BREAKING NEWS! USIKUBALI KUPITWA na HABARI ZA GLOBAL TV. JIUNGE na WhatsApp Group Now: chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ...
@abdallahkihanza482 Жыл бұрын
Hongera sana mzee mwenzangu kuwa muwazi, ukwelidio huo wabunge walio wengi wapo pale bila ridhaa ya wananchi, wengine hawana chama
@HeavyrainKuresoi-ke9df Жыл бұрын
Mzee uko safi sana serikali imeshindwa kujiaminisha kwa vitendo kwa wananchi inatumia nguvu na dola kuwalazimisha watu kukubali kuiamini serikali,
@donathtarimo7221 Жыл бұрын
Rev. Dr Kitima & Senior citizen Jenerali Ulimwengu should be recognised as Honorary Professors.
@andersonchongoma1723 Жыл бұрын
Vijana hawamjui huyu Mzee alIteuliwa kuwa mkuu wa wilaya huko singida akagoma...so siyo mtu ambaye ni EASYGOING ....
@charlesphilipo3533 Жыл бұрын
Msiye mjua huyu kaeni pembeni ,,,tafuta historia yake miaka 40 iliyopita utajua ninaloongea,,,,Thanx
@jacksonmtese9313 Жыл бұрын
Mbona ushauri wa namna bora ya ubinafsishaji pia ilitolewa na mahatir mohamed pm wa malaysia.kama usemavyo jenerali na kikwete anajua.yafanyiwe kazi.
@abdallahkihanza482 Жыл бұрын
Bunge dhaifu na Kibogoyo
@leahmgunda4154 Жыл бұрын
Hili suala la kuingia bungeni bila ridhaa ya wapiga kura siyo sifa, ni aibu ya daima. Naona wanakumbushwa kuwa waliiba,hawakuchaguliwa Kama ni kweli wanajiskiaje?
@kassimjigge4727 Жыл бұрын
Ni haki kutoa maoni kwa jambo lolote lakini nionavyo Mimi porojo zimekuwa utaratibu wa maisha ya watanzania! Maneno tuuu !!! Huu ni udhaifu mkubwa tufikirie mbinu mbadala badala ya hii butu
@issakwisamwasanjobe541 Жыл бұрын
Kama viongozi wetu WA serikali wanashindwa kusimamia na kuendeleza wtz kuendesha rasimali na mashirika ya umma wanawapa wawekezaji je Kodi za serikali wataweza kusimamia na kutumia ipasavyo?
@Focusm-se2sd Жыл бұрын
Wabunge hawajitambui kabisa maana hata hao wabunge hawajui wajibu wao juu ya kuwajibika juu ya waliyo wachagua
@kassimualli1755 Жыл бұрын
Tatizo wengi wanaiba kupitia bandari ndo wanapinga uwekezaji wanajua ulaji utakwisha
@nicholauschemka7426 Жыл бұрын
Kwa hiyo ni bora uibiwe na dp world kuliko Mtanzania mwenzako? haupingwi uwekezaji Bali mkataba una ukakasi Sana yaani(ambitious) mf kwenye scope
@gosbertmuta5421 Жыл бұрын
We nae umeamka umepga puchu zako sasa akiliyote umeiacha chooni
@nicholauschemka7426 Жыл бұрын
Kumbe tunajadiliana na mtu anayewaza kupiga puchu muda wote, kichaa sio lazima umkute road nw days nao Wana smart phone
@gosbertmuta5421 Жыл бұрын
@@nicholauschemka7426 🤣
@asteriashios1852 Жыл бұрын
shida iko hivi wabunge wa bunge la tanzania hawajui kilichowapeleka bungeni cha kwanza ndicho hicho 1hawawajali watanzania wanachokitaa 2hawafati katiba ya kuilinda nchi yao 3hawalindi mali za tanzania 4 wanajali matumbo yao tuu ama kweli hizo ni mbaka waulinzeni watu mbaka nini?
@DottoTaratashi-nu3er Жыл бұрын
Ok
@BernardMichaelMpombo Жыл бұрын
We unayesema alikufanyika kwakificho hakiliyako mavi mikatabamingapi nchihi inayo nabado shida ospitalini akueleweki ovyo tukubalitu
@rosemayunga4021 Жыл бұрын
Waisilamu mnaosema tec msikilizeni huyu mzee na tec inadai hayo si nyie vipofu
@rastheunique1632 Жыл бұрын
Baba angu wewe ni hazina , nilijua baada ya Nyerere hakuna hekima iliyobaki!!
