"NAIBU WAZIRI MKUU HIVI MNATUONAJE? BITEKO ALIVYOMJIBU MWANANCHI WA MBAGALA ALIYEMLALAMIKIA UMEME

  Рет қаралды 20,857

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 44
@thelitoarmy
@thelitoarmy 15 сағат бұрын
huyu Mh, ana IQ kubwa sana, Big brain leader, live long hom boy
@mwalimumstaafu8529
@mwalimumstaafu8529 20 сағат бұрын
Huyu mheshimiwa ana hekima sana uwa sichoki kumsikiliza. Anapenda nchi yake na watu wake.
@StanleyMalugu-gi2hl
@StanleyMalugu-gi2hl 16 сағат бұрын
Ubalikiwe sana mkuu,majibu saafi kabisa
@mohammedkhimji7505
@mohammedkhimji7505 21 сағат бұрын
kwa kweli nilikuwa sijui kwamba kazi ya watumishi ni kutatua shida za wananchi... asante sana naibu waziri kunielimisha 🙏
@RenatusSylivester
@RenatusSylivester 18 сағат бұрын
Sawa dotto Huwa hukasiliki home boy mungu akupe maisha marefu
@Kondo_Zahran_Humbwaga
@Kondo_Zahran_Humbwaga 18 сағат бұрын
Katika teuzi ya mheshimiwa ni the best, Kaka yupo humble sana
@bigmachinempower4680
@bigmachinempower4680 22 сағат бұрын
President 2030 what's your take guys
@FahadAbubakari-y3f
@FahadAbubakari-y3f 21 сағат бұрын
My make is yes he is the description of the best leader so composed, focused he is so different from so many other guys who are massively mentioned to be contenders.
@zedmsuya420
@zedmsuya420 18 сағат бұрын
Inshaallah
@AlliMohamed-q2y
@AlliMohamed-q2y 12 сағат бұрын
Hahaa sawa mkuu 😂😂
@MalickMakange
@MalickMakange 19 сағат бұрын
He's very humble
@iddyahmad-v6w
@iddyahmad-v6w 20 сағат бұрын
Mashallah
@deokessy6596
@deokessy6596 9 сағат бұрын
This is man Genius
@yudatadeimdoe9215
@yudatadeimdoe9215 20 сағат бұрын
Nashindwaga kuelewa kabisa Yan asilimia kubwa ya viongoz wa juu huwa wana busara na hekima sana,, Lakini ukivikuta ivo viofisa vipuuzi, vishirawadu iwe tanesco halmashauri, TRA au nida alooo vina majibu ya shombo balaaa utazani vipo mbinguni,, alafu hakafahamu hata kua nimekazidi kifedha hakanikuti ata chembe nina biashara kibao basi tuu
@mwanaidimussa
@mwanaidimussa 18 сағат бұрын
Uhamiajiiii usiwasahauuu
@HealingandDeliveranceofjesus
@HealingandDeliveranceofjesus 11 сағат бұрын
Mungu akutunze na akulinde wewe ni kiongozi mwenye hekima sana
@muhambwetvonline
@muhambwetvonline 17 сағат бұрын
Kazi nzuri kiongozi uko vizuri sana
@IbrahimMahmoud-em1np
@IbrahimMahmoud-em1np 19 сағат бұрын
Huyu ni kiongozi kabisa wallah
@5H-EB901
@5H-EB901 50 минут бұрын
Umeme mbagala 😂😂😂😅😅😅😅😅
@abdulnaseermrisho4342
@abdulnaseermrisho4342 22 сағат бұрын
Waambieni na wahudumu wa mikoani wawe na customer care nzuri,kuna siku wamekata umeme kama mara nne wakaniingiza Lose kama ya 100k nilipouliza wakanitoa kwenye group
@magigesabai8674
@magigesabai8674 17 сағат бұрын
Lkn na sisi wananchi tuheshimu viongoz na kufuata taratibu kuna mwananchi alimtukana matusi mtumishi, yule mtumishi amemrekodi na kwenda mahakamani saiv huyu mwananchi anaomba msamaha na uku alikua anamtukana mbele ya watu kwa kutafuta sifa kumbe anakosea
@abdulnaseermrisho4342
@abdulnaseermrisho4342 17 сағат бұрын
@magigesabai8674 sawa ila mimi niliandika "Kwanini mna kata umeme karibia mara 10 bila kutoa taharifa" hilo ni kosa
@magigesabai8674
@magigesabai8674 17 сағат бұрын
@@abdulnaseermrisho4342 Hilo si kosa
@ShimoKasheto
@ShimoKasheto 20 сағат бұрын
Mwamba wewe nakukumbali sana mbwawee mungu akupe kikumbwa zaidi
@Mariam-w9s3b
@Mariam-w9s3b 19 сағат бұрын
Ila Kuna wale viongoz wasiokua na khekima apo angelopoka tu kwakujiona yy ndio kila kitu
@hidnakirungi6546
@hidnakirungi6546 18 сағат бұрын
Mimi kwa uelewa wangu mdogo natabir na kuomba MUNGU badala ya mama uyu Mwamba awe rais wa nchi!!
