MBUNGE ATAKA WATU WAINGIE ZANZIBAR KWA PASSPORT KUTOKEA TANZANIA BARA
Пікірлер: 145
@lingwamalagila30032 ай бұрын
Na wa Zanzibar waingie na pasport Bara na sisi tunahitaji Bata kulindwa
@awatifalghanim11062 ай бұрын
Ilikuwa hivyo zamani ukiingiya Dar es salaam kwa passport na ukiingia Zanzibar ni kwa passport siyo kitu kigeni.
@MiriamAbdallah2 ай бұрын
@@awatifalghanim1106watoto wa 2000 hawajui hilo
@MiriamAbdallah2 ай бұрын
@@awatifalghanim1106watoto wa 2000 hawajui hilo
@Pemba6802 ай бұрын
Mh.hongera sana umeongea point sana
@Team-ie4qz2 ай бұрын
Na wao wanyokuja kwetu wawe na passport
@Sonia_abass2 ай бұрын
Kabisa.
@KhamisHaji-pw4jo2 ай бұрын
I'm from zanzibar,,,, congratulations my leader,,,,, that true
@awatifalghanim11062 ай бұрын
Very true 100%
@awatifalghanim11062 ай бұрын
Kama ilivyo kuwa zamani ukiingia Dar es salaam kwa passport na Zanzibar hali kadhalika. Siyo kitu cha kukereka.
@isayashayo4777Ай бұрын
Tutaitwa nchi iliyokuwa ya Muungano maana Tanganyika inatakiwa iwe na Raisi wao Wala hatakiwi kuiendea Zanzibar na Zanzibar inaendelea maana Tangu karume hata Sasa inaongozwa na mzanzibar Tanganyika inayumba kwa kuongozwa na watu tofauti mtanganyika ajali Tanganyika na mzanzibar amjali mzanzibar kwisha tumechoka
@MosesPaiyana2 ай бұрын
Huo ubaguzi wenu mtazikwa nao
@KichwaKigumu2 ай бұрын
Na nyie mtazikwa na umalaya na tamaa zenu
@ridhwansalum13862 ай бұрын
Sio unaguzi soma historia wewe toka awali milikua mnaingia kwa passport hapa
@ridhwansalum13862 ай бұрын
Kwani zanzibar shamba la bibi anu mje tu zanzibar ninchi kamili
@abduyussuf83452 ай бұрын
Kwani Kenya mbona unaenda kwa passport?
@personpeter2221Ай бұрын
@@ridhwansalum1386🤣🤣nch haina passport nchi hain bendera iliyopo bendera juu ya bendera uliona wap duniin nch haina jeshi nchigan hyo Zanzibar ni sawa na wilaya ya kigamboni hapa🤣🤣
@kingibandajembe22472 ай бұрын
Hapo safi pospot kwa watanzina wote wanzanzibar na watu wa bara wabara wasipate kazi zanzibAr na wanzanzibari wasipate bara hapo sawa
@fatimahants15262 ай бұрын
Huyu mbunge hayuko sawa kujaa kwa zanzibar kwani wao wazanzibar hawazaani na kupelekeya zanzibar kujaa, kuna sheria mtanzania bara huna rukhusa kununuwa aridhi zanzibar ila wao wazanzbar rukhusa kumilik chochote kile tz bara hii inakuwaje?, sasa wazi kbs bila woga kiongozi anatamka mtanzania bara kuingiya kwa passport zanzibar...hata asiyeona anasikiya.....?
@Officialjidaa-sn9cs2 ай бұрын
Hao bila shaka wanaozungumziwa ni masai
@AnthonySafari-rv5wf2 ай бұрын
Hili libunge ni libaguzi halikupaswa ata kuwepo kwenye bunge la Tanzania ,kwahy yy anataka pasport irudi ili iweje sasa kuna maana gani ya huo muungano mimi naona ata ile hoja ya serkali 3 irudi tu
@user-ft4uk5fz8g2 ай бұрын
Alafu nakushangaeni nyinyi skuzote muanisukumizia zanzbar na janga la ushoga japo kua nyani haoni Ku....swali la kujiuliza mnataka watoto Wenu na nyinyi tuwageuze pia .??
