Vaileth Mwaisumo - Vita si Yangu (Official Music Video)Skiza *860*287#

  Рет қаралды 764,987

Vaileth Mwaisumo

Vaileth Mwaisumo

6 ай бұрын

Chini ya jua ni mapambano, maadui kila kona ila uzuri ni kwamba yupo mtetezi wimbo huu ukupe ujasiri mkuu kuwa katika hiyo vita hauko peke yako yupo MUNGU atakutetea kwani VITA NI YA MUNGU.#vailethmwaisumo #vitasivyangu #mashimomnayonichimbia #kimewaramba

Пікірлер: 752
@AROMAAR_KING001
@AROMAAR_KING001 5 ай бұрын
From TikTok to KZbin 🔥🔥🔥 wale tumetoka TikTok nipeni likes 20 tukisonga 🔥🔥🔥🔥
@nicholasjoejoe9602
@nicholasjoejoe9602 5 ай бұрын
Mkono juu.
@AROMAAR_KING001
@AROMAAR_KING001 5 ай бұрын
@@nicholasjoejoe9602 ✋✋✋✋
@irenenduku5012
@irenenduku5012 5 ай бұрын
🙌🙌
@AROMAAR_KING001
@AROMAAR_KING001 5 ай бұрын
@@irenenduku5012 ❤️🧡💯
@sgmoviescollection5215
@sgmoviescollection5215 4 ай бұрын
Pia mimi from tiktok to here
@thomasmwangombe8416
@thomasmwangombe8416 6 ай бұрын
First one here...si mnipe likes.may God bless you mtumishi.Hakika vita ni vya Mungu.
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 6 ай бұрын
Amina
@benjaminsiayi386
@benjaminsiayi386 5 ай бұрын
Mungu akuinue saiti sana sister umenibariki na nyimbo zako🎉 amen 🙏 in Jesus mighty name
@user-nd9wv9gn9r
@user-nd9wv9gn9r 4 ай бұрын
❤❤❤❤​@@vailethmwaisumo
@damarisnzisa9738
@damarisnzisa9738 8 күн бұрын
I like your beiz😅
@LilianEramuenya
@LilianEramuenya 5 ай бұрын
Why is this not hitting 1 million? This song is a hit. Kenyans let's support this lady to hit 1 million
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 5 ай бұрын
🙏🙏
@nicholasjoejoe9602
@nicholasjoejoe9602 5 ай бұрын
Nampenda bure tu.
@argentinawangui6325
@argentinawangui6325 3 ай бұрын
Sure
@marikiurio2656
@marikiurio2656 6 ай бұрын
HAKIKA MWAKA HUU 2024 VITA SI YANGU NI YA MUNGU OOOH HALELUYA GLORY TO GOD❤
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 6 ай бұрын
Amina🙏🏼
@aaronkioko6781
@aaronkioko6781 5 ай бұрын
Listening and watching more than 10time❤ powerful song nipe like nirundi tena
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 5 ай бұрын
Rudi kabisa😄
@TupyelesyegeSwetala
@TupyelesyegeSwetala 15 күн бұрын
Hakika mungu nimekuona ukinipigania... Hakika vita ni yako mimi siwezi endelea kunipigania mungu angu daima nitaweka tumaini kwako siku zote za maisha yangu
@user-jn6ec7qv5p
@user-jn6ec7qv5p 5 ай бұрын
Wangap mmerudia hii nyimbo zaid ya mara kumi,,,me nikiweka bando lazima nisikilize huu wimbo cox una ujumbe mzur sana na nabarikiwa pia
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 5 ай бұрын
Amen
@Wekesir
@Wekesir 4 ай бұрын
Yoo this is what I've been doing,
@gabrielmuuo8869
@gabrielmuuo8869 3 ай бұрын
Nmetoka sasa Ivi tiktok nkaiona na mbio nkaja apa... and let me tell you my friend, ploti nzima wametokea nje wananiuliza nyimbo ya Nani hii... Jameni vita si yangu
@SamwelOoko2
@SamwelOoko2 3 ай бұрын
Me kwanza nimeudownload such a wonderful song🥺🙏🙏🙏
@daviesmurunga-jl6eb
@daviesmurunga-jl6eb 2 ай бұрын
Mimi more than 20times
@jobashikoye8403
@jobashikoye8403 3 ай бұрын
Wow Niko bizena yangu! I love this kimewaramba na bado .nimebarikiwa na nyimbo zako zoooote. Likes zikam bana
@Zainah3G
@Zainah3G 3 ай бұрын
Vita ya Mungu .. Ile vita Iko sau kwa maisha yangu ... Lord come through 🙏🙏
