MIMI NILIWEKEZA VIPANDE KATIKA MFUKO WA UMAJA MWAKA 2005,NA NILIPEWA CHETI LKN IMEPOTEA JE NAWEZA PATAJE HIVYO VIPANDE, AU NIFANYENYE ILINIWEZE CHETI KINGINE
@thomasjmollel8 күн бұрын
NAITWA THOMAS JEREMIAH MOLLEL, MIMI NILINUNUA VIPANDE MWAKA 2005 WAKATI MFUKO UNAANZISHWA, NILIKUWA NAPATA TAARIFA ZA MFUKO WAKATI FULANI ILA IMEFIKIA WAKATI SIPATI TENA TAARIFA YEYOTE, JE VIPANDE VYANGU BADO VIKO SALAMA? JE NIKITAKA KUJUA BALANCE YANGU NIFANYEJE?
@THOMASSAIMALYE5 ай бұрын
Mimi ni mwanafunzi wa elimu ya juu, naomba kuuliza je mfuko upi utanifaa kati ya mfuko wa jikimu na mfuko wa umoja?