Vaileth Mwaisumo - Vita si Yangu (Official Music Video)Skiza *860*287#

  Рет қаралды 826,501

Vaileth Mwaisumo

Vaileth Mwaisumo

Күн бұрын

Chini ya jua ni mapambano, maadui kila kona ila uzuri ni kwamba yupo mtetezi wimbo huu ukupe ujasiri mkuu kuwa katika hiyo vita hauko peke yako yupo MUNGU atakutetea kwani VITA NI YA MUNGU.#vailethmwaisumo #vitasivyangu #mashimomnayonichimbia #kimewaramba

Пікірлер: 771
@LilianEramuenya
@LilianEramuenya 6 ай бұрын
Why is this not hitting 1 million? This song is a hit. Kenyans let's support this lady to hit 1 million
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 6 ай бұрын
🙏🙏
@nicholasjoejoe9602
@nicholasjoejoe9602 6 ай бұрын
Nampenda bure tu.
@argentinawangui6325
@argentinawangui6325 4 ай бұрын
Sure
@thomasmwangombe8416
@thomasmwangombe8416 6 ай бұрын
First one here...si mnipe likes.may God bless you mtumishi.Hakika vita ni vya Mungu.
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 6 ай бұрын
Amina
@benjaminsiayi386
@benjaminsiayi386 6 ай бұрын
Mungu akuinue saiti sana sister umenibariki na nyimbo zako🎉 amen 🙏 in Jesus mighty name
@user-nd9wv9gn9r
@user-nd9wv9gn9r 5 ай бұрын
❤❤❤❤​@@vailethmwaisumo
@damarisnzisa9738
@damarisnzisa9738 Ай бұрын
I like your beiz😅
@mariakidumba8439
@mariakidumba8439 8 күн бұрын
Samahani dada vai naomba namba yako❤❤❤❤
@AROMAAR_KING001
@AROMAAR_KING001 6 ай бұрын
From TikTok to KZbin 🔥🔥🔥 wale tumetoka TikTok nipeni likes 20 tukisonga 🔥🔥🔥🔥
@nicholasjoejoe9602
@nicholasjoejoe9602 6 ай бұрын
Mkono juu.
@AROMAAR_KING001
@AROMAAR_KING001 6 ай бұрын
@@nicholasjoejoe9602 ✋✋✋✋
@irenenduku5012
@irenenduku5012 5 ай бұрын
🙌🙌
@AROMAAR_KING001
@AROMAAR_KING001 5 ай бұрын
@@irenenduku5012 ❤️🧡💯
@sgmoviescollection5215
@sgmoviescollection5215 5 ай бұрын
Pia mimi from tiktok to here
@jobashikoye8403
@jobashikoye8403 4 ай бұрын
Wow Niko bizena yangu! I love this kimewaramba na bado .nimebarikiwa na nyimbo zako zoooote. Likes zikam bana
@Patricia0794
@Patricia0794 9 күн бұрын
How can I like this song 1 million times ❤❤❤❤❤❤❤?barikiwa Vaileth
@aaronkioko6781
@aaronkioko6781 6 ай бұрын
Listening and watching more than 10time❤ powerful song nipe like nirundi tena
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 6 ай бұрын
Rudi kabisa😄
@marikiurio2656
@marikiurio2656 6 ай бұрын
HAKIKA MWAKA HUU 2024 VITA SI YANGU NI YA MUNGU OOOH HALELUYA GLORY TO GOD❤
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 6 ай бұрын
Amina🙏🏼
@lucywanja6435
@lucywanja6435 4 ай бұрын
From Tiktok to KZbin ,Tizian amefanya tukutane huku
@electineachieng8571
@electineachieng8571 5 ай бұрын
Anytime am scrolling TikTok and I come across this I just come on KZbin
@williamkidiavai8356
@williamkidiavai8356 6 ай бұрын
Kenyans let's gather here for kimewaramba😅😅😂
@lugongogaundence
@lugongogaundence 6 ай бұрын
Mwanadamu ukiona uko hai na unakula unaishi vizuri jua mungu alale kutulinda ,sante mungu kwa kutupigania,
@alexanderkswift4294
@alexanderkswift4294 Ай бұрын
Vaileth is my favorite ❤️ artist...more love here in kenya
@patiencekabeyeka4864
@patiencekabeyeka4864 4 ай бұрын
From TikTok to KZbin be blessed dada
@inexcutee1844
@inexcutee1844 3 ай бұрын
Ukweri vita si yangu wacha mungu atupiganie amen 🙌🙏🙏🙏🙏
@TeophoryMbilinyi
@TeophoryMbilinyi 4 күн бұрын
hongera sana wimbo mzuri sana!
