LORI LAGONGA MADUKA UBUNGO, ALIYENUSURIKA ASIMULIA "TUMEFUKIWA NA UKUTA”

  Рет қаралды 7,445

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 54
@marysiasawaki3698
@marysiasawaki3698 2 сағат бұрын
Mungu tulipokukosea tunaomba utusamehe maana huu mwaka damu inamwagika sana na tunahitaji huruma yako eeh Yesu wangu.
@KhalfaniFarisy-c3w
@KhalfaniFarisy-c3w Сағат бұрын
Miongoni mwa makosa, kumuabudu Yesu.
@abuubilal2646
@abuubilal2646 Сағат бұрын
Hawa ndo wanaosababaisha majanga haya kuendelea​@@KhalfaniFarisy-c3w
@jozamsolomon4002
@jozamsolomon4002 Сағат бұрын
​@@KhalfaniFarisy-c3wmpumbavu wewe, mwanaharamu mtoto wa kisimbe, Yesu ameingiaje hapo
@nuhhumwakanyamale4771
@nuhhumwakanyamale4771 Сағат бұрын
​@@KhalfaniFarisy-c3wBasi tutakuabudu ww Usijar mzee wetu
@TwahaYahyaShabani
@TwahaYahyaShabani Сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂
@GlorydavidJeremiah
@GlorydavidJeremiah 2 сағат бұрын
Mungu wangu tunusuru watanzania kuna umwagagi Damu sana
@RahemaJumany
@RahemaJumany Сағат бұрын
Dah mwaka unaisha vibaya😢Allah awasaidie😊
@EliasJoseph-cb6zc
@EliasJoseph-cb6zc Сағат бұрын
Yaan ukikwepa hili unakutana na hili mungu tunusuru
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 Сағат бұрын
Tumuwekeni MUNGU MBELE YA KILA KITU.wala sio sababu gari,siku hizi yamezidi saana kila sehemu..wala.msiwalipishe au kufungwa..TAFUTENI NJIA SALAAMA NDIO MUHIMU [mubadala
@jonasdaniel1025
@jonasdaniel1025 42 минут бұрын
Mbona huyu afande kama karewa vilee! Ama macho yangu,,
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 42 минут бұрын
Mungu ponya Nchi yetu na roho ya ajali
@listerlujiso6009
@listerlujiso6009 Сағат бұрын
Daahh aisee Mungu tusaidie sisi wenye dhambi tuokoe na haya majanga tumalize mwaka salama kwa ukuu wako Mungu🤲🙏
@faithkaganda-k3s
@faithkaganda-k3s 36 минут бұрын
Unasema hujaona kifo je huyo alofunikwa hadi kichwa hapo kwenye godoro ni gogo au marehemu😢😢😢
@JaphethChuwa
@JaphethChuwa 11 минут бұрын
Dear Allah 😢
@ThadeiAndrea
@ThadeiAndrea 22 минут бұрын
Poleni sana makeluhi
@DoralovelyJaydee
@DoralovelyJaydee 54 минут бұрын
Dah mola tusamehee tumakize vyema hizi ndo siku ulsema za mwisho tutashuhudia majanga lakini turehemu😢
@NeemaJuma-xn9nw
@NeemaJuma-xn9nw 58 минут бұрын
Huyo anayebebwa kwenye Godoro sijui kama tunaye tena!!
@easternyerembe7271
@easternyerembe7271 20 минут бұрын
Yani nimepata hapo saa tatu kasoro kumi kumbe nyuma Israel alikuwa anafanya yake. Ahsante Yesu kuniepusha ni hili.
