VIDEO: MBUNGE KAWASIKILIZISHA WABUNGE 'SAUTI YA MBOWE 'AKICHANGIA ISHU YA BANDARI "WAMEPOTOSHA"

  Рет қаралды 83,633

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini Aida Kenani amechangia maelezo ya serikali kuhusu mapendekezo ya kuridhia mkataba baina ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Dubai kuhusu ushirikiano wa kiuchumi na kijamii kwa ajili ya uendelezaji na uboreshaji wa utendaji kazi wa Bandari Tanzania ambapo amesema manufaa ambayo yanatarajiwa kupatikana iwapo Bunge litaridhia azimio hilo ni pamoja na kuongezeka kwa Mapato ya Serikali.

Пікірлер: 309
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
HOOOTDOGS
Рет қаралды 2,6 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:14
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 37 МЛН
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Los Wagners
Рет қаралды 35 МЛН
MBUNGE AIDA KENANI AWAVIMBIA WABUNGE CCM - "SIKUPITA BILA KUPINGWA"...
13:57
HOJA TATU  ZA MBUNGE KISHIMBA ZILIVYOWAACHA HOI WABUNGE
10:46
Millard Ayo
Рет қаралды 74 М.