Vaileth Mwaisumo - Ni Mimi (Official Music Video) SMS SKIZA 8089706 to 811

  Рет қаралды 1,295,343

Vaileth Mwaisumo

Vaileth Mwaisumo

2 жыл бұрын

Mawazo ya MUNGU sikuzote ni tofauti na mawazo ya wanadamu. MUNGU anatuwazia mema wakati wanadamu wanatamani ushindwe ili wao washinde. Ni Mimi ni wimbo unasimama kwenye kweli kwamba hakuna mipango ya mwanadamu itakayofanikiwa kwako. Na mpango wa MUNGU kwenye maisha yako hauwezi kuzuia na chochote.#vailethmwaisumo #NiMimi#MusicVideo

Пікірлер: 2 200
@amanikiwale8221
@amanikiwale8221 Жыл бұрын
Hongera sana my wife nyimbo nzuri sana, video nzuri, umeimba vizuri sana, maneno mazuri, na wewe mzuri 🥰😍,Na ni mke mzuri,unampenda Mungu, Mungu azidi kukuinua viwango vingine.
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amina my husband
@bella6551
@bella6551 Жыл бұрын
na mimi naipokea nyota kama yake🥺maana nina wivu na aliyemwinua pia na mimi aniinue
@barakadnx4298
@barakadnx4298 Жыл бұрын
True bro I liked the song inspire me alot
@harrietmwashi5902
@harrietmwashi5902 Жыл бұрын
huu wimbo ❤️❤️❤️
@cecileatimango3799
@cecileatimango3799 Жыл бұрын
Thank you so much for the song Mungu keeps you going and rises you up katika jina la Yesu.
@aishaelias9071
@aishaelias9071 Жыл бұрын
Kama umeletwa hapa kutoka tik tok kama mimi tujuane, nyimbo bombaaaaaa👍👍👍👍
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amina
@user-ym4fo6yf3e
@user-ym4fo6yf3e 8 ай бұрын
💪💪
@user-lz8vn7js5v
@user-lz8vn7js5v 26 күн бұрын
NI MIMI HAPA MUNGU AMEJIBU MAOMBI YANGU AMENIBARIKI TELETELE AMEN AMEN AMEN
@susanwanyama2986
@susanwanyama2986 3 ай бұрын
Napenda nyimbo zako n nmegundua tu juzi barikiwa sana mama ufike mbali much love mommy
@philesotondi6857
@philesotondi6857 2 жыл бұрын
She can't disappoint us ...much love mom from 🇰🇪 🇰🇪
@johnkaranja1712
@johnkaranja1712 2 жыл бұрын
Your BLEESSING people with your song God give you power
@jamessabai6530
@jamessabai6530 Жыл бұрын
Be blessed with this song kzbin.info/www/bejne/Z6e0Ynuma8t9bck
@marysaituni4584
@marysaituni4584 Жыл бұрын
We love you 🇰🇪🇰🇪😍😘💕❤️
@faithkomen2258
@faithkomen2258 2 жыл бұрын
Finally I was waiting for this song so much, nimeipenda Sana huu wimbo imeniguza mno Barikiwa sana mtumishi 🙏🏼🙏🏼🥰🥰🥰
@greasmargho7369
@greasmargho7369 2 жыл бұрын
Sana
@nkoninastephen545
@nkoninastephen545 2 жыл бұрын
Great song ilike it💕🙏🙏
@ruthwanjiro7341
@ruthwanjiro7341 2 жыл бұрын
This song is really touching
@faithkomen2258
@faithkomen2258 2 жыл бұрын
@@ruthwanjiro7341 indeed
@faithkomen2258
@faithkomen2258 2 жыл бұрын
@@greasmargho7369 yeah
@joshuakabasi170
@joshuakabasi170 2 жыл бұрын
Amen barikiwa sana Mtumishi wa MUNGU na BWANA akuongezee mafuta ya utumishi
@user-mi9mm5jm3l
@user-mi9mm5jm3l 11 ай бұрын
Ni mimi muliyekataa my testemony song barikiwa sana wanashangaa hadi sasa.
