PART 2: Zabibu Kiba "Nilikuwa Sipokei Simu za Banda"

  Рет қаралды 193,245

Global TV  Online

Global TV Online

5 жыл бұрын

PART 2: Maisha ya Zabibu Kiba na Mumewe Banda A KUSINI
GLOBAL TV imepaa anga na kutua katika ardhi ya Jacob Zuma nchini Afrika Kusini na kutembelea nyumbani kwa Mwanasoka machachari wa Timu ya Taifa ya Tanzania na Beki wa Baroka FC ya S.Africa, Abdi Banda anayeishi na mkewe ambaye ni mdogo wa msanii wa Bongo Fleva, Alikiba anayeitwa Zabibu Kiba.
bit.ly/2AAQe1d iOS: apple.co/2Assf4M Subscribe ww.kzbin.info FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishers.co.tz/, Suazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .

Пікірлер: 199
@perrybenson7188
@perrybenson7188 5 жыл бұрын
Mume handsome kweli aiseeee gonga like ukimkubali banda
@jasmenejuma6025
@jasmenejuma6025 5 жыл бұрын
Nawapenda sana jamani love you so much wifi umefulai hongela momy 😍😘😘😘😘😘
@mwanaishamaphita457
@mwanaishamaphita457 5 жыл бұрын
nimewapenda bure mungu awabariki sana ktk ndoa yenu
@stephanomwakyobe4675
@stephanomwakyobe4675 5 жыл бұрын
kila la kheli kumcha mungu ni chanzo cha maalifa
@pishonhavilatv7379
@pishonhavilatv7379 5 жыл бұрын
My prayer to you that God grant you a loooooooong life with happiness and blessing
@musasimba3689
@musasimba3689 5 жыл бұрын
Kama umependa Banda alivyojipigia mokofi gonga like
@pennyjohn1306
@pennyjohn1306 5 жыл бұрын
Nawapenda sana nyie wa2 zabibu $ banda 👌👌👌😍😍😍😍
@rappadee6473
@rappadee6473 5 жыл бұрын
Daaah hongeraa brow bandaa na shemeji yetuuuu.
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 5 жыл бұрын
Mashallah, nimempenda bure shemela banda 😍 mpole na pia mchangamfu.
@mbodzebemasika7477
@mbodzebemasika7477 5 жыл бұрын
woow
@mishymwinyi2897
@mishymwinyi2897 5 жыл бұрын
Hahahaaaaaa yaani anavyojibu mpaka najifrahia najiona mie nnavyojibugi......csumbui sana najijibia tu
@irenefred5707
@irenefred5707 5 жыл бұрын
Mishy Mwinyi 😅😅😅😅
@qutbabyqut91
@qutbabyqut91 5 жыл бұрын
jamani kuvaa nguo ndefu sio Ndo kujua dini,Wengine wanavaa ngua aya unyayo uoni lakini ndio Wadhinifu wakubwa acheni unafiki.
