Nice song, glory to almighty God... watching from kajido
@richardhaonga81382 жыл бұрын
A nice song,mbarikiwe sana watumishi wa Bwana, na huyo mpiga kinanda ametisha saana
@naomimgori83824 жыл бұрын
Napenda sauti ya huyu dada aliye anza kuimbisha yaan Mungu amwinue zaidi
@victormwakipesile56043 жыл бұрын
2021 tujuane
@upendolukomo14464 жыл бұрын
Amina kubwa watumishi mungu awainue huduma hii isonge mbele
@steveobanya34454 жыл бұрын
Amazing voices. I thank God for you. Continue working for God
@isaackabizo90055 жыл бұрын
Mko njema,cjawasikia muda mpo kimya,tumemis kazi zenu
@beatriceviktor41954 жыл бұрын
Naskiliza huu wimbo nipo Germany..naipenda sana sayuni band toka nipo Tz...mnanipa moyo sana kwa nyimbo zenu hata niwe mbali...God bless you people of God..i love you all so much.
@catherinedanielmwashilindi55145 жыл бұрын
Napenda wimbo huu na waimbaji nawapenda sana,,mbarikiwe
@rachaelimali9616 жыл бұрын
Mbarikiwe sana ndugu zangu, Yahweh ni Baba pekee yake,,,, haleluya
@markomuna50373 жыл бұрын
Saf sana
@farajakadege2926 жыл бұрын
Wow,, Barikiwa Sana nyinyi## mtalipwa msipo zimia MIOYO ##
@rehemakalipa74946 жыл бұрын
Faraja Kadege barikiwa
@pamelamboma67257 жыл бұрын
YAANI HUU WIMBO NATAMANI MUURUDIE SHOOTING YAKE KUNA VITU UNAMISS WIMBO MKUBWA HUU SANA. MBARIKIWE
@priscilarkahindi91265 жыл бұрын
True
@amashamwaipopo12095 жыл бұрын
Nawapenda sana watumishi hasa huyo mdada Vick wa solo ais had rah
@upendolukomo14464 жыл бұрын
Mungu awabariki watumishi na Huyo mdada solo yake ipo vizur
@MariamFrank-v1x Жыл бұрын
Barikiwe Victoria
@victorianazah Жыл бұрын
Ameen
@deborahsimon95157 жыл бұрын
yaaaaaniii,nawapendaa mi basi tu jamani mungu azid kuwatumia mxje Kata tamaa
@januaryrevocatus21246 жыл бұрын
mungu akubariki sana ....Zaidi mungu akuzidishie unyeyekevu maana umebeba vitu vikubwa ndani yako
@sayunidonard60147 жыл бұрын
aiseee mnanibariki sana nyie watu mungu aendelee kuwapa umoja
@maidafrancis456 жыл бұрын
Ooh haleluya umenitoa katika mitego ninayotegewa Kwa Siri ninashukuru Mungu wangu mbarikiwe sana waimbaji
@rhinaregina58067 жыл бұрын
Amen nashukuru Mungu wangu kwa yote abao unanitendea Yesu 😭😭😭
@pamelamboma67257 жыл бұрын
This is very powerful msg. Mungu azidi kuwapa kiwango kingine kimataifa sana. WEWE MUNGU NI WA KUOGOFYA SANA MATENDO YAKO YANATISHA
@hanceelizabeth8836 жыл бұрын
Tunaomb wimbo wa kama si bwana aliyekuwa pamoja nasi mlkuwa na emmanuel mgogo
@sinzasoundbandtanzania62003 жыл бұрын
Mmepotea wapi wapendwa wetu Sayuni Band?
@nemesdavid66997 жыл бұрын
saf sana naona nema ya bwana inavyo tamalaki napenda siku niwe pamoja nanyi
@NathanTheGosple Жыл бұрын
Yahwe
@madesauni.31357 жыл бұрын
Twawaombea basi Ombeni nanyi msije kujiinua mkajikwaa. Utukufu ni wa Jehovah.
