BONI YAI wa CHADEMA ASOMEWA MASHTAKA 2 - KUSEMA UONGO KUHUSU MAFWELE na KIKOSI CHA MAUJI...

  Рет қаралды 844

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

BONI YAI wa CHADEMA ASOMEWA MASHTAKA 2 - KUSEMA UONGO KUHUSU MAFWELE na KIKOSI CHA MAUJI...
Meya mstaafu wa manispa a kinondoni Bonifqce Jacob amefikishwa mahakamani leo na kusomewa mashtaka yake mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi, Franco Kiswaga huku akitetewa na Jopo la Mawakili akiwemo Peter Kibatala na Hekima Mwasipu.
Katika kosa la kwanza linalomkabili Boniface Jacob linahusu kuchapisha taarifa za uongo mnamo tarehe 12 Septemba 2024, ambapo alidai kuwa Mafwele anatuhumiwa na familia nyingi kwa kupotea kwa wanafamilia wa hizo familia.
Katika Kosa la pili, inadaiwa lilitokea tarehe
14 Septemba 2024, na linahusiana na kuchapisha taarifa nyingine za uongo zinazosomeka 'Polisi wanatesa watu na kuua ndio kazi wanaweza.
💪💯JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV🔥🔥 chat.whatsapp....
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер
Поветкин заставил себя уважать!
01:00
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 4,6 МЛН
Worst flight ever
00:55
Adam W
Рет қаралды 7 МЛН
Brawl Stars Edit😈📕
00:15
Kan Andrey
Рет қаралды 46 МЛН
Фейковый воришка 😂
00:51
КАРЕНА МАКАРЕНА
Рет қаралды 7 МЛН
How to win a argument
9:28
ajaxkmr
Рет қаралды 549 М.
7 Signs That Someone Dislikes You and is Hiding it | STOIC PHILOSOPHY
27:50
Поветкин заставил себя уважать!
01:00
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 4,6 МЛН