Ee MUNGU tusaidie kizazi hiki, maana ukweli huonekana uongo. Mbariki Mtumishi wako kwa kutufikishia kweli yako❤
@sallymumia84254 ай бұрын
May our LORD JESUS CHRIST,help,us, whenever I hear PROPHET ASTON MBAYA'S teachings,the glory of JESUS CHRIST,is always there
@SindimwoCesile4 ай бұрын
Mungu akupe mwisho mwema mutumishi na akushike mkono siku zote zamaisha yako
@neemamarko1762 ай бұрын
Barikiwa Mtumishi kwa ujumbe mzuri mwenye masikio na asikie
@YAUSHATV4 ай бұрын
YESU tusaidie
@LylianeBauma4 ай бұрын
Asante mutumishi Adam mbaya Mungu tusaidiye
@abigaelmwadena22624 ай бұрын
Barikiwa sna Nabii wa Mungu aston Adamu mbaya kw shuhuda hizi 🎉
@BENISiMBY4 ай бұрын
Amina sana mtumishi
@RehemaGodfrey4 ай бұрын
Aminaa 🎉🎉
@shuhudazakweli34064 ай бұрын
Amen
@lydiamichael55094 ай бұрын
Amen Be blessed man of God..
@annkim26904 ай бұрын
Mambo ambayo watu hawataki kusikia qunini ni chungu lakini ndio ilikua ikiponya malaria
@nekesarose14724 ай бұрын
Hi mwendwa playlist iko pale juu pameandikwa ALL utaona kila kitu
@peterthadeo23754 ай бұрын
Kweli
@JAPHETJOSEPH-b6e4 ай бұрын
Huyu ndiye nabii Aston Mbaya
@wilsonkombeyeri46234 ай бұрын
Make haste and come also to Kenya we also need to hear that gospel
@sallymumia84254 ай бұрын
Kweli kabisa
@ruthmwamburi7564 ай бұрын
I tell you@@sallymumia8425
@OdhiamboLazaro-y8o2 ай бұрын
Kanisa ni Moja tu yaani mwili wa kristo wewe sema watu watakao achwa.
@annissdaprincess38464 ай бұрын
MUNGU wambinguni atusaidiye sana
@kennethogonda29474 ай бұрын
Hapo kwa utatu wa Mungu kuna matata maanake biblia inasema Yesu ni mwana wa Mungu na tena inasema Yesu ni Mungu. Ila Mungu ni mmoja.
@DeusdeditMichael4 ай бұрын
HAKUNA NAFSI TATU; BALI MUNGU NI NAFSI MOJA; NA YESU NI MMOJA NA MUNGU (NI CHAPA YA NAFSI YA MUNGU) WAEBRANIA 1:3 3 Yeye kwa kuwa ni mng'ao wa utukufu wake na chapa ya nafsi yake, akivichukua vyote kwa amri ya uweza wake, akiisha kufanya utakaso wa dhambi, aliketi mkono wa kuume wa Ukuu huko juu; YOHANA 10:30 30 Mimi na Baba tu umoja.
@DeusdeditMichael4 ай бұрын
HAKUNA NAFSI TATU; BALI MUNGU NI NAFSI MOJA; NA YESU NI CHAPA YA NAFSI YA MUNGU(NI MMOJA NA MUNGU). WAEBRANIA 1:3 3 Yeye kwa kuwa ni mng'ao wa utukufu wake na chapa ya nafsi yake, akivichukua vyote kwa amri ya uweza wake, akiisha kufanya utakaso wa dhambi, aliketi mkono wa kuume wa Ukuu huko juu; YOHANA 10:30 30 Mimi na Baba tu umoja.
@kennethogonda29474 ай бұрын
@@DeusdeditMichael Sasa Yesu ni mmoja na Mungu ama Yesu ni Mungu? Je, Mungu baba ni tofauti na Yesu ama? Mbona Yesu anamuita babake? Nakuambia kuna utata bwana.
@florencekasambula64974 ай бұрын
mathayo 6:9,Basi ninyi salini hivi; Baba yetu uliye mbinguni, AMETAJWA BABA
@alifewithpurpose.3604 ай бұрын
Kaka Kenneth maandiko yanasema MUNGU ametuumba kwa mfano wake, sasa wewe ukijitazama ni mtu mmoja lakini una-facult tatu ambazo ni Mwili, Roho ambayo ndio wewe na Nafsi..... Kila fault kwenye hizo tatu zina majukumu yake... Ukijielewa wewe binafsi basi itakuwa rahis kuelewa Uungu wa Baba, Ni mmoja lakini ana-facult tatu.... Its not complicated.
@DeusdeditMichael4 ай бұрын
Kuna mawakala wa shetani walioingia kwa siri ktk vyuo vya Biblia, ndiyo hupotosha wachungaji vyuoni humo.
@valentinanduku87184 ай бұрын
kabisa
@mwendwa_m4 ай бұрын
Jacktan, Kuna Playlist ya ujumbe zote za Aston?
@LilianKelvin-z5f4 ай бұрын
Hivi kusali jmapili na kusali jmamosi ya sabato ipi sasahii?
@Esthernyenyezi34 ай бұрын
Juma pili ndio sahihi, wasabato hawa ongozwi na Roho mtakatifu
@roselinemosha4 ай бұрын
Mtumishi tukiomba toba Mwenyezi Mungu anasamehe yote ?/Ama bado tutaonyeshwa makosa yetu
@Ministertestiminy4 ай бұрын
Kama hujafa bado basi unayo nafasi ya kubadirisha njia zako.
@christinaisanguisangu29744 ай бұрын
Sasa kama mlioana hamjaokoka mkaja kuokoka inapasa kufanyaje kwenye hiyo ndoa
@Klvn_Chriss4 ай бұрын
Mimi nikisikiliza izi shuhuda nakosa kanisa la kusalia naomba ushauri na maombi yenu.
@ElineMakundi4 ай бұрын
Mimi mwenyewe sioni kanisa la kusali nabaki nyumbani nangalia TV ya katekela natamani mchungaji Ananja afungue kanisa YESU tusaidie
@lovenesswalter66504 ай бұрын
Upo wap? Makanisa yapo kma upo Dar au katavi nambie kuna makanisa ya utakatifu mengi
@blandinajoseph12914 ай бұрын
Ukiokoka MUNGU atakuonyesha kanisa la kuabudu,lkn kwanza okoka ndiyo hatua muhimu@@ElineMakundi
@alifewithpurpose.3604 ай бұрын
Muulize Mungu kanisa la wewe kwenda kusali mpendwa, alipokuumba alikuwa maeshakuandalia na Mchungaji wa kukulea kiroho.. Rudi kwenye maombi Muulize sababu kuna umuhimu wa kukusanyika na wengine na kuabudu mpendwa wangu
@valentinanduku87184 ай бұрын
Enda kwa kanisa la kaanan bible church kwa Robert Rafael anafundisha kweli kabisa