@lugongogaundence
@lugongogaundence 6 ай бұрын
Mwanadamu ukiona uko hai na unakula unaishi vizuri jua mungu alale kutulinda ,sante mungu kwa kutupigania,
@lucywanja6435
@lucywanja6435 3 ай бұрын
From Tiktok to KZbin ,Tizian amefanya tukutane huku
@felistamushi
@felistamushi 26 күн бұрын
Hakika tulio ndani ya kristo tunalindwa na MUNGU
@electineachieng8571
@electineachieng8571 4 ай бұрын
Anytime am scrolling TikTok and I come across this I just come on KZbin
@LinetWilliams-w8n
@LinetWilliams-w8n 13 күн бұрын
Vita SI vyangu n vya mungu kwa magumu yenye napitia kama mjane
@patiencekabeyeka4864
@patiencekabeyeka4864 4 ай бұрын
From TikTok to KZbin be blessed dada
@williamkidiavai8356
@williamkidiavai8356 5 ай бұрын
Kenyans let's gather here for kimewaramba😅😅😂
@stanoh92
@stanoh92 5 ай бұрын
Tz for kenyan , kenyan for Tz always a blessing to our generation. Love you mum
@rebeccakemuma673
@rebeccakemuma673 5 ай бұрын
This 2024 God exposed all my fake friends am happy God will fight for me all they conspired against me they dug a pit for me but God has been by me thanks daddy for loving me papa❤❤
@rosemarymuriithi-gr9fl
@rosemarymuriithi-gr9fl 5 ай бұрын
nyimbo zako zani bariki kweli
@trishsharlyn807
@trishsharlyn807 5 ай бұрын
Amen Amen a very big Amen someone react to my comment I must come back and thank God for fighting for me vita zangu this year 2024 ,🙏
@user-hh3gs4qu1y
@user-hh3gs4qu1y 6 ай бұрын
It's true I can't fight for myself...God is by my side 🙏🙏
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 6 ай бұрын
Amina
@user-wf8yf3qn1d
@user-wf8yf3qn1d 18 күн бұрын
Amen and Amen Mungu awapige vita watezi na maadaui wanaoniwasia na kunipangia maovu Psalms 35
@ivonebikehi1584
@ivonebikehi1584 5 ай бұрын
This song is on another level ❤ the message is direct doesn't need explanation...let's support our mum❤❤
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 5 ай бұрын
🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@mercykisanya9306
@mercykisanya9306 2 ай бұрын
🎉🎉🎉
@ferryfabulous7250
@ferryfabulous7250 2 ай бұрын
❤❤❤❤👌
@janetngugi3731
@janetngugi3731 3 ай бұрын
For sure vita ni ya mungu am a living testimony of how God saved my life and fought for me when my enemies had taken me for witchcraft!! I love God and I will live for Him!!
@miriamogada5097
@miriamogada5097 22 күн бұрын
Praise the name of the lord Jesus Christ 👏 am blessed with this song ❤
@inexcutee1844
@inexcutee1844 2 ай бұрын
Ukweri vita si yangu wacha mungu atupiganie amen 🙌🙏🙏🙏🙏
@user-jn6ec7qv5p
@user-jn6ec7qv5p 5 ай бұрын
Kuwa mweusi ni raha sana jmn huyu dada ni black beaty alafu ni mzurii hataree ❤❤
@nicholasjoejoe9602
@nicholasjoejoe9602 5 ай бұрын
Na smile je
@user-jn6ec7qv5p
@user-jn6ec7qv5p 5 ай бұрын
​@@nicholasjoejoe9602acha tu nampenda hataree cox nyimbo zake zinanibariki sana ata kama nilikuwa nimekata tamaa nikisikiliza tu nyimbo zake najikuta nanyanyuka Tena🙌
@user-pr3ih7mo7y
@user-pr3ih7mo7y 5 ай бұрын
one of the best gospel artist in east and eastern africa much love from kenya
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 5 ай бұрын
🙏🏼🙏🏼
@rispaqueen
@rispaqueen 6 ай бұрын
Amen Amen Amen this is for me huu mwka 2024 nimesema vita si viangu ni via mungu,🇰🇪 kenya loves u mummy, sister vayo.
