VIONGOZI wa DINI WATOA TAMKO ZITO MAANDAMANO ya CHADEMA ya TAREHE 23-"TUNALAANI UTEKAJI-RAIS AWAITE"

  Рет қаралды 25,195

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

VIONGOZI wa DINI WATOA TAMKO ZITO MAANDAMANO ya CHADEMA ya TAREHE 23-"TUNALAANI UTEKAJI-RAIS AWAITE"
💪💯JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV🔥🔥 chat.whatsapp....
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 395
@globaltv_online
@globaltv_online 2 күн бұрын
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ0bE75nzavlm
@user-ep1pi5pw3k
@user-ep1pi5pw3k 3 күн бұрын
Mmelipwa sh ngapi
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 3 күн бұрын
Nyinyi sio viongozi wa dini bali ni wakala wa shetani.Huwezi ukaongelea amani bila kwanza kuitafuta haki.Kama viongozi wote wa dini zote bila unafiki wala kugeuka machawa mngesimamia haki nchi hii ingekuwa iko sawa sana.Mna uhalali gani wa kuwaunga mkono viongozi ambao hawatendi haki.wanaiba kura bara na visiwani.kwa kuunga kwenu mkono maovu na waovu ndio maana hii nchi inaendelea kuwa na viongozi mashetani.Viongozi wa dini kama hawa wanachangia sana kuiharibi nchi kwa kuwabariki na kuwaunga mkono watawala mafisadi.
@fauzseif7344
@fauzseif7344 3 күн бұрын
Wewe hayajakukuta utajuta wewe openi kuipoteza amani mnaendekeza udini msijione kama nchi ni ya kwenu wanao jiita baadhi ya wanao jiita wachungaji chungeni midomo yenu msifikiri na sisi hatuwezi
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 3 күн бұрын
Amani bila haki.Mimi hapa nimeongelea viongozi wa dini zote zilizopo nchini.Kumbuka dini zote zinahubiri haki.Hivi ww uende dukani ukanunue sukari kilo moja na umetoa hela ya kilo moja na kidha mwenye duka anakuinia kwa kukupimia nusu kilo,je ukija gundua utakubali?utakaa kimya tu eti kwa sababu ya kutunza amani.
@KaroliMushi
@KaroliMushi 2 күн бұрын
Kwani nyie wakina shehe haruna aliewatuma kuja kuita waandishi wahabari nakuja kuwajibia wansiasa ni nani? Maana hatahuko msikitini unaposwaalisha swala wanasiasa wapo wewe hubiria aki na na mawaidha tuu ya mungu acha wanasiasa watasimama na kujibizana kwa hoja zao wenyewe taifa letu kwasasa halina amani taifa lenyeamani mtu anashuwa kwenyegari mchana anenda kuuawa kinaamani hapo hao wtu wa nje unaosema hawaoni hayo shehe? Waache wanaopenda kuandamana kudai haki waaandamane wanaotaka kula kwao walale kwani shida ipo wapi? Weee inakuwuma Nini?
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv 2 күн бұрын
SHEE ARUNA UPEO WAKO NI MUDOGO SANA HII SIO AMANI UNADANGANYWA
@raymondnlelwa427
@raymondnlelwa427 2 күн бұрын
Warudi mezani kufanya nini shekhe?? Usichokijua kinachofanyika nchini kwetu hukijui? Wenzako ni yapi ya mezani wanayoweza kuyatekeleza? Acha watu waandamane kuwadai watu wao waliowateka.
@KimanguShemwaliko-ht2jr
@KimanguShemwaliko-ht2jr 3 күн бұрын
Ukiwa na hofu ya mungu,utatanguliza haki,haki ikitamalaki amani inafuata,aman bila haki nikutwanga maji kwenye kinu,haki huinua taifa,
@musa-v3f
@musa-v3f 2 күн бұрын
Sheikh Haruna Husein ningemuona mpenda amani wa kweli kama angejitokeza kukemea mauaji ya Ali Kibao au hata siku alipopigwa risasi Tundu Lissu kwani vitendo hivyo vinatishia amani lakini alikuwa kimya kwa sbb vitendo hivyo vilifanywa na mabwana zake. Viongozi gani wa dini mnachagua matukio? Ponda peke yake ndio amesiamamia ukweli nchi hii
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 2 күн бұрын
@@musa-v3f hongera sana umeongea vema.Viongozi wa dini wa namna hii ndio wanaowapa jeuri watawala waendelee kufanya maovu.Viongozi sampuli hii ni mawakala wa baba yao shetani na wanafanya kazi ya kueneza ushetani.