@FarhatSamwel
@FarhatSamwel 49 минут бұрын
Mungu awaponyee🙏
@SalimSalimu-z5c
@SalimSalimu-z5c 42 минут бұрын
10 11 12 Tutaona Mengi Mungu Akitupa Uhai
@LeganNtambi
@LeganNtambi Сағат бұрын
Yesu tuokoe mpaka tunaogopa kukaa majumban😢😢😢
@KhalfaniFarisy-c3w
@KhalfaniFarisy-c3w Сағат бұрын
Yesu kiumbe, Hana uwezo wakukuokoa
@easternyerembe7271
@easternyerembe7271 24 минут бұрын
Sio boss kalewa Millard hapo ni karibu na kanisa na daraja
@SabihaibrahimRajabu
@SabihaibrahimRajabu 2 сағат бұрын
Mwaka unaendelea kumaliza na damu za watu tuwe pole watanzania
@Oman-p8x
@Oman-p8x 44 минут бұрын
Subuhanallau
@richkaja3317
@richkaja3317 58 минут бұрын
Duh eeeh mungu tunusulu
@tiffah9234
@tiffah9234 18 минут бұрын
Jamani tuswali na tusali maana mwisho mbaya mwaka wa shetwani huu
@nancyg8664
@nancyg8664 2 сағат бұрын
eeh Mungu tusamehe tulipokukosea jaman sisi ni wadhambi
@munirazenji9819
@munirazenji9819 Сағат бұрын
kweli zambi nyingi mungu tusamehe
@Ms.natebillionaire
@Ms.natebillionaire Сағат бұрын
Sema boss kalewa pamekaa vibaya
@yahyamohamed7218
@yahyamohamed7218 Сағат бұрын
Kunahitajika Jitihada za makusudi kudhibiti madereva wa maroli kipende hiki cha Ubungo riverside mpaka Buguruni na kuanzia Tazara mpaka Sabasaba (Uwanja wa Taifa) Jamaa wanakimbia hovyo Saana na wanashindana na Magari madogo. Tumeshihidia ajali nyingi za haya maroli barabara hii yote ni mwendo kasi. Tunahitaji kanuni Maalum na usimamizi kudhibiti matukio haya yanayoepukika
@kelvinngenzi8578
@kelvinngenzi8578 Сағат бұрын
Sio Malory tu hata gari ndogo Cha msingi nikuomba mungu atunusuru na haya maana yeye ndie muamuzi wa mwisho
@rayarayaq
@rayarayaq 2 сағат бұрын
😢😢😢jamani poleni
@siriyangu4724
@siriyangu4724 Сағат бұрын
Innalilai wainna illah rajiun poleni mungu atusamehe 😢
@KhadijazabronMwajombe
@KhadijazabronMwajombe Сағат бұрын
😢😢😢😢😢😢Poleni sans jamani
@EddaDaniel-we5um
@EddaDaniel-we5um Сағат бұрын
Mungu tuhurumie 😭😭😭
@Iam_cleva
@Iam_cleva 2 сағат бұрын
Mungu awalinde
@kimodomusic9760
@kimodomusic9760 2 сағат бұрын
Aise😢😢
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 27 минут бұрын
WANAO ENDESHA BARABARANI PUNGUZENI VURUGU NA SPEED KUEPUKA MAJANGA
@IsackMwasalemba-e8l
@IsackMwasalemba-e8l 2 сағат бұрын
Mungu awatetee
@dayana5513story
@dayana5513story 2 сағат бұрын
😢😢
@machintangachibwena5922
@machintangachibwena5922 7 минут бұрын
Majanga L
@khalfannasornassor7396
@khalfannasornassor7396 2 сағат бұрын
Huu mwaka dar
@allymwakomola4470
@allymwakomola4470 2 сағат бұрын
Unroad worth vehicle as well as driver😅
@mataypanga5262
@mataypanga5262 2 сағат бұрын
Poleni sana,jengeni nyumba imara na madereva wasome vizuri
@nuhhumwakanyamale4771
@nuhhumwakanyamale4771 Сағат бұрын
We kweli hamnazo aisee daah!
@JohnsonJames-o2h
@JohnsonJames-o2h 2 сағат бұрын
Polen
@abuubilal2646
@abuubilal2646 Сағат бұрын
Magari ya kichina ni shida
@CasmirKiwale
@CasmirKiwale 2 сағат бұрын
Migari ya kichina hiyo .. tumieni scania kudadeki ..
TUNAWAJUA WALIOMTEKA ABDUL NONDO - ZITTO
4:04
Wasafi Media
Рет қаралды 1,4 М.
А я думаю что за звук такой знакомый? 😂😂😂
00:15
Денис Кукояка
Рет қаралды 5 МЛН
How to Fight a Gross Man 😡
00:19
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 20 МЛН
Новости дня | 2 декабря - дневной выпуск
11:47
Euronews по-русски
Рет қаралды 4,5 М.
Spartacus-Crixus vs Theokoles best fight scene
8:16
Clips Adda
Рет қаралды 4 МЛН
Undisputed III: Redemption | Final Fight Scene
13:24
Cinewatch
Рет қаралды 3,2 МЛН