Victoria Zabron WA Zabron Singers aelizea kilicho mkuta kakake Marco Joseph kabra ya mauti kumkuta

  Рет қаралды 245,146

Coast Media Plus

Coast Media Plus

Күн бұрын

#kenya #kenyadigitalnews #ktnnews

Пікірлер: 330
@MnanilaMrsmnanila
@MnanilaMrsmnanila 20 күн бұрын
Jamani Mimi Mungu akiniinua wachawi sitawaacha salama naapa Kwa jina la yesu.hivi vya kutengenezewa vinatuuma sana,ndiyo tutakufa lakini siyo kwa jinsi hii,hapana MUNGU nakuomba Mimi nifanye mpiganaji katika ulimwengu wa roho nikutumikie sawasawa lakini katika kitengo cha wachawi nifanye mpiganaji.Nimeumia inatosha sasa nimechoka Hari hii haivumiliki kabisaaa Eeee Yesu hatuna msaada umebaki wewe pekee wa kutoa faraja kawafariji ndugu jamaa wa familia hii amen.
@faridithomas4859
@faridithomas4859 20 күн бұрын
Maneno ya kichwa maji😂😂
@neemashuma4302
@neemashuma4302 20 күн бұрын
Kiukweli nakubaliana na wewe huu ni UCHAWIIII jamani tuweni roho sana maana haya mambo ya kichawi kabisaa
@paschaziaignas6984
@paschaziaignas6984 20 күн бұрын
Hata sio kifo cha kichawi atakua alkua kwel ana tatzo kwel
@annaTemu-wx2rc
@annaTemu-wx2rc 20 күн бұрын
Yaani wamemchukua msukule.kijana wa watu 😭😭
@ellytech9757
@ellytech9757 20 күн бұрын
Sasa hapo uchawi uko wapi?
@GraceLisasi
@GraceLisasi 20 күн бұрын
Mungu amempenda zaidi apumzike Marco ulituinjilisha sisi sote, kazi umeimaliza , imani umeilinda.lala pema,vema,amen
@Edith-rq3mm
@Edith-rq3mm 20 күн бұрын
Mung kampenda Zaid wap mengne sio mapenz ya mung kabisa
@YOSHUAESITONISWILLAH-he3dw
@YOSHUAESITONISWILLAH-he3dw 19 күн бұрын
Poleni na msiba mungu awatie nguvu
@danielbushasha2687
@danielbushasha2687 18 күн бұрын
Poleni sana kwa kumpoteza Michael.Mungu awafariji na kuwapa nguvu za kustahimili kumpoteza kaka na mtumishi wa Mungu.
@AlphonceMasende
@AlphonceMasende 20 күн бұрын
Poleni sana rafiki zangu ,nimeumia sana kwa rafiki yangu ila haya maisha si kitu,kitu cha maana sana kuliko vyote ni kujikabidhi kwa Muumba wetu kila wakati
@IliM-hf5ku
@IliM-hf5ku 19 күн бұрын
Watching from saudia aribia pole.sana.kwa.family.reast.in.peace.
@esaumoiseselias-gs4py
@esaumoiseselias-gs4py 20 күн бұрын
Poleni sana watu Mungu, Mungu aifaliji miyo yenu,poleni sana, Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi!