@MurunguwetoshaDeheaven
@MurunguwetoshaDeheaven 3 күн бұрын
Wameandaliwa na kulipwa na GA,,,bo
@JimmyStarter
@JimmyStarter 3 күн бұрын
Umelipwa kias gani wewe sio muilsam ni muislam Jina una of ya mungu watu wamepoteza maisha wengine awajulikan walipo we unaonaje
@salehesalehe2967
@salehesalehe2967 2 күн бұрын
Andamana wewe na babako na mama yako
@abasiachimika541
@abasiachimika541 3 күн бұрын
Niny Makada w ccm c viongozi wa dini viongozi w dini wana huruma niny watu wameuwawa mbn hatujackia kauli yenu? Mkome kabsa machawa niny
@fauzseif7344
@fauzseif7344 2 күн бұрын
Nawewe kada wa chadema hujayona watawakimbia tutabaki tunajuta mifano ipo mingi tu leo wanajuta nawalio wadanganya hawapo
@RamadhanAlly-cf7du
@RamadhanAlly-cf7du 2 күн бұрын
Hayajielew aya ety hii ndo inatulidsha nyuma wacha tuandane
@minazsaid2470
@minazsaid2470 3 күн бұрын
Mm muislam lakini hawa wanaojiita mashekhe wanatukosea sana wanapenda kujipendekeza kuliko kufanya wajibu unaotakiwa kiukweli siwapendi
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 3 күн бұрын
Kwanza wanavyoongea TU,utagunduwa Wala hawaumii,maana wanayoongea Wala hayatoki moyoni,ningekuwa mchawi wa sumbawanga ningetuma ile radi ya mchana kweupe jua linawaka iwapige hapo walipo mpaka washangae😢😢
@MursalKhamisi-fx5hh
@MursalKhamisi-fx5hh 3 күн бұрын
Wewe sio mwisilamu. Uisilamu hauruhusu kumtolea mwenzio maneno mabaya. Hata firauni alikua muuaji lakini kapelekewa mtume musa, na allaah akamwambia musa aongee na firauni kwa maneno laini. Sasa wewe unajinasibisha na uisilamu wakati misingi ya uisilamu katika uongeaji wewe huna. Acha kufata mkumbu wa wale wasio waisilamu na kuwasadikisha huku ukiiacha imani yako. Kwanza ukiona uisilamu sio sahihi kwako si uondoke tu. Hakuna kulazimishana katika dini.
@MasudSalum-o4o
@MasudSalum-o4o 3 күн бұрын
Yaani hawa sio masheikh ni mbwa tu
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 3 күн бұрын
@@MasudSalum-o4o wanatuchezea sana na kuchafuwa dini zetu.
@hejmabohejhej9
@hejmabohejhej9 2 күн бұрын
@@MasudSalum-o4onjaa tu zinaeasumbua
@barozabwimba3654
@barozabwimba3654 3 күн бұрын
Machawa mpaka kwenye dini hii ni hatar Sana tulipo fika sijuw nani atuokoe
@RamadhanAlly-cf7du
@RamadhanAlly-cf7du 2 күн бұрын
Yapo yametokea machafuko siku zote hayakuwepo leo yameskia .maandamano yameaza uchawa
@RamadhanAlly-cf7du
@RamadhanAlly-cf7du 2 күн бұрын
Amebakwa mtoto wawatu kikatili wametekwa watu yapo kimya leo hii ndo uwongee wanya tuandamane ili akili zikae sawa
@TakasiSulle
@TakasiSulle 3 күн бұрын
Huna akili hayounayo yasema hata mungu akusamehe
@unjuusalvatory5331
@unjuusalvatory5331 3 күн бұрын
Yeyote kati yenu anapoona uovu, na auondoe kwa mkono wake; ikiwa hawezi, basi kwa ulimi wake; ikiwa hawezi, basi kwa moyo wake - na huo ni udhaifu wa imani.
@chrisostomruta-cw3zf
@chrisostomruta-cw3zf 2 күн бұрын
Nyie masheikh ubwabwa
@mwangajilemwangajile-hd9vj
@mwangajilemwangajile-hd9vj 3 күн бұрын
Viongozi wadini wanafiki kazi kujipendekeza. Kwani kuandamana ni kosa?
