UZINDUZI WA MIRADI MIKUBWA MWANZA, SIKU TATU ZA RAIS SAMIA ATAONGEA NA VIJANA

  Рет қаралды 15,356

Millard Ayo

Millard Ayo

3 жыл бұрын

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara ya kikazi mkoani Mwanza kwa siku tatu kuanzia june 13 hadi 15 2021, atakakugua na kuzindua miradi inayotekelezwa na Serikali ukiwemo ujenzi wa daraja la JPM, uwekekaji wa jiwe la msingi mradi wa SGR na kuzindua mtambo wa kuchenjua dhahabu pamoja na kuzungumza na Wananchi

Пікірлер: 51
@iutv2469
@iutv2469 3 жыл бұрын
Hayati alifanya kazi kubwa. Alihitaji kuwa na viwanda vya kuchenjua madini na kweli akasimamia hilo hatimae kimejengwa cha dhahabu. Magufulu amelala usingizi wa mauti lakini kazi zake zinaishi. Alikuwa na mapungufu kama binadamu lakini nia yake ilikuwa njema kwa watu wa Tanzania na Afrika kwa ujumla.
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 3 жыл бұрын
Hakuwa na mapungufu , hakukubali upuuzi wa vibaraka , akiwemo samia , chadema, Kikwete, , kabwe huo ndio ukweli kupigana na rushwa na mabeberu sio kazi rahisi , unatakiwa utumie kila silaha uliyo nayo bandani. Viva Magufuli 💪💪
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 3 жыл бұрын
@@whatisthetruth.8793 viva Magufuli 💪🏼💪🏼💪🏼 na JPM soldiers tuko kibao 💪🏼💪🏼💪🏼
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 3 жыл бұрын
@@kabwelasutiviraka4765 halafu tuwe na mashambulizi ya aina moja , kuanzia leo na wewe mwite samia , ' .mdudu bingirisha mavu secondari ' hii silaha chaguo namba hiiiii 1 , 💪💪💪 viva
@aminaabdallah7702
@aminaabdallah7702 3 жыл бұрын
Yalale Salama Hayati magufuli hizo Kazi na maendeleo alio watakia watz kwa maesha bora ya watz
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 3 жыл бұрын
Kazi iendelee, Mungu ibariki Tanzania Mungu ibarik Tanzania
@petermayila6480
@petermayila6480 3 жыл бұрын
Kazi eindelee
@annamablacharlescharles327
@annamablacharlescharles327 3 жыл бұрын
Hatuji
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 жыл бұрын
NA USIJE NUKSI WEWE BAKI SALUNI UENDELEZE UMBEYA.
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 3 жыл бұрын
Ivyo ivyo ndugu yangu msende popote, asiwafanye nyinyi wajinga, kashfa zake na wapambe wake , baada ya kuumuwa kaka etu hasito sahauliwa na wasukuma
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 3 жыл бұрын
@@salimsaid7200 nuksi mwenyewe na bibi yenu mdudu wa bingirisha mavu shenzi na fisadi 🤣🤣
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 жыл бұрын
@@whatisthetruth.8793 NA WAPEMBA HAWATO MSAHAU KWA KUPELEKA MAJESHI BILA YA SABABU NA WATU WA KIMARA KUWAVUNJIA MAJUMBA YAO NA KUWATUPA NJE KAMA WAKIMBIZI BILA YA SABABU RAISI WA WANYONGE NA HAO ALIOWAFANYIA USHENZI SI WANYONGE??? MBONA HAYO HAMYAZUNGUMZI DHULMA TUPU.
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 жыл бұрын
@@whatisthetruth.8793 NUKSI WEWE NA HUYO KAKA YENU PAMOJA NA WATU WAKE ANAODAI WATU WASIOJULIKANA TULIA SINDANO IPITE MNUKA MAVI WEWE.
@harounaman7473
@harounaman7473 3 жыл бұрын
KAZI imesmama barabara ya buswelu ilemela kuelekea ndama igoma ilikua na bango la kuanza lami kibao kimetolewa ghafla2(R.l.P JPM)karbu mama Samia jiji la samaki sangara ili kaz iendeleee
