Vijana wawili waliopotea wakati wa maandamano wapatikani kama wameuawa jijini Mombasa

  Рет қаралды 55,206

Citizen TV Kenya

Citizen TV Kenya

7 күн бұрын

Familia Zaidi Zinaendela Kujitokeza Kuripoti Kufariki Kwa Jamaa Zao Baada Ya Kupigwa Risasi Na Maafisa Wa Usalama. Mjini Mombasa Familia Ya Denis Otieno Inaomboleza Kufuatia Kifo Cha Kijana Huyo Wanayesema Hakuwa Miongoni Mwa Waandamanaji. Na Kama Anavyoarifu Francis Mtalaki Denis Alipigwa Risasi Zaidi Ya Tatu Kwenye Mgongo Hadi Kufariki.

Пікірлер: 123
@timothyonyango9
@timothyonyango9 5 күн бұрын
With all looks and facts KK govt is surviving through human blood 😭😭😭😭😭😭😭😭 but God will act soon on this shakahola govt.
@HassanAthuman-lf7cz
@HassanAthuman-lf7cz 5 күн бұрын
Serekal ndio wauwaji hata hao vjana waliuliwa na maafisa lkn mungu upona anaona
@luckyluchano1
@luckyluchano1 5 күн бұрын
The pain of the mother is evident and I pray it won't be in vain😔
@StephenWekesa-ul8il
@StephenWekesa-ul8il 5 күн бұрын
Ruto must go
@MargauxNyambura
@MargauxNyambura 5 күн бұрын
This government honestly has caused lots of families to shed tears
@aishasaidi1784
@aishasaidi1784 5 күн бұрын
Wakati wa maandamano yenyewe hakukuwa na kazi sema tu polisi ndio wenye lawama kubwa na mauaji😢
@Nicholas-yr2sq
@Nicholas-yr2sq 5 күн бұрын
Wazazi itabidi mupange maadamano yenu siku moja 😎
@msamsa1031
@msamsa1031 5 күн бұрын
Haki gani , na uhai utawahi rudi
@rwenji22
@rwenji22 5 күн бұрын
Hata kama alikuwa kwa maandamano, ni ukatili mkubwa wa serikali ya Ruto kutumia risasi za moto dhidi yao.
@wakenyaskytv6937
@wakenyaskytv6937 5 күн бұрын
Ruto stop killing our children
@denniscemagik1260
@denniscemagik1260 3 күн бұрын
Parents (not necessarily concerned with this) Please, kuna watu nawajua wanafanya uhuni na ujambazi na wazazi hawana ufahamu. Mzazi anajua mtoto wake anafanya job ya ki uhaki ilhali wanao wanaficha siri na kuiba chini ya maji. Kuna wengine hata bibi zao hawajui so please, tutafute pesa kwa njia za kiukweli
@danlamboghini6427
@danlamboghini6427 5 күн бұрын
Pole mum
@MuniraShughuli-kc7vj
@MuniraShughuli-kc7vj 5 күн бұрын
Kesho Mungu yuwasibi wote wauwaji
@mahbubmo
@mahbubmo 5 күн бұрын
Im not saying the killings are right but what does kicking a car and destroying you fellow kenyans property got to do with your anger for the government?
@peterkariuki9073
@peterkariuki9073 5 күн бұрын
Ruto pays the goons who do that. Ask him that question.
@Nicholas-yr2sq
@Nicholas-yr2sq 5 күн бұрын
Rubbish
@mahbubmo
@mahbubmo 4 күн бұрын
@peterkariuki9073 No it's a behavior, look at the past. Can't blame all your issues on ruto.
@anneorina2975
@anneorina2975 5 күн бұрын
Condolences to the family
@peterjowi3894
@peterjowi3894 Күн бұрын
Francis mtalaki hapana sema rwinga, ni runinga ya citizen😂
@karutyericscomedies2783
@karutyericscomedies2783 5 күн бұрын
This sounds very unpleasant 😢 Brutality on peaceful protesters
@alicembari8190
@alicembari8190 5 күн бұрын
God will answer our prayers
@lynnomondi4899
@lynnomondi4899 5 күн бұрын
Ruto must go yawa....
@edwingichobi1657
@edwingichobi1657 5 күн бұрын
Swali ni je,wenye hayo magari waliochoma ndiyo waliua huo vijana kweli?Na kama hapana,mbona walichoma magari ya wenyewe basi? Asiyefunzwa na mamae hufunzwa na ulimwengu
@Borvia109
@Borvia109 5 күн бұрын
Hehehe no worries hutafikiwa
@josephwairimu6222
@josephwairimu6222 5 күн бұрын
