulitujali
@AbdilahiMriri
@AbdilahiMriri 6 күн бұрын
Huyu Mzee Kimiti sio mwana CCM tena kumbe siku hizi. Maana katika vipindi CCM umetokea na nguvu za ajabu ni sasa. Hebu ona Chadema wanavyoparurana. Sikilizia tar 5 keshokutwa vigpgo wataorudi CCM. CCM oyeee.
@TomasiklistophaMwinuka
@TomasiklistophaMwinuka 6 күн бұрын
Tunashukuru ila viongozi wasaiz wapo kimaslai hawasikii nahawaachii uongozi mpaka wamrithishe mtoto wake
@JustinJoseph-k2t
@JustinJoseph-k2t 6 күн бұрын
Mwalinda ulii baba
@AzizMasenga
@AzizMasenga 6 күн бұрын
Miaka 30! Bungeni!??.
@Biteme358
@Biteme358 6 күн бұрын
Hakuwa mwizi mwizi kama walivyo wengine?
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq 6 күн бұрын
Lukuvi wasira mkuchika
@TNgwale-eu3xl
@TNgwale-eu3xl 6 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@thetas08
@thetas08 6 күн бұрын
Sasa huyu mzee kapumzika mzee waasiira bado yumo tuu ccm vijana mpo wapi Sasa mzee wasira msikize huyu mzee ujielewe. Japo umechaguliwa omba andika barua kwamba unawapisha vijana utaheshimika lakini sasahivi hukubaliki. Kabisa
@evelina9621
@evelina9621 6 күн бұрын
Hawa.wazee.mkuchika.nawengine.waachia.vijana
@ThekingBuddar
@ThekingBuddar 5 күн бұрын
WANA CCM WAACHIE VIJANA
@helentelemla5623
@helentelemla5623 6 күн бұрын
Nakulola mkombe, nkukulaula sile, mkombe
@ThekingBuddar
@ThekingBuddar 5 күн бұрын
WAMBIE NA CCM WAACHIE VIJANA
@NickmbeckNkinda-z3g
@NickmbeckNkinda-z3g 6 күн бұрын
Hukupita kiujanja ujanja
@TNgwale-eu3xl
@TNgwale-eu3xl 6 күн бұрын
Waambie CCM waache tabia za uchawa ndio unaoharibu kuwa na upinzani wa nguvu
@NuruNurudin
@NuruNurudin 2 күн бұрын
Zzzzzz
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН
😂KENYANS LAUGH AT KIMANI ICHUNG'WAH AFTER HE LOST THE MAJORITY LEADER POSITION
9:41
KASILVA STAR ⭐ (matata matata)• •
Рет қаралды 51 М.