SAMATTA AFUNGUA NJIA, MCHEZAJI MWINGINE MTANZANIA APATA SHAVU ULAYA

  Рет қаралды 28,355

Global TV  Online

Global TV Online

4 жыл бұрын

SAMATTA AFUNGUA NJIA, MCHEZAJI MWINGINE MTANZANIA APATA SHAVU ULAYA
Mchezaji chipukizi kutoka kituo cha michezo Azam, Teps Evans amepata bahati ya kucheza soka la kulipwa Ulaya nchini Ufaransa katika klabu ya Nantes.
GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982)
( +255 676 229628)
HABARI MPYA DAILY:
kzbin.info?list...
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
kzbin.info?list...
GLOBAL RADIO TV:
kzbin.info?list...
EXCLUSIVE INTERVIEW:
kzbin.info?li

Пікірлер: 20
@msabahamalonda2249
@msabahamalonda2249 4 жыл бұрын
Safi kabisa Mungu awabariki sana kwa jinsi mnavyojitoa kuinua mpira wetu na kuweka azina adhimu ya Timu ya Taifa.
@adammakoye4198
@adammakoye4198 4 жыл бұрын
Watanzania sisi tunapendana sana na tena ni Wazalendo sema mavingozi wachache mafisadi ndo wanaotuangusha ww cheki watanzania wote sasa hivi ni mashabiki wa Aston villa kisa Samanta tu
@worldtechnology492
@worldtechnology492 4 жыл бұрын
Nan fisadi
@amirymgaya6572
@amirymgaya6572 4 жыл бұрын
Pambana ufike mbali zaid
@aristedisaristedis4046
@aristedisaristedis4046 4 жыл бұрын
Adam Makoye Halafu wanajidai kusifia kinafiki mazao ambayo hawakupanda
@nasrasalehe8192
@nasrasalehe8192 4 жыл бұрын
@@amirymgaya6572 ¹¹
@fredernestonline6011
@fredernestonline6011 4 жыл бұрын
Kweli asee
@baranmohamedmbashir5299
@baranmohamedmbashir5299 4 жыл бұрын
Mungu wape afya njema inshallah amuazeshe
@yusufuhalfanseti7118
@yusufuhalfanseti7118 4 жыл бұрын
Mungu hakujalie
@msafiriiddy3135
@msafiriiddy3135 4 жыл бұрын
hivyo ndivyo inavyo takiwa aileti maana nchi kubwa na maarufu Africa kuzidiwa na vinchi vidogo tunavyo vishinda kwa kila kitu kama Ghana,,Senegali ,,Uganda ,,nakadhalika
@DJIMad-oq3or
@DJIMad-oq3or 4 жыл бұрын
Mungu akutangulie
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 4 жыл бұрын
dunia ya zamani hiyo ndg
@joelcassian2388
@joelcassian2388 4 жыл бұрын
Amekunywa chai kweli uyo
@tatalyzer382
@tatalyzer382 4 жыл бұрын
Sio AZAMU sema Azam
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 4 жыл бұрын
kabs hayo ndo masoko ya kuyachukuwa; czech, serbia, latvia..ufaransa ikibidi na bila kusahau baba lao amepafanya kuonekane nyumbani UBELGIJI!
@benardsenguji8254
@benardsenguji8254 4 жыл бұрын
Kwani amesajiliwa au anaenda kufanya majaribio?
@kopobeatz6205
@kopobeatz6205 4 жыл бұрын
Benard Senguji swali zuri sana
@brayancharless8127
@brayancharless8127 4 жыл бұрын
Ndo mambo tunayoyataka sisi watanza
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 61 МЛН
КОМПОТ В СОЛО
00:16
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 29 МЛН
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 76 МЛН
PART 1: UTASHANGAZWA NA UWEKEZAJI HUU/ NG'OMBE ANAUZWA MILIONI 30
31:59
Mapping the Trump Shooting
6:12
fern
Рет қаралды 14 МЛН
When Eden Hazard was the Best Player in the World ! 2018
12:50
RDC Productions
Рет қаралды 1 МЛН
The Amazing MYSTERIES of CATS in Islam
13:33
Virtuous Islam
Рет қаралды 371 М.
Gavi VS Neymar VS Arda VS Marchisio VS Sule VS Ronaldo Nutmeg Challenge😱
0:27
10. Juli 2024
0:31
Slow_Mann‘EDITS
Рет қаралды 4,8 МЛН
Master the hip throw with the dopa band!
0:15
DopamineO
Рет қаралды 512 М.
Самые спортивные страны #сша #ссср #китай
0:52
Послезавтра
Рет қаралды 935 М.