Рет қаралды 526,817
Nitamwambia MUNGU Ni wimbo unaokukumbusha kuwa chini ya jua penda kusema na MUNGU kupitia maombi, mueleze sana MUNGU kuliko watu, maana watu wamejaa maumivu badala ya msaada hivyo wimbo huu ukukumbushe kuwa kimbilio na msaada wa kweli ni MUNGU peke yake.
#VailethMwaisumo #NitamwambiaMungu