Koome must go
@Borvia109
@Borvia109 5 күн бұрын
Start from Ruto
@mercyserem1821
@mercyserem1821 5 күн бұрын
Oo mama pole 😢😢
@MuthamaSabastian
@MuthamaSabastian 5 сағат бұрын
Hawa maaskari ka wanajulikana inafaa watembelewe cos ata wakishikwa wataachiliwa bure...wapewe tu Genzs
@AnthonyObuya
@AnthonyObuya 5 күн бұрын
This government kazi ni kusafirisha mwili places zingine ndio watu wasipate loved ones wao ....Githurai bado tunajua watu walipass wengi those shots could have been kwa hewa
@benjaminosura7665
@benjaminosura7665 5 күн бұрын
Walitupwa river yala ama shakahola lazima
@theozansfamily1029
@theozansfamily1029 5 күн бұрын
My dad was a Corp and always against police brutality to date 😢. It's so Unfair that a Kenyan killed another Kenyan for fighting for their basic Right. The hatred between the police and raia is Evidently during the training of "makurutu"
@ndarochibingu
@ndarochibingu 5 күн бұрын
Eeeh 😂😂 hasilo tawala
@richardotieno7146
@richardotieno7146 5 күн бұрын
Tunalani hii kitendo inayofanyika humu Nchini ,Kama vijana Tunaona tukirudi Barabarani Kutetea haki za wenzetu walio Uwawa Kiunyama na Maafisa wa Polisi ,Ruto must Go ,
@jamesmwangi9461
@jamesmwangi9461 5 күн бұрын
rutu must goo
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 2 күн бұрын
Ruto hawezi badilika yaelekea are all danger in Kenya Ruto atawamaliz
@davidthuks2128
@davidthuks2128 4 күн бұрын
Wangeua kama kumi hivi iwe funzo ya waandamanaji
@KenJuma-tz2hg
@KenJuma-tz2hg 5 күн бұрын
Bado wanatuua ?
@MM-gh8wb
@MM-gh8wb 5 күн бұрын
Mtoto yupi
@GabrielbarakaThoua-fh8ow
@GabrielbarakaThoua-fh8ow 5 күн бұрын
Huenda aliuliwa Kwa sababu ya Jina tu "Otieno" maskini.vifo alivyosema raisi Ruto havitatokea.Mungu amlipie.
@ExaveryDominick
@ExaveryDominick 4 күн бұрын
Malipo hapahapa😂
@bensonathewa5956
@bensonathewa5956 5 күн бұрын
😢😢😢while politicians are just relaxing in there palacual homes
@FredrickOwinyo
@FredrickOwinyo 4 күн бұрын
Bunduki haiuwi watu, watu ndio wanaua watu.
@adtvhjnjkivvfw51
@adtvhjnjkivvfw51 5 күн бұрын
Wauwaji umbwa😢😢😢
@robertoriato3654
@robertoriato3654 5 күн бұрын
Hivi serikali imewekewa wanted
@agripinabukhala649
@agripinabukhala649 5 күн бұрын
Ipoa wako nao
@marypatrick6667
@marypatrick6667 5 күн бұрын
Gen Z simuwatafutee Hawa wauaji..
@SalimuNyanje
@SalimuNyanje 5 күн бұрын
Hawana hurum n watu
@charleskiarii-nf5cc
@charleskiarii-nf5cc 5 күн бұрын
Uyuu Ruto n haka Ka serekali kake
@ExaveryDominick
@ExaveryDominick 4 күн бұрын
Malipo haphapa duniani
@Watt-er8or
@Watt-er8or 5 күн бұрын
Sorry to the family,, but majority of the people who were shot are Luos..Is it coincidence or some people are just violent.. Usicheze na maisha, maandamano iwe ya amani..
@Billcl8nyon
@Billcl8nyon 5 күн бұрын
They are ones causing chaos and breaking into people's businesses in the name of maandamano.
@KenJuma-tz2hg
@KenJuma-tz2hg 5 күн бұрын
Mjinga ww
@kenyanowtv
@kenyanowtv 5 күн бұрын
The most stupid comment,you ate just a fool.
@georginamueni5935
@georginamueni5935 5 күн бұрын
The killer policemen know that there is God who fights for his people.
@GabrielbarakaThoua-fh8ow
@GabrielbarakaThoua-fh8ow 5 күн бұрын
Ombati Jina TU maskini
@AnkoLolo-mv5bk
@AnkoLolo-mv5bk 5 күн бұрын
Pole mama ila naomba tu msiweze tu kulaumu na kusema hakuwa kwa maandamano Ina maana alipigiwa ndani ya nyumba wako watu walirushia askari mawe japo sijasema kijana wenyu Ni mmoja wao
