VIDEO: TAZAMA FIMBO YA AJABU YAWAANGUSHA WATU WANNE ARUSHA, WATU WAFURIKA KUISHANGAA

  Рет қаралды 271,752

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 617
@benhorta5121
@benhorta5121 2 жыл бұрын
acha ujinga bwana mdogo utachomwa moto allah atakuadhibu kwa hizi filamu zako za uongo na unatrumia jina la Mtume
@zayumar2955
@zayumar2955 2 жыл бұрын
Allah atunusuru na wazushi 🤲
@skylove5146
@skylove5146 2 жыл бұрын
Mmh ila mwisho wa dunia unamambo mengi sana
@asiakheir8684
@asiakheir8684 2 жыл бұрын
Sijui wallah,Allah anajua kilichomo ndani yake
@adeliphinamussa3085
@adeliphinamussa3085 2 жыл бұрын
Hakuna cha Mwenyezi Mungu hapo,,,kana mapepo haka kajamaa,,, Yesu anahitajika hapo,,,, yaan hawa wote wamekusanyika kuishangaa hyo fimbo,,,,
@prochesernest5439
@prochesernest5439 2 жыл бұрын
Shekhe kifibo hiyo Kama ni ya Mungu peleka pale feri upinge maji yapishe watu wa kigamboni wapite bila boti ndo tutajua Mungu hausika naiyo fimbo kama ya Musa usijitete tutakutoa kwawenye mazingaobwe tuliwaona sana shuleni
@MikereMio
@MikereMio 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@maryaugustino8716
@maryaugustino8716 2 жыл бұрын
Kwa kweli akifanya hivyo na akaipiga kwenye maji yatenge kama alivyo fanya Musa nabii wa Yesu.
@fredichaki3497
@fredichaki3497 2 жыл бұрын
Naye shetani alimchukua yesu mbaka kwenye mnara mlefu akamuamuru kama wewe ni mwana wamungu jirushe chini maraika watakuja kukuokoa akasema yesu akajibu imeandikwa usimjaribu bwana mungu wako hivyo ata wewe usimjalibu bwana shekhw fimbo
@prochesernest5439
@prochesernest5439 2 жыл бұрын
@@fredichaki3497 wewe unaitwa Fredi unashabikia mapepo sisi biblia imetuambia shetani tumfukuze nyie waislamu mnamsilimisha majini ni ndugu zenu hata hiyo fimbo majini matupu na kuna vitoto vingi mnaviita masharifu vyote hivyo vinaongozwa na majini maana mtume wao ni Muhammad na kitabu Cha majini ni Quruan wamekikubali
@MikereMio
@MikereMio 2 жыл бұрын
@@maryaugustino8716 mazinga ubwe tuu ya yule bwana , mganga wa kienyeji yoyote anaeza fanya ya yule mpemba
@eliaminishembazi520
@eliaminishembazi520 2 жыл бұрын
Watu wangu wana angamia kwa kukosa maarifa
@hamismabula9934
@hamismabula9934 2 жыл бұрын
Shida ni pale mnapotumia Jina la Mwenyez Mungu kutangaza uganga na mazingaombwe!
@musaabdalla8746
@musaabdalla8746 2 жыл бұрын
Yaani kabisa kakaa kuna uezekano huyo kavaa kazi ndio.anayo ipeleka iyo fimbo tena wanitumia na maneno ya mungu mungu awasamehe ila hizi pesa sijafanya watu wafanya mambo ambao Haya na msingi walai
@moanamohammed1406
@moanamohammed1406 2 жыл бұрын
Astaghfirullah laadhim ya Rabbi tunusuru na atufungue nyoyo na akili zenye kutambua
@moanamohammed1406
@moanamohammed1406 2 жыл бұрын
Mh mtihan mzito wallah
@charlesboniphace2249
@charlesboniphace2249 2 жыл бұрын
Nabii Isa sio Yesu ,wanaomfuata Yesu ni wale wanaofuata njia nyembamba ,poleni sana msiomjua Yesu
@Golanh4786
@Golanh4786 2 жыл бұрын
Huyu ni mganga mchawi aliyeamua kuudanganya uma,emejiengezea kwenye uislamu ili aaminike,ukienda Kwa mchawi huyu swala Yako haikubaliwi siku arobaini, ukimuamini umekufuru Yale yote aliyokujanayo mtume wetu MOHAMMAD( S.A.W)
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 2 жыл бұрын
Kweli kabisa Yani Muongo Hadi anatumia jina la Allah Astaghfiru llah
@rubenprince8990
@rubenprince8990 2 жыл бұрын
@@khadidjasuleiman8006 uchawi wa kishamba ositazi mwenyewe kachoka kisa uchawi wa kimasikini
@prochesernest5439
@prochesernest5439 2 жыл бұрын
@@khadidjasuleiman8006 Allah ndo kampa fimbo wakati kakimbilia polini kukwepa ukristo kasema mmuanini hiyo ni makalama ya Allah huyo shekhe kifibo na shekhe mwaipopo waganga hao
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 2 жыл бұрын
@@prochesernest5439 hamna 🤔 Kuna watu wenye Imani saana kuliko huyo hawana mambo yakijinga ka hayo Wala Hana ilmu Kutukanisha uislam ASTAGHFIRU llah
@daudimahede6014
@daudimahede6014 2 жыл бұрын
Kuwa na adabu sio una comment ujinga kama huu kama humjui acha upuuzi wako
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 2 жыл бұрын
Damu ya Yesu ndio jibu katika ulimwengu wote vinginevyo ni ushetwani tu.
