Sijui tatizo nini, ila hakuna ubaya wa kutisha hapo na hela imechangwa kuweka mambo sawa. Au mi sijaelewa? Hapo ni big up JPM! Mengine mbwembwe tu.
@leonardmponzi496 жыл бұрын
safi Sana heche umetoa kile ulicho kuwa nacho
@jenipherchristopher22306 жыл бұрын
Safi sanaa jpm
@rutashubanyuma45466 жыл бұрын
Sio siri anachofanya magu kwa wapinzani sio sawa kabisa
@sautiyaumma40964 жыл бұрын
Huyu jamaa anapenda kutesa watu wake wakati vyuma anavikazaaaa
@OdiloMagungu-uf5is Жыл бұрын
Huo sio utawala Bora ni ubabe huo
@frabomdemwa88806 жыл бұрын
aaaaa hizo ni fitina za kisiasa tu
@eradmdage85046 жыл бұрын
Sawa heche
@nimrodmareges31316 жыл бұрын
Heche jipange uchaguzi ujao tunachukua jimbo naona dharau imezidi
@musakumondawa45676 жыл бұрын
Tanzania
@sadickrajabu11916 жыл бұрын
Kheee magu n kiboko
@zawadiommary85935 жыл бұрын
Heche Oyeeeeee
@leinamwilongo68905 жыл бұрын
Sisi ambaye Rais hajapita sijui tutapataje madarasa watoto wamezana kweli huku duuuu
@AmosiSanga-c4h9 күн бұрын
Oyeeeeeeeee
@michaelmathew83096 жыл бұрын
Mtamtaka tu, mana huyu ndo kiboko
@ramaphosagroup6 жыл бұрын
hecheeee
@rajabseleman17086 жыл бұрын
duuu mwaka WA hatari piga kazi mh
@josephmwise31776 жыл бұрын
Tatizo hapa tunachanganya mambo, kama Raisi amekuja kwa mikutano ya chama mmbunge wa Chadema hana umuhimu wa kwenda, lkn kama Raisi amekuja kwa.ajiri ya mambo ya kiserikari mbunge wa Chadema ni mhimu sana kuhudhuria, kwasababu Raisi in wa watu wote ni wavyama vyote. Raisi ni mmoja tu.
@kiandangulwi35466 жыл бұрын
well said
@aloicmosha53352 жыл бұрын
Eche ukovizuri uliongea ulichona ho
@ScopionScopion-zj9cd8 ай бұрын
mbunge laki tano duuuu
@thomaswambura6496 жыл бұрын
Shule ya sekondri Ingwe ni moja kati ya shule zinazozunguka mgodi wa dhahabu NORTH MARA GOLD MINING. moja kati ya shughuli za mgodi au investor ni kuchangia kati mendeleo ya jamii sasa inakuwaje tena kwenda kukabana kwa kuchangishana michango kuifanya kazi ambayo ilitakiwa kufanywa na mgodi?. R.I.P CHACHA ZAKAYO WANGWE. nafasi yako inaonekana katika nyakati kama hizi
@nataliakullaya13346 жыл бұрын
Kwani kuchanga lazmaaaa jamaniiii
@mussadaudson50554 жыл бұрын
KZbin madab
@saimonjulius13196 жыл бұрын
Raisi wakutatuwa shida kwa wakati nikweli alisema atafanya kazi usiku na mchana nikweli
@OmarOmar-tf6ph4 жыл бұрын
Ammmm huyu rais hajawahi kutokea ingawa ana madhaifu yake kama binadamu ila kwenye 70℅ anajua nn anakifanya mana laiti kama viongozi wote wangekua kama yy basi hii nchi ingelienda kwa michango tuuuu.
@tatianuspaulin27146 жыл бұрын
Siasa ni kutafutiana 7b
@maisaalawi6446 жыл бұрын
We eche wacha jeuri kwasababu upo kwa ajili ya wananchi fanya maendeleo.
@gaspermassawe73976 жыл бұрын
Rais aache kuwaumbua viongozi wenzake hadharani,kwani asipowaumbua hasa wa CDM Haoni kama wananchi wanashindwa kumwelea!??
@kahugentobi97346 жыл бұрын
Mh!!!