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 2 күн бұрын
Ni wanafiki tuu hao, maandamano ni lazima
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 2 күн бұрын
Wanawalaani wanaondamana lakini hawawalaani wanaoteka.
@OmaryYahaya-q1s
@OmaryYahaya-q1s 2 күн бұрын
Inasikitisha sana.viongozi wa Kiisilam mnakaa kimya mambo yanayoendelea nchini mnashindwa hata kulaani mauaji leo mnajitokeza mnalaani maandamano hiyo ni aibu ila sheh Ponda na Maaskofu wengi tu nyie ndiyo viongozi wa dini kweli tumeona juhudi zenu na Mungu atawalipa endeleeni kupaza sauti zenu
@elishajilungu1055
@elishajilungu1055 2 күн бұрын
Mimi cyo muisilam lakini kwa shekh ponda ipo siku tanzania mtamkumbuka jiandaeni nimpenda haki nimpenda amani na anabusara zilizopitiliza hebu wazee jifunzeni kupitia huyo
@geraldadolf4928
@geraldadolf4928 16 сағат бұрын
❤well said umesema vizuri shekhe mungu akupe kila nuru kwenye kuhusia jamii
@HarsonNjau
@HarsonNjau 2 күн бұрын
Hawa wakipewa pilao inatosha kuvuruga ubongo
@rashidkipa1548
@rashidkipa1548 3 күн бұрын
hamna hofu ya mungu mna hofu na utawala wanafiki wakubwa inauma sana waislam wangapi wanateseka wanauliwa wanadhalilika ka ma mngekuwa na uchungu na uwislam mngemfata said na omari alounda jeshi kwa kudhaliliswa mwanamke tu.
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 3 күн бұрын
Yaani,inauma Basi tu😢😢
@RamadhaniKitala-gx6wc
@RamadhaniKitala-gx6wc 2 күн бұрын
Yaan ni mtihani sana
@JohnLawei
@JohnLawei 2 күн бұрын
Wanaouawa wangekuwa ndugu zako ungetoa hiyo pres
@IsimailiAlii-cp8mw
@IsimailiAlii-cp8mw 2 күн бұрын
Inaonekana kofiya yako haiko sawa jiangaliye
@aloycemisigalo3983
@aloycemisigalo3983 2 күн бұрын
Mimi nimesikiliza nikasikia anasema wanalaani nikafikili wanalaani mauwaji kumbe analaani kauli za viongozi wa upinzani kusema tutaandamana kudai haki ya watu kuishi, ila hawa viongozi wa namna hii nibure kabisa, huyu ndio anae tegemewa kuongoza waamini wake, aisee hii nchi tunakwenda wapi kama viongozi wa dini ambao walitakiwa kukemea mauwaji yanayo endelea, yaani nimepata hasira mpaka basi yaani.
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 3 күн бұрын
Rohoo y mt kauwaw kwenye basi katolew kw silaha kibo complex Tashirfu cruzer mbili mchana no roho y mt moja n saw umeuw roho zote Allah atusaidie KWANZA
@JackKanyigo
@JackKanyigo 2 күн бұрын
Asante Hamisi ww ni muislam sahihi
@RamadhaniKitala-gx6wc
@RamadhaniKitala-gx6wc 2 күн бұрын
Haswaa ukweli humuweka mtu huru
@JabirJabir-c9o
@JabirJabir-c9o 2 күн бұрын
Mashekhe wa kitabu Cha maulid Wana shida sana.
@gasparkimati545
@gasparkimati545 3 күн бұрын
Wametekwa wengi sana viongozi wadini mmekaa kimyasana
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 2 күн бұрын
Hawa ni machawa wa serikali sio viongozi wa dini
@MohamedyAlly-f2u
@MohamedyAlly-f2u 3 күн бұрын
Mimi ni mwislm rakini awa viongoz jau Mimi nawakuba wachungaji Sana kuriko awa wava kofia
@kamanapomo7029
@kamanapomo7029 3 күн бұрын
Wew ni kafir tu
@MursalKhamisi-fx5hh
@MursalKhamisi-fx5hh 3 күн бұрын
Wewe si mwisilamu bali unajinasibisha na uisilamu, hata uisilamu huujui pia
@laupetpet7779
@laupetpet7779 3 күн бұрын
Wakati ndg zetu wanatekwa hamsemi tukiandamana macho yanawoka tuacheni tuandamane
@salehesalehe2967
@salehesalehe2967 2 күн бұрын
Kafiri wewe sio muislamu
@ErnestiSulle-w9k
@ErnestiSulle-w9k 2 күн бұрын
Amani gani wakati watu wanauawa na wengine wanatekwa nyinyi kama viongozi wa dini mmetulia leo mnatoa tamko gani isiyo na msaada kwa watu hao, acheni unafki.