@estherneville4854
@estherneville4854 3 ай бұрын
Hakika bila Mungu kuwa Upande wangu sijui ingekuwaje😅
@elpizoflavour
@elpizoflavour 2 ай бұрын
WATU WA WAGANGA NA WAGANGA WAO WAMETEKETEA KWA JINA LA YESU KRISTO AMEN🙏🙏🙏
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 ай бұрын
Amina
@alicemucharia6538
@alicemucharia6538 6 ай бұрын
Mungu Nipiganie maana nina maadui wengi , vita si yangu ni Yako Yesu Amen, More Grace Sister , a powerful song 🎵 ❤
@Emmahmildred
@Emmahmildred 27 күн бұрын
Woow really love the song, indeed God is fighting my battles.
@zipporahkemunto6938
@zipporahkemunto6938 5 ай бұрын
Kwa kweli ni Mungu na ndo mtetezi wa wat u wake🔥🔥💯
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 5 ай бұрын
Amen
@ireneorata3331
@ireneorata3331 3 ай бұрын
With a heavy heart, may God take control of my battles. I have been sorrounded by enemies in sheeps' clothing. The enemiies have ruined my life, my emotions! I give it up to God!
@kipkemoimutai1903
@kipkemoimutai1903 3 ай бұрын
Hakika Vita si yangu. God is always here for us. Great
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 ай бұрын
Amen
@gaunye
@gaunye 3 ай бұрын
Am so blessed by this song, nimetoka Tick tock after watching Big Daddy amepost🇰🇪🇰🇪
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 ай бұрын
🙏🏼🙏🏼
@freemark5849
@freemark5849 22 күн бұрын
Powerful….God shall fight our battles….beautiful lady you’re!!!!blessed are you.
@alexanderkswift4294
@alexanderkswift4294 26 күн бұрын
Vaileth is my favorite ❤️ artist...more love here in kenya
@user-pq5yi4ep1z
@user-pq5yi4ep1z 4 ай бұрын
Ndilinayo Yesu tetezi ooo yes
@alicewanjiku5611
@alicewanjiku5611 6 ай бұрын
Barikiwa saana soo poweful.vita si yangu vita ni ya Mungu.i leave everything to you God
@rosemwanazyungu1175
@rosemwanazyungu1175 3 ай бұрын
Mungu akubaliki dada naishi kwa kujiiamini kwa sababu vita sio yangu vita vyamungu mungu akubaliki
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 ай бұрын
Amen
@beversentertainment1106
@beversentertainment1106 6 ай бұрын
More blessings 🙌 🙏 knowing vita si yangu ila ya mungu ❤❤
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 6 ай бұрын
Amina
@janechengula6057
@janechengula6057 6 ай бұрын
Hakika vita si yangu safi sana💯✅
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 6 ай бұрын
Amina🙏
@user-xb6sr6ml1f
@user-xb6sr6ml1f 5 ай бұрын
God Fights With our Opponents,Enemies,Glory To HIM.
@Mr.Moneykatter
@Mr.Moneykatter 3 ай бұрын
I'm impressed fr
@bibitwinsbibidd7677
@bibitwinsbibidd7677 4 ай бұрын
sifa na utukufu tumrudishie Mungu wetu barikiwa mtumishi kwa uinjilisti halisi ✅
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 4 ай бұрын
Amen
@Mggiecharleskui
@Mggiecharleskui 11 күн бұрын
Naupenda sana huu wimbo♥️♥️♥️. Mum nipitie
@gladys3119
@gladys3119 4 ай бұрын
Ukweli vita ni ya mungu.asanti kwa wimbo God blessed you more and more
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 4 ай бұрын
Amina
@nylahedith831
@nylahedith831 5 ай бұрын
Dear Lord fight all my battles,,wipe all my tears
@JuneJune-xf4pc
@JuneJune-xf4pc 4 ай бұрын
Amen,, haki kweli vita c vyako nivyamungu, waje nanguvu zao za giza ila Mungu akisimama mwenyewe umekwisha utailaani siku yako uliozaliwa😃😃, usicheze na Mungu mwanadamu ulieumbwa kwa udongo, unaekufa muda wowote, ila Mungu yuko hai milele
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 4 ай бұрын
Amina
@rosekilawe786
@rosekilawe786 3 ай бұрын
Atukuzwe Mungu anaweza Ameeen.
