Huo ni uhuni na Mimi ni dereva zaidi ya miaka 30 na Bado nipo road kwanza hicho kinainekana sio kibwengo Bali ni mtoto wa kawaida kabisa ila hapo ni Kijijini na ndio maana ukiangalia hapo kulia Kuna njia inaonekana Pana watu wanapita huyo ana gari ndigo na ndio madereva wa mjini wakifika Kijijini Huwa watu wote wanaona wachawi
@chifuthedoni8889 Жыл бұрын
We mtoto wako anaweza kutoka usku wa manane akaenda kusimama barabarani? Au hujitambui tu? Huo ni uchawi na we kama huamini maanaake ni kwamba we pia ni mchawi,
@Idrisa-bu2ln Жыл бұрын
@@chifuthedoni8889HeEe wewe utakuwa mshirikina mwenzio kakwambia anamiaka Zaid ya 29 anaendexh njia hzo wewe unaleta hbr za vip asee
@@chifuthedoni8889 karne ya 21 bado mnaamini uchawi upo duh
@Hamy1109 Жыл бұрын
Hongera sana Twalib. Hakika umekuwa mfano mzuri wa kuigwa kwa vijana wengi nchini 👌
@ngwegwenurdin4318 Жыл бұрын
God is great
@happynelson1180 Жыл бұрын
Mbona pale aliposimama huyo mtoto sio usiku mnapenda sana kuamini uchawi na hakuna mtu yeyote aliyetajirika na uchawi inawezekana wao wenyewe walimuweka huyo mtoto hapo ili wapate njia ya kupata tangazo na hapo wanaongelea sana kuhusu tangazo kuliko huyo mtoto
@MrBm369-h1p Жыл бұрын
Hapo ndipo utawaza kua watanzania tupo milioni 60 na alafu wote tunawaza siku moja tutoboe🤣🤣😂😂 hii sijui imekaaje
@ukweliunauma4570 Жыл бұрын
Hii ni kweli , hii picha ukiizoom utaona , huyu mtoto kazungukwa na muangza nje ya mwili wake ana'gara , kama mwanga umemzunguka, Madereva jichungeni mueombe dua sana hsya mambo yapo
@Burner_Acc Жыл бұрын
Nonsense
@musason1680 Жыл бұрын
Wakuu humu mkiachana na vibwengo Kuna la kujifunza
@vibetz9991 Жыл бұрын
Watu wengine wameumbwa kuita watu ""Tajiriiiiii.."" 😂
@ukweliunauma4570 Жыл бұрын
Acha uchoyo.wewe , wanga sio lazima ukwange
@vibetz9991 Жыл бұрын
@@ukweliunauma4570ni hamasa tu ,na sio uchoyo😄
@chaleboymusician528 Жыл бұрын
Mi nahangaika hata kabaskeli tu sipati ila mungu kaweka mgao wa riziki tusikate tamaa
@Harrison-zh9sb Жыл бұрын
Vitu vidogo sana hivyo ndugu tatizo unahangaika kutafuta pesa. Usitafute pesa tafuta nguvu myuma ya pesa
@iddimngazija1957 Жыл бұрын
Mirlad ayo mshaanza uhuni mm nataka kuckia kuhusu vibwengo
@raymanmwangosi5041 Жыл бұрын
Da sasa ukisema ni tangazo shida iko wapi? Ona sasa mekula mb zangu
@timothykaiza327 Жыл бұрын
Dereva Alie record hiyo vdeo ya huyo mtoto namfahamu.
@rejobu9723 Жыл бұрын
Mmh hii sio habari tafuteni habari ya maana kimsingi hii clip inayo muonyesha huyo mtto ni yamuda sana na nimtto wa kawaida hakuna kibwengo hapo
@davidlelo6192 Жыл бұрын
Jamani kk naomba naomba,uendena india tunateseka sn namizigp
@rubenprince8990 Жыл бұрын
Na hapa AUSTRALIA askari wangu
@kellymwegelingoha.3306 Жыл бұрын
Boss mtoto nakuona mkuu
@michaelsamson9663 Жыл бұрын
Wejama unajifanya uelewi akati ni mambo yakawaida baazi yamaeneo nchii
@lugendodaudi5510 Жыл бұрын
Fanya kitu upendacho ufanikiwe good idea akileta howo nistue
@ngwegwenurdin4318 Жыл бұрын
Amini kwamba.