@bettymollel7299
@bettymollel7299 19 күн бұрын
Poleni sana wana Zabron , BWANA YESU awafariji mwenyewe na kuwatia nguvu
@felistusmunyao3891
@felistusmunyao3891 19 күн бұрын
I wish he was taken to nairobi hospital while in kenya. But God knows better. Rip man of God. Condolence to family
@RoseKimishabhalemi-oz9bn
@RoseKimishabhalemi-oz9bn 18 күн бұрын
Muhuuuuuu!!! Mimi niliwahi kuugua ugonjwa wa namna hiyo wandugu zanguni wachawi wameandikwa kwenye biblia mjihidhali katika kumjua Mungu wa kweli na kumtumia kihasahasa kwa Levo ya juu sana tukiangalia njia zetu ziwe zimenyoka hata hivyo mmshukuru Mungu mlikuwa mnakwisha wote
@jaeljepkoech8663
@jaeljepkoech8663 17 күн бұрын
Ushindwe
@evancejohn1713
@evancejohn1713 14 күн бұрын
mungu awape nguvu
@RizikiMbembela-b6h
@RizikiMbembela-b6h 13 күн бұрын
Nimekuelewa yamkini ingetokea ajar
@harrietwaweru9760
@harrietwaweru9760 19 күн бұрын
God Himself will visit with you and be by your side..He promises....to be on our side in all seasons....It's not easy ,it's a journey..a process, may God carry you and your family, His dear wife and children ....as you come into terms with this reality.. Am so so touched..I love you zabron singers, you bless me and in all our functions one of your songs is always played..if not two. You are special and God knows why ...He owns our future....❤
@BienvenueBisimwa-rn9rn
@BienvenueBisimwa-rn9rn 19 күн бұрын
Kazi ya Mungu haina makosa,pumzika kwa amani🇨🇩
@helenarhobi1250
@helenarhobi1250 20 күн бұрын
Poleni Sana wanazabron singer Mungu ampumzishe kwa amani Marco. Amina!
@TarayiaNasieku.G
@TarayiaNasieku.G 19 күн бұрын
Poleni sana sana sana.😢 Words to describe the pain from us who truly loved listening to his voice. May the Lord give you peace and comfort you. May the great singer continue singing in the celestial city up yonder. Poleni kabisa. 😢😢😢
@GambiKazungu
@GambiKazungu 20 күн бұрын
Poleni sana wapendwa ,haki mmepoteza mtu muhimu Sana,lakini MUNGU awatie nguvu nyote katika kipindi kigumu
@githaiga202
@githaiga202 20 күн бұрын
Poleni sana Kwa familia mungu awafariji
@RedseaOfficial
@RedseaOfficial 15 күн бұрын
Duh! Pole I saana kwakumpoteza ndugu yetu maerco kipezi cha mumgu amueke mahalo Pema mile amin
@catemumbie9843
@catemumbie9843 19 күн бұрын
Mungu aiweke roho yake pema peponi, poleni Kwa familia❤
@Selpha-b6t
@Selpha-b6t 17 күн бұрын
Poleni sana Mungu awafariji familia yake pamoja na marafiki na Mungu ailaze roho yake mahali pema pake
@SAMWELMOHABE-g8q
@SAMWELMOHABE-g8q 17 күн бұрын
Pole sana wanafamilia kwa kumpoteza ndg yen Mungu awatie nguvu kipindi hiki kigumu
@Millycheptanui3819
@Millycheptanui3819 20 күн бұрын
Poleni sana kwa familia n majamaa Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi
@user-uv9ps3ow4s
@user-uv9ps3ow4s 18 күн бұрын
Poleni sana Zabron singers mungu awatie moyo mzidi kuitenda kazi ya bwana
@petromakange2668
@petromakange2668 20 күн бұрын
Najua wakati mlio nao sasa,mungu awatie nguvu zabron singers,niko pamoja nanyi ktk majonzi haya.
@kerryfrancis-ib7nj
@kerryfrancis-ib7nj 20 күн бұрын
May you find solace during this hard times in your family. Yote ni mipango ya Mungu. May his soul rest in eternal peace. Poleni sana wapendwa.
@CathelineSalula
@CathelineSalula 14 күн бұрын
Poleni sana mungu atawainua msivunjike moyo sis sote tunapita tu hakuna kitakacho dumu milele zaidi ya neno la mungu tu mungu awatie nguvu family nzima mungu ametowa na mungu ametwaa jina lake lihimidiwe Amna
@trizamburu1161
@trizamburu1161 16 күн бұрын
Kenya twaumia pia.. poleni sana watu wa Tz na familia
@user-ru9sp9lr1f
@user-ru9sp9lr1f 20 күн бұрын
May God comfort his family and his gospel singers ,watching from Saudi,but Am from kenya,Rest easy Marco😢
@mokijames9958
@mokijames9958 18 күн бұрын
From Kenya,I really sorry for the family and zabron at large,RIP to him..
