IMAMU MWENYE RANGE ALIPOKUTWA DALALI AMEFARIKI AFUNGUKA - MAZIKO YAKE YAKUSANYA UMATI wa WATU...

  Рет қаралды 15,676

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 25
@globaltv_online
@globaltv_online 26 күн бұрын
MPIGIE DR.JJ.MWAKA SASA KUPITIA 0758 100 100 na 0785 100 100 UPATE MSAADA WA KITABIBU KWA GHARAMA NAFUU.
@ubuntubantu2404
@ubuntubantu2404 26 күн бұрын
Aisee kweli alikuwa mtu mwema, kila mtu kamzungumzia vyema. Mungu ampe pumziko la milele ndugu Seifu
@mariamkibindo1741
@mariamkibindo1741 26 күн бұрын
Innalilah waina ilah rajiun . Allah amjaalie kaul thabit Amin Amin
@ShemsaKiobya-x8h
@ShemsaKiobya-x8h 26 күн бұрын
Allah amfanyie wepesi katika kaburi lake
@chalemofaraji8797
@chalemofaraji8797 24 күн бұрын
Innalillalah wainailah rajuon
@ummySheikh72
@ummySheikh72 26 күн бұрын
Gabi hanaga maswali yalio enda shule mara nyingi!
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 26 күн бұрын
Duuuh Apumzike kwa Amani,poleni wafiwa wote. yawezekana aliingia ndani akajifungia akijua anapumzika bila kufungua vioo akakose hewa.
@jonathanfrancis2385
@jonathanfrancis2385 13 күн бұрын
Watizame carbon monoxide kwenye gari kama inahitilifu
@AllyMadenge-u6o
@AllyMadenge-u6o 21 күн бұрын
Mtu akifa ndio mnasema alikuwa mwema wakati hajafa hamsemi pumbavu zenyu
@MariamNdossy
@MariamNdossy 26 күн бұрын
Innalillah wainnaillah rajiun
@tatuaamuuinyi9633
@tatuaamuuinyi9633 25 күн бұрын
Maswali ya uchochezi
@CosmasErnest-i3t
@CosmasErnest-i3t 26 күн бұрын
Km ulimpa funguo ungeanz kweny gr jmn uskute alikuwa mzima Hy j3
@OmegaJustine
@OmegaJustine 26 күн бұрын
Ndiyoooo
@jokhaali5893
@jokhaali5893 26 күн бұрын
Wewe muandishi unamaswali ya kipuuzi sana. Kwani hujuwi kuwa mauti ni kama MGENI unafika saa yeyote ikifika saa yako, pia Uelewe kuwa M. MUNGU anatisha tumuogope sana sana انا لله وانا إليه راجعون
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 26 күн бұрын
Nyie mnasema dalali,wengine wanasema ni muosha magari
@bintmrisho3526
@bintmrisho3526 26 күн бұрын
Dada mtu utakua na kazi moja ndugu anaweza akawa dalali lakin pia akawa anaosha magari
@tatuaamuuinyi9633
@tatuaamuuinyi9633 25 күн бұрын
Mtangazaji anamaswali ya kijinga
@UmmyBeauty
@UmmyBeauty 26 күн бұрын
Mjinga mwandishi gali sio gari?? Watanzania vp
@mariamelia8688
@mariamelia8688 26 күн бұрын
We ndo umesaahisha au??
@mariamelia8688
@mariamelia8688 26 күн бұрын
😂😂😂
@salmamlokela1987
@salmamlokela1987 26 күн бұрын
Chefuuu we ndo zamwamwa kabisa eti gali ovyooo😢
@salmamlokela1987
@salmamlokela1987 26 күн бұрын
​@@mariamelia8688aya ni maajabu😂😂😂
@glorysungura3180
@glorysungura3180 26 күн бұрын
​@@salmamlokela1987hata shule hajasoma huyo. Kiswahili kigumu kwa watu. Eti gali? Nimecheka sana. Inatwa GARI sio GALI.
@MariamNdossy
@MariamNdossy 26 күн бұрын
Innalillah wainnaillah rajiun
What's in the clown's bag? #clown #angel #bunnypolice
00:19
超人夫妇
Рет қаралды 25 МЛН
How to whistle ?? 😱😱
00:31
Tibo InShape
Рет қаралды 17 МЛН
Kachara haibiwi
24:19
Kachara Media
Рет қаралды 189 М.
Hezbollah attacks: 160 missiles launched into Israel | LiveNOW from FOX
14:55
Ong Bak | Fight Club Scene
15:05
Cinewatch
Рет қаралды 75 МЛН
What's in the clown's bag? #clown #angel #bunnypolice
00:19
超人夫妇
Рет қаралды 25 МЛН