@abdullahshekwavi696
@abdullahshekwavi696 11 сағат бұрын
Heshima kubwa na pongezi ni kwako Mh Rais wetu kwa kuendelea kumuamini huyu ndg Doto kupitia maono haya nchi itafika mbali
@kabulamhembe1024
@kabulamhembe1024 20 сағат бұрын
Kule kwetu Misungwi umeme uliishia njiani Kijiji Cha IBONGOYA B Misungwi tunaomba na sisi mtuungie jamani
@SimonMabigi
@SimonMabigi 21 сағат бұрын
Sure unahekima na busara nyingi angekuwa mwingne angemwambia unajua unaongea na nan MUNGU akuzidishie na hii nchi inakisa viongoz kama ww🎉🎉
@AdiliEliakimu
@AdiliEliakimu 12 сағат бұрын
Mbona Kigoma Hasa Kigoma vijijini umeme unakatika kila siku.
@Optionxll_Playz1
@Optionxll_Playz1 15 сағат бұрын
Kazi hamfanyi ndio maana
@magigesabai8674
@magigesabai8674 17 сағат бұрын
Ninacho kukubari ni kwamba huna mbwembwe za kisiasa za kutafuta sifa unafanya kazi kwa kufuata utawala wa sheria na haki Mungu aendelee kukubariki
@Teddy-z4i
@Teddy-z4i 18 сағат бұрын
Shda bado kubwa Tanzania kila kitu rushwa mm nmelipia umeme Leo ni week 3 na walinihaidi ck 7 mpaka Sasa sk Saba kwa hazijafkaga😂😂
@josephjulio6112
@josephjulio6112 9 сағат бұрын
Sasa mwingine angekimbilia kwenda kumteka
@GilbertMansuet-zv1ph
@GilbertMansuet-zv1ph 22 сағат бұрын
Hujavikuta hivyo vihudumu vya tanesco wilaya siitaji hua najiuliza vilifaulu mitihani kabisa na interview au vilipewa ndio vikapata kazi, yani havijui hata kua hata vinamdekea nani yani kuna wakat mtu anakujibu unatamani umpe bleed ya kudumu au Busha ila unaona ngoja umsamehe
@zuberimohamedi5761
@zuberimohamedi5761 18 сағат бұрын
Ni kwl
@nadalaboubacar2356
@nadalaboubacar2356 16 сағат бұрын
Jamaa ni mnyenyekevu sana uyu naomba Mungu aje kuwa raisi siku mmoja
@emmanuelnyangi6837
@emmanuelnyangi6837 12 сағат бұрын
Yaan nyie wabongo kila mtu mnataka aje rais😅😅😅
@ClassicUsed-jg6ri
@ClassicUsed-jg6ri 17 сағат бұрын
WAKENYA NI WAPUMBAVU
@simbarajabu4157
@simbarajabu4157 20 сағат бұрын
Hapa kwenye umeme umekatika
@GofA2023
@GofA2023 19 сағат бұрын
Mbona anaanza kuongea kama Magufuli!!!
@mweyoms5548
@mweyoms5548 17 сағат бұрын
😅😅😅😅😅
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 15 сағат бұрын
NI BINADAMU LAZIMA APITIE KIPO NA HAKUNA..SIO KUPATA TU,pia KUNAKUKOSA
@mndambokilavo2502
@mndambokilavo2502 14 сағат бұрын
Ukiwajibu hivyo wananchi hawana shida tatizo ni pale kiongozi anakaa kimya mpaka fujo zianze halafu atumie nguvu kubwa wakati ni jambo dogo
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 14 МЛН
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 111 МЛН
ALICHOSEMA KUSAGA KWA MILLARD “NI TAJIRI KULIKO MIMI”
11:51
Millard Ayo
Рет қаралды 47 М.
BABA LEVO AWACHAMBA COMEDIANS NA WASANII WA KENYA||HAWAINVEST!!!
30:28
Mseto East Africa
Рет қаралды 8 М.