@stanoh92
@stanoh92 6 ай бұрын
Tz for kenyan , kenyan for Tz always a blessing to our generation. Love you mum
@ivonebikehi1584
@ivonebikehi1584 6 ай бұрын
This song is on another level ❤ the message is direct doesn't need explanation...let's support our mum❤❤
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 6 ай бұрын
🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@mercykisanya9306
@mercykisanya9306 3 ай бұрын
🎉🎉🎉
@ferryfabulous7250
@ferryfabulous7250 3 ай бұрын
❤❤❤❤👌
@user-jn6ec7qv5p
@user-jn6ec7qv5p 5 ай бұрын
Wangap mmerudia hii nyimbo zaid ya mara kumi,,,me nikiweka bando lazima nisikilize huu wimbo cox una ujumbe mzur sana na nabarikiwa pia
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 5 ай бұрын
Amen
@Wekesir
@Wekesir 4 ай бұрын
Yoo this is what I've been doing,
@gabrielmuuo8869
@gabrielmuuo8869 4 ай бұрын
Nmetoka sasa Ivi tiktok nkaiona na mbio nkaja apa... and let me tell you my friend, ploti nzima wametokea nje wananiuliza nyimbo ya Nani hii... Jameni vita si yangu
@SamwelOoko2
@SamwelOoko2 3 ай бұрын
Me kwanza nimeudownload such a wonderful song🥺🙏🙏🙏
@daviesmurunga-jl6eb
@daviesmurunga-jl6eb 3 ай бұрын
Mimi more than 20times
@rosemarymuriithi-gr9fl
@rosemarymuriithi-gr9fl 6 ай бұрын
nyimbo zako zani bariki kweli
@Mggiecharleskui
@Mggiecharleskui Ай бұрын
Naupenda sana huu wimbo♥️♥️♥️. Mum nipitie
@trishsharlyn807
@trishsharlyn807 6 ай бұрын
Amen Amen a very big Amen someone react to my comment I must come back and thank God for fighting for me vita zangu this year 2024 ,🙏
@haronowati6533
@haronowati6533 Ай бұрын
mama valeith kabarikiwa kweli much love from Kenya🥰
@WilliamKulalu
@WilliamKulalu 6 күн бұрын
Dada ubalikiwe na mungu asichoke kukubaliki uendelee nakazi ya bwana
@user-wf8yf3qn1d
@user-wf8yf3qn1d Ай бұрын
Amen and Amen Mungu awapige vita watezi na maadaui wanaoniwasia na kunipangia maovu Psalms 35
@LinetWilliams-w8n
@LinetWilliams-w8n Ай бұрын
Vita SI vyangu n vya mungu kwa magumu yenye napitia kama mjane
@alicemucharia6538
@alicemucharia6538 6 ай бұрын
Mungu Nipiganie maana nina maadui wengi , vita si yangu ni Yako Yesu Amen, More Grace Sister , a powerful song 🎵 ❤
@Magrethvangota
@Magrethvangota 4 күн бұрын
Amina dada kweli vita si yangu vita ni ya Mungu ❤❤❤❤❤❤
@Emmahmildred
@Emmahmildred Ай бұрын
Woow really love the song, indeed God is fighting my battles.
