JOHN HECHE AMGEUKA MBOWE MCHANA KWEUPE - ATANGAZA KUMUUNGA MKONO LISSU KWENYE UCHAGUZI wa MWENYEKITI

  Рет қаралды 27,276

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 49
@globaltv_online
@globaltv_online 18 күн бұрын
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
@LongututiTajiri
@LongututiTajiri 18 күн бұрын
Mm namkubali Sana John heche pokea mauwa yako kwa watanzania 🎉🎉🎉🎉
@ramadhanwilbard8196
@ramadhanwilbard8196 18 күн бұрын
Mzee Mbowe mimi ninakuamini sana kwa hekima zako unasifa za kuwa kiongozi mkubwa zaidi ya huo wenyekiti hivi sasa hebu waachie hao wengine tuone kama wataweza kukijenga chama vizuri au kukibomoa basi kaa pembeni ikiwezeka ugombee nafasi ya Urais 2025!
@GasperRichard-d1p
@GasperRichard-d1p 10 күн бұрын
Acheni marumbano msizidiwe naumarufu mnazidiwa nazito ambaye hana mingongano turieni❤
@AsumntaAmos
@AsumntaAmos 12 күн бұрын
Nakukubali sana mwamba
@jamesmapapara
@jamesmapapara 18 күн бұрын
Safi sana kwenye ukweli tuseme ukweli
@IsaacTrevo
@IsaacTrevo 14 күн бұрын
My icon I wish yuh win
@simonmagembe7416
@simonmagembe7416 11 күн бұрын
Heche atakuwa kiongozi wa chadema na ccm , vijana wote wanamkubali
@DutuPaul
@DutuPaul 13 күн бұрын
Tunawataka Lisu na Heche
@MwitaChacha-l9t
@MwitaChacha-l9t 18 күн бұрын
Huwezi kusema Kwa sababu unamjua vizuri
@SamweliMshana
@SamweliMshana 18 күн бұрын
Inaweza CHADEMA ikaongoza wakati mwingine
@ValeriJummane
@ValeriJummane 18 күн бұрын
Wajumbe tuleteeni Lissu na heche
@magorahassan3491
@magorahassan3491 17 күн бұрын
Lisu + Heche = Wapinzani wa kweli kabisa kwa sasa!
@IssaTayari
@IssaTayari 6 күн бұрын
Bila mbowe hakuna chadema
@reubenpaulomabula6098
@reubenpaulomabula6098 18 күн бұрын
💯
@NoelChambo
@NoelChambo 18 күн бұрын
Mbowe atashinda, Lissu atakwenda ccm baadaye. Niliona katika maono Lissu kavaa shati ya kijani.
@FrankMashauri-t4t
@FrankMashauri-t4t 18 күн бұрын
Mchumba wewe tulia😂
@ShukuMshando-uc4qf
@ShukuMshando-uc4qf 13 күн бұрын
Nipo ccm...nafuatilia kwa ukaribu huu mchakato unaoendelea chadema...tafiti zangu zinaonyesha mbowe anakwenda kushinda...kwa kishindo....
@markoshem-ij6cf
@markoshem-ij6cf 12 күн бұрын
Mubwa wewe kaa na zigo rako ri CCM
@MaulidNdunda-cl3gz
@MaulidNdunda-cl3gz 12 күн бұрын
Pata chimbika hapo 😅😅😅 kamati mko wapi
@samsonkingdom-xc8cg
@samsonkingdom-xc8cg 18 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@nashirkamugisha9425
@nashirkamugisha9425 18 күн бұрын
Chadema ni chama cha ukoo. Kupewa mh.lissu ni ngumu sanaaa
@livingstonekabantega
@livingstonekabantega 18 күн бұрын
Ila ushindani wenu ni mzuri hata hatujui nani atashinda. Si tunasubiri tu kura zipigwe tuone
@jaypili9955
@jaypili9955 18 күн бұрын
Mwamba kaongea ukweli iliopo moyoni kwake
@dottophilibert1983
@dottophilibert1983 18 күн бұрын
Lissu Hana sifa za uongozi mpeni uhanaharakat anaweza
@stanleymwaselela1849
@stanleymwaselela1849 18 күн бұрын
Haujui unachozungumuza unajua maana uanaharakati
@sittamwigulu8395
@sittamwigulu8395 18 күн бұрын
Chomoa kama imeingia sana😅😅
@stn4873
@stn4873 18 күн бұрын
TATA MRAAA
@Hassanbaoma
@Hassanbaoma 18 күн бұрын
Jambo jema
@allymlyomi9894
@allymlyomi9894 18 күн бұрын
Malumbano ya Nini ,kura ziamue
@ValeriJummane
@ValeriJummane 18 күн бұрын
Lissu na heche Tosha
@DominickTembo
@DominickTembo 17 күн бұрын
Uko saw mkuu nawaombea mxhinde wapendwa
@mohamedindeyelo1574
@mohamedindeyelo1574 18 күн бұрын
Watu wa ovyoo ovyooo
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 18 күн бұрын
Porojo tu!!freeman mbowe bado yupo sana chadema!!
