BILA WOGA, MBUNGE SHABIBY AFICHUA SIRI YA MAFUTA KUPANDA BEI - "KUNA MAJAMBAZI"

  Рет қаралды 209,698

Global TV  Online

Global TV Online

2 жыл бұрын

BILA WOGA, MBUNGE SHABIBY AFICHUA SIRI YA MAFUTA KUPANDA BEI - "KUNA MAJAMBAZI"
Naibu spika leo Aprili 06, ameongoza kikao ikiwa ni mkutano wa kwanza tangu Bunge lirejeshwe 'LIVE...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 399
@ramdanmbara8500
@ramdanmbara8500 2 жыл бұрын
Kama Waziri mwenyewe ni Januari Makamba unatarajia mchango wa Mheshimiwa Shabiby ufanyiwe kazi kweli? Kifo cha JPM ni msiba mkubwa kwa Tanzania.
@evelinemsaki2057
@evelinemsaki2057 2 жыл бұрын
Bora kawachana wamezidi kujipendekeza kwa huyu mama januari ni mpigaji dili nashangaa wabunge wanasubiri Nini kumngoa was kumngoa happy alikuwa polepole na msukuma tunaomba msjkuma shabibi mlianzishe vinginevyo miakaa mitano hii wabinge mjiandae
@neemakaluwa536
@neemakaluwa536 2 жыл бұрын
Januari na babake wanalamba asari 🤣
@georgemassebu2083
@georgemassebu2083 2 жыл бұрын
Sure
@selegioelias9076
@selegioelias9076 2 жыл бұрын
Kajamaa haka kana jeuri sana ya baba yake mzee makamba wana dharau sana
@moestate9982
@moestate9982 2 жыл бұрын
Uko vizuri sana mbunge wetu Shabiby una uchungu na wananchi mola akuongoze na akujalie afya njema
@nelsonmlama8002
@nelsonmlama8002 2 жыл бұрын
Umetisha kaka Asante kwakutetea nchi Mungu akubariki
@harunchilongola3599
@harunchilongola3599 2 жыл бұрын
Hongera sana mbunge wangu Shabiby. Kweli wewe ni sauti ya wanyonge. Huo ndio ukweli kuhusu kupanda kwa mafuta. Endelea kupaza sauti tupo pamoja nawe. Na kazi iendelee.
@norascomulenzi222
@norascomulenzi222 2 жыл бұрын
Huyu Mh ni big brain kututoa matongongo tongo watanzania tujue wapigaji wapo kazini. Good job mh sabiby
@michaelmfangavo7360
@michaelmfangavo7360 2 жыл бұрын
ndio safisana mheshimiwa
@coolruler6820
@coolruler6820 2 жыл бұрын
Inawezekanaje mtu mmoja kama huyu anakuwa na ufahamu na upeo mkubwa kuliko taasisi nzima inayoshughulikia masuala ya mafuta?,,,,kuna jipu apo la kutumbua
@barakamanga5502
@barakamanga5502 2 жыл бұрын
Imeniuma saana watu kama Hawa ndo wanapigwa vita saana
@majaliwawilson9372
@majaliwawilson9372 2 жыл бұрын
Halaf kiongoz mkubwa anatoka nakusema bila huluma kupigilia mosumal kichwani wakat akili kamahiz zipo tuu wao wamekalia zulima hakika Mola hatowaqcha salama waendelwe kuiba nakifanya njama zao zakuohujum nnchi
@jeremiahmakoye6340
@jeremiahmakoye6340 2 жыл бұрын
Umeona eee,Mzee Shabiby yupo good sana kwa speech hii.