@alicewanjiku5611
@alicewanjiku5611 6 ай бұрын
Barikiwa saana soo poweful.vita si yangu vita ni ya Mungu.i leave everything to you God
@subirawatson5108
@subirawatson5108 2 ай бұрын
Dada unaimba kwa hisia sana barikiwa
@freemark5849
@freemark5849 Ай бұрын
Powerful….God shall fight our battles….beautiful lady you’re!!!!blessed are you.
@felistamushi
@felistamushi Ай бұрын
Hakika tulio ndani ya kristo tunalindwa na MUNGU
@Zainah3G
@Zainah3G 4 ай бұрын
Vita ya Mungu .. Ile vita Iko sau kwa maisha yangu ... Lord come through 🙏🙏
@user-hh3gs4qu1y
@user-hh3gs4qu1y 6 ай бұрын
It's true I can't fight for myself...God is by my side 🙏🙏
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 6 ай бұрын
Amina
@gaunye
@gaunye 4 ай бұрын
Am so blessed by this song, nimetoka Tick tock after watching Big Daddy amepost🇰🇪🇰🇪
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 4 ай бұрын
🙏🏼🙏🏼
@bonfacemadangi3744
@bonfacemadangi3744 7 сағат бұрын
Vita siyangu vita ya mungu
@miriamogada5097
@miriamogada5097 Ай бұрын
Praise the name of the lord Jesus Christ 👏 am blessed with this song ❤
@user-pr3ih7mo7y
@user-pr3ih7mo7y 6 ай бұрын
one of the best gospel artist in east and eastern africa much love from kenya
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 6 ай бұрын
🙏🏼🙏🏼
@user-mn5sz8jr6u
@user-mn5sz8jr6u 3 ай бұрын
veery nice song per se
@JaneMakokha-bm1xd
@JaneMakokha-bm1xd 4 ай бұрын
Wow powerful.... Si vyangu vita
@kipkemoimutai1903
@kipkemoimutai1903 4 ай бұрын
Hakika Vita si yangu. God is always here for us. Great
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 4 ай бұрын
Amen
@sylviazachie7917
@sylviazachie7917 3 ай бұрын
I thank God for fighting for me battles of kingdom of the devil. Have always emerged victorious 🙏😁
@rehemayohana8017
@rehemayohana8017 6 ай бұрын
Hakika vita si yangu Mungu akutunze tuendelee kubarikiwa kupitia wewe
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 6 ай бұрын
Amina
@TupyelesyegeSwetala
@TupyelesyegeSwetala Ай бұрын
Hakika mungu nimekuona ukinipigania... Hakika vita ni yako mimi siwezi endelea kunipigania mungu angu daima nitaweka tumaini kwako siku zote za maisha yangu
@gladys3119
@gladys3119 5 ай бұрын
Ukweli vita ni ya mungu.asanti kwa wimbo God blessed you more and more
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 5 ай бұрын
Amina
@user-qg6bn2hg5y
@user-qg6bn2hg5y Ай бұрын
Huu wimbo umenbarik
@maureenjerotich3399
@maureenjerotich3399 5 ай бұрын
Ooh Amen Amen 🙏 Asante mungu kwa kutupigania kila wakati , feel loved from kenya mummy 🥰❣️
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 5 ай бұрын
Amen
@Alexkingmpendaamani25
@Alexkingmpendaamani25 5 күн бұрын
Amen my sister Vita si yetu Ni vya mungu ambaye anatupigania siku zote hupo nasi tuendapo Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🎉🎉🎉🎉🎉
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 5 күн бұрын
Amen
@Alexkingmpendaamani25
@Alexkingmpendaamani25 5 күн бұрын
@@vailethmwaisumo welcome my sister 👏👏👏🌷🌷
@simonidrz6155
@simonidrz6155 6 ай бұрын
Video nzuri Sana'a
@cadimelisulle8986
@cadimelisulle8986 5 ай бұрын
Hongera sana mwl
@rispaqueen
@rispaqueen 6 ай бұрын
Amen Amen Amen this is for me huu mwka 2024 nimesema vita si viangu ni via mungu,🇰🇪 kenya loves u mummy, sister vayo.