@EneaIbrahim-z4j
@EneaIbrahim-z4j 19 күн бұрын
Kuishi ni kristo na kufa ni faida mwenzetu ameimaliza kazi yake Mungu ailaze mahali pema peponi lakini sisi tuliobaki tumejiandaaje maana kiama kipo.kila mtu ajitafakari ataumalizaje mwendo .poleni kwa wanafamilia na jamaa wote waliohuzunishwa na msiba huu😢😢Mungu awafariji
@julithadiyay-lx2wb
@julithadiyay-lx2wb 20 күн бұрын
Poleni sana wanafamilia wa zabron Mungu tu ndiye mfariji wenu Mungu aipokee Roho ya Marco Amina.
@DianaEdward-u1c
@DianaEdward-u1c 19 күн бұрын
Poleni sana familia ya zablon mungu wa mbinguni akawe farajayenu wanadam wanamaneno ila mungu analo neno
@exctellaundry9593
@exctellaundry9593 8 күн бұрын
Mungu awape nguvu nduguzanguni. Marco apumzike palipo Wema😭😭😭😭🙏
@masiagamaribe8443
@masiagamaribe8443 20 күн бұрын
Poleni sana watu wa mungu hakika tumeondokewa na mtu muhimu sana , pumzika kwa Amani brother.
@bernardmutembwa4344
@bernardmutembwa4344 10 күн бұрын
I'm devastated - from Zimbabwe
@gracenyaboke9959
@gracenyaboke9959 13 күн бұрын
Pole sana sana familiar Kwa kupotesha young soul at this moment when his family needs him
@gislamushi-c1g
@gislamushi-c1g 20 күн бұрын
Sielewi machoz unafk km ,wakat mlishindwa kumuombea,mkaruusu ROHO ya maut imuondoe,kwani mlifikiri MUNGU awezi kuifanya opareshen hiyo inaumiza sana..
@sheysarahnjeno5207
@sheysarahnjeno5207 20 күн бұрын
Polen sana wanafamilia wa zabron singers,,MUNGU Awe faraj kwenu..apumzike kwa aman marco
@jeannekaze560
@jeannekaze560 17 күн бұрын
Pole sana Zabron it was must to pray for him, they kill him with witchcraft. That’s why use heart and other things. I want Adventist church wake up and believing in pray, we’re in time, the prayers are very very important,because God is always present to help us 🙏
@HeaceNicholaus
@HeaceNicholaus 17 күн бұрын
Poleni sana familia ya zabron
@hellenobwogi472
@hellenobwogi472 17 күн бұрын
Poleni sana 😭😭😭Marco amemaaliza mwendo ,my condolences to the family
@justinemark393
@justinemark393 20 күн бұрын
Polen sana watu wa Mungu...Wakati mwingine mnapaswa kuomba zaidi kuliko kwenda hospital kubwa...Mfano pale alipoambiwa an tatzo kubwa la moyo na wakt hakua nalo ilipaswa akatae kwenda kufanyiea upasuaj na asimame na Mungu...lkn ndio hivo kifo hakina kinga..😢
@sadikiissa7756
@sadikiissa7756 20 күн бұрын
Kifo hakikwepeki. Ndo maana anayeombewa atakufa siku ikifika, asiyeombewa atakufa,atakayetumia dawa atakufa, asiyetumia pia atakufa, anayesali atakufa na asiyesali ni hivyo hivyo. Cha muhimu ni kufanya jitihada zote ikiwemo za tiba huku mkimuomba Mungu amponye mgonjwa na kisha kumwachia yeye ktk Majibu atakayoamua.