@godfreymasele8853
@godfreymasele8853 2 жыл бұрын
Magufuli alimpiga chini huyu Januari makamba. Leo anarudishwa na kuwekwa wizara nyeti nini matoleo yake? MAGUFURI ALISEMA MTANIKUMBUKA KWA MEMA SASA NI LUPIGWA MISUMARI YA KICHWA TUUUU
@ericklyatuu1301
@ericklyatuu1301 2 жыл бұрын
Huyu ni mfanya biashara wa mafuta anajua
@noelkanji9378
@noelkanji9378 2 жыл бұрын
Hongera sana Mh.Shabbiby,kwa kuuweka wazi ukweli wa Mambo ulivyo, "BIG UP SANA"
@kwelinauzimamedia3215
@kwelinauzimamedia3215 2 жыл бұрын
Asante saana maombi yetu yanaanza kujibiwa, tunapiga huu utawala wa kishetani kwa jina la Yesu, mpaka tumpate nira ya chuma zaid ya Magufuli.
@mkhondoj.feruzi2052
@mkhondoj.feruzi2052 2 жыл бұрын
Safari sio rahisi kwa safu inayopangwa kila kukicha! Watanzania lazima ifike mahali tuchukie ukweli wa kuchukia tuwaambie wajue tunajua!
@patrobamalema8631
@patrobamalema8631 2 жыл бұрын
Halelujha Sanaaaa Mtumishiii Wa Jehova Aliye Hai.
@pascalmstaarabu4372
@pascalmstaarabu4372 2 жыл бұрын
Mhe umeongea mawazo ya watu millioni50
@abdullahchabukila6686
@abdullahchabukila6686 2 жыл бұрын
yes namuona magufuli kwa mbali
@upendohalisi5763
@upendohalisi5763 2 жыл бұрын
Mungu baba akutunze na kukulinda mbunge umeongea point na kutetea wananchi zaidi ya milioni 50 watanzania. Unastahili kuwa waziri wa nishati na madini
@saxannjo6173
@saxannjo6173 2 жыл бұрын
Watanzania wa leo hawawezi kudanganywa tena .. TUNAWACHORA TU NA UPUMBAVU WAO
@geraldtarimo7379
@geraldtarimo7379 2 жыл бұрын
Shabiby ni mzalendo wa kweli ana stahihili kupewa nchi ......Mama analishwa matango pori na wahuni akiwepo makamba mwenyewe
@tibocherichard1182
@tibocherichard1182 2 жыл бұрын
Shabiby umesema jambo kubwa mno, shida sijui kama wanakuelewa
@yusuphidy296
@yusuphidy296 2 жыл бұрын
Mama umesikimaneno hayo tafadhali chukua hatua wananchi tunateseka huku mitaani
@kasimnamesou4226
@kasimnamesou4226 2 жыл бұрын
Mambo ya hovyo sana nchi hii, huyu jamaa anachokiongea kuhusu mafuta anakijua, nakumbuka kila anapotoa hoja za mafuta zinakuwaga ni za kubamba sana
@mahamoudhassan8853
@mahamoudhassan8853 2 жыл бұрын
Na yeye anataka kuagiza mafuta,awe mfano
@georgemartin9724
@georgemartin9724 2 жыл бұрын
Wala yeye anaumia kwa sababu anabishara ya mabasi ake ya mkoa
@smartlevelaluminiumglass7871
@smartlevelaluminiumglass7871 2 жыл бұрын
Tunahitaji watu kama hawa wenye kunena ukwel maana nchi hii kunawatu wachache wanataka kuifanya kama mji wao! Manufaa yao binafsi ndo yanatutesa watu milioni 60.Serikali iliangalie sana hili🇹🇿🙏
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 2 жыл бұрын
Upumbavu sana nchi hii yani pana wizi na upigaji kila siku
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 2 жыл бұрын
Jpm rest in perfect peace. Kila nikikumbuka moyo wako na uzalendo wako kwa taifa hili, na jinsi ulivyopambana mchana na usiku kuhakikisha mtanzania anafurahia nchi yake na kufanya maendeleo huku ukiwafuta machozi kila walio onewa na wahuni machozi yananitoka. Ee Mola, tupate wapi mtu mwenye roho kama ya jpm, mtu mwenye uchungu na nchi yake, mtu mwenye kupinga rushwa na mafisadi kwa dhati?.Hali hii mpaka lini?, tutakuwa kichwa cha mwenda wazimu mpaka lini?.