@KenyanRapper-lo6fb
@KenyanRapper-lo6fb 5 күн бұрын
Fikiria unapozungumuza kumbuka Kuna Leo na kesho🤐🙏🙏
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 5 күн бұрын
Hawayaoni hayo na wnachoma moto vitu wnavynja maduka ya raiya wenzao n akuchoma moto ss hayp ndoaandamano gn jmn kaa
@Nicholas-yr2sq
@Nicholas-yr2sq 5 күн бұрын
Wako hajauliwa ndio unaongea kama msenge, Ni Sisi Na nyinyi Sasa wakati umefika😎
@DavidNyamongo-un1sc
@DavidNyamongo-un1sc 5 күн бұрын
Bado tutawaua wengi kesho,hii si maandamano ni uhuni tu
@JosephEmmanuel-eb7gj
@JosephEmmanuel-eb7gj 5 күн бұрын
😢😢😢 wew ni binadam
@user-vz7cc3qv9f
@user-vz7cc3qv9f 5 күн бұрын
We jaribu nikupate nakunyonga umfuate
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 5 күн бұрын
Kwel uhuni tu km ni maandamano ya kudai hk kwnn wachome vitu moto kwann wavunje madukaya raiya wenzao na kuiba mali ni u huni je
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 5 күн бұрын
Shida ya wtt wenu hawfanyi maandamano ya kutaka hk bali yakuaribu nchi mana wao wnacjoma vigu moto wna iba mali za raiya wenzao nakupiaaskar mawe ss unafikir askar na yy ni mtu anajitete
@peterkariuki9073
@peterkariuki9073 5 күн бұрын
Weee mjinga kweli. Wanaofanya hayo maasi hutumwa na serikali kuharibu maandamano.
@christinechirchir2560
@christinechirchir2560 5 күн бұрын
Ambieni hawa watoto wenu wakae kwa nyumba stay home stay safe bure mtakuwa mkilia kila siku serekali serekali akuna siku serikali itatoa watoto waende maandamano
@mercymulwa8917
@mercymulwa8917 5 күн бұрын
Unaongea kama mtu mjinga aje?
@christinechirchir2560
@christinechirchir2560 5 күн бұрын
@@mercymulwa8917 ni Nani analia sai ni mjinga ama viherere ndio mnalia
@remiomar7154
@remiomar7154 5 күн бұрын
Soo uogope kufa huku ukilazimishwa maisha uishi maisha usiweza kujimudu siku yake ilikuwa imefika
@christinechirchir2560
@christinechirchir2560 5 күн бұрын
@@remiomar7154 sasa hiyo maisha mzuri ataishi akiwa kwa kaburini?
@mayaspanic221
@mayaspanic221 5 күн бұрын
Your second name says/explains a lot. I won't even bother to reason with you nor stoop to your level
@fredmariita8930
@fredmariita8930 5 күн бұрын
Ni ruto na police tu lakini MUNGU yupo mtalipia
@sarahmbuche5189
@sarahmbuche5189 5 күн бұрын
Huyo mkora sijui atakubali lini kuondoka kwenye kiti watu wapate amani
@hakeemahmed2874
@hakeemahmed2874 5 күн бұрын
If Ruto aende, wote waende. Tuende elections
@SalimuNyanje
@SalimuNyanje 5 күн бұрын
Hawana hurum n watu
Police IG Japhet Koome resigns
1:39
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 51 М.
Jinsi vijana wa Mulot wanashiriki wizi wa pesa kupitia mtandao
4:36
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 37 М.
THEY made a RAINBOW M&M 🤩😳 LeoNata family #shorts
00:49
LeoNata Family
Рет қаралды 33 МЛН
When You Get Ran Over By A Car...
00:15
Jojo Sim
Рет қаралды 23 МЛН
Always be more smart #shorts
00:32
Jin and Hattie
Рет қаралды 49 МЛН
Wafanyibiashara katika soko la Kongowea Mombasa wakadiria hasara
5:00
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 14 М.
Mvulana wa miaka 17 azuiliwa na maafisa wa polisi
3:24
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 14 М.
Maandamano yashamiri Mombasa
1:35
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 56 М.
TANZANIA WAUNGA MKONO MAANDAMANO YANAYOENDELEA KENYA
7:00
Lasalo Comedian
Рет қаралды 354 М.