@estherneville4854
@estherneville4854 4 ай бұрын
Hakika bila Mungu kuwa Upande wangu sijui ingekuwaje😅
@MaryWangui-qv1ne
@MaryWangui-qv1ne 3 ай бұрын
Beautiful song,hao hao iyo kwa mganga❤
@gracekemunto
@gracekemunto Күн бұрын
Amen vita si yangu ni ya Mungu azidi kunipigania
@PeterMaeba-yf4kt
@PeterMaeba-yf4kt 3 ай бұрын
Wimbo mzuri kabisa hadi nimeokoka
@Elishashayomueo-cd5qp
@Elishashayomueo-cd5qp Ай бұрын
Ameni mama yetu vita tumwachie mungu
@Mr.Moneykatter
@Mr.Moneykatter 4 ай бұрын
I'm impressed fr
@user-jn6ec7qv5p
@user-jn6ec7qv5p 6 ай бұрын
Kuwa mweusi ni raha sana jmn huyu dada ni black beaty alafu ni mzurii hataree ❤❤
@nicholasjoejoe9602
@nicholasjoejoe9602 6 ай бұрын
Na smile je
@user-jn6ec7qv5p
@user-jn6ec7qv5p 5 ай бұрын
​@@nicholasjoejoe9602acha tu nampenda hataree cox nyimbo zake zinanibariki sana ata kama nilikuwa nimekata tamaa nikisikiliza tu nyimbo zake najikuta nanyanyuka Tena🙌
@ireenmukamigitongaMukami
@ireenmukamigitongaMukami 3 ай бұрын
Aki huyu mama mungu akuinue ....am blessed and nikawa na hope
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 ай бұрын
Amen
@floratash1873
@floratash1873 4 ай бұрын
Vita si yangu.....nitetee Baba
@soniachichi2301
@soniachichi2301 4 ай бұрын
Am in love with her songs God bless you Maa, love from Zambia ❤
@beversentertainment1106
@beversentertainment1106 6 ай бұрын
More blessings 🙌 🙏 knowing vita si yangu ila ya mungu ❤❤
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 6 ай бұрын
Amina
@shaddyprezzo8430
@shaddyprezzo8430 2 ай бұрын
Very powerful song... Nyimbo zako madam hunibariki sana
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 ай бұрын
Shukrani
@user-od1qv6ez6n
@user-od1qv6ez6n 4 ай бұрын
Ameen kweli vita si yangu
@user-le7qw5pd4t
@user-le7qw5pd4t 5 ай бұрын
Ni kweli vita niya mungu sis hatuwezi🙏🙏🙏🙏🙏
@GladDullah
@GladDullah 4 ай бұрын
Kimewarambaaaaaaaaaa❤❤❤❤❤
@user-ox9ks4op8z
@user-ox9ks4op8z 5 ай бұрын
Vita ni ya Mungu love the song❤
@user-pq5yi4ep1z
@user-pq5yi4ep1z 5 ай бұрын
Ndilinayo Yesu tetezi ooo yes
@user-ck7ki7yz5j
@user-ck7ki7yz5j 6 ай бұрын
Kwa kweli vita si yangu ni ya mungu a powerful song ubarikiwe kwa ujumbe mzuri
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 6 ай бұрын
Amina
@westleysoi341
@westleysoi341 4 ай бұрын
this is only God. i have been trying to get this song and this is with me now. i am so happy and so inspired . may God uplift you my sister.