@awadhikanyawana2526
@awadhikanyawana2526 5 жыл бұрын
Banda unajielewa bro unajua kujibu maswali kweli ww Mtanga
@mariamnshimirimana7956
@mariamnshimirimana7956 5 жыл бұрын
Kama uchebe anavyo jibu maswali
@theastephen5878
@theastephen5878 5 жыл бұрын
Mtangazaji uko vizuri sanaaa kwenye Maswali na interview Kwa ujumla, banda na mkewee Allthebest
@yusraibrahim8218
@yusraibrahim8218 5 жыл бұрын
Ma shaallah mungu awalinde milele Amiin
@stevenmaketa8051
@stevenmaketa8051 5 жыл бұрын
Waallllll mmependeza saana na mnaendana caaana god bles u
@athumanimwandua4812
@athumanimwandua4812 5 жыл бұрын
khery itapatikana ishallah
@hejmabohejhej9
@hejmabohejhej9 5 жыл бұрын
Wamependezena mashallah
@abcdefgger
@abcdefgger 5 жыл бұрын
Nimewapenda saaaana
@seifsaha
@seifsaha 5 жыл бұрын
Ubarikiwe kwny ndoa yak zabibu na shemelaa wetu banda
@shayoleeshy1958
@shayoleeshy1958 5 жыл бұрын
Nawapenda sana
@afrarugakingira5862
@afrarugakingira5862 5 жыл бұрын
Atakuwa mumew karidhika anavyovaa ....mumeo akipenda vaaa vaaaa vaaa
@kindamanyuka7589
@kindamanyuka7589 5 жыл бұрын
yeccc
@bettymasitsa4425
@bettymasitsa4425 5 жыл бұрын
Kabisa
@mariamabeid4005
@mariamabeid4005 5 жыл бұрын
Afra Rugakingira Hiyo ni amri ya Allah sio Abdi mumeo akitaka ufanye kitu ambacho kiko nje ya maamrisho ya Allah usikubari
@abdyeemaimu8803
@abdyeemaimu8803 5 жыл бұрын
aah banda we balaa umechagua mama alaf Banda mi nakukubali kichiz
@KhadijaKhadija-mk6jf
@KhadijaKhadija-mk6jf 5 жыл бұрын
Hadi rahaaaa
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 5 жыл бұрын
Wallah
@ahdahmed8383
@ahdahmed8383 5 жыл бұрын
Ongereni sana
@leemassawe8968
@leemassawe8968 5 жыл бұрын
Mmependeza.sanaa
@shakiraabdallah7824
@shakiraabdallah7824 5 жыл бұрын
Kila kheri inshallah Allah awajalie yaliyo mazuri
@neemavalentino9455
@neemavalentino9455 5 жыл бұрын
Watu bwana asa asijistiri mara ngap...embu muacheni mtoto wa watu
@rachaelwatsiera5790
@rachaelwatsiera5790 4 жыл бұрын
This guy is polite and very handsome 👌
@jasminomary2225
@jasminomary2225 5 жыл бұрын
Wanawake wengine bhna eti Ana mtindo ww wako anakuona nani au kisa hatuwajui
@abduladamali9765
@abduladamali9765 5 жыл бұрын
Nice
@luluemma2487
@luluemma2487 5 жыл бұрын
mungu awabariki katika ndoa yenu penda sana nyie
@annamilanga4071
@annamilanga4071 5 жыл бұрын
Replay
@aminamkamba4244
@aminamkamba4244 5 жыл бұрын
A'AMIIYNII
@mishijuma6326
@mishijuma6326 5 жыл бұрын
Huyu Banda akonaheshima sana
@nyasathomson6984
@nyasathomson6984 5 жыл бұрын
Mishi Juma saana
@gonjadunus8000
@gonjadunus8000 5 жыл бұрын
Mishi Juma yaaah his is very smart
@kassimhassanmussa6345
@kassimhassanmussa6345 5 жыл бұрын
Zaubu jaribu kuvaa mavazi mazuri yakujiheshimu💋
@jamesmayunga5802
@jamesmayunga5802 5 жыл бұрын
nice
@basemmarketingdepartment642
@basemmarketingdepartment642 5 жыл бұрын
naipenda hii couple
@naftalikisaka6270
@naftalikisaka6270 5 жыл бұрын
p1 sana
@zaituniintiaz8431
@zaituniintiaz8431 5 жыл бұрын
Abdi Hassani banda mtoto wa mchezaji wa zamani African sports beki mzuri sana
@nyasathomson6984
@nyasathomson6984 5 жыл бұрын
