naamini waziri wa ardhi yuko vizuri ktk kesi km hizi na akipata hii taarifa atamaliza kwa haki
@RahemaJumany2 сағат бұрын
Jikatae tu Dada angu urithi huu hapana kama ni haki yako mama ipo itakufata tu never give up sister angu nenda kaanze maisha upya haki haipotei Bure be strong
@janetchinga695Сағат бұрын
Mama Samia ingilia kati swala ili mama etu ni mama Samia ❤❤❤❤❤
@FrenkMushi-i7fСағат бұрын
Mama Samia awezi ingilia katiii watu wanakufa Kila cku
@Zainab_salat47 минут бұрын
Anauzaje nyumba bila familia, nyumba ya ndugu mpaka asaini wote watoto
@hadijamandanje618914 минут бұрын
Hapa nilikuwa najiuliza alienunua ni jeuri yake na waliotoa mkopo pia ni wezi
@swalehaltooq52332 сағат бұрын
Haya mambo Mbona kila mara yanatokea serekali iko wapi kwenye mambo kama haya lazima viongozi wajipange kwenye maswala kama haya ya urithi mtoto mmoja wa familia hawezi kuuza nyumba ya urithi ikiwa wengine wapo bila wao kutidhia na sahihi zao na wajitokeze siku ya mauzo
Kwahiyo kama mtendaji ameshiriki bila kukushilikisha unaweza kukuta kuna mkubwa mzito anayetaka kuinyanganya.
@yukundapeter82003 сағат бұрын
Milioni 90 ni mchicha? Janaume xima badala litafute vyake ladhulumu dada xake.
@MariamAbduly-g6vСағат бұрын
Iv hawa watu wanaojifanyaga kutumia pesa zao hili kudhulumu haki za wenzao wanatoka wapi n a wanajiamin nni aswaaa kushindwa kumuogopa ata mwenyezi mungu😢😢😢 walah inaumiza sana Mungu pigana nao wote walioshiliki kumuumiza huyu dad kupitia hili mmi sipeendagi kabisa dhuluma ktk maisha yangu😢😢😢😢Nashtaki kwa mungu walah tena
@DullyTz-z4wСағат бұрын
Ukiondokewa Na wazaz Mkapata Bahat ya kupewa urithi wa pamoja. Bola Muuze Kila mtu asepe na ela yake. Hii Inaumiza aisee. Unalia unakumbuka Na alie fariki 😭😭😭
@happynesbaemuhappynes881345 минут бұрын
Kweli kabisa
@FatimaAli-of4gh30 минут бұрын
Hakika ndugu yangu nyumba ya urithi uzenu fastar kila mmoja afe na chake
@DullyTz-z4w25 минут бұрын
@@FatimaAli-of4gh. Yes Watu uwa tunaingiwa tamaa unadhurum wenzio. Kuepusha mengi bola iuzwe Yan Dah😭
Tanzania nchi ya ajabu sana leo siku ya tatu viongozi wamekaa kimya kama hakijatokea kitu 😭😭
@SophiaKamgunda2 сағат бұрын
Kaka yenu mbaya sana naUongoz ulioshiriki
@hanifamziray2773 сағат бұрын
Uridhi huu ni shida sn kk mkorofi sn afungwe
@nakundwamkubwe78232 сағат бұрын
Pole sana mpenzi. Staki kuwaza huo mtihani unao pitia.
@jozamsolomon4002Сағат бұрын
Duh angekuwepo Jerry Slaa ingekuwa simple.
@farahali60412 сағат бұрын
Ndio mana sipendi nyumba zauridhi kabsa ndugu sisi tunatabu sana
@VictoriaZakaria-d3nСағат бұрын
Kwakweli
@FatimaAli-of4gh18 минут бұрын
Wewe kaka una hatari mdogo wako analia mpaka anamkumbuka marehemu ungekuwa mimi ndo mdogo nikimaliza machungu nakupiga kitu kizito dunia uione chungu sote tutaabike sasa kwa nini hiyo pesa usiwape na wao wakakodi vyumba vya giza wangeshazoea na maisha kuliko hiyo surprised uliyompa😢😢
@HusseinMwatende-ws1nt2 сағат бұрын
Hapo hamna tatizo mwambieni devi arudishe pesa ya watu
@rithaurassa2 сағат бұрын
Wasiojulikana warudishiwe Hela zao sasa hiyo familia itaishije? jamani..Serekali angalieni Kwa jicho la pili.
@mangulimanguli39743 сағат бұрын
M 90 ela ndogo ukilinganisha na thamani ya eneo
@happynesbaemuhappynes881343 минут бұрын
Khaaa jamani nyie mil 90
@mwanaidimussa25 минут бұрын
ndogoooo ndiooo , angaliaa eneoo lipoo wapi!
