RAIS SAMIA AMUAMBIA SILAA KUHUSU MKURUGENZI ALIYEMTUMBUA -''TAKUTAFUTIA MWINGINE -FAGIO LIMEMKUMBA''

  Рет қаралды 12,671

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

RAIS SAMIA AMUAMBIA SILAA KUHUSU MKURUGENZI ALIYEMTUMBUA -''TAKUTAFUTIA MWINGINE -FAGIO LIMEMKUMBA''
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 27
@winifridabyesigwoa741
@winifridabyesigwoa741 Ай бұрын
Tuna kuombea waziri Jelys slaa Mungu akutangulie kwa kila jukkumu.
@shariffsagaf2305
@shariffsagaf2305 Ай бұрын
Nimesikitishwa sana silaa kuacha ngazi ardhi.mheshimiwa silaa ndio alikuwa msema ukweli pekee.namuombea mungu usiku na mchana mheshimiwa silaa
@winifridabyesigwoa741
@winifridabyesigwoa741 Ай бұрын
Hongera j slaa mungu akulinde
@judithtitomalyeta4000
@judithtitomalyeta4000 Ай бұрын
Silaha ataweza
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 Ай бұрын
Usnge muhamisha silaa 😢😢 daah ardhi nchi hii ni pasua kichwa
@kamazima11
@kamazima11 Ай бұрын
Daah kiukweli sijui mama anatumia vigezo gani kubadilisha mawazili ila kiukweli Slaa Wizara ya Ardhi alikuwa anaitendea Haki
@marcelinamiku8798
@marcelinamiku8798 Ай бұрын
Kwa kweli Jerry Slaa kutoka wizara ya Ardhi tumeumia sana kkoo bado kuna mapambano angali watu wana haki. Ulijua kaka kumaliza migogoro haraka kwa kutumia nyaraka. Ubarikiwe sana bado tunakuombea sana
@Fhfhfhfhf78
@Fhfhfhfhf78 Ай бұрын
Kwanini mmemwamisha SILAA😭😭
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 Ай бұрын
Mh Ndejembe Mungu wtu akusimamie na kukupa hekma ktk majukumu yako haya ya ardhi..naamini ww utafanya vizuri maadam Mungu awe mtangulizi wako Mh
@PaskalPius
@PaskalPius Ай бұрын
Uongozi imara hongera mama
@Peterchila-un2lx
@Peterchila-un2lx Ай бұрын
Hongera body gudi kwa kupandishwa cheo kua brigadia generaliii
@robertphilip385
@robertphilip385 Ай бұрын
Huyo ni mwambata wakijeshi bod gudi ni wele wanaovaa suti acha ushamba
@taflamohsin2195
@taflamohsin2195 Ай бұрын
Mama kwanini umemuhamisha Silaa😢
@MsAggie5
@MsAggie5 Ай бұрын
Labda kamgusa mahali pake 🤷🤷
@MuhammadHassan-xp6dc
@MuhammadHassan-xp6dc Ай бұрын
mama kwa nini wamuamisha silaha jamani
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 Ай бұрын
Anakuja kunyoosha vizuri sekta ya habari nabmichezo
@joycekisamo4896
@joycekisamo4896 Ай бұрын
Hakuna michezo siku hizi
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 Ай бұрын
@@joycekisamo4896 na afatilie kuhusu bando maana tunapigwa sana
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 Ай бұрын
Mh Jery wewe mwanasheria. Katusaidie pia mabamdo na vifurushi vinavyotaifishwa kabla ya kwisha hiyo ni super profits.
@user-cu6ol4zb8e
@user-cu6ol4zb8e Ай бұрын
😢😢 slaa
@Niika870
@Niika870 Ай бұрын
Sasa Mama kwa Nini umetuondolea Hyu Ndugu Yetu Ardhi? Basi tuwekee Makonda Ardhi
@robertphilip385
@robertphilip385 Ай бұрын
Hi inchi Ina watu wajinga kweli hivi wewe niwa wapi unafahamu katiba kwl teuzi za mawaziri zinatokana na mtu ambae ni mbunge Sasa makonda ni mbunge wa Jimbo Gani? Watu kama wewe ndo mnapendwa na ccm Kwasababu hujui hata kesho Yako fara wewe
@joycekisamo4896
@joycekisamo4896 Ай бұрын
Ardhi inahitaji wabunge wenye ubongo
@robertphilip385
@robertphilip385 Ай бұрын
@@joycekisamo4896 wabunge wenye uzalendo niwachache
@abuali-cf6cn
@abuali-cf6cn Ай бұрын
Swali ni hili Maswala ya Ardhi kesi ambazo zilisubiri maamuzi ya mwisho slaa akumalizia takeiban nchi nzima , mara afisa Ardhi mpya hapa Muendelezo unaanza upya hapa Waziri afanye kazi maama makamishna wengi wao si wakweli, Wizara Ardhi sijui kuna nini huko.MUNGU tusimamie
@robertphilip385
@robertphilip385 Ай бұрын
Ccm inaongoza hi inchi kisanii inaelekea slaa kagusa maslahi ya wakuu
@ShaqharMagram
@ShaqharMagram Ай бұрын
Silaa angebaki mama
Just Give me my Money!
00:18
GL Show Russian
Рет қаралды 1 МЛН
Cute kitty gadgets 💛
00:24
TheSoul Music Family
Рет қаралды 21 МЛН
SIMANZI NA MAJOZNI KHUTBA YA BABU DUNI
15:30
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 26 М.
Live: Putin delivers keynote speech at Eastern Economic Forum
3:54:06
The Independent
Рет қаралды 4,5 М.