@MaryWangui-qv1ne
@MaryWangui-qv1ne 2 ай бұрын
Beautiful song,hao hao iyo kwa mganga❤
@Elishashayomueo-cd5qp
@Elishashayomueo-cd5qp 15 күн бұрын
Ameni mama yetu vita tumwachie mungu
@HeLovesMe56
@HeLovesMe56 3 ай бұрын
So grateful to be reminded that my God is the LORD of hosts. He is Jehovah Sabaoth!
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 ай бұрын
Amina
@user-ox9ks4op8z
@user-ox9ks4op8z 4 ай бұрын
Vita ni ya Mungu love the song❤
@rehemayohana8017
@rehemayohana8017 5 ай бұрын
Hakika vita si yangu Mungu akutunze tuendelee kubarikiwa kupitia wewe
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 5 ай бұрын
Amina
@ireenmukamigitongaMukami
@ireenmukamigitongaMukami 2 ай бұрын
Aki huyu mama mungu akuinue ....am blessed and nikawa na hope
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 ай бұрын
Amen
@christinemuseni6482
@christinemuseni6482 6 ай бұрын
Amen am soo Blessed mummy kwa kweli vita sio yangu vita nivya Mungu 🥰🥰🥰🥰🥰
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 6 ай бұрын
Amina
@subirawatson5108
@subirawatson5108 2 ай бұрын
Dada unaimba kwa hisia sana barikiwa
@kevinaiyeza1307
@kevinaiyeza1307 3 ай бұрын
Amen in Jesus name nipiganie mungu kwa maana mm mwenyewe siezi pigana niokoe yesu pigana na hao wanao pigana na mm
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 ай бұрын
Amen
@kagwiriakathurima4864
@kagwiriakathurima4864 4 ай бұрын
You will never fail to know a minister who carries God. Vaileth Carries God. You are a blessing to Generation.. Africa is too small for this voice.
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 4 ай бұрын
Thanks dear be blessed
@MargaretMbaluka-ng2ot
@MargaretMbaluka-ng2ot 4 ай бұрын
Amen ukininguza Mimi unachokonza mungu be blessed mum
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 4 ай бұрын
Amina
@phennyodoyo7589
@phennyodoyo7589 3 ай бұрын
Huu wimbo hunibariki Sana🙏🙏🙏❤️💯... Asante Vaileth Mwaisumo kwa habari hii nzuri🥰
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 ай бұрын
Amen
@NafulaNb-zo1jr
@NafulaNb-zo1jr 6 ай бұрын
Bless mum napenda song zako sana 🙏 ni mungu tu
@loisendisya2739
@loisendisya2739 3 ай бұрын
From TikTok now here the song is so nice ❤❤
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 ай бұрын
Amen
@JOSEFRIDAMADUILA
@JOSEFRIDAMADUILA 6 ай бұрын
Ni kweli VITA SI YANGU niiijioña cku moja nnarushiwa mishale mara akatokea aliýevalia ñguo nyeupe akaniokoa ckupàtwa na mishale Jamani MUNGU ananguvù
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 6 ай бұрын
Amina ananguvu sana
@IanMutongi-xs6jh
@IanMutongi-xs6jh 5 ай бұрын
God is fighting my battles through my uknown enemies
@godwinmutsami4635
@godwinmutsami4635 6 ай бұрын
Happy new year mum.2024 tunamwachia Mungu atupiganie
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 6 ай бұрын
Amina
@user-ck7ki7yz5j
@user-ck7ki7yz5j 5 ай бұрын
Kwa kweli vita si yangu ni ya mungu a powerful song ubarikiwe kwa ujumbe mzuri
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 5 ай бұрын
Amina
@PeterMaeba-yf4kt
@PeterMaeba-yf4kt 2 ай бұрын
Wimbo mzuri kabisa hadi nimeokoka
@TripleEnterprises-tg3om
@TripleEnterprises-tg3om 2 ай бұрын