@geey78932 ай бұрын
Hawa ndio wazanzbar Halisi sasa. Nyie mnawaonaga kama watu. Wana roho mbaya hao alafu Hawautaki Muungano, sisi ndio tunajipendekeza kuwapa hata uraisi😢
@saidal-hind53382 ай бұрын
Wazanzibar sote hatutaki muungano
@geey78932 ай бұрын
@@saidal-hind5338 SI wenyewe hatuutaki CCM ndo wanatung'ang'aniza
@elishuaisaya41762 ай бұрын
Mkaandamane
@user-kj8bi3jr9y2 ай бұрын
NDUGU MBUNGE NA SISI TUNAHITAJI MUINGIE BARA NA PASSPORT IMEKAAJE HAPO
@user-ft4uk5fz8g2 ай бұрын
Mbona iko fresh Tu tuekeni passport na sis tukija pia hivo hivo
@Moresa1962 ай бұрын
😂 Kweli akili ni nywele.
@fatimahants15262 ай бұрын
Kichwa chake hakina nywele
@naturelle10972 ай бұрын
😂😂😂😂
@kamanapomo70292 ай бұрын
Hili libunge halina akili kabisaaa
@victoriambonde80612 ай бұрын
daah kakosa sifa za kuwa mbunge mbaguzi sana uyu sawa aina shida na Bala tunaitaji muingie na paspot na viza sawa mbunge
@user-ft4uk5fz8g2 ай бұрын
Sio ubaguzi ni sawa Tu ....nyinyi nakushangaeni Sana katika Jambo la kuisingizia kila wakati znzbar na ushoga..japo kua nyani haoni Ku...sasa munawtaka mungano ili iweje tuwageuze wtato Wenu na nyinyi kua kua ni mashoga ?? nyini ni wanafiki Sana ...pia ni wabaguzi Sana maana kila mbaguzi humuona mwezke ni mbaguzi ...
@OscarMushi-dg4vt2 ай бұрын
Nenda baraza la wawakilishi
@user-kj8bi3jr9y2 ай бұрын
KWANI HILO SUALA LINAANZA LINI???? MAANA WAKINA MAKAME NAO TUNAWAONDOE BARA AMA
@awatifalghanim11062 ай бұрын
Suala hamjalifahamu😅zamani ilikuwa huingii Dar es salaam bila ya passport ikiitwa temporary passport kwa ajili watu wengi walikuwa hawasafiri kwenda Nchi za njee na kutumiya passport book kama sasa hivi. Na ilikuwa huingii Zanzibar bila ya passport pia. Lakini sasa imekuwa hata Serikali Immigration hawajuwi watu wanao ingia na kutoka jahazi moja inashusha watu hadi mia moja imekuwa hakuna usalama wa maisha hata yakitokea maradhi basi ni rahisi sana Wananchi kuumiya .
@user-wr3jp6tg4p2 ай бұрын
Irudi Tu muungano wnyewe kama ndio huu toka tuje duniani hatuoni kama n sawa kisiwa kuchanganywa na bara bila kizuizi cha maingiliono yao tuishi Kam muungano wa est African t
@AlanWilliam-oq5qzАй бұрын
KELELE ZOOOOTE IZO SIJASIKIA AKIOMBA UVUNJWE Mara nyingi wanataka serikari tatu
@BilalHusseyMohdkhamisАй бұрын
❤❤
@samirazuberi186Ай бұрын
Hapa sasa ndio muwe na akili ya kusema samia Hana nia njema na tanganyika.. Na ile kauli ya hayati nyerere aliosema tumechoka na wazanzibar kwa udini majibu haya hapa
@ibrahimame9805Ай бұрын
Wazanzibar hatuutaki muungano.hatuna shida nao. Kaunganeni na kenya huko.