@fatumachagudadui3138
@fatumachagudadui3138 3 жыл бұрын
Bora kulala nyumbani kuliko kwenda kupoteza muda
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 жыл бұрын
@@fatumachagudadui3138 UNA MWAMBIA NANI UPUUZI WAKO.
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 3 жыл бұрын
Kaeni nyumbani , msiwe wajinga wasukuma , hana lolote yule bibi
@jumaharuna9899
@jumaharuna9899 3 жыл бұрын
Akaribie sana
@salutv.1641
@salutv.1641 3 жыл бұрын
kwani Tv kazi yake nini! wataniwakilisha akina Ayo pande za airport kwa karibu zaidi😎😎
@abeidbahati9471
@abeidbahati9471 3 жыл бұрын
Haya bana tunamsubiri mwanza
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 3 жыл бұрын
ye kaz kuweka wezi tu hatuoni kazi zake hizo zote za maghufuli halaf linawatoa wanyaji kazi wa maana linaweka wezi 😏😏😏
@jojininga1780
@jojininga1780 3 жыл бұрын
Kwaiuyu ninduguyake palamagamba nn naona sautu zinafanana
@sebastianungimba4676
@sebastianungimba4676 3 жыл бұрын
Usitoke akukute hapo hata kama amekutengua
@abdulijongo1355
@abdulijongo1355 3 жыл бұрын
Nasubir Kuiona Familia Ya JPM ikionesha Ushirikiano Kwenye Hli Hususan Mama Janet
@beaugosseadam6831
@beaugosseadam6831 3 жыл бұрын
Watu wa Pwani ndio hujipendekeza. Wasojitambua huwa wanafikiri eti wanatoa mchango au ushirikiano.
@abdulijongo1355
@abdulijongo1355 3 жыл бұрын
@@beaugosseadam6831 Bado Sijakufahamu
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 жыл бұрын
@@beaugosseadam6831 WEWE MPUUZI UNAJI TAMBUWA AKILI ZAKO BADO UNA UBARA NA UPWANI TULIA SINDANO IPITE FALA WEWE.
@beaugosseadam6831
@beaugosseadam6831 3 жыл бұрын
@@salimsaid7200 Fanya tafiti baada ya hapo utagundua kuna Fala anayejitambua na Fala juha/kuwadi.
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 жыл бұрын
@@beaugosseadam6831 ONDOWA UBARA NA UPWANI KATIKA AKILI YAKO TZ YOTE NI MOJA HAINA HAJA YA UTAFITI/ KUWADI.
@sultanielhaddady2161
@sultanielhaddady2161 3 жыл бұрын
Huyu ndo anafaa kuwa DC wa Dar es salaam azibe pengo la MAKONDA hajapoa anaongea vitu kw ufupi na vinaeleweka
@wasafiplustv724
@wasafiplustv724 3 жыл бұрын
Ni RC na sio DC
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 3 жыл бұрын
kesha rolewa kazin samia anatoa wote wazalendo na kuweka wezi katolewa asee bila sabab hata majizi anayakumbatia wema anawateketeza huyo samia mjalaana
@sultanielhaddady2161
@sultanielhaddady2161 3 жыл бұрын
@@aishaalbalushaishabalush8291 sio lahisi kukiongoza kiumbe kinachoitwa binadamu araf pia hakun mkamilif kikubwa hekima kumbukizi wakat anamteuw alisema "tunamuangalia"
Mama vs Son vs Daddy 😭🤣
00:13
DADDYSON SHOW
Рет қаралды 34 МЛН
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 33 МЛН
ВОДА В СОЛО
00:20
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 28 МЛН
RELI NA MATUKIO, SGR MWANZA - ISAKA KM ZAIDI YA KM 21 ZATANDIKWA
27:42
MALI ZA IMPALA HOTEL ZAPIGWA MNADA, VIGOGO KUMI WACHUANA VIKALI
3:52
UJENZI WA SGR MWANZA - ISAKA, ZEGE HALILALI, KAZI INAENDELEA
12:37
Mama vs Son vs Daddy 😭🤣
00:13
DADDYSON SHOW
Рет қаралды 34 МЛН