MUNGU nakuomba sana nisiije kuingia tamaa yamali nitafute vyangu Amina
@vaikaayagadiel5205 ай бұрын
Yesu tusaidie, watoto wa Baba mmoja na Mama mmoja, kweli upendo umekwisha duniani
@naomisamwel185 ай бұрын
Kwa akili zangu mbili- cji na siwez kugombania Mali za urith😊
@trophywilson72115 ай бұрын
una akili sana
@FatmaLyego5 ай бұрын
Tena ni kukaa navyo mbali
@hadijauledi69955 ай бұрын
Kweli kabisa tafuta vya kwako Marathi ndugu wanauwana
@nelsabugo36135 ай бұрын
Siwezi kumfanyia ubaya ndugyng ungemuacha Mungu angekubariki
@nelsabugo36135 ай бұрын
Unaamani kabisa kuvunja nyumba ya Kakayko .
@boazambokile25875 ай бұрын
duhh huyo dada ni shidaaaa bora baba yangu haja acha kitu kila mtu anapambana vyake 👍👍👍
@trophywilson72115 ай бұрын
hahaha
@FARAJAAFYUSISYE-sk2wb5 ай бұрын
Naungana na wewe hata m Huwa nasema Bora mzee alikufa na umaskin wake
@joyceatupele88483 ай бұрын
Yaani bora niishi kivyangu tu na maisha yangu maziri wacha wauane huko mm nimetulia kwangu
@HusnaOmarry5 ай бұрын
Ila Arusha mna matukioo duuu😢😢😢😢
@Ndu-wa.uroony25 ай бұрын
KWANI nyinyi ni wa WAPI?
@isabujoisabujo12145 ай бұрын
Mungu Atusaidie tutafte vya Kwetu vya Halali. Inauma Sana Mzee kama ww unagombania Mirath?
@mtotowamanka5 ай бұрын
2nataka,uhuru ss Arusha
@Badvoice7075 ай бұрын
Wanawake bana kwa kugombania mirathi 😂😂😂😂😂
@trophywilson72115 ай бұрын
hadi wanaume Wanagombania saana tu
@francis45255 ай бұрын
@@trophywilson7211😮qq1ñqqqqqqqq sẞdde†$
@fridaernestmkedege9005 ай бұрын
Dada umekosea... Muombe Mungu akujalie nguvu ya kutafuta vya kwako na mumeo... hata angekaa hapo Moses bado ni ndugu yako. Sasa jiandae kwenye vita isiyoisha
@aishathkalugira32965 ай бұрын
hakika
@gracegeorge4848Ай бұрын
Hakikaaaa@@aishathkalugira3296
@ChugaKaziАй бұрын
Alafu vya wazazi amwachie nani nyie vp
@jacklinakinabo64795 ай бұрын
Mme wa huyu mama hana ela maskini😢😢😢 Duuh ,,umri huo jmn ,si anaitwa bibi hapo alipo
@dallasmusic64655 ай бұрын
Acheni usenge hzo ni laana mnatafta mwenye kujenga huko aliko akiona mnagombea vtu zake na mnavunja hyo ni laana hamtaziinjoy hzo Mali kwa Amani...... Tafteni pesa zenu na bado mtauwana baada ya hapo
@isunga19645 ай бұрын
Duh poleni sana baba mmoja na mama mmoja mnagombana vp mimi na kaka zangu mama tofauti naomba mungu sana tuelewane na kaka zangu mpaka naogopa 😢😢😢
@angonzamujunangoma87755 ай бұрын
Mzee aliyetafuta mali alishajufa why ninyi msikae mkakaa kwa pamoja na yakaisha.Saaa bora kuvunja au kusolve matatizo
@evaristjoseph81515 ай бұрын
Huyu mama sio mzuri hata kidogo
@BobNasa5 ай бұрын
Acheni kugombea Mali za urithi tafuteni vya kwenu nanyie
@YusuphMwangobola5 ай бұрын
Hicho nacho Chao
@trophywilson72115 ай бұрын
Kwa kweli
@trophywilson72115 ай бұрын
@Yusuphwangobola hawakukitafuta
@YusuphMwangobola5 ай бұрын
@@trophywilson7211 kwa hyp wakiache wakati wamiliki awapo tafuta hoja nyingine wapemba na warabu Mali zao zote ni za urithi pengine dingi Yako kabwela ndio mahana unakuja na maneno kama ayo.