@meliafb38176 жыл бұрын
Heche hafaiiiiiii
@josephchacha81756 жыл бұрын
Melia F&B Mamaako ndie anafaaa
@meliafb38176 жыл бұрын
@@josephchacha8175 shamba
@leniphaswalo37495 жыл бұрын
Noma xana
@teresiakayombo17374 жыл бұрын
Jamani magufuli baba lao
@ibrahimissa84216 жыл бұрын
Ebwa eee hafla milioni kumi na tatu zimepatikana Shikamooo Rais
@neemaswai95446 жыл бұрын
Nakupenda mh heche. Umetoa pesa nyingi sana. Hii nchi si yakupleg kama tunavyofanya kwenye harusi tunaitaji misingi bora na vipaumbele. Hasa anaposimama mkuu. Tunapleg kwenye maendeleo¿ kodi zetu vipi. Katiba katiba Mungu tusaidie.
@buremezijogi63865 жыл бұрын
Unazungumza na Raisi wakati umeshika mfukoni kweri Mubuge muzima kweri
Hiyo nisiasa ya Kagame kuubua mawaziri iliakye mwema kwa watu
@kiandangulwi35466 жыл бұрын
uzalilishaji
@dumesuruali17856 жыл бұрын
toa mikono mfuk0ni😂😂😂😂
@japharyadam86316 жыл бұрын
Mbona zingine hamposti? Postini na walizomzimia Heche mike.
@akidasalim97986 жыл бұрын
Kumbe kuna mengine?
@michaelbundala29886 жыл бұрын
zipo,ukizingua,unazinguliwa!
@fanuel966 жыл бұрын
Waambie couz naona wanabagua
@R10_Rajab6 жыл бұрын
Mbunge tena katika jimbo lake anatoa laki tano kweli lol kisha eti nimpigie kura tena arudi bungeni labda anairoge
@amanidaudi2106 жыл бұрын
rajab msinzia ulitaka atoe milioni miasaba hamsini?
@R10_Rajab6 жыл бұрын
@@amanidaudi210 hahaha sio hivyo mkuu ila hapo alitakiwa aonyeshe mfano xio hata millioni tano sio mbaya ila laki tano kha!
@alexmalima95376 жыл бұрын
N bora ukataja kitu ambacho unauhakika unauwezo nacho na co sifa uoneKane uko vizur ukifika wakati wa kutekeleza unapotea...
@fanuel966 жыл бұрын
Ww umetoa kiasi gan? Wabongo bhn...
@R10_Rajab6 жыл бұрын
@@fanuel96mm kwani mtanganyika mm nakuhurumieni nyinyi tu ila kama mmeridhika ni poa tu
@lutherking36666 жыл бұрын
Ahhahahhah magufuli bhana eti utatoa milion 3
@ndeshijoseph31993 жыл бұрын
Nina uhakika hawakufanya lolote hawa wasaniii
@wilbroadsiyonga58896 жыл бұрын
Unafikiii mtupu!
@mwanaishasaid16236 жыл бұрын
wilbroad siyonga g
@yoveanyakarungu15476 жыл бұрын
Unafiki huu
@kitutumlacha14206 жыл бұрын
Asa alisema serikali ina hela yakutosha iwaje kulazimisha watu michango that means serikali hainakitu inaitaji michango ya wananchi
@frankpaul33646 жыл бұрын
Hapa kazi tu good mweshimiwa JOHN POMBE MAGUFULI
@abuuhudhaify51954 жыл бұрын
hhh
@yoveanyakarungu15476 жыл бұрын
Unafaki tu
@yussufnyangoma56936 жыл бұрын
Acha kuwachangisha viongozi kwenye mikutano wanashindwa kusema hatuna swali linakuja JE SERIKALI KUU HAMNA PESA? PILI HIZI MILLIONI MBILI ,MILLIONI MOJA WANATOA KWENYE MIFUKONI MWAO AU NI ZA OFISI ZAO KWASABABU HAZINA MAANDISHI USIJE UKAWAAMBIA WAMEIBA MILLIONI MBILI AU MOJA,WEWE TUNAUHAKIKA NI ZA SERIKALI SI ZA MFUKONI KWAKO.