@AlanWilliam-oq5qzАй бұрын
Poa usiwazee we samaki
@AyoubSulayman-pv6lr2 ай бұрын
Kakosa hoja bungeni ndo mana anajikanyaga kanyaga
@saidal-hind53382 ай бұрын
Hajakosa hoja kupigwe kura wazanzibar wengi hatutakii muungano weee
@AyoubSulayman-pv6lr2 ай бұрын
@@saidal-hind5338 tatizo Moja la wazenji ubaguzi ni mwingi sana nyie , mnadanganya watu eti mnajua dini , dini Gani inafundisha ubaguzi
@saidal-hind53382 ай бұрын
@@AyoubSulayman-pv6lr hapa sio dini hapa tunataka mamlaka kamili kwani muungano lazima njoo upige kura znz kuhusu muungano utapata 99 hawautaki
@user-ft4uk5fz8g2 ай бұрын
@@AyoubSulayman-pv6lr tatixo la wabara wengi ni roho mbaya kwa znzbar hawitakii kheri kwa lolote yn hamuezi kuishi bila ya kuisema zenji mm midomo yenu haipoi znzbar zanbar znzbar sasa tafuteni kazi ya kufanya ...musikodi majumba mujenge
@user-ft4uk5fz8g2 ай бұрын
@@AyoubSulayman-pv6lr Kwa tarifa yenyu watanganyika wana juwa fika kuwa wakiwachia zanzibar na uhuru wake ndani ya mwaka zanzibar inakuwa dubai na hilo wanalijuwa wasio juwa ni hawa watanganyika wasio jitambuwa lakini wasomi wanajuwa wakiwacha zanzibar maisha ya tabadilika na na muungano ukivunjika tuna weza kuacha kila kitu na musiviendeleze mfano sisi wazanzibar tumekuja tanganyika na nguo zetu sasa hivi tuna majumba mali tulikuja tukawakuta na majumba mme uza majumba ya urisi na hamna mlicho fanya kwa hiyo hata tukiwachia mali hakuna kitakacho endelea kazi yenu ni pombe uzinzi na pombe
@abdulrahmanrajab43692 ай бұрын
hatwataki asaaaah wasije machogo
@sportsnewjs43302 ай бұрын
Itakuwa bora zaidi Wazanzibar wabaki hukohuko zanzibar, na wa Tanganyika wabaki bara Kwakweli itapendeza
@Worldunite2 ай бұрын
Wazanzibari wanajiona "miungu watu"
@awatifalghanim11062 ай бұрын
Utaratibu huo ulikuwapo tokea zamani huingii Dar es salaam bila ya passport na Zanzibar hali kadhalika. Siyo maajabu saba ya Dunia. Wacha kuwasema watu wa Zanzibar kwa ajili hiyo 😂😂😂 Dunia ni mitihani tulokuwa nayo kwenye family zetu yanatushinda kunatafuta makubwa ya Ulimwengu tusiyo yaweza.
@elisantenyange87512 ай бұрын
Kwanza yeye atanza kwa kupotezea ubunge wake
@awatifalghanim11062 ай бұрын
Jamani siyo kitu cha ajabu… tukasema maajabu saba labda ya Dunia yatatokea watu kuingia Dar na Zanzibar kwa passport 😂😂😂walokuwa wana umri wa miaka 50 na kuendelea walikuwa wanajuwa kama huingii Dar es salaam bila ya passport siyo Zanzibar tuu ndio uingie na passport LAAA. Kuna WaTanz 😂😂😂 wanopenda kushinda na siyo washindani na hawajuwi maslahi yao yako wapi na vizazi vyao. Ndio utaona wa Tanzania wengi wanahiyari kujisokomeza ma Ulaya huko kutafuta maendeleo.Kwanza Immigration ya Dar itatia pesa kwa watu wanoshuka Zanzibar na pia Zanz itakuwa hivyo hivyo. baada ya kuingia watu bila ya utaratibu kwa Nchi zote mbili hata Kama kuna Muungano.
@mahmoudukusso44882 ай бұрын
Siku zote aliyeshiba lazima AJAMBE endelea KUJAMBA mheshimiwa
@ikulunimahalipatakatifu76422 ай бұрын
huyo mbunge alitokea kigoma na leo anajiita mzanzibar, bado pemba nao watasema unguja msije pemba kumejaaa mzee tik wapime suti hao..