@MandoliiMoshi5 ай бұрын
yani arusha wao wanawaza2 mali za uridhi kazi hawataki ndomana wachaga waimiliki arusha kila kona n wachaga wamewekeza2
@ManaseMoleli5 ай бұрын
😢 So sad ndugu kulumbana kwa mali ya urithi Dunia tunapita Bora kushtaki kwa ulichotafta kwa mikono yako .
@wolterdavid89795 ай бұрын
Kuna mwenye tamaa, lakini mkigawana kwa usawa hakuna ugomvi. Ninyi ni ndugu. Msiangalie mtoto wa kike wala wa kiume. Wote gawaneni sawa kwa sawa.
@dianamshana5 ай бұрын
Hivi kwa mfano kama baba aligawa hariziki unafikiri atarizika
@FelixMwacha5 ай бұрын
Laana ni mbaya sana! badala ya kujengeana wanabomoleana, huzuni sana!!!!!
@TheresiaAndrea-hv9dg5 ай бұрын
Shanghai sasa
@easternyerembe72715 ай бұрын
Umeongea point nzuri kuliko zote
@Doris-td7pf5 ай бұрын
Unakomaa kujenga ukifa watu wauane!!😂😂😂
@hildajoel55 ай бұрын
Mimi kama Hilda nasema, "tutatoana roho kwa mali alizoacha baba"🙌
@section8ight1745 ай бұрын
Bwege!
@MichaelAmosMzini5 ай бұрын
Si utafute vyako na wewe unajua Baba yako alitoa wap malj
@RashidRamadhani-b5o5 ай бұрын
Dogo kamaanisha amenyoosha mikono juu mana anaona kuna kuuwana hapa tuwe tunaelewa lugha za emoji 🙅🙅🙅
@Rahima-kv6mn5 ай бұрын
@@RashidRamadhani-b5o Sahihi mana watu wanakurupuka tu kucoment bila kufikilia kamaanisha nini 😏😏
@DM_155 ай бұрын
Nimemuona moja hapo, 😂😂 mali ya baba watoto wana pambania kuipata, kwani lazima uchukue mali alio tafuta babayenu kwendeni mtafute za kwenu
@shabanialfani53945 ай бұрын
Tutafute vyetu vya kurithi ni Mtihani mkubwa sana
@adellaishengoma53015 ай бұрын
Kabisa
@noelkipera65815 ай бұрын
Duh😢😢yaaan family 1mother+1father
@AgnesMakunege2 ай бұрын
Wazazi msiache mali 2tauana zisipokuwepo amani itakueepo🎉🎉
@itzsnazzyjazzy4725 ай бұрын
Watanzania niwaulize tu Muna uhakika Arusha Iko Tanzania kweli na sio kwetu Kenya kwa maana vibe lao sio la huko ni la kenyaaaaaaaa
@noelmbise91575 ай бұрын
😢😢😢 wanawake wanabomoa familia za ndugu wao aende bwana wake hatulie
@JosephLoy-k2g5 ай бұрын
Mimi ningekua ndugu wa huyu mwanamke, walai anakula tu mapanga, baba hawezi jenga nyumba yeye abomoe,
@sir_ENOCKMACHA5 ай бұрын
Hahahahahhhhahhhahhahhaha
@Atb300Ай бұрын
Arusha sikai hata iwe free house😂😂
@Hamy11095 ай бұрын
Marehemu angekuwa mzembe kama nyinyi sijui mngepata nini cha kugombania…Watu sijui kwanini wanaendekeza uvivu na uzembe 😡
@DinoPankras-nd7hp5 ай бұрын
Hiyo ni noma sanaa!