@AshuuuBakariСағат бұрын
Jamani tufiche hati. Hakikisha unaficha hati hii itakuwa imeuzwa kwa hati kabisa
@stellahlinusi821532 минут бұрын
ndio
@HusseinMwatende-ws1nt2 сағат бұрын
Hapo jamani sio samia,mda mwengine tupunguze mizigo kwa serekali,ALO WEKA RAHANI NYUMBA NI KAKA WA FAMILIA.MSHIKENI DEVI ARUDISHE PESA YA WENYEWE TATIZO LIPO WAPI?pesa mshazitumia kula chapati sasa mwalia
@ritapiusnicolaus706844 минут бұрын
Pole sana Mungu aingilie kati haki ipatikane🙏🙏
@RukiaMziwanda2 сағат бұрын
Shida ni kaka
@HASSANBAKARI-q9c35 минут бұрын
Msimuingize samia kwenye ujinga wenu,,,kumbe mlikopa nilitaka nishangae,,,,hao wavunjaji wanajiamini nn kumbe wanacho cha kujiamini😊,,na mwisho kabisa kama we ni msimamizi tunaomba hati dada ata ile ya kuuziana tu...kaka yako ndo shida...
@masikaboniphace36433 сағат бұрын
Hapo shida IPO kwa kaka yake
@gervaslukaya17 минут бұрын
Dada wa watu anaumia sana mpaka anakumbuka mama yake asije akajiua tu
@AngelRimoy46 минут бұрын
Unajenga ili watoto wako wasije kuteseka or kusimangwa kwenye nyumba za watu mwisho wa siku watoto hawohawo wanatesana nimtihani kwa kweli😢
@SuleimanKhdija3 сағат бұрын
Poleni saana duh
@praisesteven777446 минут бұрын
kumbe kaka ako alichukuaaa mkopooo 😂😂😂😂😂😂bas kauzaaaa na yye nyumba ya mama ake kama wew au mim nakoseaaa jmn 😎😎😎😎
@mwanaidimussa24 минут бұрын
Hiyoo nyumb kuuzwaa lazimaa watu watatuuuu wahusikeeee
@LuluAquai8 минут бұрын
Yeah umekosea,ile ni mali ya wote,yeye kauza kama yake binafsi,amewadhulumu ndugu zake,binaadamu tonatofautiana,unasababisha dada zako wahangaike na dunia na mama aliwaachia pakujihifadhi
@gilliardgodfriend57453 сағат бұрын
Hapo tafteni vyenu tuu hiyo kesi ni ya kifamilia😢
@merinachillonwa66462 минут бұрын
Acha hayo maneno. Muda huu solution ni kupata haki yao
@nishaabdula5015Сағат бұрын
I hl cjui itaishalini tzd jmn yn imekuwa tatizo sn kwa wananchi
@Aisha-t2q14 минут бұрын
Yan mimi nilivyo na hasira huyo kaka angekua kaka angu mimi. Tungegawana majengo ya serikal
@fatmaabdallah7709Сағат бұрын
Kama nyumba imeuzwa na kakako wanunuzi hawana makosa mfungulie kesi kakako akugawieni hizo pesa alizouzia nyumba
@praisesteven777443 минут бұрын
ndioooo hlo ndio nenoooo maan nae ana haki
@AllyMaya-yj3xd13 минут бұрын
Kuna taratibu kaka kisheria kununua ny'umba ya urithi lazima kuna karatasi iwe imesainiwa na watu wote ukinunua nyumba bila kufuata huo utaratibu imekula kwako
@FrankSamson-r6s19 минут бұрын
Nyumba ya mama yangu mimi sio ya mama etu uninafsi jamaa alijiongeza mapema 😂😂😂😂
@faudhiasalum7279Сағат бұрын
😮😮😮😢😢Pesa ndogo 😢😢nyei
@liberatusjackson504512 минут бұрын
Safiiii❤❤❤❤
@AshaMwamba-m5x37 минут бұрын
Ingeuzwaa zaidi ya hapo wakapewa kilichobaki wakawapa , jamanii watoto. Wakiume fanyeni kazii
@SalumMohamed-x6g7 минут бұрын
Huyo aliyenunua nae jau alunanunua nyumba yenye mgogoro
@SimonSagudaСағат бұрын
Nyieeeeee kuna Mungu mpeni huyo binti nyumban yake jamani na hawa viongozi wetu kwa pesa tu na huyo mkaka yke jimpu
@fatmaabdallah7709Сағат бұрын
Wee mtangazaji nae kwani notice atapewa mjumbe si wanapewa wanaoishi ndani ya nyumba
@salomewandya72572 сағат бұрын
Duh bora kupambana kutafuta vyako
@hafidhiabdullah31723 сағат бұрын