@janetandisi3481
@janetandisi3481 2 жыл бұрын
Amina ni mmi Mungu amenifuta machozi,kaondoa aibu na pia kabadilisha majina yangu.God bless you
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amen
@user-sp6kx1gp1p
@user-sp6kx1gp1p Жыл бұрын
Yaani mungu akiamua kukpandisha daraja hadi daraja hakuna wakupinga 🙏
@DORICASJSofficial
@DORICASJSofficial 3 ай бұрын
❤❤❤ nakupenda sana,endelea kushuka mbele za MUNGU naye atakuinua
@happymwamakula8573
@happymwamakula8573 Жыл бұрын
Aminaaa mamy Mungu aendelee kukutia nguvu wimbo wako umenibariki san
@faithkhangatsi2187
@faithkhangatsi2187 2 жыл бұрын
Much love from Kenya twakupenda sana. Nabarikiwa sana na nyiimbo za kutia moyo dada na maono makubwa mbele yaja 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@tiyavictoria6402
@tiyavictoria6402 2 жыл бұрын
I can't control my tears 😭, i degree and declare that my testimony is on the way. As i sing this song I'm in agreement with God He is preparing a table in front of my enemies.
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amina
@faithjoshua3537
@faithjoshua3537 2 жыл бұрын
Amen
@jamessabai6530
@jamessabai6530 Жыл бұрын
Be blessed with this song kzbin.info/www/bejne/Z6e0Ynuma8t9bck
@annahmulandi1241
@annahmulandi1241 Жыл бұрын
It has blessed me so much
@annagithaiga838
@annagithaiga838 Жыл бұрын
Amen soon 😭🙏
@victorblessed9502
@victorblessed9502 Жыл бұрын
I pray to God nifike hicho Cha kushanga wengi
@angelotsieno133
@angelotsieno133 2 жыл бұрын
Nikam aliniimbia ....my history has changed.......Above all God never disappoint
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amina
@victoriousfaith3113
@victoriousfaith3113 2 жыл бұрын
I hardly comment but for this song it's a thumb up, anyone listening i speak blessings and a financial breakthrough, it is well🙏
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amen
@priscakatanu6225
@priscakatanu6225 2 жыл бұрын
Amen
@nancyblessed8107
@nancyblessed8107 2 жыл бұрын
AMEN
@calynne_wynne506
@calynne_wynne506 2 жыл бұрын
Amen
@frifamapenzi1601
@frifamapenzi1601 2 жыл бұрын
Amen mum yaan naona mungu akinifuta machozi barikiwa sana mum
@anitakidambi9429
@anitakidambi9429 Жыл бұрын
Amen
@jacksonmutethia9827
@jacksonmutethia9827 Жыл бұрын
Jameni huyu mama sauti anayo ...inagusa moyo wangu Sana .God bless you na nyimbo zako
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amen
@rachelbukosia5276
@rachelbukosia5276 Жыл бұрын
My first time kuskia nyimbo zako ila nazipenda kwanza huu wimbo "ni Mimi" umeupenda Sana huu mwaka umekuwa mgumu ila bwana ameniteandea much love from 🇰🇪🇰🇪ni mm niliitwa majina ya Kila aina but God changed the story
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amen
@glorymathayo4898
@glorymathayo4898 Жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭Uwiiii huu wimbo wa Taifa huu Asnte My sister 😭😭😭😭😭😭😭
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amina
@evansbaraka3255
@evansbaraka3255 2 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana... Nimependa ujumbe.. ni Mimi .. Mungu amenikumbuka
@NeemaKiria-gi4cq
@NeemaKiria-gi4cq 19 күн бұрын
Hakika kwa kupitia nyimbo zako dada nabarikiwa sna
@malimijames4133
@malimijames4133 2 жыл бұрын
Ubarikiwa mtumishi by JAMES RUGASPEL From Mwanza
@Polyne825
@Polyne825 2 жыл бұрын
Hii nayoo lazimaa nipin kwaa maaduiii zanguu washangaeee
@florencenjoroge8057
@florencenjoroge8057 2 жыл бұрын