@victormteule2333
@victormteule2333 18 күн бұрын
Rambaramba zangu kwa family ya mwimbaji mwezangu poleni sana kwa huu wakati mugumu but yote tumushukuru Mungu tusiruhusu shetani kuona machozi yetu
@EnockMathias-e1b
@EnockMathias-e1b 15 күн бұрын
Poleni sana
@EsterJames-ui2os
@EsterJames-ui2os 20 күн бұрын
poleni sana wapendwa Mungu awafariji tuko pamoja ktikà kristo lkn kifo chake kinatufundisha sana tufanye kazi ya Mungu tungali hai
@AzinaJuma-w5m
@AzinaJuma-w5m 8 күн бұрын
Polen sana wana zabron singers kwa mpoteza mwenzenu hakika ni penguin kubwa kwel
@rahmasuleiman9334
@rahmasuleiman9334 20 күн бұрын
Poleni saaana familia Allah awafanyie wepesi sisi ni wa Molla na kwake tutarejea… kitambo kidogo tu tutakutana ng’ambo pale
@chemamlambo3067
@chemamlambo3067 20 күн бұрын
Poleni sana
@pmgpmg7717
@pmgpmg7717 20 күн бұрын
That is Angina pectoris. So sad . Mwenyezi mungu aiweke roho yake pema palipo na wema in Jesus mighty name Amen. Pole Sana familia kwa msiba na mupate faraja kutoka kwa yeye alietuumba
@MaserukajosephMutebutsi
@MaserukajosephMutebutsi 18 күн бұрын
Pole sana nawapa pôle Zabron Joseph Nilikuwa n'a mupenda sana alikuwa Muimbaji muzuri sana
@user-mb5wg9qm8k
@user-mb5wg9qm8k 20 күн бұрын
Poleni sana-Marco tumemjua Kwa uimbaje wake wa nyimbo za injili hapa kenya-Yeye atakumbukwa na wote waja Mola awafariji Sana Zabron,Tunawapenda Sana but poleni kabisa,May the he soul rest in peace
@josephinejulius5437
@josephinejulius5437 18 күн бұрын
Pole sana darling I really feel the way you feel...mungu awape nguvu..may his soul rest in internal peace ✌
@TOMNYEREZA
@TOMNYEREZA 20 күн бұрын
Poleni sana zabron singers, jamani hakupata hata nafasi ya kuombewa na wachungaji jamani? Kama hayakuwa mapenzi ya MUNGU angepona naamini, lakini basi, kwa kweli ina uma sana MUNGU awape faraja ya moyo Amina
@JustolinOmundi
@JustolinOmundi 17 күн бұрын
Poleni sana kwa familia na ulimwengu wote 😢😢😢
@JustolinOmundi
@JustolinOmundi 17 күн бұрын
😢😢😢😢😢😢😢😢
@user-lu6vj9sv7j
@user-lu6vj9sv7j 15 күн бұрын
Mungu ampokee kwa kazi yake alio ifanya akiwa hai😢😢😢😢
@MsAisha-w4o
@MsAisha-w4o 15 күн бұрын
Jamani poleni sana mngu awatie NGUVU kwa kipindi hiki kigumu...na mngu amueke sehemu inayostahiki🙏😢
@weneafrika308
@weneafrika308 14 күн бұрын
Drc twasema pole sana kwa msani wetu
@Gachly
@Gachly 18 күн бұрын
So sad 😢 and my condolences to Zebron Singers and family of late and pray God to give them all comfort and strength during this time of mourning. God rest his soul in eternal glory and peace 🙏🏼😭!
@PaulMoranga-yu5pp
@PaulMoranga-yu5pp 21 сағат бұрын
Kitu ya kwanza naamini Mungu yupo na ni mwaaminifu.kitu ya pili setani ni mjancha .kitu ya tatu wachawi wapo.lakini hili la Marco si la kawaida.hii kifo sio ya kaiwaida wapendwa wa sabron singers.
@falycoangie4101
@falycoangie4101 20 күн бұрын
So sad, my best choir may God give you comfort. Kaka may your soul rest in peace.
@alicemuliro246
@alicemuliro246 13 күн бұрын
Poleni sana. Mungu wa amani awafariji.