good couple
@getrudamatoto1979
@getrudamatoto1979 5 жыл бұрын
Nice couple
@furahinmtunguja9439
@furahinmtunguja9439 5 жыл бұрын
Asante sana magret mhagama wananikera kama nini yaaani gest wajifanya hawajulikani huku???????? nyooooo
@dianachingwi1310
@dianachingwi1310 5 жыл бұрын
Dnha mtunze mumeo nimzuri sana kwakweli
@njalenjale1937
@njalenjale1937 5 жыл бұрын
Diana Chingwipambana ndugu
@agnessjames6533
@agnessjames6533 3 жыл бұрын
Waooh
@maikofrae560
@maikofrae560 5 жыл бұрын
Mbona mna msema sana dada wawatu jamani mbona anavaa vizuri tuu
@maikofrae560
@maikofrae560 5 жыл бұрын
Hongera kwa kuowa mwanangu wa dam
@joycesilayo8345
@joycesilayo8345 5 жыл бұрын
mtunze Mme mama
@aishamohemd2698
@aishamohemd2698 5 жыл бұрын
Bada msimamizi wa familia muamrishe mkeo ajihifadhi
@Lifewithgloria_
@Lifewithgloria_ 2 жыл бұрын
I love u guyz
@mankamushi7820
@mankamushi7820 5 жыл бұрын
ilaaa banda umewatia madem wengi waandishi wahabari
@Lifewithgloria_
@Lifewithgloria_ 2 жыл бұрын
Mungu awalinde nabapenda sana
@eliasaphbussa9332
@eliasaphbussa9332 5 жыл бұрын
Hv nyie wa2 ambao mnadic kuhux muonekano wa mke wa Banda nyie nao huko makwenu mmejistiri au n xwaga2
@hellenmwangi5414
@hellenmwangi5414 5 жыл бұрын
Mwenye mke karidhika wao wanateseka
@priscamartin4247
@priscamartin4247 4 жыл бұрын
Hebu waambie mwaya mana wanadis sana jaman had wanakera
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 3 жыл бұрын
Wamiache bana
@alistidiaanatory9170
@alistidiaanatory9170 5 жыл бұрын
Banda ana tabasamu zuri mashalaah
@user-os2ss6zl5x
@user-os2ss6zl5x 10 ай бұрын
🌹💯😍
@rehemabakari6403
@rehemabakari6403 5 жыл бұрын
Mmependeza lkn zabibu nitahidi kubadili mavazi kwan ww ni mke wa mtu mtt wa kike stara ni muhimu
@issawazamani5779
@issawazamani5779 5 жыл бұрын
Gd
@zakyahya4645
@zakyahya4645 5 жыл бұрын
Mmh
@pennyjohn1306
@pennyjohn1306 5 жыл бұрын
Ila my zabibu unanichekesha et kumi?
@ivonjoachim6781
@ivonjoachim6781 5 жыл бұрын
Jaman kilamtu anasema jistiri jistiri peleken chupi zenu huko kilamtu na moyo wake
@priscamartin4247
@priscamartin4247 4 жыл бұрын
Kwel wapeleke chip zao chafu
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 3 жыл бұрын
Aiiiiii🤣🤣🤣🤣
@raymondkanyama6387
@raymondkanyama6387 5 жыл бұрын
mewapenda bureee
@priscamartin4247
@priscamartin4247 4 жыл бұрын
Daaah nimeipenda haya mahojiano hayachoshiii
@neemamwampeta2747
@neemamwampeta2747 5 жыл бұрын
Ila banda mzuri jamani kah
@nurumapozi9910
@nurumapozi9910 5 жыл бұрын
Nc
@yasrisuleiman6388
@yasrisuleiman6388 5 жыл бұрын
Jamaa amemzidi uzuri mkewe 😀😀😀
@fatumaselfu1994
@fatumaselfu1994 5 жыл бұрын
Haaaaa mungu anakuona eti amemzidi mkewe uzuri
@rahillhamidu1704
@rahillhamidu1704 5 жыл бұрын
mungu awabariki lakini vaeni vizuri kiheshima
@mariamm2724
@mariamm2724 3 жыл бұрын
Wabongo kwa kuchafua wenzenu sijui nyie mmekamilka, duh shida ana bongo
@verianidonard7085
@verianidonard7085 3 жыл бұрын
😘😘
@madamboss348
@madamboss348 5 жыл бұрын
Nilizaa mtoi moja khalas
@artemisneoy9596
@artemisneoy9596 5 жыл бұрын
Nendeni mjisitiri kwenu hawa ni mume na mke waacheni