Ni mmi Ni mimi 😘😘😘😘😘🎉🎉🎉🎉🙏🙏🙏🙏 wimbo ni tamu Mama congrats 👏👏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@killydonpol123
@killydonpol123 2 жыл бұрын
Asubui,mchana na jioni ndio wimbo wangu kabla nipate maombi wakati mwingne ady natoa machozi ubarikiwe mamaaa
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amina
@CatherineGithui
@CatherineGithui 4 ай бұрын
Very nice song,may good lord grand you favor from above,Amen
@lydiaadhiambo7262
@lydiaadhiambo7262 2 жыл бұрын
Ave played this song 100times and ave cried so much in saudi but all going thru only God knws but i knw i will sing this song soon with tears of happiness and blessings 🙏
@flyboylimcy4311
@flyboylimcy4311 2 жыл бұрын
This is gonna be my song for God knows how long 😢 God's going to change my history and my family's very soon and I'll look back to where we've come from and sing this song with absolute joy,,,,Asante Sana vaileth Mungu akubariki❤️🙏
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amina
@jamessabai6530
@jamessabai6530 Жыл бұрын
Be blessed with this song kzbin.info/www/bejne/Z6e0Ynuma8t9bck
@AlexAnyonge
@AlexAnyonge 10 ай бұрын
Asante kwa wimbo mzuri sana🎉🎉🎉🎉🎉
@skoviahskoviah6277
@skoviahskoviah6277 Жыл бұрын
My song 🙏🙏🙏ni mm naenda kuwatokea kutoka gulf washangae ni mm aky thanks God 🙏🙏😍😍♥️♥️♥️♥️
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amen
@benmapesa219
@benmapesa219 Жыл бұрын
Such a blessing song.....much love ❤ from🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amina
@DAUGHTEROFZION67
@DAUGHTEROFZION67 2 жыл бұрын
Woooooooow I needed to hear this be blessed mum lots of love 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@user-dm9eu9yc7l
@user-dm9eu9yc7l 11 ай бұрын
Wacha Mungu na asifiwe kwa roho na kwl.maneno ya mama wetu yanatutia moyo,ubarikiwe sana.
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 11 ай бұрын
Amen
@mauleenmaresi140
@mauleenmaresi140 Жыл бұрын
Asante baba,madui watashangaa niinuliwapo pokea sifa
@pollypom1216
@pollypom1216 2 жыл бұрын
Wakati wa Mungu ukifika Watakuheshimu🙏Watabaki wakiulizana ni wewe ama?Ndio ‘NI MIMI’🙏
@milly2006
@milly2006 2 жыл бұрын
Yes ni Mimi😭😭this song... Aki at the right time lord you will make everything happen... I'm grateful.you've made everything beutiful at the right time.😭🙏. Ni mimi.. Ni mimi 🙌🙌🙌🙌
@nikodemfidelis4986
@nikodemfidelis4986 Жыл бұрын
Sina uwezo natamn nikupe sijuh nn ufurah unaimba nyimbo zinanipa nguvu sana kweny kutafuta honger sana mungu akuzidishie
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amina shukrani sana
@agnesyjoseph3906
@agnesyjoseph3906 Жыл бұрын
Dada Vaileth nakupenda nyimbo zako zote hazichoshi kusikiliza narudia kila wakati. Leo nimezi download nyimbo 4 nakupenda Mungu azidi kukuinua mtumishi
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Shukrani
@luckydennis3666
@luckydennis3666 Жыл бұрын
I can't stop listening this song akiiii be blessed mummy much love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Thanks
@aarpp4907
@aarpp4907 2 жыл бұрын
Mungu naomba upanguse machozi yangu ,,wasio n majina unawapa majina Yesu nipe jina ipo siku watabaki wakiulizana ila itakua NI MIMI umenifanikisha ,,baraka zako hazikawii ila huja kw wakati wako Ee Mungu wangu ukifika ukaziachilie ili watambue kuwa Mungu wangu wwe n Mkubwa🙏
@danfordmwangesile9043
@danfordmwangesile9043 Жыл бұрын
Wakati wa Mungu ni mkuu saaana watakuja kuulizana tu
@estamsholo4076