@petersilas4234 Жыл бұрын
Tuhakikishe Hawa wawekezaji wakija hapa wajisajili kwenye stock market ya kwetu tununue shares. Pia hao viongozi wao wale na kujenga hapa. Na huyu Mzee apumzishwe kwa lazima,
@isackakyoo6446 Жыл бұрын
Wanasiasa mnaumwa na Ukosefu wa 1 .Uzalendo ndiyo maana kila mnachoongea ni kudanganya 2.Uaminifu zero, ndiyo maana kutokana na upigaji kila kona watu wanaona ni ule upigaji unakuja kijanja hata kama kuna manufaa kwa Taifa. 3.Kupuuzia maoni ya Wananchi, mnakuja na Agenda zenu mkiwa tayari mna majibu hivyo hamtaki ushauri sipokuwa mnatulaghai kuleta kujadiliwa alafu mnapitisha mlivyoplan toka mwanzo . KAMA SIVYO, BASI 1.Tuingie mkataba na Rostam, Bagharesa, Mengi, na matajiri mengine waliopo katika uendeshaji Bandari ili iwe rahisi kunuika Kitaifa na Watu wetu 2.Bunge lisimame upande wa wananchi ili litoe ufafanuzi kwa mambo magumu ya Kitaifa. 3.Watu hawaliamini Bunge na SERIKALI na hii nikutokana na kutojali Wananchi ,hivyo jengeni uhalali kwa Wanannchi kwa kuwa wawazi kwenye mambo muhimu ya kitaifa
@georgeobute724 Жыл бұрын
Lakini hawa wabunge nivipofu je mikataba ya Richmondi wamesaahu je ytafanyaje mikataba na mtu asiyejulikana na serikali kwanini waarabu waliofanya nchi itegeneze muungano waje kinyemera kutwaa Tanzamia naona kuna watu wamibia Tanzania sasa wanaingia ubia wak7ibia nchi kumbuka reli ilivyo ibiza na mwikezaji aliyepewa pesa na banke akakimbia mpaka sasa watu waliokuwa wameajiliwa walifukuzwa kazi
@sumayasumaya6455 Жыл бұрын
Akili kubwa saaaana
@PatrickNyaulingo-eu3ot Жыл бұрын
Kamanda tunashukuru wewe Kama mzee kutoka hadharani na kuelezea Uma wa watazania juu ya athari ya ubinafusishaji wa bandari zettu
@mzadomwongozo3671 Жыл бұрын
"Do politics or politics will do you" 🙏
@BernardMichaelMpombo Жыл бұрын
Mze bunge takataka kifupi
@daudigabriel700 Жыл бұрын
Kwahiyo mtu asipofanya siasa hawezi kuishi?
@bertothegentleman2623 Жыл бұрын
Hutaishi bali utaishi ishi tu
@gosbertmuta5421 Жыл бұрын
Me mwenyewe celewi
@chombochema7498 Жыл бұрын
Unaishi lakini hujui uhalali wa maisha yako. Unakuwa kipofu kuhusu maisha.
@abdulrahmanally1412 Жыл бұрын
Acheni upumbavu, kama angekuwa Mmarekani, UK, Germany mngekaa kimya, nyuma ya pazia ni udini unawasumbua
@gosbertmuta5421 Жыл бұрын
Piga nyeto ulale hakuna hapa mwarabu na udini wake
@thewiseoptions6208 Жыл бұрын
Wenzio wanajadili vipengele vya mkataba we akili yako inawaza udini tu.
@gosbertmuta5421 Жыл бұрын
Nampendaga bure huyu mzee,,,,,ila inapokuja swala la ukwelinauzalendo mbona mnakimbiaga mfano; nyie mngeitsha maandamano tu na hapo ndo tungeuona uzalendo na ingezuia wakat mwngne rais atakaekuja asituchezee akili tena
@augustinejohnnyakatoma8591 Жыл бұрын
Napendekeza kuwa ukusanye makala zako zote kwenye kitabu kimoja kwa ajili ya vizazi vya Sasa na vile vijavyo pia. Utakuwa umetendea haki kuishi kwako hapa duniani na. Hekima zako hazitakufa hata baada ya wewe kutokuwepo
@augustinejohnnyakatoma8591 Жыл бұрын
Hii Ni akili kubwa Sana isiyoposwa kupotea bure
@jacobsevetu8622 Жыл бұрын
Kwahiyo bunge lilifanya kazi gani Hawa wangesimama badala ya bunge
@birianination7097 Жыл бұрын
Ulitaka wafanyaje
@charlesmwambinga4355 Жыл бұрын
@@birianination7097 jibu hoja boss wapi wana hoja zenye tija kwaTaifa.
@MakameAbdallah-wn3hc Жыл бұрын
Hili halikufanywa kwa kificho ndio maana limepelekwa bungeni lijadiliwe na hilo jambo limefanyika. Huko nyuma hakujawahi kupelekwa mkataba wa aina hiyo bungeni. Sikubaliani na tamko kuwa vyombo vya habari vina haki ya kufanya vile wanavyoona ni sawa. Kama kuna watu mabazazi,malaghai nadhani Jenerali unaongoza
@mickeysunday4174 Жыл бұрын
Nenda ukabinafsishe bandari ya Zanzibar
@isackakyoo6446 Жыл бұрын
Kumbe
@renatusmatungwa2508 Жыл бұрын
Acha upuuzi we mla mlojo
@mkude Жыл бұрын
Mama Samia kutoa uhuru,ndo changamoto zake hizo,watu wanaonesha wengine wanaccoment utumbo ubaguzi,
@MakameAbdallah-wn3hc Жыл бұрын
@@renatusmatungwa2508 Ni heri sana kwangu kula urojo kuliko nguruwe