@marymgimwa9461
@marymgimwa9461 2 жыл бұрын
MUNGU atusamehe kwa kweli hakuna wakutusamea huko ni kutoa sifa
@swimamasumira7261
@swimamasumira7261 2 жыл бұрын
Nchi ili iweze kijisimamia pasipo kutumia nguvu ya mtu mmoja inatakiwa iwe na Taasisi Imara zenye Uhuru wa kutekeleza majukumu pasipo kuogopa chochote Sheria zikisikamia hakuna kinachoharibika
@herself7545
@herself7545 2 жыл бұрын
Yaani we acha tu .. Nuru ilitoweka ghafla. . But kuna siku tusiyoijua itaibuka nyingine soon
@emanuelmfanga9220
@emanuelmfanga9220 2 жыл бұрын
Nakubaliana na ww ndugu
@minskbelarus7255
@minskbelarus7255 2 жыл бұрын
Laurent, ACHA kulialia, hata manabii hawapo TENA. Binaadam ukifika mda fulani katika maisha LAZIMA UTOKE KWA WAZAZI na UANZE KUJITEGEMEA
@vyamanahabdallah4771
@vyamanahabdallah4771 2 жыл бұрын
Samia suruhu Hassan my president nakukumbusha uongozi ni wito, uongozi ni dhamana kumbuka hawa watu wanao pata shida km ni kwa sababu za watendaji wako mungu atakuuliza.watu wanaumia wanalalamika usiwasikie hao watu wako wa karibu
@hbdina
@hbdina 2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿Unaona kuwa Tanzania tunapumbazwa tutamkumbuka sana Dr.John Pombe Magufuli angekuwepo angechukua hatua sekunde hiyo hiyo
@piusprospa8832
@piusprospa8832 2 жыл бұрын
Vimeumana
@jumakalembo5702
@jumakalembo5702 2 жыл бұрын
Shabiby inaonekana unasema kweri akunambunge hatamoja aliomba muogozo was kukupinga
@kondoyahya8083
@kondoyahya8083 2 жыл бұрын
Dr tulia fanyia kazi wazo hili la mafuta na wabunge wenzio.
@anastaziamoses4100
@anastaziamoses4100 2 жыл бұрын
Magufuli baba Magufuli baba Magufuli baba 😭😭😭😭😭😭😭tunakukumbuka sana yaani basi tu
@bugybuster5788
@bugybuster5788 2 жыл бұрын
Aiseee shabiby nimekuelewa sanaaa tunaitaji wabunge kama nyinyi msio ogopa kuongea ongera kwa hilii
@charlesmpemba9387
@charlesmpemba9387 2 жыл бұрын
Huyu jamaa kaongea vizr saana.
@prophetsayitv1541
@prophetsayitv1541 2 жыл бұрын
Shabiby mbunge wetu, unatetea watanzania wote, Mungu akulinde, Endelea kuwasemea wanyonge, Ahsante Sana Mbunge wetu Shabiby.
@ramzanurdini5474
@ramzanurdini5474 2 жыл бұрын
Uyu n mbunge wa wap bae
@willibroadwilliam6798
@willibroadwilliam6798 2 жыл бұрын
Umetukumbusha mbali unasitaili kuwa kiongozi mkuu msema kweli anafaa Asante.
