🔴

  Рет қаралды 28,241

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

🔴#Live: RAIS SAMIA AMUAPISHA KIKWETE - SILAA NA VIONGOZI WENGINE ALIOWATEUA... | IKULU
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 46
@globaltv_online
@globaltv_online Ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@nenenongi66
@nenenongi66 Ай бұрын
Hivyo viapo mnavyoapa na kuhusisha Mungu,kushika vitabu vitakatifu,nikumaanisha mnaweka agano na Mungu,pale mnapojua mmekiuka hicho kiapo nivizuri kukiri kosa na kutubu nakuachia wengine wafanye kazi,amini cheo ni dhamana.Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿
@user-cq3tm9dn2t
@user-cq3tm9dn2t Ай бұрын
Big up Mh Dr Samia kwa kuchagua watu making na wapya kwenye baraza la mawaziri.
@user-cq3tm9dn2t
@user-cq3tm9dn2t Ай бұрын
Vetting inafanyakazi, Mh Dr Samia kuibua watu wapya kama Mh Denis Londo. Huyu ni mchapakazi kweli kweli tunashuhudia kule Jimboni wake Mikumi
@amneahmed9791
@amneahmed9791 Ай бұрын
Hongera Mheshimiwa Jerry Slaa ila bado tulikuwa tunakuhitaji Wizara ya ardhi.
@user-hs7vq1jo2q
@user-hs7vq1jo2q Ай бұрын
Kila nikuonapo jerr moyo wangu ufurai sana kaka Mungu akutunze na mbinguni akuwekee kitichako
@StivinWambuto-zy5ft
@StivinWambuto-zy5ft Ай бұрын
MUNGU azidi kukulinda sana na kukutunza mama yetu na rais wetu na zaidi sana Mungu akupe hekima ktk kazi zako nzito za kuliongoza taifa letu, kazi yako ni kubwa sana mama yetu, kuongoza watu zaidi milioni 60, inamwitaji MUNGU.
@julianapeason6254
@julianapeason6254 Ай бұрын
Hongera Jerry, discipline is everything . Unawakilisha Moshi yetu vizuri. Congrats
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Ай бұрын
Punguza ukanda,,,
@farajaMezza-qn4be
@farajaMezza-qn4be Ай бұрын
Acha ukabila wewe
@julianapeason6254
@julianapeason6254 Ай бұрын
@@farajaMezza-qn4be sawa nimeacha, basi huyu ni mtanzania
@julianapeason6254
@julianapeason6254 Ай бұрын
@@jumakapilima7295 😏😏😏😏😏
@julianapeason6254
@julianapeason6254 Ай бұрын
@@jumakapilima7295 😏😏😏😏😏
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Ай бұрын
The country with sixty million people but always,the same faces, the same names in leadership,,,,,,,, how should we expect changes?
@AfricaQueen
@AfricaQueen Ай бұрын
🤝🤝🤝🤝
@gmaemba22
@gmaemba22 Ай бұрын
@@AfricaQueenjiulize sasa wahuni ndio wanapewa kulinda nchi na wanaandaliwa Kua maraisi wajao hii nchi tunachezewa sana
@AfricaQueen
@AfricaQueen Ай бұрын
@@gmaemba22 💯💯💯💯🤝😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭wanamwisho wao tutaamka Africa kila kona asante mkenya kutufungua macho😭😭😭
@user-hs7vq1jo2q
@user-hs7vq1jo2q Ай бұрын
Ilove my kaka jerr
@user-sy4ku4xm7q
@user-sy4ku4xm7q Ай бұрын
Hivi vitabu vya neno la Mungu mnavyotumia kutoa viapo kwa mtazamo wangu yani msingeruhusiwa kuvitumia,mngekuwa mnatumia hata katiba tu inatosha. Ila hapo mnajitafutia laana tu na ndomana hamuwi waadilifu hata kidogo,Mungu anangalia mioyo sio maneno mnayotoa
@user-wp8yk6ow8h
@user-wp8yk6ow8h Ай бұрын
Asante sana mama maneno kuntu wamekuelewa kwa wenye kuelewa mwenyezimungu akulinde na uzidi kuiongoza nchi kwa ufanisi❤❤❤
@MagdalenaMazinge
@MagdalenaMazinge Ай бұрын
Mungu awatangulie
@suleimanbalemba3348
@suleimanbalemba3348 Ай бұрын
Hizo Siri ni Siri Gani au serikali na yenyewe ni freemason
@RBMBAKARI-bv6wn
@RBMBAKARI-bv6wn Ай бұрын
Tunataka mawaziri wetiifu kwa mama ili inchi isonge mbele na wachapakaxi kama Hawa slaa Jerry na ridhwan wanaweza sana
