Siku hizi zanzibar harusi mpk ukate sare km huna sare usiende harusini tabia mbaya hii iloingia zamani sare wanakata famili tuu na km mtu wa nje anataka hiari yke halazimishwi siku hizi sare ndio kadi tumeiga mambo ya watu yale mabaya ndio wepesi kuiga mazuri hatuyaendelezi tunayaondoa tuacheni hizo tabia mbaya za kuiga
@abdallasheha417320 сағат бұрын
Shehe hao sererekali ndio eanayosababisha hayo hata uwanja wa amani wanakata viono na wao viongozi ndio mdari wa mbele
@MwantumAbdallah3 сағат бұрын
Hakuna CCM wala ACT stara ni yako mwenyewe sadaka huanza nyumbani
@abdallasheha417320 сағат бұрын
Hayo yote hayawezi kuondoks kwa utawa wa ccm hatasiku moja katu