@erickmbilinyi2802
@erickmbilinyi2802 20 күн бұрын
Jamani Daaaa kakaangu poleni sana wanandugu
@malkiawagiza1327
@malkiawagiza1327 20 күн бұрын
Poleni kwa wafiwa. Bwana ametoa Bwana ametwaa. Jina lake lihimidiwe.
@LukasmasaselaLukasmasasela
@LukasmasaselaLukasmasasela 20 күн бұрын
Poleni sana ndugu na jama na malafiki tunapita duniyani poleni sana ndugu zangu na mungu amulaze salama tunuombee kwa mungu dungu yetu
@annanangu1832
@annanangu1832 16 күн бұрын
Polen sana ndugu zangu wote tupo safarini 😭😭
@esthermbiuki7003
@esthermbiuki7003 18 күн бұрын
Inauma kumpoteza Marco,😭😭😭😭Mungu awapee nguvu wakati huu mgumu🙏🙏
@richardmwandanji65
@richardmwandanji65 20 күн бұрын
Poleni sana Wana familia mwachieni Mungu awezakua nafuraha ya milele maana kufa kwetu ni faida kuishi ni kristo Mungu awape ujasili pasina kumkosea tujifunze kupitia safali ya ndugu huyu
@pascalynesyombua5960
@pascalynesyombua5960 20 күн бұрын
Poleni sana .May God strengthen and comfort you in this trying moment
@pendorobert3552
@pendorobert3552 19 күн бұрын
Poleni sana mmenikumbusha wale wasabato wanyarwanda waliopataga ajali 😢😢😢yote kwa yote MUNGU hutwaa vilivyo vyake kazi ya MUNGU haina makosa🙏
@JamesMwero-y6v
@JamesMwero-y6v 19 күн бұрын
Aki poleni sna wapendwa kwa kupoteza kijana mshupavu wa nyimbo za kumtukuza mungu
@harrietkamando1587
@harrietkamando1587 17 күн бұрын
Alijengea familia yake,may God strengthen them and his family
@ladisthadeo1573
@ladisthadeo1573 20 күн бұрын
Poleni sana . Mwenyezi Mungu Amrehemu Michael .
@calebmakokha
@calebmakokha 19 күн бұрын
Kifo cha kusikitisha jana alikua mzima Leo unaambiwa kafa ni uchungu sana😭😭😭.Ndugu mark amepigana vita vyake salama vita umemaliza pumzika kwa Amani🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@eunicemwende5748
@eunicemwende5748 20 күн бұрын
May the Lord comfort the entire family. My deepest condolences to the family , Zabron soldiers of Christ, nchi ya TZ and the body of Christ.
@ajurotruphy6338
@ajurotruphy6338 20 күн бұрын
My most profound, deepest condolences to this family
@godlistenmangowi9328
@godlistenmangowi9328 20 күн бұрын
Poleni sanaa Kwa Msiba. Kipekee nimeguswa pia. Poleni sana Mungu awatangulie katika Msiba huu.
@barmenbarmen2917
@barmenbarmen2917 18 күн бұрын
Pokeeni rambirambi zetu za pole kutoka Kenya kwa janga la kifo. Ni habari ya kusikitisha sana lakini zaidi ya yote, Yesu aliyemwabudu ni mfariji mwema siku zote. Jitieni moyo wapenda. Mungu yupo.
@djfbikenya2695
@djfbikenya2695 18 күн бұрын
His voice Will always remains blessings to many .rip
@user-xz1bg5jw1e
@user-xz1bg5jw1e 20 күн бұрын
someone to tell me plz about zabron singers,,are they brothers and sisters becoz they look similar
@immaimmanuelmcdoublei3760
@immaimmanuelmcdoublei3760 17 күн бұрын
Yeah
@user-ft4bo4qt8m
@user-ft4bo4qt8m 20 күн бұрын
Poleni sana,Mungu awafariji wakati huu ngumu zaidi
@YohanaMwakaje
@YohanaMwakaje 19 күн бұрын
Wapendwa tujisndae na safari yakwenda mbinguni mungu ndiye anaye jua kesho yetu na sibinadam sote tuna pita mungu awe pamoja nanyi polen sana
@basilymwakasege8739
@basilymwakasege8739 20 күн бұрын
R.I.P marco zabron..mbele yako nyuma yetu!