@RenaldaZeramula5 ай бұрын
Dada unamroho.mbaya ..weww.si umeolewa
@damariszuckschwert94895 ай бұрын
Aolewe asiolewe anastahili kupata urithi wa babake. Fyuuu
@mosesnyelo13805 ай бұрын
Utakuwa na matatzo ya akili aisee hivi umesikiliza kweli
@MichaelMaro-hj7yo2 ай бұрын
TAMAA MBAYA
@MsafiriNyebunga5 ай бұрын
Tunatafuta mali Ili watoto waje angalau wapate pa kuanzia kumbe nayo ni changamoto tu😢😢😢
Kwanini mnauana Kwa Mali ya urithi Mimi naweza kuwaachia nyumba
@TheresiaAndrea-hv9dg5 ай бұрын
Kumbuka shetani kajificha kwenye vitu
@henrylukamisa98885 ай бұрын
Unaanzaje kuviacha. Mtu apate kitongaa Tu.?
@thadeylyimo97725 ай бұрын
Mnatia aibu. Yaani mlianza kugombana wazazi bado wakiwa hai..
@DALALIMTOTOMPANDAKATAVI91695 ай бұрын
Badala wajenge vyao wana gombania vya baba Yao
@knight67575 ай бұрын
Utamaduni ???
@YustoMlay-cv4zb5 ай бұрын
Nashangaa
@Mahonda80805 ай бұрын
Mwanamke yupo sawa
@OmaryMohamed-lj8ek5 ай бұрын
Duuh watoto wazuri hao aisee😊
@HussenZahoro5 ай бұрын
Nini maana yakuzibomoa sasa hizo nyumba hatujaelewa hapo..au mtagawana kiwanja😂
@happymrema74875 ай бұрын
Weww mtot wa kije jaman
@AnnaUrio-x1b5 ай бұрын
Waarusha wajeur sana😅
@seneu.21285 ай бұрын
Wamasai ndugu zetu mmeuza maeneo mengi sana Arusha kizembe , ukifuatilia hiyo familia utagundua walikuwa na maeneo makubwa kuliko hata hayo wanayogombania ila unakuta waliuza sana, hapo ni Nyumbani kwa wazazi ila Kila mtu alipewa eneo lake hapo palipaswa kuwa Nyumbani tuu
@happymrema74875 ай бұрын
Duuu wewe ni hatar mwanamke nimekuogop
@thadeylyimo9772Ай бұрын
Ubinadamu umeisha kwenye hii dunia, mzee alipeana na watoto bila maandiashi...sasa ndiyo wanataka kuwaana huku..
@mlamytz4 ай бұрын
Mwanamke apewi uridhi akaridhi kwa bwana ake mamae zake
@gilliardgodfriend57455 ай бұрын
Sasa ukibomoa unapata nini😅😅😅😅😅
@devisshirima67805 ай бұрын
Watauza watatapanya mali zote watarudi kwenye njaa !!!
@maingwamaingwa98875 ай бұрын
Wale mnao subiri mirathi mpate kuuwana endeleeni kusubiri wenye mali wafe 😂😂😂😂
@mboneamalaki56745 ай бұрын
Ndugu wa tumbo moja hao.Hatari kweli
@SophiaKamgunda5 ай бұрын
Jamani hvi Wazazi walko wanaipokeaje
@LeahCosmasNzoka-po3dr5 ай бұрын
Tamaaa mbaya😢😢
@thabealaizer33135 ай бұрын
Jiran yetu huyu Ni mnoma mno😢
@alphoncewilliam43255 ай бұрын
Mtafutaji mwingine wanagombana wengune mungu tunusulu
@bennamush46162 ай бұрын
Mh nimeukumbuka ule wimbo ,, tunatoana roho yarrabii kwa mali alizoacha babaa😂 ngoja niende live band leo
@mathiaskizito97805 ай бұрын
Arusha bila makonda 😢
@karibunyumbani38245 ай бұрын
Wee koma hatumtegemei makonda tunamtegemea MUNGU pekee halafu haya matukio sio Arusha tu
@@karibunyumbani3824Mungu halafu mgombanie Nyumba??