@estamsholo4076 10 ай бұрын
Huu wimbo unanibaliki sanaaa Amen 🙏🌹🥀
@nusratbintabdullah5713
@nusratbintabdullah5713 2 жыл бұрын
Walai from tiktok thanks very much God bless you let me download now ihave listte again and again
@nick-ow2ht
@nick-ow2ht 2 жыл бұрын
Everytime am playing this song in the car....naskia tu kulia😭😭😭it touches me so much
@hazelradamel6148
@hazelradamel6148 2 жыл бұрын
Same here
@joycemuthui9165
@joycemuthui9165 2 жыл бұрын
Wow . Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 keep winning Dya... The song speaks to me 🙏🙏🙏🙏
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Thanks
@paulinemawia2852
@paulinemawia2852 Жыл бұрын
Jehova nduseleawa IPO SIKu🙏🙏🙏
@rozzytatiana2545
@rozzytatiana2545 Жыл бұрын
Love you mummy Tatiana from Kenya hata mm watashangaa Niki barikiwa
@sir_kelvin4121
@sir_kelvin4121 2 жыл бұрын
Ni mimi🙋🙋🙋
@victorndemo1917
@victorndemo1917 Жыл бұрын
I have played this song 24 HR none stop. Ni Tamu, imenisafisha roho. Veleith be blessed
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Thanks
@monicahwamucii7259
@monicahwamucii7259 Жыл бұрын
Ni mimi ntasomwa kwa aljazera ,bbc , gunies book of records kila mahali ni mimi
@saramasinga5587
@saramasinga5587 Жыл бұрын
Hongera sana mtumishi wa mungu ninapousikia ujumbe na ulivyoimba sichoki kukuangalia umeimba kwa hisia yaani mpaka machozi yananitoka, umeutendea haki nakupenda sana
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Shukrani sana mpendwa wangu barikiwa
@claireomari9001
@claireomari9001 2 жыл бұрын
You'll never dissapoint Mum,your songs are real touching and inspiring,be blessed🙏👏Mungu ataendelea kuwashangaza wenye walitarajia our downfall IJN🙏🙏🙏much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪hope mko site kuenjoy hii song
@judithphiliptvKenya
@judithphiliptvKenya 2 жыл бұрын
This is my song ,uuuuuuuuuuuuwi nimepitia ili last and this month nikaitwa mchawi na devil worshipper by my in-laws ,Mungu I glorify your name ,unainua wanyonge na kuwatia nguvu ,jitukuze kwa mwanao ,Ni Mimi tu mlionisema vibaya
@claireomari9001
@claireomari9001 2 жыл бұрын
@@judithphiliptvKenya Amen,God will continue to ashame them
@forceskenya4785
@forceskenya4785 2 жыл бұрын
Such a nice song.....much love from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Thanks
@jamessabai6530
@jamessabai6530 Жыл бұрын
Be blessed with this song kzbin.info/www/bejne/Z6e0Ynuma8t9bck
@liztom5051
@liztom5051 Жыл бұрын
Endelea kuwashangaza baba
@vaimlay5502
@vaimlay5502 Жыл бұрын
Mungu azidi kukuinua wajina wangu ,nyimbo zako nikama unaniimbia mm ,nakupenda kuna mahali unanitoa na kunifungua 🙏🙏barikiwa sana
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Shukrani wajina
@veronicanashtaria7403
@veronicanashtaria7403 2 жыл бұрын
I have run from ticktok to here be blessed momma
@alicewangui4119
@alicewangui4119 2 жыл бұрын
Lots of love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 I love your songs hutia mtu nguvu
@faithmasinde2219
@faithmasinde2219 2 жыл бұрын
Kwa kweli hùu wimbo ukiimba na Kumbuka life historie yangu wacha Mungu apaki kua Mungu barikiwa sana sana mum
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amina
@irenejohn8194
@irenejohn8194 Жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭Mungu asante kwa ulivyobadilisha aibu yangu kuwa furaha
@mogirifidelis7740
@mogirifidelis7740 2 жыл бұрын
Panguza machozi yangu kwa jina la Yesu 😢😢.....