@mmwaduga5281
@mmwaduga5281 2 жыл бұрын
Kwahy miujiza ya mungu ni usheitwan
@kazoumareeeyuusuph3919
@kazoumareeeyuusuph3919 2 жыл бұрын
Yesu ndo nn ww
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 2 жыл бұрын
@@kazoumareeeyuusuph3919 YESU KRISTO NDIYE BWANA WA MABWANA WOTE NA MFLUME JUU YA FALME ZOTE NA NDIO MWOKOKOZI WA WANADAMU WOTE,ukimkubali anakuokoa
@leitonyngayama6882
@leitonyngayama6882 2 жыл бұрын
Huyu shekh, Mwamposa, Safina, upako, NGURUMO wote matapeli tu
@abdulahabdi480
@abdulahabdi480 2 жыл бұрын
Hiyo ni shirki Allah atunusuru huu umma🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿
@shamzone388
@shamzone388 2 жыл бұрын
Ina lilah waina ilah rajiun Allah atusamehe na awasamehe wenye kukosea
@abuumuhammad7133
@abuumuhammad7133 2 жыл бұрын
Shirki kubwa sana hiyo na hakuna maajabu ni ushirikina mkubwa huo wewe tafutia maisha tu hiyo fimbo ila siku ukirudi kwa mwenyewe Allah Tabaraqa Wa Taalla utajutia bila mafanikio.
@salimuismaily693
@salimuismaily693 2 жыл бұрын
Ungekuwa zama za Musa fimbo yake ilivyogeuka kuwa nyoka ungesema shirki
@abuumuhammad7133
@abuumuhammad7133 2 жыл бұрын
@@salimuismaily693 yule ni Mtume wa Allah sasa na huyo na nani zaidi yakuwa ni mshirikina mwenzio?
@ummysalama1355
@ummysalama1355 2 жыл бұрын
Hakuna hadith wala historia kwamba kutakuw na miujiz ya fimbo kama vile ilivotokea kwa nabii musa ni manabii tu ndio waliopewa miujiz hiy mikubwa jamani tusomeni qur ani jamani
@abuumuhammad7133
@abuumuhammad7133 2 жыл бұрын
@@ummysalama1355 hawajitambui hawa hawana habari hata kumuamini mshirikina pia ni makosa? ALLAH atuungoze maana haya yote ndie yanayefanya Dunia kuwa na mitihani mikubwa kama tunayoiyona kutokusoma Tawheed kisha Qur-an na kumtambuwa Mtume Muhammada Sala na Salaam Zimfikie ukweli wakumtambuwa kwa ufahamu wa Wema Walietangulia.
@forexforlife2619
@forexforlife2619 2 жыл бұрын
Kila siku mnazidi kujidhihirisha kuwa hii imani ni ya kiganga na kichawi wala si vinginevyo, alafu wanaotoka huko na kuamua kuwa wakristo safi, wakisema uovu wanaoujua na walikuwa wakiufanya mnawapiga madongo, hameni huko. Shauri lenu
@seifkibaden6297
@seifkibaden6297 2 жыл бұрын
Kwan mwampos ni muislam au ndo nyan haoni kundule babu ustumie ujinga wa wachache kuona iman ya wtu una udhaifu Qur'an haijatuamrisha kufanya hayo wala kula nguruwe kwa hiy akifanya hayo kafanya yy kwa kutumia iman ya dini ya kiislam
@matendondambwe9527
@matendondambwe9527 2 жыл бұрын
Imefika wachawi ndio huonekana mashee ila kwawale wasio mjua allah,,,,,, jamani tumjue allah kwa maelekezo yake kwenye qur Ani na Sunna
@leilamohammed3018
@leilamohammed3018 2 жыл бұрын
kweli kabsa
@mwemeziernest5195
@mwemeziernest5195 2 жыл бұрын
Qur'an yenyewe inawafunza uchawi,hivyo hapo hatushangai,maana ndivyo li dini lilivo
@mariamkibindo1741
@mariamkibindo1741 2 жыл бұрын
@@mwemeziernest5195 subhanaallah Allah akusamehe
@khalifasultan2677
@khalifasultan2677 2 жыл бұрын
Mimi Ni Muislam Ila Mazingaombwe Kama Haya Na Viini Macho Huwa Siamini Kabisa, Tumjue ALLAH asee!