@Worldunite2 ай бұрын
Kwanza akamatwe huyo na afunguliwe mashitaka kabisa,maana anawapinga akina mwalimu nyerere na karume
@barikiringo63112 ай бұрын
Mbona nimeona kama anabwabwaja maneno, kweli ni mzanzibar au katoka oman? , kiswahili chake xkiamini. Tanzania Tanzania ni ya watanzania wote. Sipendi kusikia Tanzania bara, wala Tanzania visiwan. Kwan tukishiriki mkate mmoja kwa furaha kuna nini? ... no passport, no problem 😊😊#Mungu ibariki Tanzania. Nini kiwanja hapa Arusha, nataka nimpe ndugu yangu kutoka pemba na nimuozeshe kwa binti yangu . Hapo vipi???. Upendo, ushirikiano, amani na utulivu ni zaid ya yote. #mamasamiahuyooo. TANO ZINGINE ZINAMUHUSU. jana nilipita Mount Meru hospi hospital kazi inaendelea. Kazi nzuri. Nakupigia Tanzania 🇹🇿 ♥️ ❤️ 💖 🎉🎉😅😊
@barikiringo63112 ай бұрын
Love my country will die for it!!! Napenda nchi yangu nitakufa kwaajili yake. Nafurahi kuishi kwenye ardhi ya mababu zetu. Ahsante karume , Ahsante Nyerere. Love our ancestors ❤️ 😊😊😊😊
@ibrahimame9805Ай бұрын
Ss htuna shida ya muungano. Kaunganeni na wanya mparahuko
@user-xe1im9tt1z2 ай бұрын
Kubwa kweli alafu halijielewi
@jamesrespicius602 ай бұрын
Nadhani hajui maana ya muungano
@LalakwaLekinanga-cj5ke2 ай бұрын
Kwani wao wamekataswa kufanya kazi na wageni. au ndoo ubaguzi?
@abdulnaseermrisho43422 ай бұрын
Tubaki na Tanganyika yetu na wao wabaki na Zanzibar yao,waZanzibar wote waliopo bara waanze kufungasha au wakubali utaratibu wa kuishi kama wageni
@mpajibinaisa72382 ай бұрын
Yaani niwabinafc mno sijui kuna sababu gani ya kuungana basi waanze kuwa na nchi ya kwao na sisi tujitegemee uku
@abdulhamis98252 ай бұрын
Tatzo Limeanzia Mbali Sana Sema Kwa Makele Yao Na Sasa Hv Nchi Inaongozwa Na Mtu Wa Kwao Wafanye Tu Wajitoe Waende Kwao Tubaki Na Kwetu Nina Iman Hatuwez Kuzidiwa Na Watu Ambao Idadi Yao Haifka Ata Mkoa Wa Dar-Es-Salaam
@user-ft4uk5fz8g2 ай бұрын
Ntakujibu baadae
@KichwaKigumu2 ай бұрын
Nyie wa Tanganyika akili zenu mbovu lakini mkae mkatambua kwamba maharage hayawi kunde hata upike chungu ki1 wa Tanganyika mtasalia kuawa wa Tanganyika na wa Zanzibar tutakua wa Zanzibar tu daimaa
@abdulhamis98252 ай бұрын
@@KichwaKigumu Ukiwa Unaandika Jarbu Kufanya Na Tathimin Ya Unachozungumza Hv Kwel Sisi Hatuna Akil Na Ndio Mnalalamika Kila Siku Kuwa Tunawakandamiza Na Kimfumo Nyinyi Ni Watumwa Wetu Na Uko Ni Koloni Letu Sasa Niambie Nani Mwenye Akil Nyie Au Sisi
@AshrafAhmed-uf7zj2 ай бұрын
Kwani wabara zanzibar inawauma nn😂
@awatifalghanim11062 ай бұрын
Ndo hapo umesema. Si kitu kigeni Zanzibar wakiingia Dar es salaam kwa passport khasa ilikuwa hivyo zamani.
@lingwamalagila30032 ай бұрын
Mbaguzi oakijaa si waje bara nako ni kwao tu anafikiri hata akiweka pasport hawatajaa always wanadanganywa Kwamba wananyonywa kwa uhalisia si kweli
@KichwaKigumu2 ай бұрын
Nyie wa Tanganyika akili zenu mbovu lakini mkae mkatambua kwamba maharage hayawi kunde hata upike chungu ki1 wa Tanganyika mtasalia kuawa wa Tanganyika na wa Zanzibar tutakua wa Zanzibar tu daimaa
@user-to6cg8uf3f2 ай бұрын
Kisiwa hakina mwenyewe Wazanzibar wenye uarabu ndan Yake wamekuja sababu ya utumwa na ukoloni na Wazanzibar wootee wenye wenye ngozi nyeus asili ni bara kama huamin fuatilia utajua na kuhusu ajira mfano kwenye sector ya hotel na utalii nyie wenyewe mnazingua haswa kwasababu ya tamaduni na dini ya kiislam imekuwa ngum watu wa Zanzibar kuchangamkia hizo fursa maana wanaona haziendani na Imani Yao ndio maana wengi wanatoka bara na mataifa mengine sasa hapo unaona nani mwenye changamoto?Lakini pia suala la elimu ni Wazanzibar wachache bado hawatilii maanani elimu dunia hivyo kupelekea kukosa hizo fursa vijana wengi wanazingua nachekaga mno unakuta jitu zima utasikia Maa Maa linaombaomba au utakuta mwamba nipatie mia tano ila kiukwel muda mwingine wenyewe ndio changamoto wajitafakari kuliko kuanza kusambaza kauli na mitazamo ya kibaguzi wakati sisi ni wamoja kuna vitu vimekwishakutokea bara lakini naona ngum kutokea Zanzibar marais wawili mpk sasa wameshashika dola ila nawaza hivi inaweza kutokea mtu wa bara kuwa hata mbunge Zanzibar?