@hosianapanga5368
@hosianapanga5368 2 жыл бұрын
Ase hali nimbaya sana kwa wananchi jamn tusaidie wanaichi hali mbaya watu watakufa njaa mafuta Bei juu
@emanuelleopod3949
@emanuelleopod3949 2 жыл бұрын
Watu wa aina hii kwenye hii nchi ndo wanapigwagaa vita balaaa yan 😀 Huyu Shabib kaongea ukweli mtupu yan
@hizamwaimu3918
@hizamwaimu3918 2 жыл бұрын
Umeongea ila umepingana na mama maana mama alisema mafuta yamepanda bei Kila kitu kitapanda bei
@michaelmizambwa1246
@michaelmizambwa1246 2 жыл бұрын
Ingependeza siku moja uwe Raisi ,.. aaaha tunaweza kufika mbali zaidi
@nachoandrew4928
@nachoandrew4928 2 жыл бұрын
Daamungu akulinde sanaa
@salmashahbal2424
@salmashahbal2424 2 жыл бұрын
Tungepata wabunge Kama wew 10 tuu tungekua mbali..👏👏
@moestate9982
@moestate9982 2 жыл бұрын
Hongera sana uko vizuri na una uchungu na nchi mola akusimamie inshallah
@michaelgibril8594
@michaelgibril8594 2 жыл бұрын
MHE SHABIBI MIMI NAKUELEWA SANA, UNASTAHILI NYAZIFA KUBWA KWENYE NCHI HII, NATUMAI ALLAH ANAONA KIPAWA CHAKO
@Commentsplus
@Commentsplus 2 жыл бұрын
Kumbe shabby we ni MTU tena ni mtu
@maher_jenas_chris_jr_
@maher_jenas_chris_jr_ 2 жыл бұрын
weBaba Mungu akulinde Sana, umeongea vizuri mnoooo..
@IBENGM
@IBENGM 2 жыл бұрын
Hajawai niangusha huyu mwamba!
@georgemhalla8853
@georgemhalla8853 2 жыл бұрын
Definitely
@medardywilliam5425
@medardywilliam5425 2 жыл бұрын
Kwelii Mzee mambo yanafanyicka wakubwa wanatizamaa TU wanafikili sisi mi zuzu sna
@stephensandiko6049
@stephensandiko6049 2 жыл бұрын
Wanajua watz ni wale wa kikwete
@ernestlyimo6013
@ernestlyimo6013 2 жыл бұрын
HUO NDIO UKWELI, WA TANZANIA WANA WATU WA KUWATEA ILA MAPAPA NA MANYANGUMI WANAWAMEZA, MUNGU UTUSAIDIE.
@jescajulius8023
@jescajulius8023 2 жыл бұрын
Aiseeee m,unyama mkubwa san
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 2 жыл бұрын
Nyuki zimeingia Katika mzinga wa Bibi tunaramba asali tu 😂😂😂😂😂😂🤸 duh mbona kazi ipo🤸🤸🤸🤸
@castobenjamin4074
@castobenjamin4074 2 жыл бұрын
Hii Nchi ina wachawi na wezi wengi na Viongozi walio wengi sio Wazalendo wa Nchi na Wananchi wake kazi yao ni kuchumia tumbo🙌
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 2 жыл бұрын
Wachumia tumbo wote, including huyu hangaya. Hawa watu sijui mioyo yao ikoje. Hivi wana mungu kweli?.
@peterswai391
@peterswai391 2 жыл бұрын
Mchango mzuri Mhe shabby, into parlment
@mkulimanyanya3409
@mkulimanyanya3409 2 жыл бұрын
Nimekukubali wewe ni mwanaume wa Ukweli.