@priscamartin4247
@priscamartin4247 4 жыл бұрын
Hahahahahaha umenifurahisha sana jamaniiiii umenikosha mana wamezid sana
@habibahassan7833
@habibahassan7833 5 жыл бұрын
Hebu iga mavazi kwa wifieyako unavaaje ww
@fizya6493
@fizya6493 5 жыл бұрын
l like you two banda and your wife
@mr.kamtoi5817
@mr.kamtoi5817 5 жыл бұрын
Fi Zya had
@maryamoman5926
@maryamoman5926 5 жыл бұрын
Banda mzuri mashallah kushinda mkewe
@safiarashid709
@safiarashid709 5 жыл бұрын
Nawatakia maish marefu kwenye familia yenu
@naimakweyamba5340
@naimakweyamba5340 5 жыл бұрын
😂😂😂 Kama kunamtu Kamuona Zabibu Kampiga Mumewe Kibega ili Asiseme Mambo na ukweli kuusu Penzi lilipo azia Nyoosha kidole Juu twende Sawa...😂😂
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 4 жыл бұрын
☝️☝️☝️🤣🤣🤣🤣🤣
@kijangwahamza2382
@kijangwahamza2382 5 жыл бұрын
nyie mnaosema jistir jistil kwani mlitaka avae nn kwni yy ndo wakwanza kuvaa hivyo bongo acheni kutaka kumtia doa Dada wa watu
@richardlugudisha7565
@richardlugudisha7565 2 жыл бұрын
Vp mtangazaji bwana
@minahqassim8031
@minahqassim8031 5 жыл бұрын
Banda
@victoriadaniel2083
@victoriadaniel2083 5 жыл бұрын
Nawa penda
@ezekiafilbert4896
@ezekiafilbert4896 5 жыл бұрын
yan mmependezana mpka rah jaman
@christophersoty101
@christophersoty101 5 жыл бұрын
mnaosema ajistri wengi mpo makwenu dadeq zenu
@priscamartin4247
@priscamartin4247 4 жыл бұрын
Hahahahahaha wape
@margrethmhagama9557
@margrethmhagama9557 5 жыл бұрын
Hivi nyie mnaokazana eti Zabibu jistiri jistri, yaani hiyo heshima iko kwenye hayo magunya yenu tuu!! Embu acheni ushamba huko, anaweza avae hilo baibui na adabu isiwepo vile vile, nyie vipiii
@PEPMIS4770
@PEPMIS4770 5 жыл бұрын
Yeye ni muislam ni wajibu wake kujistiri LA sivyo na yeye aifuate dini yenu ya kishetani
@aishamazinge7553
@aishamazinge7553 5 жыл бұрын
unajua magunia we acha uhayawani
@PEPMIS4770
@PEPMIS4770 5 жыл бұрын
@@aishamazinge7553 bora uliambie hilo
@kindamanyuka7589
@kindamanyuka7589 5 жыл бұрын
kabisaaa
@halimasalekh28
@halimasalekh28 5 жыл бұрын
Zabibu wewe ni muisilam jiifadhi
@nehemiajoseph5347
@nehemiajoseph5347 5 жыл бұрын
kwani we unajuwa dini vzr kuliko wengine
@mwanaidihussein1462
@mwanaidihussein1462 5 жыл бұрын
Hataree tuliambia haki inawakaraisha wengi kweli aisee sasa mtu kusema mtu ajistiri kakosea wapi😩 zabibu muislaam na uislaam ni matendo sio jina tyuu
@judithpaul9013
@judithpaul9013 5 жыл бұрын
Nehemia Joseph m nashangaa
@judithpaul9013
@judithpaul9013 5 жыл бұрын
Audifas Orest wanaboa htr
@ramamshana6532
@ramamshana6532 5 жыл бұрын
acha MTU afanye anavojiskia
@fettamidu2503
@fettamidu2503 5 жыл бұрын
Duh c kwa mtindi huo
@chichirashma6193
@chichirashma6193 5 жыл бұрын
The guy more handsome
@user-bu7fy6ew5w
@user-bu7fy6ew5w 5 жыл бұрын
Jistiri mtoto wa kiislam
@husseinmohamed9365
@husseinmohamed9365 5 жыл бұрын
Kwel
@user-bu7fy6ew5w
@user-bu7fy6ew5w 5 жыл бұрын
Umeona hata mwenzangu
@selestineosoo5045
@selestineosoo5045 5 жыл бұрын
Msitukere, mbona hamumwambi zari mtoto wa kislaamu.. People wear as per the occassion..