@victorburetta2972 Жыл бұрын
👊🏻👊🏻✍🏽
@issaalfani1030 Жыл бұрын
Naongea makosa ya Madereva mbona huongelei ubovu wa gari
@mwanatz5980 Жыл бұрын
Hongera sana kaka
@unclegmihale455 Жыл бұрын
Safi
@seiflugendo7141 Жыл бұрын
Kaka vibwengo wapo ila hichokiumbe mlichokionyesha hapo hakikua kibwengo huyo ni mtoto madereva ni wahunituu.
@asiamalikita3491 Жыл бұрын
Ana utajir gan huyu anakutomba na halipi hela yaan anakela huyu twalibu
@bernadetamodest6170 Жыл бұрын
Dada mbona makasiriko?
@mbwanakonk453 Жыл бұрын
Unaleta umalaya kazn
@aloycejohn6038 Жыл бұрын
Mambo ayo yapo kwel njian me nishakutana nayo Zaid ya mala mbili
@jonaskabonda741 Жыл бұрын
Good 👍 job brother
@ahmedbashash3672 Жыл бұрын
Wachen ujinga huyo mtoto ni wa kijijini tu kawaida tu
@valenakomba9218 Жыл бұрын
Safii sanaaa.
@fredrickbaltazar819 Жыл бұрын
Mimi ni shabiki yako kaka twalibu, una tu insipire vzr sana sisi vijana wenzako
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Wachawi tu hao wapuuzi kibwengo hadhuru mtu
@expert5898 Жыл бұрын
Mtangazaji umekosea sana kumuita kibwengo huyo mtoto, maana ni kipi kimekufanya umuone kama kibwengo? Maana anaonekana ni mtoto wa kawaida tu.
@abdulzanzibar7154 Жыл бұрын
Huyu jamaa hajui kitu , tafuta yule jamaa ,
@raymondillich1806 Жыл бұрын
huyu dogo apewe liftituu
@allygibu7003 Жыл бұрын
Tajiri mtoto
@ngwegwenurdin4318 Жыл бұрын
Utamu sana. Mzee we Salamanca tower.
@elimuvisioncenter Жыл бұрын
una hoji mabosi badala ya madereva wenyewe. ... hii ni promo kwa hilo kampuni au n habar .... mmezingua seriously ... 😡
@therealaitar4149 Жыл бұрын
Moto😅
@malikzafarani172 Жыл бұрын
Woow inamasisha saana kwa kweli
@abdulzanzibar7154 Жыл бұрын
Millad Ayo , kwanini hukumtafuta huhu jamaa aliye pigà hii video na haojiwe atupe taarifa Nuri ?
@salummzee9739 Жыл бұрын
Mtoto huyo umasikin tu huo ndio maana akawa mchafu watu wanaoishi mwitu wapo hakuna kibweni kasumba tu za kishirikina
@janetdaniely7945 Жыл бұрын
Duh
@siriyamungukelvin5050 Жыл бұрын
Nami napenda udereva
@rajabumalupu4184 Жыл бұрын
Hakuna cha msimu folen ipo palepale kaka
@Optionxll_Playz1 Жыл бұрын
2023 hii sio 1916 ,ndio maana Madereva wanaambiwa kupumzika huo ni uchovu .
@Yohova_First Жыл бұрын
Wahuni kweli huyo ni mtoto alafu unamuita kibwengo Serikali ichukue hatua watu wanao wazaririsha watoto kuwaita kibwengo
@bernadetamodest6170 Жыл бұрын
Mtoto katokea wapi huko msituni? Kuna nyumba huko msitun? None sense
@Project1986p Жыл бұрын
Story ya kibwengo ni 0.0%😅
@healthandbeauty5974 Жыл бұрын
Kutangaza biashara 😂
@davidlelo6192 Жыл бұрын
India tunateseka namizigo
@lightnesselirehema1464 Жыл бұрын
Kichwa cha habari ndio sio kizuri lakini kuna habari ambayo vijana wanaweza kujifunza kutoka kwa huyu kijana
@herielimtui3875 Жыл бұрын
Twalibu natafuta kazi nitapataje?
@abdulmwangu1298 Жыл бұрын
Ww milardayo wawatu wako makum San Sasa kichwa cha habar nn
@waltermarika4127 Жыл бұрын
Kaka Nina shida na wewe
@kiangotv3329 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/qHvPnmevitqSnNk MWEZI WA RAMADHAN