BWANA YESU atusaidie tuingie katika lango la jiji la Mbinguni
@magdalenemaya3096Ай бұрын
He will if we stop sinning also 😮😮😮
@judyokumu84392 ай бұрын
Bwana wetu Yesu Kristo tuokoe sisi wapotevu🤲
@sallymumia84252 ай бұрын
Amina,Amina,Yesi Kristo tusadie tuwe na utakatifu
@HappyMwaigwisya2 ай бұрын
Yaan Promover Leo mmezidi kunifurahisha. Hizi video Huwa namfuatilia huyu. Endeleeni kutuletea animation zake. Anafundisha sanaaaaaa. Wengi hawajui vitu vinavyozuia kuingia MBINGUNI. Mbarikiwe promover. Yesu utusaidie sana watoto wako
@peterthadeo23752 ай бұрын
Mungu wangu je mm mkatoliki nitaigia kweli mbinguni eeeeeeee YESU KRISTO nisaidie niigie mbinguni,Amina
@StellaPaul-et9df2 ай бұрын
Nilisikia hawataingia
@HappyJohn-kk1pr2 ай бұрын
Izi dini zitatupeleka motoni
@MariamGodfrey-n6x2 ай бұрын
Angalia dini Yako inaweza kukuzamisha sehemu isiyoweza kukutoa baada ya maisha haya ibada za sanamu rizari kuomba kupitia watakatifu na bikra maria ni ishara Tosha ya kukuonyesha iyo dini Iko kinyume na injili ya kristo na itakupeleka kuzimu
@BerylSeer12 ай бұрын
Mungu Anirehemu mimi nimekosa, kwa mawazo, vitendo na hata kuongea..... Ee Mungu Muumba Nisamehe na Unitakase.
@JamesMushi_jrАй бұрын
Zaburi 51:1-17
@janethmwihumbo12892 ай бұрын
Bwana wetu tusaidie tuweze kufika kwenye karamu hiyo
@ryobanchagwa24992 ай бұрын
Mungu unisamehe kabisa
@DenisCasey-kh8ub2 ай бұрын
Nimejikuta nina dhambi nyingi ambayo nilioyo tatenda eeh, yesu Kristo unisamehe dhambi zote niliotenda ambayo nima chukizo kwako MUNGU wangu😢
@RhianShauri-h8r2 ай бұрын
Yesu aniongoze kuenda mema na siyo mabaya
@Shalom20182 ай бұрын
Mungu atusaidie kwa kweli
@Bénigne-k4x2 ай бұрын
Eeh Mungu nisamehe zambi zangu nisije nikaabika siku ile
@ryobanchagwa24992 ай бұрын
Mungu unikumbuke katika ufalme wako
@HappinessMwambapa2 ай бұрын
Eeee MUNGU lisaidie kanisa lako asiwepo wakulidi nyuma, MUNGU azidi kuwatunza Sana promover
@PromovertvTzАй бұрын
Amen
@annahmutune48662 ай бұрын
Kweli tunahitaji neema ya mungu sana 🙏🙏
@Akinyisafi83612 ай бұрын
Dadangu ungekua unasima Biblia ungejua meaning ya hiyo jina umeandika hapo eti mungu soma kitabu cha zaburi 81:9 ama kumbukumbu 32:12 hope utaelewa meaning la hilo jina Amen
@janengaga29282 ай бұрын
Dunia imejaa uchafu.heri pekee kuliko kupotea kisa mwenza.
@alfrednyato73402 ай бұрын
Tunamhtaji Yesu atuokoe
@prayerwomen34442 ай бұрын
MUNGU atusaidie kweli tunaitaji neema na rehema zake
@Esthermordecai2 ай бұрын
Mume wa Dunia hii Hana mbinguni pa kupeleka mtu,amkeni wakristo 😢
@annissdaprincess3846Ай бұрын
MUNGU wambinguni atusaidiye sana
@neemagreyson19432 ай бұрын
YESU KRISTO NISAIDIE
@annkim26902 ай бұрын
Mlango mzuri iko Kwa zaburi ngapi
@VIRGINIAKAMAU-c5s2 ай бұрын
Atakae penda wazazi wake ama watoto wake kuniliko hanifai
@EmmanuelMagawida-z4z2 ай бұрын
Amen
@bonifasiemanueli212 ай бұрын
Kt K habali hiyo kuna kau9ngo
@GodfreyMayala-y5f2 ай бұрын
MUNGU aturehemu
@HappyMwaigwisya2 ай бұрын
Yaan Promover Leo mmezidi kunifurahisha. Hizi video Huwa namfuatilia huyu. Endeleeni kutuletea animation zake. Anafundisha sanaaaaaa. Wengi hawajui vitu vinavyozuia kuingia MBINGUNI. Mbarikiwe promover. Yesu utusaidie sana watoto wako