Nyumba za urithi zinakazi kweli
@RahimaMct-ik8mr3 сағат бұрын
Ndoman mie bola nipambane tu kusaka vyangu
@FatimaAli-of4gh25 минут бұрын
Watu kama hawa ndio wanasababisha watu kupata afya ya akili wakajiuwa hatari hii
@deomassawetv2 сағат бұрын
Mambo haya sio mageni jijini
@HassanHassan-si2rt2 сағат бұрын
Wanahaki hao wanunuzi, Maelezo ya huyo Belinda hayajanyooka
@neemakoka5992 сағат бұрын
Kaka akamatwe
@hafidhiabdullah31723 сағат бұрын
Hiyo ndio Tanzania bara haya mambo hayatokei Tanzania visiwani
@RahimaMct-ik8mr3 сағат бұрын
😂😂😂😂Yan utojuta kuwa mtanzania
@OfficialA8364059 минут бұрын
Mjumbe km huyu unamuwesha makofi km jela na niende tu mamae roho mbaya tu
@oswardmsigwa572857 минут бұрын
Only strong person can survive
@FatimaAli-of4gh28 минут бұрын
Is true
@FatoumiaMangoСағат бұрын
Huo uongozi unaelekea kunaulicho pata hawawezi kuruhusu maliya ulisi akubaliwe mtu moja auze bila kushilikisha wenzake huo niuonevu hao viongozi wazembe
@wilhardvawunge-ns2ksСағат бұрын
Najuta sana kwa nini Jerry slaa,alibadilishwa kwa nini??hata mama samia wasaidie hawa watu
@kassimusaidiMponda2 сағат бұрын
Polen
@winfridahubert4072Сағат бұрын
MBONA KAZI RAHIS NENDENI POLICE MKAMSHTAK KAKA MTU ALIEUZA NYUMBA
@AllyShaban-ms7ot42 минут бұрын
Hao Ni matapel
@LusajoKabuka2 сағат бұрын
Serikali sikia hivyo vilio mbona watu wamejiachia sana sirikali wasaidie
@AlliMohamed-q2y2 сағат бұрын
Hapa ndio tunajua umuhimu wa rais magufuli 😢
@abdallahselemani64232 сағат бұрын
Magufuli anaingi vipi bwege wewe wakati kaka Yao kachukua mkopo bank na mnunuzi kauziwa kihalali kwa bank
@samwa9496Сағат бұрын
Rais anahusikaje hapo Kila mzigo abebe yeye matokeo yake Magu amebeba kada mapemaaa Kuna waziri wa ardhi anakazi gani mahakama zipo pelekeni hiyo ni kesi kama kesi zingine itasikilizwa
@mnyorishow5050Сағат бұрын
Kwn nyumba imeuzwa uyo Dada halikua ana aki ya kusahin
@MahamuduAbasi-o1n26 минут бұрын
Hayo yakifanyika serikari inakuwa wapi?kwahiyo hati miliki harali unayo?
@BabuAli-zv8gn31 минут бұрын
Kwanini Devi afanye hivyo? yeye ndiyo mshtakiwa namba moja
@tiffah923431 минут бұрын
Jamani mali kaka hakujali utu wa wadogozake
@gervaslukaya19 минут бұрын
Siku zote wazazi wakifariki kama aujaweka utaltibu ni shida
@AnthonyGabrielGwarisangaСағат бұрын
MIMI NATAKA NILE KIAPO SIKU NITAKUA RAISI NIKIGUNDUA MTU YEYOTE UMEMTAPELI au UMEMDHULUMU MWANANCHI WANGU MJONGE LAZIMA NIKUKATE KICHWA HADHARANI KILA MTU AKIWA ANAONA ILI IWE FUNDISHO KWA WENGINE NITAWAUWA WOTEE
@SeifJuma-l8t2 сағат бұрын
Duh polen ila vya ulisi vinashda san
@petrolconrad425029 минут бұрын
KWA DAR HAYO NI MAMBO YA KAWAIDA...DADA TAFUTA MSAADA WA KISHERIA UPAMBANE...ndugu wanadhurumiana sana😂
@EstherElias-u8oСағат бұрын
Tatizo la kuzaliwa na ndugu mmojawapo kichaa mvuta bangi hatari sana yani naona kabisa huyo kaka ni mshenzi sasa kama unauza si mgawane iyo ela ili kila mtu afe na chake sasa hapo uyo kaka inamana ananufaika peke yake pumbavu zake
@AnthonyGabrielGwarisangaСағат бұрын
MIMI NATAKA NILE KIAPO, SIKU NITAKUA RAISI NIKIGUNDUA MTU YEYOTE UMEMTAPELI MWANANCHI WANGU MJONGE LAZIMA NIKUKATE KICHWA HADHARANI KILA MTU AKIWA ANAONA ILI IWE FUNDISHO KWA WENGINE NITAWAUWA WOTEE!!
