Рет қаралды 94,981
Siku mpya ni wimbo unaokukumbusha kwamba chini ya jua Kuna majira ya kukumbukwa, Kuna majira ya kufutwa machozi, Kuna majira ya kupewa heshima, wimbo huu unamshangilia MUNGU kwa namna alivyotenda mambo makuu, kwa namna alivyotutoa kwenye maumivu na mateso na kutupa raha.#vailethmwaisumo #sikumpya #nasahau