@susyameyo7768
@susyameyo7768 Жыл бұрын
From ur mouth to God's ears
@marynyambeki3205
@marynyambeki3205 Жыл бұрын
Sometimes ninafikanga mwisho but when I listen to your songs indeed there's Hope dwn my heart God bless u big dear sister
@nancykariuki4278
@nancykariuki4278 2 жыл бұрын
For me it's how rich her voice is, then you add the message..pure TALENT.
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Thanks
@vaimlay5502
@vaimlay5502 Жыл бұрын
Huuuu ni Mimi ,,msishangaee ,,Ni Mimi🙏
@ruthnaibei8836
@ruthnaibei8836 Жыл бұрын
Dada mungu akuinuwe kiwango chajuu sana..ubarikiwe
@maxwellratemo6674
@maxwellratemo6674 2 жыл бұрын
The song is 🔥.sauti pekee inaleta neema.
@philp3134
@philp3134 2 жыл бұрын
Every song is an excerpt of my life.God bless you 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@violaaa5164
@violaaa5164 Жыл бұрын
My favorote mingu akunawirishe wewe hunitia nguvu mno
@neemampighwa4321
@neemampighwa4321 2 жыл бұрын
Should umenigusa sana mungu akupe maisha marefu my dear 😘😘😘
@tabybde1287
@tabybde1287 Жыл бұрын
Mungu ni mimi niko mbele zako Nami nipe ushuhuda ee bwana yamekuwa mazito 😭😭😭😭
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amen
@samuelmwanyae312
@samuelmwanyae312 2 жыл бұрын
Your songs never disappoint ,congratulations mum.much love from Kenya 🇰🇪 😍 ❤
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Thanks
@samuelmwanyae312
@samuelmwanyae312 2 жыл бұрын
Welcome 💖💖
@VickyMywanga
@VickyMywanga 3 ай бұрын
Mm jaman mungu ananipigania zaidi ya maadui zangu
@user-so5xn7uc2n
@user-so5xn7uc2n Жыл бұрын
Nyimbo zako zinanitia zinibaliki sana
@bridgitadhiambo690
@bridgitadhiambo690 Жыл бұрын
This song reminds me vle nilipata mtoto wa kwanza na ckuwa na pesa adi rafiki zngu walikuwa wananiongea vibaya adi nilikuwa kama mzigo kwa familia yetu bt nashukuru mungu alifungua njia sai nko gulf naendelea vizuri adi mm ndo sai macho ya familia yetu,,,I thank God anaendelea kunifungulia njia 🙏🙏🙏🙏cku moja watanishangaa
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amen
@dianahnekesa2822
@dianahnekesa2822 Жыл бұрын
😢😢tujikazeee
@paulinekemunto8771
@paulinekemunto8771 11 ай бұрын
I was here 2020 ,,,sahii Mimi ndio breadwinner 🙏
@saumomar2017
@saumomar2017 Жыл бұрын
Wenye tumetoka tiktok kuskiza ii gonga like tujuane
@jacklineatieno386
@jacklineatieno386 8 ай бұрын
May God disappoint my enemies who even say I will die 😢😢😢😢God give great n wonderful testimony am greatful utanipa jina mpya change my story lord.