Thanks madam vaileth mungu ndo kila kitu katika maisha yetu atuepusha na majaribu ya adui
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 ай бұрын
Amina
@olgambotela3912
@olgambotela3912 2 ай бұрын
This is my testimony,
@julianmuli7721
@julianmuli7721 5 ай бұрын
Hakika vita si yangu ni ya mungu🙏🙏🙏🙌
@eliasndambani3149
@eliasndambani3149 3 ай бұрын
I love your messages Will be playing this song until i fall asleep Vita siyangu vita yamungu Asante vaileth from Zimbabwe 🇿🇼
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 ай бұрын
Be blessed
@tuwenimgohamwende7012
@tuwenimgohamwende7012 5 ай бұрын
Hakika ,, MUNGU mwenyewe apigane this song made ma Day 🙏🙏🙏🙏
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 5 ай бұрын
Amen
@victordeekenya3539
@victordeekenya3539 2 ай бұрын
Following from Nairobi Kenya 🇰🇪 Nyimbo ya baraka na ushindi...
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 ай бұрын
Amina
@user-qg6bn2hg5y
@user-qg6bn2hg5y 18 күн бұрын
Huu wimbo umenbarik
@soniachichi2301
@soniachichi2301 3 ай бұрын
Am in love with her songs God bless you Maa, love from Zambia ❤
@MichaelMollel-zp3kg
@MichaelMollel-zp3kg 4 ай бұрын
Ongera Sana nimebarikiwa Sana mtu wa Mungu
@ruthwangari1567
@ruthwangari1567 3 ай бұрын
Amen vengeance belongs to the Most High God 🙏
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 ай бұрын
Amen
@lizzymwaura7707
@lizzymwaura7707 6 ай бұрын
Kweli mwaka huu vita si yangu Wala ni ya mungu more lov mama ❤❤❤❤ may the always bless u
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 5 ай бұрын
Amen
@user-nv6jk8ot6d
@user-nv6jk8ot6d 2 ай бұрын
I needed this song to remind me alot, Knowing someone had killed a chicken for me to perish lakini Mungu ni mkubwa kuliko viumbe vyote
@petals8437
@petals8437 3 ай бұрын
For those who don't understand Swahili meaning"The Battle is not mine but for God" ..so if you" digging a pit for me , dont dig soo deep because you will enter it yourself,"if you putting/placing thorn's in my way dont put much just a little coz you will prick yourself,"if your pouring water in my way to be slippery ,dont put much just a little because you will slide in it yourself ....so if you doing whichcraft on me just know it aint my battle but the lords"... powerful
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 ай бұрын
Be blessed
@petals8437
@petals8437 3 ай бұрын
I 💕 your song very much....
@user-sd2cb3wr8x
@user-sd2cb3wr8x 5 ай бұрын
Vita si yangu napiganiwa n Mungu 🙏 barikiwa sana
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 5 ай бұрын
Amen
@user-le7qw5pd4t
@user-le7qw5pd4t 4 ай бұрын
Ni kweli vita niya mungu sis hatuwezi🙏🙏🙏🙏🙏
@maureenotieng7085
@maureenotieng7085 6 ай бұрын
Upendo nilionayo kwangu tu ndiye anajua ubarikiwe sana momma kwa maana nyimbo zako zote zinabariki na zinapea nguvu ubarikiwe zaidi
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 6 ай бұрын
Amina
@JoslyneNtaho-cz1xs
@JoslyneNtaho-cz1xs 4 ай бұрын
Kweli vita niyake mungu nakupenda sana
@okoitipatrick7501
@okoitipatrick7501 4 ай бұрын
Vita si vyangu ni vita vya mungu
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 4 ай бұрын
Amina
@carolmokobi9626
@carolmokobi9626 3 ай бұрын
Ujumbe ulio na ukweli ndani......