@user-bu7fy6ew5w
@user-bu7fy6ew5w 5 жыл бұрын
selestine osoo huyo zari umemuona wewe sisi tumemuona huyo mtanzani mwenzetu na wewe huna akili kabisa akili yako matope au tusikukere nini au na wewe mdangaji maana madanga mnakaa uchi tena ukome kujibujibu comente za watu tumemwambia zabibu ajistir kilicho fanya ukereke nini hapo jinga wewe
@abdallahmchange1370
@abdallahmchange1370 5 жыл бұрын
Zabibu ana mtindi
@salamamosha8429
@salamamosha8429 5 жыл бұрын
Kunywa uongeze afya dadeki km una comenty siupite tu
@gonjadunus8000
@gonjadunus8000 5 жыл бұрын
Grace Ligunda 😁😁😀😀
@gonjadunus8000
@gonjadunus8000 5 жыл бұрын
Salama Mosha 👌👌👌😂
@teddymeela2791
@teddymeela2791 5 жыл бұрын
Nyonya bac kaz kusema wenzako fyuuuuu
@arafazakir4150
@arafazakir4150 5 жыл бұрын
Ndo mwanamke sasa ulitaka awe na vikokwa wivu tu
@aminaomary3118
@aminaomary3118 5 жыл бұрын
Zabibu hiyo sidiria 😂😂😂
@aishahasani6000
@aishahasani6000 5 жыл бұрын
😂😂😂😂
@hamishamis6508
@hamishamis6508 5 жыл бұрын
Zabibu wee muislam jistiri kidogo mama unawaibisha wanawake wenzio....
@sylviemutwale9527
@sylviemutwale9527 5 жыл бұрын
Mme kama katoto ka toto ibi
@scholastikakayanda7932
@scholastikakayanda7932 5 жыл бұрын
Kafuate mtoto kaka bwana
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 5 жыл бұрын
Zabibu wamuaibisha hata mumeo mavazi gani hayo jamani Msichana mrembo ila mavazi yamekuchenga.
@railamypresidentrailamypre629
@railamypresidentrailamypre629 5 жыл бұрын
MPYA MPYA wivu wa nn wakati amekosea kidini kama hujui nn maana ya dini ya kiislam funga bakuli
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 5 жыл бұрын
@MPYA MPYA 😆😆😆😆😆 Sina wivu kwake mimi but duh.
@laizerog3220
@laizerog3220 5 жыл бұрын
mumewe ndio kamruhusu hawezi kuvaa bila ruhusa ya mumewe
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 5 жыл бұрын
@@laizerog3220 Ok but Mume akienda nje ya maadili we mke jitahidi .
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 5 жыл бұрын
@@audifasorest3867 😅😅😅😅😅 Mi Sina wivu jamani niko shwariii sana wivu wa nini Sasa.