@juliusjoseph6320
@juliusjoseph6320 2 жыл бұрын
Utajuaje miujiza ni ishara za Mungu, kuna hatari kwani Shetani hufanya miujiza yake pia. Imeandikwa, Ufunuo 16:14 "Hizo ndizo roho za mashetani zifanyazo ishara zitokazo na kuwaendea wafalme wa ulimwengu wote kuwakusanya kwa vita ya siku ile kuu ya Mungu mwenyezi."
@mariamhamisi598
@mariamhamisi598 2 жыл бұрын
Kwan mungu hana uwezo wa kumpa kipaji mwanadam ww vp mnafikiriaga t masheitan
@mariamhamisi598
@mariamhamisi598 2 жыл бұрын
Nenda ww kaharibu kama una nguvu ya mungu utajua ni sheitan au siyo
@husseingabo5497
@husseingabo5497 2 жыл бұрын
Hao ni matapeli wanaigiza ili wapate hela katika uislam hakuna mambo ya hivo
@omariwaziri8160
@omariwaziri8160 2 жыл бұрын
Mimi na Wewe hatujui tumwachie Allah Mwenyewe
@fanuelykitambule5542
@fanuelykitambule5542 2 жыл бұрын
Kabisaaaa
@abdallahdataguy
@abdallahdataguy 2 жыл бұрын
Kifimbo ni mchawi au tapeli. Allah amuongoze aache anayoyafanya
@rajabungowo3306
@rajabungowo3306 2 жыл бұрын
hujui nn mambo yako wazi...ushirikina huoo...jini hilo kwenye fimbo iko wazi
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 2 жыл бұрын
@@rajabungowo3306 kabisa Yani 👍 mshirikina mkubwa
@janethpallangyo3855
@janethpallangyo3855 2 жыл бұрын
Kabisa
@patrickmunishi2277
@patrickmunishi2277 2 жыл бұрын
Ndg yangu mwamini Yesu achana na hayo majini,hayata kusaidia hayo,wala nguvu za Mungu aziko kwenye vitu,bali ktk neno lake.hizi roho ziko adi kwa manabii wa leo.
@mishikikoti2948
@mishikikoti2948 2 жыл бұрын
Hayupo kwenye kama maji na mafuta ya mwamposa kumbe mnaibia watj ee
@ibrahimmchucha3034
@ibrahimmchucha3034 2 жыл бұрын
Sasa ww unaesema amwamini yesu Yesu kwako ni nani tufundishe basi tukufuate
@mojambili637
@mojambili637 2 жыл бұрын
Muogopeni Mwenyezimungu, Mungu hapendi shirki
@edlumala9428
@edlumala9428 2 жыл бұрын
Mshirikina tu huyu hakuna lolote jengine, ana taswira tu ya kiislam! Lakini anavyofanya vyote ni shirki khanithi mkubwa! Hata aibu hana, tizama kina mama walivyojaa.. Maneno ya Mtume wa Allah hayapotei, alioneshwa wanawake wengi sana motoni! Ndo haya, wamejaa kwa mshirikina huyu wanaona ndiyo dini. Allah atuhifadhi
@nadrahassan5241
@nadrahassan5241 2 жыл бұрын
😭😭😭SubhanaAllah masheikh hawanaga izo jamani aacha kutumia jina la sheikh nyie waislam acheni kuhudhuria viji watu vya namna hii iko dhahiri hii ni shirki elimikeni acheni kufata ibilisi laanatu Allahi
@mkuluwaukae2221
@mkuluwaukae2221 2 жыл бұрын
Hata sie waislamu mmmmhhh hiyo fimbo amna kijana, ni majiniiii hayo
@mamananga2849
@mamananga2849 2 жыл бұрын
Ndio Maana tunaambiwa wasilamu niwachawi
@japhetlaizer3919
@japhetlaizer3919 2 жыл бұрын
Mwogopeni mungu jamani,,,,,mungu sio wa kudhihakiwa
@khalidfidolini6254
@khalidfidolini6254 2 жыл бұрын
Loh! Mungu akusamehe sana , hivi unatoa wapi nguvu ya kudanganya umma kupitia jina la mungu
@anwaryabdallah7782
@anwaryabdallah7782 2 жыл бұрын
HUYO MSHIRIKINA TU HANALOLOTE MUOGOPENI ALLAH JAMAN MUOGOPENI ALLAH JAMAN MUOGOPENI ALLAH JAMAN
@hassanpadi
@hassanpadi 2 жыл бұрын
Shirki ya hali ya juuu sana, Watu wataamini fimbo kuliko kuamini imani yao ilio thabith ya uislam, Innah lillahy wainah ileihy rajiun
@abuuda4754
@abuuda4754 2 жыл бұрын
Mmmmh si kweli, kama umefuatilia kuna wakati amesema fimbo wapeleke chini, wao wakapeleka juu... Mambo ni yale yale tu
