Рет қаралды 1,700
SIMU. Tv
Rais mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete amewataka wasaanii nchini kuongeza ubunifu na kutengeneza kazi zenye ubora ili kumudu ushindani wa soko badala ya kuilalamikia serikali iwasaidie.