@jenniphershayo2613
@jenniphershayo2613 5 жыл бұрын
Zabibu wew nimuislamu jistir kidogo
@anamanoni1243
@anamanoni1243 5 жыл бұрын
inahusuuuuuuu
@habibahassan7833
@habibahassan7833 5 жыл бұрын
Huo mziwa duh váa vizur bn duh unamuabisha banda
@husseinmohamed9365
@husseinmohamed9365 5 жыл бұрын
Truth
@salamamosha8429
@salamamosha8429 5 жыл бұрын
Nyasa au victoria pyeee kushindwa shindwa uko
@gonjadunus8000
@gonjadunus8000 5 жыл бұрын
habiba Hassan umeteraaaaaa hatar
@habibahassan7833
@habibahassan7833 5 жыл бұрын
Duh anaaibisha km sio maarufu 😀😀😀😀😀hajui mavaz yameteraa labda kavaa mama nibebe Mmmh
@roseirungo1950
@roseirungo1950 5 жыл бұрын
Kahh haya maziwa ukipata mtoto mmoja alfu ayanyonye naona ukiyafungia kiunoni😬
@khadijahhassany1523
@khadijahhassany1523 4 жыл бұрын
Yako yapo wp
@laymapeace4538
@laymapeace4538 5 жыл бұрын
zabibu ni mbayaaaa sanaaa
@AbdulWahid-hp8qr
@AbdulWahid-hp8qr 5 жыл бұрын
Jistiri Dada yangu
@AbdulWahid-hp8qr
@AbdulWahid-hp8qr 5 жыл бұрын
Mwanamke sitar zabibu
@AbdulWahid-hp8qr
@AbdulWahid-hp8qr 5 жыл бұрын
Ukijistiri unapendeza sana dad yangu
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 5 жыл бұрын
Mwazan Gomaa mwenzio ameshaolewa ivo wewe uliyeachwa na mtoto una nini hasila za kuachwa umtolee mtoto wa watu koma
@amiduabromo8407
@amiduabromo8407 5 жыл бұрын
Mwazan Gomaa wivu meen
@laymapeace4538
@laymapeace4538 5 жыл бұрын
banda uje umchukue mtoto wako kule shezi wee unakataa damu yako sio poa maisha yako mazuli kwanini unakataa damu yako
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 5 жыл бұрын
Mwazan Gomaa kumbe ndio maana ukamuita ZABIBU mbaya loo pole kwa husda zako
@zahararajabu4169
@zahararajabu4169 5 жыл бұрын
Mwazan Gomaa .achana na mambo ambayo hayakuhusu we pambana na hali yako nyoo roho mbaya tu na unafik walivyo zalishana ilikuwepo au upambe tu
@judithpaul9013
@judithpaul9013 5 жыл бұрын
Mwazan Gomaa acha wivu ww
@halimamohamed1693
@halimamohamed1693 5 жыл бұрын
bada mwambie huyo mkeo ajistiri huyo sio uislam anatia kinyaa
@anifamapunda2640
@anifamapunda2640 5 жыл бұрын
Mwazan Gomaa 😃😃
@naftalikisaka6270
@naftalikisaka6270 5 жыл бұрын
p1 sana
PART 1: Maisha ya Zabibu Kiba na Mumewe Banda (A.KUSINI)
15:40
Global TV Online
Рет қаралды 82 М.
Does size matter? BEACH EDITION
00:32
Mini Katana
Рет қаралды 19 МЛН
Эффект Карбонаро и нестандартная коробка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 8 МЛН
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 14 МЛН
ALIKIBA weds Aminah Rikesh, The Wedding Vows in Mombasa Kenya
11:08
Abdi Banda Asimulia Alivyomtoa Nje INONGA "Watamwambia Mimi ni Nani"
3:13
Does size matter? BEACH EDITION
00:32
Mini Katana
Рет қаралды 19 МЛН