@letthedeadburythedead21485 ай бұрын
Wewe utukuwa ni shoga
@cheiknamouna20585 ай бұрын
Mama Hana uchungu kabisa mwambieni aachane na dhuluma sura yenyewe imeshaanza kuitana mkutano 😏😏
@lucyngowinimrkorogwe22985 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@heriethleonid62295 ай бұрын
Bora yako wewe mwenye uchungu Baki na uchungu wako ukusaidie
@khadejakhadeja97135 ай бұрын
Vita kali Ukrain na Urusi poleni lazima mtauwana ndugu wa tumbo moja haoo angedai mtoto wa njee ya ndowa yangesemwa mengi .tunuachie mungu ndio hakimu poleni kwa kulili urithi TAFUTENI vyakwenu muachie na watoto wenu
@MsNajma-j7e5 ай бұрын
Yan watto wa tumbo moja mnabomoreana roho mbaya sana yan wazazi tunao jenga tuwandiken mali na kupanga mapema kabda ya kauri kukata huku nchi nyingine ndgu usaidyana lkn tz ndgu hutengana damu moja aisee
@saynabmohammed6263Ай бұрын
Serikali inahua haki ya baba na mama ni ya watoto
@Rahima-kv6mn5 ай бұрын
Mimi kama shangazi yenu kaka yangu alinipa usia kuwa mali zote izo za wajukuu nyie tafuteni zenu Pumbavu sasa atakae kiuka kauli hii atamfata kaka uko uko aliko shenzi kabisa 💃
@denisaron81185 ай бұрын
Kwa Mila za kimaasai, wanaorithi mali ni watoto wakiume , ila kama ikitokea marehemu alikuwa na mali nyingi na akaamua kugawa Kwa watoto wake wote bila kujali jinsia ni sawa. Anayetakiwa kurudhi mali za maeneo aliyokuwa akiishi mmiliki au baba wa familia ni mtoto wa mwisho wa kiume.
@nurdinkisaria94765 ай бұрын
Mfumo dume unawatafuna watu wa kaskazini
@ballackmasungura67535 ай бұрын
Nyie watu warusha niwapumbavu badala mnachukiana Hadi mpka mna vunja nyumba Amna ata aibu ndugu mlio nyonya ziwa moja mnagombania nyumba ya baba yenu mnafurahisha watu mkosa sasa wote mwanamke kwenye miradhi ukisha pewa ela mna peleka wapi zitaisha lakini aibu itaendelea mpka kwakizazi chenu tafuteni ela tafuteni maisha acheni akili finyo
@jkomedikaduli5 ай бұрын
Hii Dunia jamani mtu kajifia mnagombania mali zake
@princessringo28795 ай бұрын
Sasa dada kweli unmtoa ndg Yako ndan ya nyumbn ili uuze kiruu
@MiishHassan-qm1et5 ай бұрын
Mim mambo ya mirathi ndio sitakag kusikia habar ya kuuan kisa mali ukifa unaiacha hapan nimesem ikitokea ugomvi najitoa kweny hizo mali sitak stress mim😂 wanaopambania wapambanie😎😎
@McT-m1m2 ай бұрын
Ila mimi naomba dua kila siku nimalizie nyumbs yangu wengine wanabomoa
@BabygirlDadiyo5 ай бұрын
Mimi ndugu siwaamini kabisa toka dadayangu anichukulie mumewangu looh siwaamini kabisa
@mrh28125 ай бұрын
Dah Yan inshu yakuelewan tu 😢
@evaristjoseph81515 ай бұрын