@rajabmusa54522 ай бұрын
Huyumbunge..kakosea..zanzibar..mtuwabara..haruhusiwikumiliki..ardhi..sasa .hiomiti..naminazi..wanakatanani..pia..hata..iweje..watuwabara .hawawezikuzidiwa.zanzibar...wenyewe..mwazaaana..mika..40..ijayo..kisiwakitapungua..hicho..mtaanza..kujabara Tena
@user-ol6on9tt7k2 ай бұрын
Iv mtu kama huyo anawezaje kua kiongoz maana Hana akili
@user-ft4uk5fz8g2 ай бұрын
Kwa tarifa yenyu watanganyika wana juwa fika kuwa wakiwachia zanzibar na uhuru wake ndani ya mwaka zanzibar inakuwa dubai na hilo wanalijuwa wasio juwa ni hawa watanganyika wasio jitambuwa lakini wasomi wanajuwa wakiwacha zanzibar maisha ya tabadilika na na muungano ukivunjika tuna weza kuacha kila kitu na musiviendeleze mfano sisi wazanzibar tumekuja tanganyika na nguo zetu sasa hivi tuna majumba mali tulikuja tukawakuta na majumba mme uza majumba ya urisi na hamna mlicho fanya kwa hiyo hata tukiwachia mali hakuna kitakacho endelea kazi yenu ni pombe uzinzi na pombe
@abrahammollel35582 ай бұрын
Hizi mtu kwenda Anapotaka Mb hauna hoja zaidi ya ubanguzi Zanzibar tutaenda bla passport
@abdulrahmanrajab43692 ай бұрын
hatutak makafiri kwetuuuh
@abdulrahmanrajab43692 ай бұрын
nyie wenyew wabaguzi mnajibagua wenyew kujiita tanganyika hamtak nyie watanganyika tuuuuh vichog km tivii za zaman
@Worldunite2 ай бұрын
Wewe unayejua geography, unajua ukubwa wa kisiwa chenu cha znz?? Mna mashamba au mabustani nyie ndo wa kutuambia sie wabara bila znz tutakufa na njaa wakati chakula kinatoka huiku bara ndo mnanenepa huko, limeni mabustani ya viungo na maua mle mshibe km mnaweza. Idadi ya wspemba na wazenji walioko bara linganisha na wabara walioko huko ndo utajua wapemba na wazenji mko wengi zaidi huku bara, kajitathmini na ufanye utafiti ndo uje uropoke humu
@ibrahimame9805Ай бұрын
Kwani mnatugaia mbwa nyie
@WorlduniteАй бұрын
@@ibrahimame9805 ushawahi kuona mbwa aliyechoka kuogelea baharini hadi akaishiwa nguvu? Ndo watu wa aina yako wewe, ulikimbia mapinduzi za zanzibar ulifika hapa pwani ya bara kwa jahazi,tena kwa kujificha ndani ya pipa, sie wabara tuliwapokea kwa wema sana, mbona wewe tu peke yako unatuita sie mbwa???..ina maana hawa wazenji wenzio unawaona hawana akili?? Wewe peke yako ndo una akili ya kutuita mbwa?? Namkumbuka na kumpongeza sana hayati KARUME kwa kuwachangsnya mbegu ili muwe wamoja maana ubaguzi ulizidi sana huko Sasa nani mbwa sie au wewe??