@EmanuelMbandi8 минут бұрын
Kwanini mnapenda mikopo
@SalmaMsangi-n2m2 сағат бұрын
Pole
@AlexHubert-c1h3 сағат бұрын
Mfosini kaka yenu alipe deni ili mambo yakae sawa nje ya hapo hakuna jipya
@LeoniaLyimoСағат бұрын
Benki inatoaje mkopo kwa hati ya mama? Hapo Kuna kamchezo kamechezeka ichunguzwe vizuri kitaeleweka tuu.
@AlexHubert-c1h39 минут бұрын
@@LeoniaLyimo hapo wakae na mkopaji maana ni mwanafamilia ndio amalize tatizo sio kulaumu watu waliotoa hela zao
@kajembeathman38 минут бұрын
Hii ni Tanzania kweli? haya mambo wanayofanyiwa wapalestina gaza huku pia wazayuni wapo?
@AnthonyGabrielGwarisangaСағат бұрын
MIMI nikiwa KIONGOZI NIMEKULA KIAPO SIKU NIKIGUNDUA MTU YEYOTE UMEMTAPELI MWANANCHI WANGU au UMEMDHULUMU Lazima NIKUKATE KICHWA HADHARANI
@Opportunityyi44 минут бұрын
Unajenga nyumba unajinyima alafu mtu from no where unadhulumu
@AllyShaban-ms7ot41 минут бұрын
Wewe mjumbe acha ujinga
@oswardmsigwa572858 минут бұрын
Only can survive
@HabibuHoseni-sv8hdСағат бұрын
Sasa nyumba inauzwaj na hat yakugush alafu mruhusu nyumb. iende nyie bank ndo wangekubal kama wametapeliw na david waka deal nae apa sio hak inayotendek ila ni nguv na mabavu
@SaidiYahya-t1cСағат бұрын
Tutamkumbuka Jerry slaa
@personalitiesan98066 минут бұрын
Duuuh
@jayjay43132 сағат бұрын
Hii tabia ilipofikia utasema nchi haina serikali. Tulizoea kukabwa na kuvamiwa ila safari hii unaporwa mjengo na kuvunjwa juu. Du
@samwa9496Сағат бұрын
Mambo ya kifamilia serikali haihusiki yaani serikali inahusika na mgao mlichofanya ni sahihi au la kama lina mgogoro peleka mahakama ya ardhi imalize tatizo
@adamissa5491Сағат бұрын
Mimi belinda nimemlea akiwq mdogo ivi sijui mnanielewa😅
@zuwenasalim2794Сағат бұрын
Kulia umeona analia kizungu cjui umenielewa
@FatmaHamad-g6s3 сағат бұрын
Shida ni kakayake ndo amlaumu sio serikali wala mnunuzi
@swalehaltooq52332 сағат бұрын
Serekali inalaumia kwasababu ya usimamizi wa nyaraka za hati na haswa kwenye mambo ya maswala ya uridhi
@ziggertv31852 сағат бұрын
Kabisa mana kilichofanyika ni hujumaaa
@heriethsixbert4752 сағат бұрын
Serikali ina makosa bwana kakamtu kauza kwa kutumia nyaraka feki
@abdulkarimnassor284Сағат бұрын
unasemaje wewe?
@RehemaMasunga-ml7ktСағат бұрын
Mchawi ni huyo kaka yako na huyo ndio ametoa ruhusa hao watu waingilie ndani
@anithawidambe7543Сағат бұрын
HAPO KWANI VIONGOZI WAPO WAPI? HII NCHI INA TATIZO GANI? MAMA SAMIA WASAIDIE HAO WATU MAMA TUNAKULILIA WEWE.
@AnthonyGabrielGwarisangaСағат бұрын
OMBENI MUNGU MIMI NISIWE RAISI au HATA KIONGOZI MAANA SIKU NIKIWA KIONGOZI alafu Nikiona MWANANCHI WANGU yeyote MJONGE amedhulumiwa LAZIMA NIKUKATE KICHWA HADHARANI KILA MTU AKIWA ANAONA ILI IWE FUNDISHO KWA WENGINE WOTEE
@adamissa5491Сағат бұрын
Mnyonge sio mjonge
@arafaally2895Сағат бұрын
Wamtafute mkuu mkoa au wa wilaya au waziri ardh
@anithawidambe7543Сағат бұрын
HV HAYA MAMBO YATAISHA LI I?
@lovegodmunisi1006Сағат бұрын
Ccm ni ileile ni ileile. Kitawalamba. Mliambiwa ccm ina waonezi hamuelei mtanyooka
@samwa9496Сағат бұрын
Mawazo mgando chama kinahusikaje na Sheria zipo hiyo ni issue ya kimahakama