@menabdiabdi9173
@menabdiabdi9173 2 жыл бұрын
We jembe sana Mungu ukupe neema tele katika maisha yako
@faustinemavere1450
@faustinemavere1450 2 жыл бұрын
Mungu akubariki sana yaani watu tunalia sana jamani mafuta ya kula hatuwezi tena tunapoendea tutachemsha vyakula Mungu atudaidie watu wa chini
@yahayahussein511
@yahayahussein511 2 жыл бұрын
Kaka shabibi hongera sana tena sana umeongea point Sana
@edwardouma1630
@edwardouma1630 2 жыл бұрын
Viongizi wengine wengine hawafai hatakidogo wape vidonge vyio akiwemo raisiwetu usimuogope mara ashushe bei ya mafuta mara apandishe kwa nn atumuelewi mafisadi ndo anawarudisha tena serekalini atumuelewi heshima kwako kaka wanazamisha Tanzania kwa njaa zao binafsi
@saiguranlaurent441
@saiguranlaurent441 2 жыл бұрын
Mungu akubarikj kwa kusema ukweli hiyo ni dili kweli ya wakina kikwete na mtoto wake kila Kona ana sheli na wengine wengi
@josephatkiliko2546
@josephatkiliko2546 2 жыл бұрын
Mungu akulinde
@tusubilegemtafya5532
@tusubilegemtafya5532 2 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu azidi kukupa upeo na kukulinda daima
@nasrahassan7346
@nasrahassan7346 2 жыл бұрын
Sema baba mh nimekupenda bule mafuta kupata kwa kweli tunaumia sana asante kwa kutetea wananchi wa tz mungu tubariki tz yetu na watu wake
@faharikhamis1042
@faharikhamis1042 2 жыл бұрын
Respect kaka god bless you and your family
@latwifsued3316
@latwifsued3316 2 жыл бұрын
Uku vizuri tatizo nchi hii watu wakiwa wakweli na wawazi hawathaminiwi na kupewa kipaumbele. Ila kwa staili hii unastahili kuendelea kuwa mbunge wananchi wako wanakutegemea Sana. 👍
@InfinixTechnology
@InfinixTechnology 2 жыл бұрын
Mama.anataka.ufanisi.hataki.misifa.yenu.mama.alisema.atawapima.kwa.Nazi.ski.kwa.sifa.
@williamsville3493
@williamsville3493 2 жыл бұрын
@@InfinixTechnology እውነት ሁሌም ይለያችኋል ስለዚህም በተሳሳተ ጎኑ እንድትቆሙ
@athumanimateso3230
@athumanimateso3230 2 жыл бұрын
Safi waambue mana wanateseka nimasikini wenye aliyachini
@ndogoroedson9438
@ndogoroedson9438 2 жыл бұрын
Wabunge wenye akili wanaojua shida ya wananchi tofauti na wapiga makofi! Yaan serikali yetu kwa kweli kwa upande wa nishati ni uwizi mtupu! Utasikia wanasema c mnaona Kenya kote mafuta yamepanda Sasa kule ufisadi c ndyo ulikozaliwa? Ingekuwa nchi nyingine wazir wa nishati angejiuzuru tu! Ni uwizi mtupu kabisa!
@henryanatoly2522
@henryanatoly2522 2 жыл бұрын
Hicho kikosi cha wapga dili ndo walomua jemedal wetu JPM. Muzee umeongea ukwel kbs kiukweli tunachezewa sn wtz na hao wanyang'anyi wachache inaumiza sn tena sn. Pumzka kwa amani JPM
@nelsonmlama8002
@nelsonmlama8002 2 жыл бұрын
Kaka tetea nchi upo vizuli Pambana kw Hilo hukutetea Jimbo lako Bali umetetea Kila mwnachi watanzania teea kaka mengi tunayo hutetei gairo tu napenda siku akambiw wazili wnishati n madini unajua kaka
@sifamanyori-kf9vq
@sifamanyori-kf9vq 10 ай бұрын
Hawa matajiri niwasenge sana wanasema mafuta yamepada wakiti wao diyo makahaba mabaharini kwenye makaburi yawatu kuwafufua kimizam yesu atawafudisha adabu yaki roho dunianike
@shazyahya4121
@shazyahya4121 2 жыл бұрын
Makamba ni waziri wa michongo
@stanleylekamoy4803
@stanleylekamoy4803 2 жыл бұрын
Very good Shabiby wape somo maana hii imeshakuwa michezo za kitoto
@restitutorcharles4253
@restitutorcharles4253 2 жыл бұрын
Mungu wa mbinguni akutunze
@godymbanyi1878
@godymbanyi1878 2 жыл бұрын
Kumbe bado tuna wabunge makini mjengoni, big up Shabiby!