@FrolaManga
@FrolaManga Ай бұрын
Ni mimi bwana umenitoa mbali sana mpaka leo naitwa mtumishi wa Mungu asante
@ra7224
@ra7224 2 жыл бұрын
My favorite song🔥🔥🔥❤️❤️Be blessed 🙏🏻
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Thanks
@rororeason8507
@rororeason8507 2 жыл бұрын
She is singing about my life...be blessed Maam...tumebarikiwa sana...nawe barikiwa zaidi.
@marymwaniki3210
@marymwaniki3210 2 жыл бұрын
ni Mimi🙏
@hellenndiritu4081
@hellenndiritu4081 Жыл бұрын
How I cried singing this song
@everlyne.polenikhamede2452
@everlyne.polenikhamede2452 Жыл бұрын
l love mum God bless higher &higher
@sophiakairo87
@sophiakairo87 2 жыл бұрын
Barikiwa sana mama binafsi na kufuatilia sana hujahawi kukosea napata nguvu nikikusikiliza Mungu alibariki sana mama
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amina
@peterrisa8758
@peterrisa8758 2 жыл бұрын
Even though it's delaying I know he's preparing what he promised.. indeed he's a faithful God
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amen
@jamessabai6530
@jamessabai6530 Жыл бұрын
Be blessed with this song kzbin.info/www/bejne/Z6e0Ynuma8t9bck
@Sildogirl2
@Sildogirl2 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana nyimbo hii lazima nifikishe kwa maadui zangu ongera dada 🎉🎉🎉🎉
@jacksonmutethia9827
@jacksonmutethia9827 Жыл бұрын
Huo wimbo unachezwa kila mahali Kenya .
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Shukrani
@sarahomulema266
@sarahomulema266 2 жыл бұрын
Wow nice song
@amuchirakunyanyi5563
@amuchirakunyanyi5563 Жыл бұрын
I can't control my tears 😭😭😭 so powerful message I declare my testimony soon
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amen
@evansomkenya6371
@evansomkenya6371 2 жыл бұрын
Hallelujah Wimbo huu wani inua moyo sana Asante 🙏🙏🙏🙌🙌💯💯 Glory glory 🙌🙌🙌🙌🙌 God bless you 🙏🙏🙏🎉🎉💯💯 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Thanks much
@evansomkenya6371
@evansomkenya6371 2 жыл бұрын
@@vailethmwaisumo in Kenya here we're so much greatful for you
@lydiamsangula8425
@lydiamsangula8425 Жыл бұрын
Ni mimi kabisa Mungu anenifuta machozi
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amina
@wambuiwanyutu
@wambuiwanyutu Жыл бұрын
This song will serve as a testimony in my life very soon.Mungu wewe waona zaidi ya yote..Ipo siku...
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amina
@vilancelumala3492
@vilancelumala3492 2 жыл бұрын
blessings mamaa your songs are ❤❤❤
@esterchalamila2868
@esterchalamila2868 Жыл бұрын
Na watazidi kushanga hakika.Mungu ni wetu sote! nakupenda dadaangu Vaileth nakupenda
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Shukrani sana mpendwa wangu
@deborakameme9208
@deborakameme9208 Жыл бұрын
Ni mm Asante Yesu hakika hakuna kama ww umejua kuubariki moyo wangu 🙏
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amina
@nabothosia4117
@nabothosia4117 2 жыл бұрын
As a Muslim your songs touch me coz they generalize the message. They are moving.. We all serve one living God.. 🤲🏽🤲🏽
@ronahemmajay1477
@ronahemmajay1477 2 жыл бұрын
Amen
@lizmass3437
@lizmass3437 2 жыл бұрын
Jesus Christ is the way the truth and life to GOD 🙏
@nabothosia4117
@nabothosia4117 2 жыл бұрын
@@lizmass3437 respect mine n I respect yours. Nobody told u to change or nobody came here to argue which way is the way.. We will all die and and as long as we r serving one living God, your beliefs don't matter.
