Рет қаралды 329
Bodi ya Wakurugenzi ya BoT ikiongozwa na Mwenyekiti wake ambaye pia ni Gavana wa BoT, Bw. Emmanuel Tutuba, imefanya ziara Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania(TPA) na Shirika la Reli Tanzania(TRC) kujionea uendeshwaji wa shughuli za kiuchumi na uwekezaji uliofanywa na Serikali katika sekta ya usarifishaji.