@eliasilyeme834
@eliasilyeme834 2 жыл бұрын
namkubali sana shabiby atafika mbali
@bonifasemmanuel4700
@bonifasemmanuel4700 2 жыл бұрын
Huyu ni hazina ya. Inchi,
@taliano3963
@taliano3963 2 жыл бұрын
Daaaa Asante Mheshimiwa SHABIBY ujumbe umefika issue nani ataupokea! Wapigaji wameshaingia madarakani mwananchi apokee maumivu tu
@cvanoedward3093
@cvanoedward3093 2 жыл бұрын
Nimecheka sana Trekta linakatika katikati tena lina jina la Mama
@basumaadam2686
@basumaadam2686 2 жыл бұрын
Wewe ni mzalendo sana na nakuombea sana uje uwe Rais kwa miaka ya mbele
@charlessambai8758
@charlessambai8758 2 жыл бұрын
Hongera muheshimiwa
@chrissyesaya5385
@chrissyesaya5385 2 жыл бұрын
Upo sahihi saaaana
@bennieathuman9917
@bennieathuman9917 2 жыл бұрын
Kumbe huyu ndo mwenye mabasi ya shabiby
@gloriamichael7935
@gloriamichael7935 2 жыл бұрын
Mungu pigana na wote wanaopigana na Tanzania wakiingilia njia moja wasambaratishie njia Saba Baba
@yasmeenaal4191
@yasmeenaal4191 2 жыл бұрын
Shabiby tusaidie wananchi wako inatakiwa upewe nchi hii ya vipofu upo vizuri serikali siri kali
@dd-yc1mw
@dd-yc1mw 2 жыл бұрын
RIP JPM
@jumaakida5951
@jumaakida5951 2 жыл бұрын
Hongera sana! Rais kazi kwako kufanyia kazi maneno ya Mohamed Shabiby
@danielmbwilo1040
@danielmbwilo1040 2 жыл бұрын
Mungu akubariki Kwa hoja hizi
@suzanamwangingo2995
@suzanamwangingo2995 2 жыл бұрын
Asante mbunge kwa kupigania majimbo yako.asante hemedy shabyby
@lilianmlowe9154
@lilianmlowe9154 2 жыл бұрын
Majambazi hao wanajulikana ila mnaogopa kuwasema! Wabunge km hamtafanyia kazi mkaaa hapo km mko harusini sasa msubirie wakati wakupigiwa kula km mnapata maana mnawaumiza wananchi na kazi yenu kuwatetea na kuwambambania
@silaskojwando2450
@silaskojwando2450 2 жыл бұрын
You are excellent comrade,you are more practical
@godfreylyimo4177
@godfreylyimo4177 2 жыл бұрын
Mh upo vizuri sn!! Tunaumiza Watz
@kasaseemmanuel9976
@kasaseemmanuel9976 2 жыл бұрын
Kweli father umetema madini yakutosha.
@lucaschisamalo2852
@lucaschisamalo2852 2 жыл бұрын
Ccm wapo wengine wako vizuri Sana kweli kabisa wapo wapigaji
@fetykondo3953
@fetykondo3953 2 жыл бұрын
Nakukubali maana mafuta yalipanda kabda ya Vita ya urusi sababu ilikua nin wizi mtupu
@patrobamalema8631
@patrobamalema8631 2 жыл бұрын
FANTASTIC 👍
@mkhondoj.feruzi2052
@mkhondoj.feruzi2052 2 жыл бұрын
Haya! Nasema jengeni hoja za ujanja ujanja na hapo! Watu nyie, nyie watu! Look your back 😂😂! Bravoo Shabiby! Rais umesikia hii! Unaifanyia kazi hiyo!? Rest in peace JPM!