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv 2 күн бұрын
SHEHEE SOMA NA COMMENT ILIUJUE UNAONGEA UPUUZI KAKOJOE UKALALE
@FrenkMushi-i7f
@FrenkMushi-i7f 3 күн бұрын
Mimi ni muslamu ila siwaungi mkono mnaoja zaifuu sana inaonyesha jinc gani udini umeukaa moyoni
@hejmabohejhej9
@hejmabohejhej9 2 күн бұрын
Hawajielewi
@salehesalehe2967
@salehesalehe2967 2 күн бұрын
Wewe ni kafiri hunasifa ya kuwa muislamu
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 2 күн бұрын
​@@salehesalehe2967Uko sahihi. Mwislamu ninaemjua mim ni yule anaetetea watekaji na asiyependa kukosolewa.
@aminimushi6945
@aminimushi6945 14 сағат бұрын
Hawa hawajui dini,juzuu 2 wanajiita mashekh,tuwapuuze tu hao,amani haiji bila haki..
@TMAMTWARA
@TMAMTWARA 2 күн бұрын
VIPI WATEKAJI WANA HOFU YA MUNGU VIP KAMA ANGETEKWA MKEO MIMI NAKEMEA WATEKAJI MAANA WAO NDIO WANALLETA TAHALUKI
@user-sy5lx7el4z
@user-sy5lx7el4z 2 күн бұрын
Hawa viongozi wanashindwa kutetea hata waumini wao,wapo kimya kazi kupongeza serikali tu,tushawachoka hamuna msaada
@muhamadsalim5295
@muhamadsalim5295 2 күн бұрын
Nyinyi ni wanafiki Kama wanafiki wengine tu Tanzania Shekh wa ukweli ni Shekh Ponda pekee
@user-zk2tw1jf6k
@user-zk2tw1jf6k 2 күн бұрын
Acheni kuchanganya dini na siasa,
@user-pe8nm1vc2g
@user-pe8nm1vc2g 2 күн бұрын
Unaongea kama wale mafarisayo na masadukayo wanafiki, unayegeuza jukwaa kama uwanja kufubaza akili za watu, Mungu awashughulikie inavyostahili.
@saiditasher8362
@saiditasher8362 3 күн бұрын
Mbona mulikaa kimya watu wengi wana tekwa ovyo ovyo we mtu atukuwerewi mpumbavyu samia mast goo 24/9/21👉
@AgustinoBuhha-j9r
@AgustinoBuhha-j9r 2 күн бұрын
Nyie ndo mende wa ccm mme sahau Kama Uhuru wa nchii hii ulipatikana kwa damu mlikuwa ,
@MohamedSalum-d4t
@MohamedSalum-d4t 2 күн бұрын
Wewe yote haya ni njaa kesho kwa mungu utaadhibiwa
@MwitaMarua
@MwitaMarua 2 күн бұрын
She uko vizuri sana waambie hawo watekaj
@ommymsangi9182
@ommymsangi9182 2 күн бұрын
Mashekhe njaaa hawapendi kutanguliza HAKI bali hutanguliza NJAA zao.Hiyo AMANI wanaoisemea bado ipo!!na kwanini wakati watu wanateswa na kutekwa walikuwa wapi!!!ninachojua hawa agenda yao ni UISLAM alionao Rais wala sio HAKI.