@hamisijuma3276
@hamisijuma3276 2 жыл бұрын
Ushirikina huo !!!! Mwamini Yesu uchawi ushirikina, lamuri nk HAKUNA
@OmbeniLuka
@OmbeniLuka 8 ай бұрын
Usanii,uzushi,ushirikina ymewapotosha wanadamu muamini Yesu Kristo awaokoe
@ramazonejohnson2831
@ramazonejohnson2831 2 жыл бұрын
SISI ATUTANGAZI FIMBO TUNATANGAZA YESU KRISTO✝✝✝✝✝🇮🇱🇹🇿
@ismailchongera9812
@ismailchongera9812 2 жыл бұрын
vp mafuta ya upako 😂😂😂😂
@aminayusuph2627
@aminayusuph2627 2 жыл бұрын
nayale mfuta na chumvi ni yesu
@noeleliasi8401
@noeleliasi8401 2 жыл бұрын
@@ismailchongera9812 ushasema mafuta ya upako..ila siyo YESU
@salummohd4971
@salummohd4971 2 жыл бұрын
We pumbavu
@noeleliasi8401
@noeleliasi8401 2 жыл бұрын
Wewe wasema
@Being_Hussein
@Being_Hussein 2 жыл бұрын
Tumeanza kua makafiri sasa waislamu subhanaAllah😢
@makongoronyerere1564
@makongoronyerere1564 2 жыл бұрын
Ww bro nimchaw, natena hufai kwenye jamii
@damianmhagama4398
@damianmhagama4398 2 жыл бұрын
Haya ni mazingaombwe kama yale ya mwamposa hakuna tofauti kabisaaaa. Imani ndani ya mazingaombwe ili kuaminisha wanadamu
@emmanuelngonela4091
@emmanuelngonela4091 2 жыл бұрын
Hizi ndio nyakati za mwisho zilizotabiliwa na manabii wa Mungu . Watu wanatangaza kazi za mikono yao kuliko kumtangaza Mungu
@hamisimkima117
@hamisimkima117 2 жыл бұрын
Wewe hujamuona live huyo kijana nawala hujaiyona hiyo fimbo mm nipo Bunju B Daresalam wallah tena nimeishuhudia mwenyewe hiyo fimbo na silazma kilamtu Aamini nawepia unahakiyako ya kukataa jambo hilo lakn mm nimeishuhudia kabisa na nilikataa kuishika wakaja wababe zaidi na zaidi lakn wote watakapo ikamata tu lazma uwende popote pale anapo iyamrisha
@fcbooktest1154
@fcbooktest1154 2 жыл бұрын
Mungu akai kwenye fimbo Amkeni uchawiii wa macho
@J4UPro
@J4UPro 2 жыл бұрын
Je fimbo ya Mussa mbona ilikuwa na miujiza nayo ilitoka wapi?
@abdulwaheedmzury351
@abdulwaheedmzury351 2 жыл бұрын
Kwan ye kasema kua mungu yupo kwenye fimbo keshaelezea mkasa wa hio fimbo ni kwamba Allah kampa tu karma
@jebellwallace3509
@jebellwallace3509 2 жыл бұрын
Mungu kwenye fimbo!!!! Hii njaa hiii,mtihani mkubwa sana.
@saimonijonas1471
@saimonijonas1471 2 жыл бұрын
Wakati wa Musa ilikuwaje?
@harrunaally8869
@harrunaally8869 2 жыл бұрын
@@saimonijonas1471 dah umeniwah nilikuw nmjib jib ilo il
@saimonijonas1471
@saimonijonas1471 2 жыл бұрын
@@harrunaally8869 Amina.
@dismasdastan5493
@dismasdastan5493 2 жыл бұрын
Kijana anapiga pesa ni masikini wa kutupwa sana ndio maana anadanganya watu haya ni mazingaombwe...Na hao waliodondoshwa na fimbo ni kundi moja..(wako pamoja na kijna huyo)
@ashangonyani7989
@ashangonyani7989 2 жыл бұрын
Turehemu mungu. Kweli wewe mungu umehamia kwenye fimbo? Maana tumeona wengine wamekuhamishia kwenye keki, chumvi, maji. Watu Sasa e mwenyezi mungu wanaabudu sanamu na vinyago Kwa manufaa yao na ufisadi wa njaa ya matumbo yao.
@hamisimkima117
@hamisimkima117 2 жыл бұрын
Kweli kusoma Mali kwani musa alipasua Bahar ya shamu kipindi cha vita na farao firaun Alitumia nn kupasua bahar!? Tumieni Akili
@edlumala9428
@edlumala9428 2 жыл бұрын
Mussa alikuwa Nabii wa Allah, na alipewa uwezo ule kusudi kwa scenario ya kuwabadilisha firaoun na umma wake! Dunia ya leo kuna Nabii? We Hamis na akili yako unaamini hii ni nguvu ya Allah? Kwa ajili ya nini?