@charleschuss7699
@charleschuss7699 2 жыл бұрын
Upo sahihi 👏👏👏👏 lakin utaingia kwenye vita ulaji wawatu unaingilia
@kelvinchisongela870
@kelvinchisongela870 2 жыл бұрын
Asante kwakutambua hilo
@dismasjohnas5970
@dismasjohnas5970 2 жыл бұрын
Huyu si kiongozi bendera kama viongozi wengine
@novatusabond9253
@novatusabond9253 2 жыл бұрын
Semaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!! Baba
@ramzanurdini5474
@ramzanurdini5474 2 жыл бұрын
Daah kabisaa mheshima n points za msingi
@ellyjacob9897
@ellyjacob9897 2 жыл бұрын
Aise nmekukubali mbunge🙏🙏🙏
@nyamumwisamson3124
@nyamumwisamson3124 2 жыл бұрын
Yani muheshimiwa tunachukia kweli haya mambo ya mafuta,binafsi mm no mkulima kwenda kwangu shambani nilazima niende kwa pikipiki ili nifike niwe na sh,10000 kwasiku mbili tu,hakika huu niunyama
@Itarusii
@Itarusii 2 жыл бұрын
Hapo ndo tunamkumbuka JPM.
@tabiafataki6896
@tabiafataki6896 2 жыл бұрын
Mngekua 200 wenye akili kamayko umo bungeni nadhani wananchi tingepata wepesi wa maisha
@sositenesssabuni2480
@sositenesssabuni2480 2 жыл бұрын
Umeongea vizuri sana kweli wewe nimzalendo tatizo walio kuzunguka niwezitu wapo kwamasilahi yao binafisi watakupuuza.
@bonifasemmanuel4700
@bonifasemmanuel4700 2 жыл бұрын
kWa kweli umeongea pointi sana,Mungu akutie nguvu uendelee kuwatumikia wanainchi,
@abasayoo5934
@abasayoo5934 2 жыл бұрын
Wewe husaidii gairo tuu unasaidia nchi mzima bg up tunataka wabunge kama sjabiby
@christianmwashala9760
@christianmwashala9760 2 жыл бұрын
Shabiby akil nyingi waaambie ao watanzania tupo kimya sio kwamb hatujui
@godfreymasele8853
@godfreymasele8853 2 жыл бұрын
Wewe mwananchi mnyonge nani anahuruma na wewe nikunyongwa tu. Mnyonge hana haki machozi ya samaki huenda na maji. Viongozi wamewaruhusu wafanyabiashara wafanye watakavyo. MUNGU TUOKOE WANYONGE HATUNA MTETEZI KABISA.
@mahingilasambichuma1369
@mahingilasambichuma1369 2 жыл бұрын
Tunapigwa
@hassanmichael7068
@hassanmichael7068 2 жыл бұрын
Hongera sana bro naona umewaumbua watu
@selemanwaziri459
@selemanwaziri459 2 жыл бұрын
Nice
@jumabidery5051
@jumabidery5051 2 жыл бұрын
watu wanakula pesa hawatoshekagi sijui wataendanazo kaburini
@losimdavid9259
@losimdavid9259 2 жыл бұрын
Facts
@Pihansmo1129
@Pihansmo1129 2 жыл бұрын
Wow!!!!🥰🥰🥰🥰🥰
@juniormnyamatz2893
@juniormnyamatz2893 2 жыл бұрын
Watu wanatetea ndugu zao ,mmmmh, mungu simama ututetee watanzania ,maan tunadanganywa na kuteswa kama vichaa, 😥😥😥😥😥😥
@Kidotii
@Kidotii 2 жыл бұрын
Salute Mh. SHABIBY
"PETROL STATION ZINAOTA KULIKO SHULE ZA KATA" - MBUNGE SHABIBY
11:16
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 106 МЛН
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 10 МЛН
Useful gadget for styling hair 🤩💖 #gadgets #hairstyle
00:20
FLIP FLOP Hacks
Рет қаралды 8 МЛН
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 16 МЛН
tagesschau 20:00 Uhr, 26.07.2024
15:53
tagesschau
Рет қаралды 129 М.
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 106 МЛН