@lizmass3437
@lizmass3437 2 жыл бұрын
I respect ur faith so high
@nabothosia4117
@nabothosia4117 2 жыл бұрын
@@lizmass3437 then u should understand that in my comment i didn't touch on your religious beliefs bt i was acknowledging the emotional and spiritual feeling that comes about with her songs.
@karennyawara2843
@karennyawara2843 2 жыл бұрын
Congratulations 🎊 my love you are doing great Job my God open doors for you my lovely sis all the best sister God bless you and the good job you are doing Amen
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Thanks
@MaggyGesare
@MaggyGesare 3 ай бұрын
Dada yangu mungu hamekupanguza majosi.napenda nyimbo zako sana zinanitia nguvu nakunifundisha mengi.❤❤❤❤
@happymwamakula8573
@happymwamakula8573 Жыл бұрын
Kyala akosaje mama gwango
@hellenbarasa3261
@hellenbarasa3261 Жыл бұрын
Hakika walitamani nife nitupwe mbali nifutike kwenye ukoo wao, nisaaulike zaidi, lakini MUNGU amenikumbuka katika kila hali, ni Mimi ni Mimi mlie pangia mabaya na kunikataa na kuniondoa katika ndoa yangu sasa mnaahangaa ninavyoishi bila msaada wenu, ni Mimi ni Mimi
@rachaelwanjiru9356
@rachaelwanjiru9356 2 жыл бұрын
Eiish!I can't get enough of this song.. nafikiria waongea historia yangu.. lakini waliongoja kuona mwisho wangu.. there's God of chances..much love vaileth I like your songs🥰
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Thanks much
@rodhawavinya3955
@rodhawavinya3955 Жыл бұрын
You made it well I can't control my tears be blessed abundantly
@ladashahdullvan
@ladashahdullvan Жыл бұрын
This is the only song mimi husikiza akii in a day nasikiza mara Tano na zaidi Mungu wangu akupee nguvu,,,,uzima na baraka nakupenda bure
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Shukrani
@perisnduta1747
@perisnduta1747 2 жыл бұрын
Ni Mimi mungu amenikumbuka🙏🎉🥳
@7evenlyrics154
@7evenlyrics154 2 жыл бұрын
Mama's voice is on another level💜💜 message 💯 song lyrics 💯 God bless you my favourite 🇰🇪
@mikeadaka4458
@mikeadaka4458 2 жыл бұрын
So inspiring. I love this one. Well done 👏👏👏. Blessings to you 🙏🙏. Kenya 🇰🇪🇰🇪 naisikiliza. Asante Yesu
Vaileth Mwaisumo - Atafanya Njia ( Official Video) SMS SKIZA 8089705 to 811
7:40
World’s Largest Jello Pool
01:00
Mark Rober
Рет қаралды 99 МЛН
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 23 МЛН
Bahati Bukuku - Picha ya Mama (Official Music Video)
8:21
Bahati Bukuku
Рет қаралды 1,7 МЛН
Vaileth Mwaisumo - Anza Wewe Baba (Official Music Video)
5:18
Vaileth Mwaisumo
Рет қаралды 151 М.
Annoint Amani - Msizike bado yuko hai ( official music video )
8:54
Annoint Amani
Рет қаралды 191 М.
Vaileth Mwaisumo - Vita si Yangu (Official Music Video)Skiza *860*287#
4:42
Greatest Hits Of Vaileth Mwaisumo Gospel Music
41:55
Vaileth Mwaisumo
Рет қаралды 190 М.
Moyo Wangu by Patrick Kubuya dial *811*406# to download this song
7:19
Patrick Kubuya
Рет қаралды 67 МЛН
Жандос ҚАРЖАУБАЙ - Ауылымды сағындым (official video) 2024
4:25
Stray Kids "Chk Chk Boom" M/V
3:26
JYP Entertainment
Рет қаралды 63 МЛН
IL’HAN - Pai-pai (lyric video) 2024
3:24
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 819 М.
Sadraddin - Taxi | Official Music Video
3:10
SADRADDIN
Рет қаралды 761 М.