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 14 күн бұрын
CHADEMA inatafunwa pole pole na Ukanda na ukabila,sasa hivi kinaelekea kanda ya ziwa
@EmmanuelNyinyigwa-m1o
@EmmanuelNyinyigwa-m1o 18 күн бұрын
Ukweli WWE kama utaamua kuja ccm unastaili uwazili mkuu
@florencemeza6540
@florencemeza6540 18 күн бұрын
Laana ya MAGUFULI INAWAMALIZA na badoo
@GodblessRiziki
@GodblessRiziki 18 күн бұрын
Mbowe😂
@simongwandu7392
@simongwandu7392 18 күн бұрын
Mbowe atashinda
@protamwenyegzaketv7408
@protamwenyegzaketv7408 18 күн бұрын
😅😅😅Maji marefu haya
@drnow1528
@drnow1528 18 күн бұрын
chadema haifai kuliongoza Taifa
@abuumohamed7090
@abuumohamed7090 18 күн бұрын
Huna akili
@CelinTonny
@CelinTonny 18 күн бұрын
@@abuumohamed7090kwani uongo?🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@allymlyomi9894
@allymlyomi9894 18 күн бұрын
Ushindani ni mzuri tuu ,kila kitu kinanoga kukiwa na upinzani,vijana mpo wapi Ajira ndio hizo
@One1Lucky
@One1Lucky 17 күн бұрын
John heche sio tena shabiki ake huyu ni mjinga kwenye kundi la wajinga MBOWE VERY A MAN IT SEND BY GOD TO US
@PAULNYANDILE
@PAULNYANDILE 14 күн бұрын
wewe kweli zuzu mbungu yupi labda Wa dunia hii siyo Wa ulimwengu wote
@One1Lucky
@One1Lucky 14 күн бұрын
@PAULNYANDILE kibaraka umetumwa Kwa hongo ya chipsi na bia nonsense wewe🤣🤣
@PAULNYANDILE
@PAULNYANDILE 13 күн бұрын
​@@One1Luckysasa ndugu 😂😂mungu ni mingi imekuwako duniani.mimi ukiniambia kwa sera zao mbowe/ wenje na LISSU/Heche basi nitachaguwa upande Wa braza LISSU wako smart kwa kiasi chao na kweli kutokuwa na upinzani Wa kweli bongo.Sasa shida unapotumia hekima na mitazamo na mazoea ya ubinadamu na kuuaminisha uma kwa kumuhusisha MUNGU wetu kwamba amemtuma au kuwatuma Hawa watu Tena wanasiasa uo ni uongo TU ,Maana ni hi lissu anakubaliana na Kila haki za kimataifa zinazomuhusu binadamu kwa maana hata ushoga na kusagana kwamba atazifuata😢😢😢sasa unaanzaje kusema neno MUNGU ndiyo maana nikasema labda mungu Wa dunia hii shetani na siyo aliyepekee mola/ Alfa na omega YESU KRISTO.
@PAULNYANDILE
@PAULNYANDILE 13 күн бұрын
​Tatizo ndugu umekurupuka kwa kuzania Niko kwa mlengo Wa siasa😂😂😂😂😢😢😢pole saana,Ila kiubinadamu LISSU amekomaa saana katika siasa na anauwezo Wa kufuatilia na kuyazungumza mambo asiyoweza kuzungumza Mzee mbowe
JPM Amrarua HECHE Hadharani "Naweza Nikakuzaa"
4:12
Global TV Online
Рет қаралды 254 М.
진짜✅ 아님 가짜❌???
0:21
승비니 Seungbini
Рет қаралды 10 МЛН
Jaidarman TOP / Жоғары лига-2023 / Жекпе-жек 1-ТУР / 1-топ
1:30:54
Почему Катар богатый? #shorts
0:45
Послезавтра
Рет қаралды 2 МЛН
LEMA AMLIPUA TENA MBOWE "APUMZIKE SASA NI LISSU"
30:56
JAMBO TV
Рет қаралды 54 М.
JOHN HECHE AGEUKA MBOGO AKIJIBU MASWALI YA WAANDISHI
38:53
JAMBO TV
Рет қаралды 34 М.
JOHN PAMBALU AMKANA MBOWE BILA UWOGA, AJIBU MAPIGO KWA WENJE
8:27
MwanaHALISI TV
Рет қаралды 22 М.
진짜✅ 아님 가짜❌???
0:21
승비니 Seungbini
Рет қаралды 10 МЛН