@omarmohammed51572 ай бұрын
Yaaan watanganyika nyie munashiida sana Akilin mwenu mukimuoana Mtu anasema ukweli tu kuhusu Zanibar nyie munaaanza anaubaguzi acheni choyo hicho na Roho zenu mbaya
@yohanamnema44962 ай бұрын
Siku zote kichwa kisicho na akili ni mzigo kwa shingo unamatumiz mabaya ya akili wewe unaona huyo mbunge Kuna Cha maana kaongea
@omarmohammed51572 ай бұрын
@@yohanamnema4496 Hata chizi mwenye matatizo ya akili hujiona ana akili sana nakuwatowa akili wenye akili unadhan wewe icho alicho kisema kuhusu Zanzibar sio Sahihi???
@juma34732 ай бұрын
Ungekuja kuina alosema ungekubali saivi watu wengi na kisiwa hakitakiwi ivyo saivi miti hamna mingi TU Sasa hatari kwa kisiwa sehemu ni ndogo
@omarmohammed51572 ай бұрын
@@juma3473 huyo hawezi kikubali kwasabab ni mtanganyika mwenye aroho mbaya na chuki hawezi kuona haki ataona shary tu ndio Haki
@catherinempatallha49792 ай бұрын
Nyie wenyewe mnazaliana ucku na mchana kisiwa kitakosa kujaa
@abdulhamis98252 ай бұрын
Hawa Ndio Watu Wa ZANZIBAR ata Uwafanyie Wema Gani Bado Watajitokeza Tu Kwa UBAGUZ wao
@user-ft4uk5fz8g2 ай бұрын
Kwa wema gani mlioufanya
@abdulhamis98252 ай бұрын
@@user-ft4uk5fz8g Mpka Leo Kuna Mchele Kutoka Mbeya Unauzwa Kwenu Kama Sio Ilo Mtakula Mapembe Mpka Kufa Kwenu
@salmaomar92512 ай бұрын
Kama nyiye vile
@abdulhamis98252 ай бұрын
@@salmaomar9251 Kwahyo Mnaiga Ujinga
@clevazanzibar1312 ай бұрын
Kudadadeki itakua poa sana laana zote zitaondoka
@abdulhamis98252 ай бұрын
Kama Mmelaaniwa Mmelaaniwa Tu Ata Kama Sisi Hatutokuwepo Uko Alaf Pia Kaeni Mkijua Hakuna Mwenye Kwao Hapo Nyote Wageni Sema Hamtaki Asil Zenu Mnajifanya Nyie Wwarabu Kwa Kutawaliwa Nao
@user-ft4uk5fz8g2 ай бұрын
@@abdulhamis9825Kwan we apo ndio asili yako
@user-wr3jp6tg4p2 ай бұрын
Ubaguzi n nyny watanganyika
@abdulhamis98252 ай бұрын
Wapi Ulimsikia Mtanganyika Anazungumza Kuhus Zanzibar..? Kwanza Kwa Taarfa Yako Sisi Asilimia85 Hatujui Aswa Khs Nyie Lkn Nyinyi Kila Asilimia100 Mnazungumza Khs Sisi
@user-ft4uk5fz8g2 ай бұрын
Sisemi kitu lkn nkiibiewa na MTU nimjuae lazma niwatahdharishe na wenzangu kua MTU Huyu ni mwizi ili wapate kumjua
@abdulnaseermrisho43422 ай бұрын
"Usijenge nao urafiki,wengi ni wanafiki wana roho mbaya na wana hila,bila kusahau shirki na ushoga vile vile wanapenda maisha ya raha ila ni wavivu kufanya kazi,ndio maana hotel kwao nyingi ila asilimia 70 wameajiriwa wageni na sio wao" na mimi huwa nawaambia waTanganyika wenzangu kila nikiona wanavuka maji kwenda kwa hao ndugu lawama
@abdulhamis98252 ай бұрын
@@abdulnaseermrisho4342 Sahihi Kabsa Na Mambo Mengi Yanashndwa Kwenda Kwa Tabia Zao Za Kupenda Kitonga Watu Wakienda Kuchukua Fursa Wanaumia
@user-ft4uk5fz8g2 ай бұрын
@@abdulnaseermrisho4342 ata kuja hujawhi kuja alafu unatoa data za uongo ... Lete ushahidi kwa unayo sema kua sis kuna mashoga wengi huku kuliko uko .kuhusu ushirikina pia kuhusu unafiki pia lete ushahidi ...ati hutupendi kufanya kazi wazanzibr ndio watu wliotika kwao na nguo ya kuvalia Tu wakaja uko na saiv wana utajirri wanakutumeni nyinyi kariakoo ...na huku zenji simuoni mbara tajiri ...wote maskini tu kama ww tu ..hao munaowaita wavivi ndio wanakutumeni ....wanakulipeni sasa watu wavivu wamepata wapi. Pesa za kukutumeni nyinyi ??