@issackjohn5805
@issackjohn5805 2 жыл бұрын
Mimi nawaunga waislamu mkono wanaopinga uchawi mimi huu naona ni kama tu zile keki na chumvi na mafuta yote hayo ni mambo ya bina damu sasa Nguvu za MUNGU zinajitosheleza sio mpaka fimbo hapana Mungu ni muumba wetu acheni hayo mambo
@iddihassan2677
@iddihassan2677 2 жыл бұрын
Allah tujaliye kheri na shirik Kam hiii zama za Sasa hakuna miujiza kama hii ni uongo
@shamsijuma5050
@shamsijuma5050 2 жыл бұрын
Ushirikina bana acheni kumshirikisha ALLAH
@samyspesho1698
@samyspesho1698 2 жыл бұрын
Hy fimbo haiusiani na mungu
@athumanijuma6644
@athumanijuma6644 2 жыл бұрын
Muogope Allah hakika yeye ni mkari wa kuadhibu,kumbuka Shiriki ni dhuruma iliyokubwa.وَإِذْ قَالَ لُقْمَـٰنُ لِٱبْنِهِۦ وَهُوَ يَعِظُهُۥ يَـٰبُنَىَّ لَا تُشْرِكْ بِٱللَّهِ ۖ إِنَّ ٱلشِّرْكَ لَظُلْمٌ عَظِيمٌۭ ١٣
@athumanijuma6644
@athumanijuma6644 2 жыл бұрын
وَٱتَّبَعُوا۟ مَا تَتْلُوا۟ ٱلشَّيَـٰطِينُ عَلَىٰ مُلْكِ سُلَيْمَـٰنَ ۖ وَمَا كَفَرَ سُلَيْمَـٰنُ وَلَـٰكِنَّ ٱلشَّيَـٰطِينَ كَفَرُوا۟ يُعَلِّمُونَ ٱلنَّاسَ ٱلسِّحْرَ وَمَآ أُنزِلَ عَلَى ٱلْمَلَكَيْنِ بِبَابِلَ هَـٰرُوتَ وَمَـٰرُوتَ ۚ وَمَا يُعَلِّمَانِ مِنْ أَحَدٍ حَتَّىٰ يَقُولَآ إِنَّمَا نَحْنُ فِتْنَةٌۭ فَلَا تَكْفُرْ ۖ فَيَتَعَلَّمُونَ مِنْهُمَا مَا يُفَرِّقُونَ بِهِۦ بَيْنَ ٱلْمَرْءِ وَزَوْجِهِۦ ۚ وَمَا هُم بِضَآرِّينَ بِهِۦ مِنْ أَحَدٍ إِلَّا بِإِذْنِ ٱللَّهِ ۚ وَيَتَعَلَّمُونَ مَا يَضُرُّهُمْ وَلَا يَنفَعُهُمْ ۚ وَلَقَدْ عَلِمُوا۟ لَمَنِ ٱشْتَرَىٰهُ مَا لَهُۥ فِى ٱلْـَٔاخِرَةِ مِنْ خَلَـٰقٍۢ ۚ وَلَبِئْسَ مَا شَرَوْا۟ بِهِۦٓ أَنفُسَهُمْ ۚ لَوْ كَانُوا۟ يَعْلَمُونَ ١٠٢
@zenjigreen5491
@zenjigreen5491 2 жыл бұрын
Wameshapita wengi kama yeye. Kutumia uislam kuwaaminisha watu batil kuwa ni Haqq na kujinufaisha binafsi. Ni msiba mkubwa kwa kutosoma dini yetu.
@mandarakalimbo2235
@mandarakalimbo2235 2 жыл бұрын
SHIRIKI mbaya bro
@ignassindabaha1813
@ignassindabaha1813 2 жыл бұрын
Shekhe anapatikana mpaka Whatsapp 😂😂😂😂😂mbona kama unaofanyika ni uhuni tu😂😂😂😂😂
@hashamprinters8573
@hashamprinters8573 2 жыл бұрын
Ukitaka kujua huu ni mchezo uliza kati ya hao watu waliochika hiyo fimbo kama wanajulikana na miongoni wajiokaa apo chini kushuhudia. wote watasema hawawajui ndo mjue hao ni kundi moja katika mchezo.