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 4 ай бұрын
Amen
@westleysoi341
@westleysoi341 4 ай бұрын
@@vailethmwaisumothanks for your response.. your song rings in my mind and fills uplifted. be blessed.😇
@zipporahkemunto6938
@zipporahkemunto6938 5 ай бұрын
Kwa kweli ni Mungu na ndo mtetezi wa wat u wake🔥🔥💯
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 5 ай бұрын
Amen
@JoslyneNtaho-cz1xs
@JoslyneNtaho-cz1xs 4 ай бұрын
Kweli vita niyake mungu nakupenda sana
@lizzymwaura7707
@lizzymwaura7707 6 ай бұрын
Kweli mwaka huu vita si yangu Wala ni ya mungu more lov mama ❤❤❤❤ may the always bless u
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 6 ай бұрын
Amen
@mariakidumba8439
@mariakidumba8439 8 күн бұрын
Wapekee sana naomba mawasiliano
@kabirojane9535
@kabirojane9535 17 күн бұрын
Kimewaramba❤
@scolakiwale2055
@scolakiwale2055 6 ай бұрын
Wimbo mzur sana, video nzur sana, hongera sana mywii
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 6 ай бұрын
Asante Sana my wii
@user-xr4cb2cp3i
@user-xr4cb2cp3i 2 ай бұрын
Amen amen kweli vita sio yangu naamini
@user-rj1uc4oz1c
@user-rj1uc4oz1c 5 ай бұрын
Kweli vita si yangu.God bless
@janetngugi3731
@janetngugi3731 3 ай бұрын
For sure vita ni ya mungu am a living testimony of how God saved my life and fought for me when my enemies had taken me for witchcraft!! I love God and I will live for Him!!
@janechengula6057
@janechengula6057 6 ай бұрын
Hakika vita si yangu safi sana💯✅
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 6 ай бұрын
Amina🙏
@user-xb6sr6ml1f
@user-xb6sr6ml1f 6 ай бұрын
God Fights With our Opponents,Enemies,Glory To HIM.
@carolmokobi9626
@carolmokobi9626 4 ай бұрын
Ujumbe ulio na ukweli ndani......
@user-mv2dd2qc8k
@user-mv2dd2qc8k 5 ай бұрын
Huu wimbo umenibariki sana,mungu akusongeze mbele zaidi
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 5 ай бұрын
Amen
@NafulaNb-zo1jr
@NafulaNb-zo1jr 6 ай бұрын
Bless mum napenda song zako sana 🙏 ni mungu tu
@christinemuseni6482
@christinemuseni6482 6 ай бұрын
Amen am soo Blessed mummy kwa kweli vita sio yangu vita nivya Mungu 🥰🥰🥰🥰🥰
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 6 ай бұрын
Amina
@JJones-oh3dd
@JJones-oh3dd 4 ай бұрын
We love you from🇰🇪🇶🇦❤
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 4 ай бұрын
Thanks
@kagwiriakathurima4864
@kagwiriakathurima4864 4 ай бұрын
You will never fail to know a minister who carries God. Vaileth Carries God. You are a blessing to Generation.. Africa is too small for this voice.
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 4 ай бұрын
Thanks dear be blessed
@KalonzoTV
@KalonzoTV 6 ай бұрын
Napenda wwe kazi nzuri
@MichaelMollel-zp3kg
@MichaelMollel-zp3kg 4 ай бұрын
Ongera Sana nimebarikiwa Sana mtu wa Mungu
@munehjd9118
@munehjd9118 6 ай бұрын
Back and forth ❤❤❤❤❤❤ much love
@rechomwambungu8381
@rechomwambungu8381 6 ай бұрын
Barikiwa sana mama
@samkarsamkar191
@samkarsamkar191 5 ай бұрын
Wow wimbo bora majira kama haya
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 5 ай бұрын
Amina
@rebeccakemuma673
@rebeccakemuma673 5 ай бұрын
This 2024 God exposed all my fake friends am happy God will fight for me all they conspired against me they dug a pit for me but God has been by me thanks daddy for loving me papa❤❤
@eunice3876
@eunice3876 5 ай бұрын
Nice song
@isaya.m.mwakapesa9808
@isaya.m.mwakapesa9808 6 ай бұрын
Mama hakika uko ndani yake naye ndani yako vita SI vyetu na tupigani sisi Bali ni baba anae tupigania
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 6 ай бұрын
Amen
@theresamushila9080
@theresamushila9080 6 ай бұрын
mungu akubariki sana mama eeish.huu wimbo unakusa wengi,watu tubadilike haki .VITA ACHIA MWENYEWE..