@shafiisershafiiser41924 жыл бұрын
Safi utukufu kwa Bwana
@doreme69565 жыл бұрын
Yaweeh wewe ni munguu yaweeh wewe ni babaa
@pamelamboma67257 жыл бұрын
NINAPOTAKA KUANGUKA MUNGU WANGI WEWE UNANIINUA TENA OOOH THANK YOU MASTER JESUS
@jescarpaul74086 жыл бұрын
Umejua kuimba shemu wangu
@hekimajambia24036 жыл бұрын
Haleluyaaaaa,,mungu awabariki,
@geofbeka16697 жыл бұрын
safi sana kazi nzuri na Mungu aendelee kuwabariki na kuwainua, nawakubali sana Sayuni band
@victorianazah7 жыл бұрын
+geof beka Amen barikiwa sana
@jescarpaul74086 жыл бұрын
Nakupenda bure Dada angu na unajua 😘
@pamelamboma67255 жыл бұрын
@@victorianazah mko kimya sana
@meshackjohn28947 жыл бұрын
mungu awabariki msikateeeh tamaaa
@mcmlandali4417 жыл бұрын
Yahwe song umenibamba sana
@tumpembwilo25255 жыл бұрын
Ubarikiwe
@theonlyonebeautiful37266 жыл бұрын
Wow wimbo mzuri sana
@jofreysanga95206 жыл бұрын
Hakika MUNGU ni mwema sana
@paulmwati4487 жыл бұрын
Mnaujumbe mzuri Sana kwa nyimbo zenu
@sinzasoundbandtanzania62007 жыл бұрын
Sayuni Band from Tanzania East Africa you are doing incredible amazing gospel song, can't help myself have put this song on repeat mode
@victorianazah7 жыл бұрын
+Mtanzania Junior Mtanzania Mungu akubariki uenderee khbarikiwa Amen.
@enosnzogera64267 жыл бұрын
+SayuniBandNawapenda sanaaaa jamani ,mungu awainue zaid na zaid muione mbingu
@neemajoseph81557 жыл бұрын
keyboard safi sana
@victorianazah6 жыл бұрын
Mtanzania Junior Amen thanks
@victorianazah6 жыл бұрын
Enos Nzogera thanks much God bless you
@maidafrancis457 жыл бұрын
Amen barikiwa sana
@floranisubire78087 жыл бұрын
mubalikiwe sanaaaaaa
@salhyasr43017 жыл бұрын
kweli in baba akuna km ww
@jenisiahokelai70367 жыл бұрын
Wooow hakika ni baba
@brysonmwakina6 жыл бұрын
Wow wat a powerful song
@beatricegunu33335 жыл бұрын
Bryson Mwakina Favour : can someone interpret the this song. I can feel the power in the song even though l don’t understand it
@brysonmwakina Жыл бұрын
@@beatricegunu3333Yahweh is the father Yahweh is God ...after 4yrs I still came back to listen to this song
@gosbethkivike22897 жыл бұрын
nawapenda sana,,Mungu awainue
@victorianazah7 жыл бұрын
+GOSBETH KIVIKE Thanks twakupenda pia
@missbees.companylimted45757 жыл бұрын
nice song
@oliveryonah25667 жыл бұрын
Amina kubwa wapendwa Mungu awainue amina
@neemajoseph81557 жыл бұрын
nawapenda sana kwakweli mungu awabariki sana watumishi
@devotanestory96007 жыл бұрын
Waooooo! Kazi nzuri Mungu aendelee kuwatetea
@asajileandimile78907 жыл бұрын
Huyu dada voko yake co mchezo
@abduelmsuya9563 жыл бұрын
Mko vizili
@naomimgori83824 жыл бұрын
😂😂hawa wakaka jaman
@pharesjoyna78834 жыл бұрын
Groly to GOG
@tesstescian2557 ай бұрын
🙏🙏
@davidfrancis35514 жыл бұрын
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@jescadismas84926 жыл бұрын
Good
@stefankigossi7086 жыл бұрын
hakika umeniinua
@mimwaninelitha66667 жыл бұрын
hakika nimebarikiwa na wimb huu mungubawanariki xana
@jamesmkuki32456 жыл бұрын
bls u
@emmanuelmwaijulu95292 жыл бұрын
Video
@farajakadege2926 жыл бұрын
Wow,, Barikiwa Sana nyinyi## mtalipwa msipo zimia MIOYO ##