@theresamushila9080
@theresamushila9080 5 ай бұрын
mungu akubariki sana mama eeish.huu wimbo unakusa wengi,watu tubadilike haki .VITA ACHIA MWENYEWE..
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 5 ай бұрын
Amina
@user-mv2dd2qc8k
@user-mv2dd2qc8k 5 ай бұрын
Huu wimbo umenibariki sana,mungu akusongeze mbele zaidi
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 5 ай бұрын
Amen
@maureenjerotich3399
@maureenjerotich3399 5 ай бұрын
Ooh Amen Amen 🙏 Asante mungu kwa kutupigania kila wakati , feel loved from kenya mummy 🥰❣️
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 5 ай бұрын
Amen
@miriamogada5097
@miriamogada5097 16 күн бұрын
From TikTok
@judithphiliptvKenya
@judithphiliptvKenya 6 ай бұрын
I'm happy for you my darling sister.....vita si yangu Ni ya Mungu.....napenda huduma yako...sauti yako ya dhahabu dada vaileth
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 6 ай бұрын
Amina🙏🏼
@user-wn4vl3fg9q
@user-wn4vl3fg9q 4 ай бұрын
Ni kweli vita ni ya mungu Mimi nimenyamaza ameñipingania
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 4 ай бұрын
Amen
@VICTORMUTHENYA
@VICTORMUTHENYA 6 ай бұрын
I love your music❤❤❤Kenya tunakupenda sana
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 6 ай бұрын
Thanks much nami nawapenda Sana ndugu zangu wa KENYA 🥰🥰🥰🥰
@DondeDieuElias-ic3qj
@DondeDieuElias-ic3qj 6 ай бұрын
Aminaa mutumishi wa Mungu n'a mimi vita si yangu ❤❤❤❤
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 6 ай бұрын
Amina
@user-lu2se7ww5r
@user-lu2se7ww5r 6 ай бұрын
Vita si yangu ni ya mungu 2024❤❤❤❤woow be blessed natoka Kenya 🇰🇪 but sahi nawatch from Saudi Arabia najua kwanzia sahii Vita si vyangu. Ni vya mungu ❤❤❤❤❤barikiwa sana mami 🎉🎉🎉🎉🎉
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 6 ай бұрын
Amina🙏🏼
@AngelDamiani
@AngelDamiani 5 ай бұрын
Hakika vita ni ya MUNGU, barikiwa Mtumishi
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 5 ай бұрын
Amen
@catherinemwanduka4481
@catherinemwanduka4481 6 ай бұрын
Tangu nijue kumwachia vita maisha yalibadilika🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 6 ай бұрын
Amina
@sylviaauma6731
@sylviaauma6731 5 ай бұрын
Ooh my God what my heart really needed may the Lord you
@ministerprincej7033
@ministerprincej7033 6 ай бұрын
May God bless your ministry mtumishi 🙏🎉
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 6 ай бұрын
Amina 🙏🏼
아이스크림으로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 52 МЛН
버블티로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 116 МЛН
Annoint Amani - Msizike bado yuko hai ( official music video )
8:54
Annoint Amani
Рет қаралды 122 М.
Israel Mbonyi - Amenisamehe
9:25
Israel Mbonyi
Рет қаралды 6 МЛН
Obby Alpha- Bora kushukuru (Official Video) For Skiza  dial  *837*2692#
3:58
Vaileth Mwaisumo - Atafanya Njia ( Official Video) SMS SKIZA 8089705 to 811
7:40
NIMEPENDA REMIX - Guardian Angel  .x. Deus Derrick ft. Sammy G
4:15
Guardian Angel Global
Рет қаралды 14 МЛН
Kobelek
4:11
6ELLUCCI - Topic
Рет қаралды 779 М.
Kendrick Lamar - Not Like Us
5:55
KendrickLamarVEVO
Рет қаралды 47 МЛН
Sardor Tairov - Sen meni yeding (Official Music Video)
5:02
Sardor Tairov Official
Рет қаралды 4,6 МЛН
Janona
4:09
Release - Topic
Рет қаралды 1,7 МЛН
Bakr x Бегиш - TYTYN (Mood Video)
3:08
Bakr
Рет қаралды 1,2 МЛН