@OscarMushi-dg4vt2 ай бұрын
Mjinga sana bara umekuja kuchukuwa nn
@user-nk3dp9cv9c2 ай бұрын
Namuunga mkono asilimia yte, sababu Zanzibar saiv mauwaj ya hovyo yamezid, majambaz yakila aina ,hii pia itasaidia kuzuia ujambaz, hata kama pia nawao Tanganyika wataeka yao n jambo Zur
@mpajibinaisa72382 ай бұрын
Sikia kenge hii mkiambiwa nyie ni wabaguzi mnakataa kwaiyo unaushahid kwamba ujambazi wote unafanywa na watu wa Tanganyika?
@user-nk3dp9cv9c2 ай бұрын
@@mpajibinaisa7238 Jiheshimu, mm ckujui walahaunijui, hivi kitu Kama hiki ndio umekujajuu Kama unapigwa miti kwa nyumaa! Shenzz ,Kila mtu n mawazo yke, ubaguz upo wapi kwani c n kitu chakawaid, Kama ni Wote n Watanzania kwanini kule munakuita Zanzibar hamuiti Tanzania km c ubaguz nini hiki? Mbwa wewe ,hafu kenge alie kuzaa c mm pumbavu wahovoo, kilamtu n mawazo yake acha kubweka?🤫🤫
@abdulhamis98252 ай бұрын
Kwel Chuki Hazina Sababu Leo Sisi Majambaz Hv Mnajua Kuwa Sisi Hatutak Ata Kusikia Muungano Na Nyinyi Sema Tu Hao Ndgu Zenu Ndio Wanatung'ang'ania Tuwe Na Nyie Embu Fanyeni Kumwambia Mama Wa Kizimkaz Atuachie IKULU yetu Alaf Muone Kama Tutawahitaj Tena Tutawatimua Kama Wezi Mmevamia Miji Yetu Mingi Tu Sisi Uko Kuna Wamasai Tu Na Wafanya Biashara NdogoNdogo Ambao Hawana Ata Vibanda Lkn Nyinyi Mmejenga Na Kufanya Biashara Kwetu Lkn Tupo Kimya Tu
@user-ft4uk5fz8g2 ай бұрын
@@mpajibinaisa7238ndio majambazi wahuku wengi ni wa bara
@juma34732 ай бұрын
Kweli kabisa watu wengi kupita maelezo kisiwa kimevamiwa vibaya
@abdulhamis98252 ай бұрын
Ww Upo Kisiwa Gani Na Una Takwimu Ambazo Zinasema Kuwa Kumevamiwa Au Unadandia Treni Kwa Mbele..?
@lingwamalagila30032 ай бұрын
Wageni ni wa bara au
@ibrahimame9805Ай бұрын
Unafkiria ni nani km cio minyamwezi.
@Worldunite2 ай бұрын
Kwanza wana nini cha maana hao wazanzibari hadi wanatubagua sie ambao tunawalisha na kuwalinda??
@salmaomar92512 ай бұрын
Munatulisha kaziyenu wabara kutunyoya Mali zetu
@user-ft4uk5fz8g2 ай бұрын
We umemlisha Nani apo ulipo Kodi inakushinda ...
@user-ft4uk5fz8g2 ай бұрын
Lip Kodi Kwanza wala huna uwezo huo wa kutulisha wala kutulinda
@KhamisHaji-pw4jo2 ай бұрын
Ww sehemu yoyote yakisiwa ni utajiri na ndo maana wabongo mnamiminika kila cku,,,,, Tanganyika bila ya Zanzibar mtakufa njaaaa,,,,,lsome geography vizuri,,,,lgnorency guy
@WorlduniteАй бұрын
Wakati mlipokimbia mapinduzi mlikuja hapa pekupeku tukawapa hifadhi na pahala pa kuishi