@mikidadiibrahimu1053
@mikidadiibrahimu1053 2 жыл бұрын
Nikweli Mana huyu kijana kaoa ndugu yetu
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 2 жыл бұрын
Astaghfiru llah Waatubu ilaiyhi ya Rabala'alamiin 😣😣
@Moc.khalfan
@Moc.khalfan 2 жыл бұрын
Tafuta historia yake ya kusilimu na fimbo hii
@aishaomarry6996
@aishaomarry6996 2 жыл бұрын
@@Moc.khalfan bora mwambie maana kila kitu baadhi ya watu wanahisi ni shirk
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 2 жыл бұрын
Sio Kweli hiyo sio miujiza sahihi kwani huyo ni nabii 😣😣 Fungukeni nilisha skia kitambo history ya hiyo Fimbo Astaghfiru Llah 📿 Lailaha illa Llah
@rashidikanyama7227
@rashidikanyama7227 2 жыл бұрын
@@khadidjasuleiman8006 haya tuambie na wewe humu kwamba iko vp
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 2 жыл бұрын
@@rashidikanyama7227 si fimbo ya kweli 😂 eti ni Ustadh Zumaridi soma 😅 Coment
@finiasezra7072
@finiasezra7072 2 жыл бұрын
Mungu amuerishwi kibwege Ivo, ama kweli ujinga auishi muujiza unaupanga unavyotaka wewe nyang'au
@amiriharuna7986
@amiriharuna7986 2 жыл бұрын
Huyu jamaa ni mnafiki kweli jmn nimemshuhudia akifanya hizi mambo... anaweka mtu mmoja anawasukuma wengine
@rahmaabdulla4949
@rahmaabdulla4949 2 жыл бұрын
Kama nikweli haya uliyosema anadanganya ipo siku Mungu atamuumbua tu
@nestorysospeter7162
@nestorysospeter7162 2 жыл бұрын
hayoo majini ya huyoo mungu wako unae mjua ww sio Alie yehova wetu tunae mwabudu kupitia yesu kirsto
@rajabuchumbi6098
@rajabuchumbi6098 2 жыл бұрын
Uyuu Dogo kamua kukufuru😭😭😭
@yasinikimaro264
@yasinikimaro264 2 жыл бұрын
Innalillah wainna ilayh raajiun.. Mbona dini yetu haina vitu kama hivi? Mashekh kutumia kigezo cha dini kupata hela.. Allah atunusuru
@michaelgershon9077
@michaelgershon9077 2 жыл бұрын
Sio mara ya kwanza nguvu za Mungu kukaa kwenye fimbo , hata fimbo ya Musa ilikua fimbo ya Mungu Mwisho nenda kwa kumtafakari Mungu, mambo ya Mungu ni mazito
@asiakheir8684
@asiakheir8684 2 жыл бұрын
Allah muweza ya yote na anajua ya siri na ya dhahiri tumwachie yeye tusihukumu hata nabi Mussa yalimtokea,ingekuwa kipindi hiki tungesema uchawi
@mkallylive1410
@mkallylive1410 2 жыл бұрын
Acha ujinga wewe.
@halimamremi5375
@halimamremi5375 2 жыл бұрын
Mashaallah!! Naomba namba yako andika kwa simu tukutsfute shekh kifimbo
@suleimanmohd.7197
@suleimanmohd.7197 2 жыл бұрын
😂
@godwinkileo7702
@godwinkileo7702 2 жыл бұрын
Shetan ashindwe kwa jina la Yesu
@amosidimoso4358
@amosidimoso4358 2 жыл бұрын
Huo niushirikina nasio nguvu za MUNGU hatamimi rafkiangu alikuwa anajihusisha na huo mtindo ila sasa ameokoka anampenda YESU!
@gabriellyadam9415
@gabriellyadam9415 2 жыл бұрын
Mungu turehemu.
@saidmzee8609
@saidmzee8609 2 жыл бұрын
Unadanganya Uma woote uo na huoni vibaya sawa Allah anawewe kesho
@mudrikbinsadiq5307
@mudrikbinsadiq5307 2 жыл бұрын
Miujiza hiyo akupe wewe au😅😅😅 tena arusha duuu
@pastorchristopher758
@pastorchristopher758 2 жыл бұрын
Hapo hakuna Mungu achana kuchezea watu wewe.
@mustaphahassan589
@mustaphahassan589 2 жыл бұрын
Wanawake kazi Sana.
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 2 жыл бұрын
,😂😂
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 2 жыл бұрын
@@lifeinmiddleeast8179 😂😂😂😂
@iteefmedia4485
@iteefmedia4485 2 жыл бұрын
Wanawake ni dhaifu sana 😖😖
@abdallahdataguy
@abdallahdataguy 2 жыл бұрын
Huyu kifimbo ni mchawi au tapeli. Allah amuongoze aache anayoyafanya yanayodhalilisha uislamu na waislamu...
@ashangonyani7989
@ashangonyani7989 2 жыл бұрын
Kweli ni nyakati za mwisho, uchawi na uganga umehamia kwenye makanisa na misikitini. Kizingizio ni mungu. 😱😱
@msonjosicario5004
@msonjosicario5004 2 жыл бұрын
Kila siku kunazuka ujinga mapya...walianza NA mafuta...maji...moto...sasa fimbo....UKIONA JAMII unaamini hizi mambo UJUE kuna ujinga wa HALI ya juu na umaskini wa kufikiria....