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 Ай бұрын
ukafanye kaz nzuri kama ya silaa bila kupepesa macho hasa wanyonge kwenye hiyo wizara yako ya Ardhi
@nenenongi66
@nenenongi66 Ай бұрын
Naheshimu mabadiliko aliyofanya Rais kwa kubadilisha nafasi za mawaziri,lakini naomba kama itawezekana huyu Jerry Slaa😭😭natamani angebaki wizara ya ardhi,hata miaka miwili.ili tufike pale tunapotaka kufika.
@abdallahally842
@abdallahally842 Ай бұрын
Mkuu wa mkoa dsm umemsikia mabosi wako waliokuweka ni wananchi sasa endelea na dharau na kiburi na kudhihaki wananchi ambao ni mabosi kwako kua makini ukijichanganya usilaumu watu jilaumu ujeuri wako
@eugenemtaza201
@eugenemtaza201 Ай бұрын
Jerry alikua ana fanya vizuri ardhi sasa una mtoa tena .
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Ай бұрын
Kikokotoo bado ni tatizo,,,,
@tinershayo6191
@tinershayo6191 Ай бұрын
Mama mrudishe Jerry pale kwenye kile kitongo cha Ardhi umekosea sana mama
@Unclerammaschannel
@Unclerammaschannel Ай бұрын
Mkisha apiswa mwende mka ibe kama kawa
@gmaemba22
@gmaemba22 Ай бұрын
Hivi hawa watu wanaoapa kweli wanajua maana ya kuapa Na huyu Ridhione kweli anewapita ujuzi wote akachaguliwa kwa vigezo au ndio ndio Asante kikwete hii?
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 Ай бұрын
Sio balaza ni baraza 😮
@suleimanbalemba3348
@suleimanbalemba3348 Ай бұрын
Leo ndo nimeona vzr kumbe hivi ni vitabu vitakatifu mm nilikuwa najua ni katiba Leo baada ya kuona ridhiwani kashika Quran ndo nikakodoa vzr pale silaa kumbe bible sio katiba dah miaka 60 ya uhuru ndo macho yanafunguliwa kumbe ni kiapo kigumu hivo dah!!
@user-ch3ku3yx2z
@user-ch3ku3yx2z Ай бұрын
Tujitaidi kuwa waaminifu mama anaweza sema tunamyumbisha
@MAPETEE
@MAPETEE Ай бұрын
Kwanini uka muondosha doktar silaa
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Ай бұрын
Huyo sio doctor
@KaburuKimath-eu5nf
@KaburuKimath-eu5nf Ай бұрын
Bado wizara ya pesa mama yetu huku mtaani pesa haionekani tra wanasumbia hizi gari mpya za tra ni usumbufu na Zina t n Ted yaani hata hawaonekani.
@user-sj9ob8vb3s
@user-sj9ob8vb3s Ай бұрын
Sraa mung akuongoze uwe yure yure mtetez wa haki siku zote
@dinocastico8495
@dinocastico8495 Ай бұрын
Huyu jerry slaa ile wizara ya ardhi aliitendea haki sana kama ningeweza kumshauri rais ningemshauri amuache pale pale.
@abdulomari4932
@abdulomari4932 Ай бұрын
Mnaapa kwa vitabu,kisha mnakiuka viapo,ndo mambo yanapobadilika
@kelvinimasagasi7398
@kelvinimasagasi7398 Ай бұрын
Silaha angebaki kwenye nafasi yake ileile natoa ushauli nawapata nikiwa maputo
@Unclerammaschannel
@Unclerammaschannel Ай бұрын
Wizi mtupuu!!!!
@FransisLaurenti
@FransisLaurenti Ай бұрын
Uyo jama wa pesa mama e
@tinershayo6191
@tinershayo6191 Ай бұрын
Kikwete hatumtaki
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 Ай бұрын
Nape by by kwa sasa anaangalia tuu kwenye luninga wenzie
PART 1: MZEE MAKAMBA AMVUNJA MBAVU KIKWETE HADI MACHOZI YAMEMTOKA...
20:48
MASANJA MKANDAMIZAJI ATAPELIWA NA WEZI WA MITANDAO.... Wampa ujumbe wa kwenda kanisani KWAKE
11:04
WILL IT BURST?
00:31
Natan por Aí
Рет қаралды 41 МЛН
Throwing Swords From My Blue Cybertruck
00:32
Mini Katana
Рет қаралды 11 МЛН
МЕБЕЛЬ ВЫДАСТ СОТРУДНИКАМ ПОЛИЦИИ ТАБЕЛЬНУЮ МЕБЕЛЬ
00:20
MAMBO MANNE YA KUFANYA KUPONYA MAJERAHA YA MOYO - Innocent Morris
1:07:47
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 4 М.
WILL IT BURST?
00:31
Natan por Aí
Рет қаралды 41 МЛН