KISA ZIWA TANGANYIKA, MBUNGE KIGOMA MJINI AWAKA - "KILA KITU MWANZA, UPENDELEO TU"...

  Рет қаралды 4,491

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

KISA ZIWA TANGANYIKA, MBUNGE KIGOMA MJINI AWAKA - "KILA KITU MWANZA, UPENDELEO TU"...
Ni mkutano wa 11 kikao cha kumi na saba cha Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 17
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
BREAKING NEWS! USIKUBALI KUPITWA na HABARI ZA GLOBAL TV. JIUNGE na WhatsApp Group Now: chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ0bE75nzavlm
@ashura8246
@ashura8246 Жыл бұрын
Niunge
@jofenai5552
@jofenai5552 Ай бұрын
uchumi na msingi wa kigoma unategemea ziwa na ziwa kama likifugwa watu wataishije, na serikali ipeleke meli na nyombo vya uvuvi kwa ajili ya uvuvi kwakuwa tangia dunia kuubwa kuna samaki bado azijavuliwa kwaiy serikali iweke vyombo vya uvuvi ili wavuliwe awo samaki .
@user-yt6tv7wv6m
@user-yt6tv7wv6m 3 ай бұрын
Sisi kigoma hatuna kiwanda chochote haruna tunachogitegemea inje na ziwa
@jofenai5552
@jofenai5552 Ай бұрын
ziwa ilo walio wengi wanafaidika na rasilimali za ziwa ilo kwaiyo kama ziwa litafungwa uchumi wa mji huo utakwama kwakuwa wafanya biashara na wafaidika wengine watakosa cha kufanya na watakuwa na changamoto za kimaisha na maendeleo ya mji huo
@hawakiza6067
@hawakiza6067 Жыл бұрын
Tangu dunia kuumbwa, Ndiyo kusikia ziwa kufungwa
@user-yt6tv7wv6m
@user-yt6tv7wv6m 3 ай бұрын
Sisi wazariwa wa kigoma hatujakubaliana na hilo kwasababu wanafunga ziwa na wakati hawajatuwezesha k2 chochote wakifunga ziwa tunawnda wapi alafu wanafunga ziwa bila kufikiria wanainchi wa kigoma tunaishije alafu kusema kufunga ni jambo jema nalikata na kulipinga kwasababu hatuna msingi wowote
@ashura8246
@ashura8246 Жыл бұрын
Jamani wasifunge
@SALIMINIMNYAKA
@SALIMINIMNYAKA 3 ай бұрын
pointi mheshimiwa
@YasiniHasani-og4hc
@YasiniHasani-og4hc Жыл бұрын
Hiro limpango jamani mbona haongei yeye
@hawakiza6067
@hawakiza6067 Жыл бұрын
Wasifunge
@hawakiza6067
@hawakiza6067 Жыл бұрын
Shigongo umechemsha
@sambulugu9988
@sambulugu9988 Жыл бұрын
Yaani mnataka serkali iache kuwekeza Mwanza ihangaike na kigoma?
@kilungahamis1270
@kilungahamis1270 Жыл бұрын
Mwehu
@ommymp9058
@ommymp9058 Жыл бұрын
We mpumbavu kweli umesikia ziwa Tanganyika ni ya kigoma tuu??
@sambulugu9988
@sambulugu9988 Жыл бұрын
@@ommymp9058 Nyie warundi wa tanzania na wakongo wa ukanda huo wote vichwa maji tu na umasikini wa kutosha!
@alfredkabalinge3089
@alfredkabalinge3089 Жыл бұрын
Ata meli tupate katika ziwa Tanganyika mbungu huyu yupo sahihi Hana maana Kama serika iache kufanya maendeleo mwanza hujamuelewa tu
MWENYEKITI APOTEA KIGOMA, ZITTO AKINUKISHA
10:55
Global TV Online
Рет қаралды 96 М.
"UMEPATA UBUNGE TU, UKAMUACHA MUMEO, TULIA NIKUPASHE WEWE" - MBUNGE KEISSY
6:07
Angry Sigma Dog 🤣🤣 Aayush #momson #memes #funny #comedy
00:16
ASquare Crew
Рет қаралды 47 МЛН
나랑 아빠가 아이스크림 먹을 때
00:15
진영민yeongmin
Рет қаралды 14 МЛН
Now it’s my turn ! 😂🥹 @danilisboom  #tiktok #elsarca
00:20
Elsa Arca
Рет қаралды 12 МЛН
Kimeumana, Wabunge wa kanda ya ziwa Tanganyika wamuwakia Waziri bila woga
10:04
ZITTO KABWE: "Tulieni Niwapige Nondo, Hamna Pesa Nyinyi"
8:01
Global TV Online
Рет қаралды 661 М.
Angry Sigma Dog 🤣🤣 Aayush #momson #memes #funny #comedy
00:16
ASquare Crew
Рет қаралды 47 МЛН