Kama kaolewa Tena kapewa Cha kwake anawasumbulia nini kaka zake, Tena atende kama bablia inasvyosema kawacha baba na mama yake kaambatana namumuwe anataka watoto wa kaka zake waishi wapi,Tena nyie wamasai mmezidi kuwapa wasichana viwanja sio jambo Bora ndio hao wanakuja kuuza na kuleta shida Kwa mabwana zao na akirudi anataka akae Kwa kaka yake Tena nakuanza kuacha laana bila sababu
@zawadimpayo38395 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣kwani vyakwenu Bado hamjatafuta🤣🤣🤣
@happymrema74875 ай бұрын
Wewe siukaoew jaman
@JulianaJackson-lz6vq5 ай бұрын
Mali na Watoto ni fitna...Mungu Atusaidie
@BIGBOSS-hl3bu5 ай бұрын
Hakuna Cha Mtoto wa kike Wala wa kiume wote wanahaki Yao ,Uzeni nyumba kila mtu akafie mbele ACHENI ujinga wakujifanya mnapendana eti baba mmoja khaaa angekuwa baba mmoja angesema nyumba ni yakweke binafsi
@heriethleonid62295 ай бұрын
@@BIGBOSS-hl3bu hapo ndo mijitu huku inaropoka hawaelewi jamaa hataki Mali iuzwe amexoea kitonga😁😁😁
@Mrmohadi.OFFICIAL5 ай бұрын
Duh si mjenge vyenu
@hassankarume50585 ай бұрын
we mmama mme wako si anavyakwakwe atarithi au amerithi kwao kwahyo unataka uende umuongezee na hivyo,,,,shame on u acha maali zibakiee nyumbani kuna wajukuu wa marehemu zinabidi ziwasaidie😢
@alexjackson59605 ай бұрын
Enable issues =fanya mambo au wezesha mambo.
@sadamissa56875 ай бұрын
Me ndio maana niliachia wadogo zangu kila kitu watajua wenyewe me natafuta vyangu😢😢wao na mama watajuana
@alfredndau91955 ай бұрын
Mwamba sana wewe.Ni vizuri mtu kupambana ukatoka kivyako!uko vizuri sana.
@Gamba815 ай бұрын
Nakwenda kusikiliza hile nyimbo ya msondo ngoma
@nasibuathumani77055 ай бұрын
Yan huyu mzee nae ana taka ulis kwenye nyumba ambayo sio yake. Mzee kavuta mama kavuta mali zigawanywe kila mmoja afe na chake ww mzee uhusiki kanywe mbege kwa mlomboo huko
@gracegeorge4848Ай бұрын
Huyu mzee kenge kweli kwahiyo nikiwa kwa bwanaangu Sina changu?
@PrinsesChami5 ай бұрын
Arusha watafute tuu nchi yao, kwanza lugha tuu ni balaa
@HamisMghuna-fj3vz5 ай бұрын
Wa Arusha punguzeni rohooo mbaya haya imebolewa,mmepata nn,hasara tupu
@AnthonyVitalis-iy5su5 ай бұрын
Wazee wa nyumba za Uridhi 😂😂
@Rahima-kv6mn5 ай бұрын
Urithi Mama sio uridhi 😂😂😂😂
@AbineliMsihi5 ай бұрын
Wewe mama upate chako
@ilynpayne74915 ай бұрын
Mimi nikifa niwe maskini😂 sitaki ndugu wagombane
@JescaVicent-jo7sj5 ай бұрын
😅😅😅😅😅
@KomweLake5 ай бұрын
Sipati point
@YasintaKisholi-fl3iy5 ай бұрын
Mali za urithi mbaya sana watu tutafute Mali zetu
@happymrema74875 ай бұрын
Mm kule kwetu mtoto wakik hun chako
@damariszuckschwert94895 ай бұрын
Fyuuu uzamani huo kuwathulumu watoto wa kike. Sasa hawakubali vita ni vita
@NeemaMtui-xb1wf2 ай бұрын
Kweli kabisa nmeshajua kwann kwetu haturidhii chochote mambo ndio kama haya Kwan wangeuza wakagawana ingekuwaje