@moseswanyonyi6144
@moseswanyonyi6144 18 күн бұрын
Poleni sana.... Mungu wa umilale awatie nguvu.
@user-qf3vb8ch6o
@user-qf3vb8ch6o 17 күн бұрын
Mungu awe mfariji katika kipindi hiki kigumu,wengi tumeguswa na sote njia ni moja hakika,hakuna roho ambayo haitaonja Umauti.
@Isomba-fd6oq
@Isomba-fd6oq 17 күн бұрын
Poleni sana jamani mungu awatie nguvu poleni sana
@IsraelFrance
@IsraelFrance 11 күн бұрын
Polen sana familia na zabron singer
@JackobKyaro-zi7uj
@JackobKyaro-zi7uj 20 күн бұрын
Poleni katika kipindi hiki kigumu. Kisicho zoeleka mwenyezi mungu awatie nguvu ndugu jamaa na marafiki
@AgnessKikaja
@AgnessKikaja 20 күн бұрын
Mung u awe pamoja Na family yake
@GideonWafula-o1z
@GideonWafula-o1z 12 күн бұрын
Poleni hak , it pain alot, RIP
@robbyman6213
@robbyman6213 20 күн бұрын
Rip 😢😢😮,, Mungu Ampumzishe Kwa Amani 👏👏👏
@PaulineNyamoita-ee1et
@PaulineNyamoita-ee1et 16 күн бұрын
Pole sana zabron singers.
@SadaHassle
@SadaHassle 20 күн бұрын
😭😭😭😭😭😭 mungu awatie nguvu ndugu zangu
@user-ik5pw9ju8h
@user-ik5pw9ju8h 20 күн бұрын
Poleni sana watu wa Mungu,Yesu akawe faraja kwenu
@VeroKabano
@VeroKabano 16 күн бұрын
Jamani polen sana yote ni mipango ya mungu
@bluezdifenda6785
@bluezdifenda6785 18 күн бұрын
Poleni sana,mola awajaze nguvu wakati huu wa majonzi🙏
@TubetMgore
@TubetMgore 20 күн бұрын
Polen sana wana familia wa zabron singers😭😭
@jonahkhayota2431
@jonahkhayota2431 2 күн бұрын
Aki ni change mungu awape nguvu
@MalitiniLubeni
@MalitiniLubeni 14 күн бұрын
Mungu awatie nguvu jamani poleni
@simonkirwa3602
@simonkirwa3602 19 күн бұрын
Poleni sana Mungu awafariji familia nzima
@user-mt1uc6ed8g
@user-mt1uc6ed8g 16 күн бұрын
😢😢😢😢😢ebu niwaulize zabron singers ni family ama pole sana so sad
@bridgetsiakanego8534
@bridgetsiakanego8534 8 күн бұрын
May his soul rest in peace until we meet again 😭😭😭😭💔💔
@floramark8751
@floramark8751 3 күн бұрын
Polen sana,,imeniumaa
@raymondbahati7626
@raymondbahati7626 16 күн бұрын
Sisi wote iyo njia yetu,amemaliza safari yake, Mungu afariji family
@ElibarickPaul
@ElibarickPaul 19 күн бұрын
R.i.p Marco you have done the work
هذه الحلوى قد تقتلني 😱🍬
00:22
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 98 МЛН
Or is Harriet Quinn good? #cosplay#joker #Harriet Quinn
00:20
佐助与鸣人
Рет қаралды 50 МЛН
ZABRON SINGERS - HILI LIMENILIZA SANA (OFFICIALL VIDEO)
4:29
ashtiv kenya
Рет қаралды 35 М.
IMENIUMA SANA by Zabron Singers (Official Video)
5:05
Zabron Singers
Рет қаралды 1,5 МЛН
هذه الحلوى قد تقتلني 😱🍬
00:22
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 98 МЛН