@aishathabit3732
@aishathabit3732 2 жыл бұрын
We #AYO MPUUZI SANA #WAISLAMU WAPO JELA KIBAO HUTANGAZI #UPUUZI HUU WENYE KUPINGANA NA UISLAM NDIO UNATANGAZA
@asheritimothy8886
@asheritimothy8886 2 жыл бұрын
Imani zingine basi tu,kama kwenda mbinguni mpaka tupitie uislam basi mm mbingu hiyo haitakuwa raziki
@abuubellah7171
@abuubellah7171 2 жыл бұрын
Ukiangalia salimia kubwa ya walio hudhuria ni wanawake. Na huenda wakawa ni wake wa watu. Kwa hiyo wanawake ndo wenye matatizo kuliko wanaume. Mtihani huu. Innaa lillah wainnaa ilayhi raajiuun. Allah atunusuru
@fidelisvenance6431
@fidelisvenance6431 2 жыл бұрын
kwasababu ni wepesi kudanganyika kumbuka mtu wa kwanza kudanganywa ni Eva na alidanganywa na shetani
@joshuajohn2668
@joshuajohn2668 2 жыл бұрын
Ayo ndio matokeo ya kushika Sana uislamu sababu Kuna majini waislam
@justinemico1871
@justinemico1871 2 жыл бұрын
Mambo Kama haya ndio sayansi yenyewe Ila bongo tunapinga, hebu endelea kusaidia watu kijana na wewe upate utajiri, kila mtu atumie alicho nacho.
@sirajimsuya6226
@sirajimsuya6226 2 жыл бұрын
Kweli kabsaa
@abdallagaza6864
@abdallagaza6864 2 жыл бұрын
Sayasi uchawi
@nadrahassan5241
@nadrahassan5241 2 жыл бұрын
Ww ukikubali ina tosha usilazimishe watu kukubali utapeli kutumia maneno ya Allah
@mkallylive1410
@mkallylive1410 2 жыл бұрын
Acha ujinga
@nadrahassan5241
@nadrahassan5241 2 жыл бұрын
Ahakuna miujiza wala nini ebu nanyie shikeni fimbo mkiwa watatu wanne fupi kama hiyo uone. Mungu atuepushe na shirki hizi. Fimbo ina tikiswa nahao wenye kuishika
@bakaridingole302
@bakaridingole302 2 жыл бұрын
Mungu akusamehe wewe na hao unafanya nao miujza kudanganganya watu
@godlistenmasuck7893
@godlistenmasuck7893 2 жыл бұрын
Wainue juu wabembee niamin
@ahmarinaborto5918
@ahmarinaborto5918 2 жыл бұрын
Hizi ni njama za ibilisi anatumia uchawi kwa jina la mungu kwa kusoma kuraani kutumia uchawi, haya ni mambo ya ushirikina. Mambo haya hayapo kwenye uislamu , haya ni mambo ya ushirikina.
@joanmwivanda2434
@joanmwivanda2434 2 жыл бұрын
Watanzania kila wakati miujiza 🤣🤣🤣🤣🤣mungu atusamehe tuko kwenye siku za mwisho,hata majini yanamshujudia mungu skuizi,but the word of God keeps warning us,the days are coming when fake prophets will arise and everyone would be preaching and saying in my name says the lord
@hamisimkima117
@hamisimkima117 2 жыл бұрын
Siokila jambo ukubali nawe unahakiyako kukataa ila Subir siku uikamate ndo utajua Mungu yupo
@joanmwivanda2434
@joanmwivanda2434 2 жыл бұрын
@@hamisimkima117 mimi ninamwomba sana mungu na miujiza yake nimeishuhudia mwenyewe bila hao mashekh na mapastors,tunaambiwa tujifunze kujiombea wenyewe kanisani au musikitini ni mafunzo tu,yamenkuta mengi mno na mungu mwenyewe kaniepushia
@salimmoha7962
@salimmoha7962 2 жыл бұрын
Hiyo fimbo ndani Iko na kitu kama smaku na inaendeshwa na remote ambayo mmoja wao ameishika
@niyodusabaisaie1695
@niyodusabaisaie1695 2 жыл бұрын
Majin kabx
@amirilupembe2164
@amirilupembe2164 2 жыл бұрын
Tanzania laha mimi nilikuwa na mpango wa kuihamia zambia bola nibaki fimbo ya musa kaota sheeeh
@sidebale8685
@sidebale8685 2 жыл бұрын
Yupo wapi
@barakamwasanga1667
@barakamwasanga1667 2 жыл бұрын
Watu wapenda sana miujiza
@bakar9393
@bakar9393 2 жыл бұрын
Huna maajambu usidanganye watu kwa kanzu na kilemba,ukaihusisha fimbo yako ya kijini ukainasibisha na Iman ya Kiislamu. Fimbo ilikuwa na Nabii Muussa tu.