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 6 ай бұрын
Amina
@tumuhairweboreen6070
@tumuhairweboreen6070 5 ай бұрын
What a beautiful song with a beautiful video. All for the glory of God. Be blessed mama. I longed for this video
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 5 ай бұрын
🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@cifnge
@cifnge 3 ай бұрын
Waoh, yua songs are a blessing to me, may God continue to bless you They give us hope to continue going even when we are facing alot of hardship God bless you so much ❤️❤️
@victordeekenya3539
@victordeekenya3539 3 ай бұрын
Following from Nairobi Kenya 🇰🇪 Nyimbo ya baraka na ushindi...
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 ай бұрын
Amina
@eliasndambani3149
@eliasndambani3149 4 ай бұрын
I love your messages Will be playing this song until i fall asleep Vita siyangu vita yamungu Asante vaileth from Zimbabwe 🇿🇼
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 4 ай бұрын
Be blessed
@faithchepkirui5572
@faithchepkirui5572 6 ай бұрын
Sending love from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@gladysmapenzi2089
@gladysmapenzi2089 6 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi, kweli vita si yangu ni ya mungu
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 6 ай бұрын
Amina
Greatest Hits Of Vaileth Mwaisumo Gospel Music
41:55
Vaileth Mwaisumo
Рет қаралды 190 М.
YALE USIYOYAWEZA BWANA ANAWEZA, ALIPO BWANA, ZUNGUMZA NAMI BWANA AND BILA WEWE YESU SIWEZI
34:14
HEAVEN SOUND ONLINE TV KENYA[MinisterDANYBLESS]
Рет қаралды 5 МЛН
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 24 МЛН
Spot The Fake Animal For $10,000
00:40
MrBeast
Рет қаралды 186 МЛН
Summer shower by Secret Vlog
00:17
Secret Vlog
Рет қаралды 13 МЛН
Martha Mwaipaja -Naiona Kesho (Offical video)
9:14
Martha Mwaipaja
Рет қаралды 5 МЛН
Israel Mbonyi - Amenisamehe
9:25
Israel Mbonyi
Рет қаралды 7 МЛН
Ali Mukhwana Live Ministration MAOMBI YANGU.
6:50
Ali Mukhwana
Рет қаралды 1,4 МЛН
Vaileth Mwaisumo - Atafanya Njia ( Official Video) SMS SKIZA 8089705 to 811
7:40
Jaloliddin Ahmadaliyev - Kuydurgi (Official Music Video)
4:49
NevoMusic
Рет қаралды 11 МЛН
Stray Kids "Chk Chk Boom" M/V
3:26
JYP Entertainment
Рет қаралды 64 МЛН
V $ X V PRiNCE, Shulamah - Jai Jatpaimyz (2024)
2:38
Студия СОЮЗ
Рет қаралды 128 М.
Taxi
3:06
Sadraddin - Topic
Рет қаралды 212 М.
Жандос ҚАРЖАУБАЙ - Ауылымды сағындым (official video) 2024
4:25
Serik Ibragimov ft IL'HAN - Жарығым (official video) 2024
3:08
Serik Ibragimov
Рет қаралды 175 М.