💪💯JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
@dennisungonella20528 минут бұрын
Binafsi nampongeza Sana lissu kwa uzalendo wake, chadema waende na lissu
@AthumaniAbeid47 минут бұрын
Tundu lisu must go
@nofelbakari16 минут бұрын
Kiongozi lisu oyee sisi wanachama wengine wa chadema tumechoka na mwenyekiti mbowe miaka yote ni yeye tu iyo sio pw
@azariamarembo36532 сағат бұрын
Hawa ndio wafuata mikumbo . Anaona Mbowe ndio kila kitu
@tumainimwaifunga3884Сағат бұрын
So hivyo, we umesikia Msigwa ndio kafadhili Mkutano. Uoni ni Msigwa katumwa kuvuruga Chadema
@jdanny49754 минут бұрын
Ana haki ya kuona hivyo kutokana na jinsi alivyojitoa
@AliciaKyai46 минут бұрын
Je imekuwaje msigwa analipia ukumbi mlimani city?
@richardhosea8827Сағат бұрын
Lissu naye kanunuliwa na ccm mbona kimya semeni sasa
@EdwardUrassa-xc6gz2 сағат бұрын
Yeriko unafaa kua Mwenyekiti wa Chadema.maana unauzalendo na chama
@EdwardUrassa-xc6gz2 сағат бұрын
Uko vzr sn Yeriko
@Zaynabahmed-ey4zuСағат бұрын
Yeriko nipo pamoja na ww mbowe oyeee
@tumainimwaifunga3884Сағат бұрын
Kumbe Msigwa ndio kalipa Ukumbi? Sasa Msigwa katumwa kuharibu Chadema
@OscarKasalile58 минут бұрын
Sio kweli dayaspora ndio wamelipa
@AshoooraMct2 сағат бұрын
atakuwa mbowe wanajuwana
@LutenganoCharles-d7t2 сағат бұрын
Mnakula tuu mb zetu lisu amekua na mbowe 20yrs kwahyo mnafikil had lisu jana anatangaza ile nia yake hajarusiwa na mbowe ? Mnafikil amekurupuka tu kuitisha press?
@matiankomola23912 сағат бұрын
Uko sahii!
@1961nungwiСағат бұрын
Uko sahihi. Hii yote imepangiliwa vizuri. Mwisho watakuja kusema wameonyesha demokrasia inavyokuwa. Hata huko Nchi zilizoendelea, kunakuwa na mapambano ya kuongoza chama: party leadership contest! Kwa Mfano Kemi, mwingereza mweusi alipambana na Mzungu Mwanamme kuwa Mwenyejiti wa Conservative party, Kemi akashinda kwa hoja!
@ChalesLukumaiСағат бұрын
Hajaomba ruhusa, bali wameshauriana. Hilo ni hakika. Wanaoongea hovyo dhidi ya Mbowe na Lisu wanajulikana nia zao, na ni kina nani. Mbowe kawataja juzi.