MJUE TUTUBA, GAVANA MPYA wa BENKI KUU ya TANZANIA - NI NANI? MAJUKUMU YAKE? WATANGULIZI WAKE?...

  Рет қаралды 21,680

Global TV  Online

Global TV Online

Жыл бұрын

MJUE TUTUBA, GAVANA MPYA WA BOT - NI NANI? MAJUKUMU YAKE? WATANGULIZI WAKE?...
Januari 7, 2023, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan alimteua Emmanuel Mpawe Tutuba kuwa Gavana Mpya wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Tutuba amechukua nafasi ya Profesa Florens Luoga ambaye muda wake wa utumishi umefikia kikomo.
Uteuzi wa Tutuba unakuja katika wiki ambayo kumekuwa na teuzi nyingi huku wengine wakipanda vyeo na wengine wakitoka vichwa chini kwa kutupwa nje ya mfumo wa uongozi wa Serikali.
Kabla ya kibarua chake hicho kipya, Tutuba alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango.
Ni rasmi sasa kwamba Tutuba ni Gavana wa Nane wa Benki Kuu ya Tanzania tangu kuanzishwa kwa benki hiyo iliyoanzishwa mwaka 1966.
Kabla ya Gavana Tutuba, Benki Kuu ya Tanzania (BOT) imekuwa na Magavana saba na Manaibu Magavana wapatao 11.
Mbali na Gavana Tutuba, wengine waliotumikia nafasi hiyo ya Ugavana wa BOT ni Beno Ndulu (2008-2018), Daudi Balali (1998-2008), Idris Rashid (1993-1998), Gilman Rutihinda (1989-1993), Charles Nyirabu (1974-1989) na Edwin Mtei (1966 -1974).
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 19
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉
@richardsoka2400
@richardsoka2400 Жыл бұрын
First and foremost Governor Tutuba is polite, humble, hardworking, dutiful, laborious, and going by his history or rather background, is a man of clean record!! Lots of Congrats Mr Tutuba, stand on your feet as usual, fearing God the Creator, many more blessings to follow cum admirable longevity.
@richardlupeja8153
@richardlupeja8153 Жыл бұрын
Hongera sana School mate, Kilosa Agr. Sec School, MUNGU akubariki sana na akuongoze vema katika majukumu yako mapya.
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 Жыл бұрын
Hongera Gov. Luoga Mungu wetu na akusimamie na akujalie upendo ushirikiano na Hekma ktk kulijenga taifa letu
@rashdiyange7758
@rashdiyange7758 Жыл бұрын
kwa uyu .mama takusaidia sana tutuba yupo vizr vizrr sanaa tena sanaaaaaa🤗🤗🤗🤗
@modestshikilana4610
@modestshikilana4610 Жыл бұрын
Hongera sana zehe
@rahmahersi6584
@rahmahersi6584 Жыл бұрын
All the best Dr. Tutuba...
@Tango696
@Tango696 Жыл бұрын
Hongera sana mkuu.naamin uwezo wako ni mkubwa
@nickjuma3937
@nickjuma3937 Жыл бұрын
Prof Luoga hajawahi kufanya kazi TRA hapo umechemsha! aliye kuwa TRA ni Predius Luoga ambaye alitokea IFM alikuwa Mhadhiri alistaafu na baadae alifariki!! na wala hawana uhusiano wowote bali ni majina tu Kwa sababu wote ni watu kutoka Songea!! weken I records vizuri kabla ya kujitangazia!
@audaxbizimana8084
@audaxbizimana8084 Жыл бұрын
Hongera Sana Dr Tutuba
@devidmoshi4232
@devidmoshi4232 Жыл бұрын
Hongera kazi njema
@hildamabwe8499
@hildamabwe8499 Жыл бұрын
Hongera Sana
@geofreykaholwe2499
@geofreykaholwe2499 Жыл бұрын
96-94?
@jumamakuri9176
@jumamakuri9176 Жыл бұрын
Mungu ampe nguvu atekeleze majukumu yake kwa haki
@deogratiusdonald5123
@deogratiusdonald5123 Жыл бұрын
Kila lakheri gavana mpya naomba mkopo. Mheshimiwa hali mbaya sana. Mkuu.
@mndambokilavo2502
@mndambokilavo2502 Жыл бұрын
Kama tra wangetumia mtandao wa simu kuuza na kununua wangepunguza matumizi ya pesa za noti na sarafu wangekusanya pesa nyingi na wangewafunya walipa kodi walipe pesa kidogo ambayo ingepunguza malalamiko na makali ya maisha na inawezekana wakilitumia shirika la TTCL kuweka minara sehemu ambazo mashirika mengine hayajaweka minara ya mawasiliano
@othinielkamyola3697
@othinielkamyola3697 Жыл бұрын
Asanté
@saidomary3370
@saidomary3370 Жыл бұрын
Mbona unsure abari fupy toa tarifa yote
@nasaelmanya1850
@nasaelmanya1850 Жыл бұрын
Who is Tutuba!!
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 7 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 21 МЛН
New model rc bird unboxing and testing
00:10
Ruhul Shorts
Рет қаралды 25 МЛН
RAIS MAGUFULI ALIVYOKWENDA BENKI KUU BILA KUWATAARIFU
8:03
Millard Ayo
Рет қаралды 1,9 МЛН
TUTUBA (PHD) -MZUMBE: DAKTARI ANAEISHI PHD YAKE KIUHALISIA
40:42
IJUE BENKI KUU YA TANZANIA - MIFUMO YA TAARIFA ZA MIKOPO
28:24
Bank of Tanzania
Рет қаралды 652
Kuwa Makini Nani Unamuoa | Kuuweza Wakati Ujao | Pastor Tony Kapola
17:02
Pastor Tony Kapola
Рет қаралды 89 М.
HISTORIA YA BENKI KUU YA TANZANIA B.O.T (WRITTEN BY NOEL NGUZO & SPESHO KABWANGA)
4:17
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 7 МЛН