@prochesernest5439
@prochesernest5439 2 жыл бұрын
Karma babu wa loliyodo nyakati za mwisho hii fimbo shekhe kifibo mwingine shekhe majini tunasubili mwingine
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 2 жыл бұрын
Nyakati za mwisho kuna mengi
@SHEIKHMWAIPOPOTV
@SHEIKHMWAIPOPOTV 2 жыл бұрын
Huyo ni tapeli Tena mungo na ninashangaa Sana waislamu kwenda kushiriki Mambo hayo huyo ni mshirikina kabisa
@leilamohammed3018
@leilamohammed3018 2 жыл бұрын
@@SHEIKHMWAIPOPOTV unasema kweli hakika hilo
@mohamedduale6759
@mohamedduale6759 2 жыл бұрын
😂😂😂😂 sio muislamu , anashindwa ku salia mtume 😂😂😂
@mahmoodmrisho6496
@mahmoodmrisho6496 2 жыл бұрын
Subhannallah
@queenraphaher7736
@queenraphaher7736 2 жыл бұрын
Tunataka kuona viwete wakitembea
@pacomezouzoua9175
@pacomezouzoua9175 2 жыл бұрын
Yanga bingwa
@kassimramadhani7221
@kassimramadhani7221 2 жыл бұрын
Shirk hiyo mnatumia masheytwan kuwakufurisha watu Allah atakulipeni kwa haya إنا الله وإنا إليه راجعون
@genius8524
@genius8524 2 жыл бұрын
shkamo Tz na waandishi was habari binafs siamini.
@salimmoha7962
@salimmoha7962 2 жыл бұрын
Yaani hapa hakuna tafauti na mapasta wanavyo danganya watu
@LearnwithMadamnaomi
@LearnwithMadamnaomi 2 жыл бұрын
Bas nenden muhimbil mponye watu
@frankritte5837
@frankritte5837 2 жыл бұрын
Hao matapeli wa kiimani mi mwenyewe niliwahi shiriki utapeli huku Dar unaohusu sheikh sharifu wa uatao ni watafuta fedha kwa njia hii na hawa wengi hutokea Dar na ho waliozaliwa wamepangwa tu niwataje hao wajanja wa kiimani Kinyogori, Kalala wapi,na wengine wengi hasa wa mihadhara.
@imamumohamedmalina6995
@imamumohamedmalina6995 2 жыл бұрын
Ktk uislam Allah ametufundisha kumtegemea yeye siyo vitu kama hiyo fimbo yako! hayo ni mazingaombwe tu itaq LLAH (Muogope ALLAH)!!Alfu mwishoni mnauza dawa!
@saidhamad9723
@saidhamad9723 2 жыл бұрын
Mjamaaa anasimamia shirki kwa kuunasibisha na uislam
@peterrulagora7403
@peterrulagora7403 2 жыл бұрын
Majini yanawaangusha watu
@zubedarichard2311
@zubedarichard2311 2 жыл бұрын
Kuma wewee
@peterrulagora7403
@peterrulagora7403 2 жыл бұрын
@@zubedarichard2311 hata wwe majini yanakusumbua,hiv kwa akiri za kawaida fimbo inaweza kuwaangusha watu!
@bernardjohn8788
@bernardjohn8788 2 жыл бұрын
Halafu baadaye wakijaa kwa mwamposa kwenda kutolewa wanaanza kulalamika tena
@irenibrahim1773
@irenibrahim1773 2 жыл бұрын
@@zubedarichard2311 unalaana, hayo ni majini hata mm nimeona mengi acha unafiki huyu shehe ni mchaw tena mkubwa, hakuna mapepo yanatolewa na fimbo,
@mwajumafadhili9268
@mwajumafadhili9268 2 жыл бұрын
Msimlaumu jamani Kila mtu kapewa miujiza yake na Mungu,fimbo haihusiani na uislam Ni kipaji nae kapewa,
@abdullahmanmiyanjamo1796
@abdullahmanmiyanjamo1796 2 жыл бұрын
😂😂😂 Nchi inavituko hii
@hashamprinters8573
@hashamprinters8573 2 жыл бұрын
Hivi kuna watu wanaibiwa hadi leo? Loo! "Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maalifa"
@leitonyngayama6882
@leitonyngayama6882 2 жыл бұрын
Ndio wapo, mwizi ndio kama huyu, mwamposa, Safina, upako, NGURUMO.... Wote wezi
@zenjigreen5491
@zenjigreen5491 2 жыл бұрын
Elimu ni Lazima ktk uislam. Elimu itakusaidia kuijua Haqq na uibaini Batil.
@jivitafoundation5011
@jivitafoundation5011 2 жыл бұрын
Hii Dunia ni well
Skia alichoimbiwa Salama na shabiki, Hujui mtu katoka wapi
11:56
BongoStarSearch
Рет қаралды 236 М.
УДИВИЛ ВСЕХ СВОИМ УХОДОМ!😳 #shorts
00:49
So Cute 🥰 who is better?
00:15
dednahype
Рет қаралды 17 МЛН
Deadpool family by Tsuriki Show
00:12
Tsuriki Show
Рет қаралды 7 МЛН
Why no RONALDO?! 🤔⚽️
00:28
Celine Dept
Рет қаралды 114 МЛН
Lava Lava - Dede (Official Music Video)
3:55
Lava Lava
Рет қаралды 7 МЛН
BABA WA TAIFA ALIILILIA TANZANIA KABLA YAKUKATA ROHO.
21:57
Wasafi Media
Рет қаралды 1,8 МЛН
УДИВИЛ ВСЕХ СВОИМ УХОДОМ!😳 #shorts
00:49