POLISI WARUSHIANA RISASI na WEZI - WATOROKA na MIL.11 - INJINI 12 za MASHINE za KUVUA SAMAKI ZADAKWA

  Рет қаралды 15,968

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

POLISI WARUSHIANA RISASI na WEZI - WATOROKA na MIL.11 - INJINI 12 za MASHINE za KUVUA SAMAKI ZADAKWA...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera linawashikilia watu watano kwa tuhuma za wizi wa injini za mashine ya mitumbwi 12 za kuvulia samaki pamoja na pikipiki 6 uku ikiendelea na uchunguzi wa kuwatafuta watu 6 waliovunja maduka ya kufanyia miamala na kuiba shilingi milion 11 katika wilaya ya Karagwe mkoani Kagera
Kamanda Mkuu wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera Blasius Chatanda amethibitisha taarifa hizo wakati akizungumza na waandishi wa habari.
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 22
@globaltv_online
@globaltv_online 28 күн бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@user-tx6dh6ii3m
@user-tx6dh6ii3m 28 күн бұрын
Wanapeleka nguvu kubwa kwenye siasa wanasahau kazi zao
@ThomasGabriel-x1i
@ThomasGabriel-x1i 27 күн бұрын
Mnapambana na Wanachadema wasio kua na lisasi wa siraha yoyote Alafu wahalifu wezi wa milioni 11 Wana washinda ila ni aibu kubwa sana polisi Tanzania 🇹🇿 siwahi kuwaamini kabisa Nyie ndio mpka sasa hamjawahi kuwakamata watu wasio julikana
@andrewmaiga4331
@andrewmaiga4331 27 күн бұрын
Hongera sana commander, mnafanya kazi nzuri sana.
@luqmanhaji7537
@luqmanhaji7537 27 күн бұрын
Kazi mzuri kwa jeshi la polisi
@Oboss_billharvester
@Oboss_billharvester 28 күн бұрын
Hii Nchitamu kwelikweli, yaani police washindwa kudhibiti matukio kama haya !!!!,wanaweza kuhujumu Uhuru wa watu wasiokua na hatia!!!?, shame on you Tanzanian police, kwa staili Bora wezi waongezeke tena ikiwezekana wawaibie hata hizo bunduki., Nina hasira 😢
@Pascaltz
@Pascaltz 28 күн бұрын
Hahahah
@knight6757
@knight6757 28 күн бұрын
​@Pascaltz 😂
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 27 күн бұрын
Usalama wa Polisi Ni jambo Muhimu saana , kila mkoa Uwe na armored vehicles
@user-zu8ou2oe4c
@user-zu8ou2oe4c 21 күн бұрын
Mbona watekaji hamuwapati????? Au had atekwe mtoto wa masa ndo mtaonyesha umahiri
@user-lv7zy7mx9i
@user-lv7zy7mx9i 27 күн бұрын
Inanikera msemaji anaposita sana analogue toa taarifa
@demicratia4071
@demicratia4071 27 күн бұрын
HUYU polisi Apandishwe cheoooo
@user-cv7vm1mx9d
@user-cv7vm1mx9d 28 күн бұрын
Apigwe vizuri tu huyo aseme ameletwa na mwenyeji
@user-lc9zf6jw1r
@user-lc9zf6jw1r 28 күн бұрын
Mmh! Wezi wameanza tena!!!!!
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 27 күн бұрын
Mpigeni huyo mpakaataje wenzie. Mika25nimdogo ..basitu anarohombaya sana
@Pascaltz
@Pascaltz 28 күн бұрын
Hao walio ina watakuwa wametokea wapi inadhan ni watanxania ama wa nchi zangu
@jumarajab5316
@jumarajab5316 28 күн бұрын
marundi hayo
@jonaspatrick2871
@jonaspatrick2871 28 күн бұрын
Unahatarisha maisha yako kwa millioni 11?? kweli maisha magumu
@manfredherman2898
@manfredherman2898 27 күн бұрын
Wez mmewakuta na bado umeshindwa kuwakamata
@abbyadams8691
@abbyadams8691 27 күн бұрын
Hawa jamaa sijawahi kuwaamini,waongo sana.
@twaribujuma2860
@twaribujuma2860 28 күн бұрын
Amejeruhiwa badae inasdikika katoka geita so manneno hayaoani
@samsonsimon3138
@samsonsimon3138 28 күн бұрын
Hizo do kazi zenu sio kushika watu wasio na makosa cha kushagaza hamjaua hata mwizi mmoja hapo do utajua hamfanyi kazi bali kazi zenu nikuonea innocent people kuwateka nyara na kuzuia mikutano ya kisiasa wakti hii nchi ni ya democracy kma mnafanya hvi je nyakati za uchanguzi kutakuwa na uhuru wa vyama vya siasa katika kapeni
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
MrBeast
Рет қаралды 119 МЛН
When you discover a family secret
00:59
im_siowei
Рет қаралды 35 МЛН
TAJIRI WA MABUS  SUPER FEO ATOA SIRI YA KUWA BILIONEA
10:36
Wasafi Media
Рет қаралды 111 М.
DC AVAMIA HOTELINI AMKAMATA JAMAA NA MILIONI 11 BANDIA
5:44
Millard Ayo
Рет қаралды 770 М.
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
MrBeast
Рет қаралды 119 МЛН