@daudkondo4069
@daudkondo4069 2 күн бұрын
Mngeanza mapema haya mambo viongozi wetu wakemeeni wanaowateka watu watafutwe
@KassimuMwaiita
@KassimuMwaiita Күн бұрын
Mungu atakulaani ww Shekhe auwawe baba yako au wtt wako
@Asajilemwanjala
@Asajilemwanjala 2 күн бұрын
Kufa nawewe kwakutekwa na ukoo wako wote huna lolote kenge maridhiano gani
@HarsonNjau
@HarsonNjau 2 күн бұрын
Hawa ni mizigo ndani ya nchi ,unaongea upuuzi hujitambui nenda nyumbani
@JohnLawei
@JohnLawei 2 күн бұрын
Amani bill haki shekhe ama kweli we ni msomi
@nkwabimayunga473
@nkwabimayunga473 3 күн бұрын
Utimamu wa kufikili unao mdogo wanaotekwa sio watanzania unaona amani
@adampetermakombe5654
@adampetermakombe5654 2 күн бұрын
Ugenyamaza tu kuliko kuogea
@dozohai4730
@dozohai4730 3 күн бұрын
Mbona mnazungumza amani tu hamzungumzii haki. Je wao hawana roho ya hofu ya Mungu. Mkapa aliuwa watu wengi pemba na akaandika kitabu chate na akasema hadharani katika jambo baya sana alilolfanya ni kuuwa watu pemba.
@HussainMaula-l1s
@HussainMaula-l1s 3 күн бұрын
Nyie wanafiki tu kabla ya hapa mlikua wapi
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 2 күн бұрын
Eti viongozi wa dini, watu wanauliwwa kila siku na kutekwa juuuu, mlikuwa wapi?hebu tuacheni maandamano ni lazima
@DenisonTheonest-yj3mk
@DenisonTheonest-yj3mk 2 күн бұрын
Dini zimeingiliwa na vichaa
@MustaphaSeleman-z7c
@MustaphaSeleman-z7c 2 күн бұрын
Unanimalizia bando langu toka hapa
@ebrahimhamidmusa5219
@ebrahimhamidmusa5219 2 күн бұрын
Wanafki watu wanapotea wanatekwa wanauwawa hatukuwaskia ila maandamoano ya kupinga hayo ndio mnaona uvunjivu wa amani!? HAKUNA AMANI BILA YA HAKI
@rajabusaimon7662
@rajabusaimon7662 2 күн бұрын
Poiti ya maana niliyo waelewa ni mama akubali kujishusha awaite wapinzani wazungumze na watachokubaliana kisijiludie tena
@molexevelist813
@molexevelist813 2 күн бұрын
Huwa amtoki wananchi wanapo pata shida ila mkisikia watu wanakosoa gvmnt ndo mnajitokeza kutetea isishambuliwe mmmmh nikazi sana kukomboka kwenye mafisad
@DavidKagulu
@DavidKagulu 2 күн бұрын
Hawa wapo kwenye pay roll ya abdull pesa chafu za ccm
@rogersiddy
@rogersiddy 3 күн бұрын
Mafala kweli nyinyi hamna shekhe hata mmoja kati yenu machawa tu hata uvaaji wa kofia zenu wahuni watupu sheenzi kbs
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 2 күн бұрын
😂😂😂😂.Hawa mashekhe ubwabwa tu..machawa
@eliahbukukumwaikuju7403
@eliahbukukumwaikuju7403 2 күн бұрын
Msemaji wa dini ya kiislam,Mambo ndani?
@JohnLawei
@JohnLawei 2 күн бұрын
Ni zamu,urais Ni ukewenza
@ElyotKyando
@ElyotKyando 2 күн бұрын
Chawa hafaichawa
@TemuCalvinWilbard
@TemuCalvinWilbard 2 күн бұрын
Je, inaruhusiwa kuteka na kuuwa kinyama? Mbona kabla ya tamko la maandamano hamjakemea matamko mbalimbali ya viongozi wa ccm? Acheni unafiki
@DominickDebolah
@DominickDebolah 2 күн бұрын
Nami nikuulize ww uwapendi waumin wako watu upotezwa watu wanauliwa ila pia naisi auna hofu ya MUNGU watuongopea wacha wanasiasa watuokoe
@user-sl1ko9me7u
@user-sl1ko9me7u 2 күн бұрын
INAFIKIRISHA SANA SANA....HAWA MASHEKH HAWAZUNGUMZII 'HAKI'....WAO WANAZUNGUMZIA 'AMANI' TU....BILA HAKI HAMNA AMANI....MLIKUWA WAPI MIAKA YOTE WATU WANATEKWA, KUTESWA NA KUUWAWA NA WAISLAMU KUBAMBIKIZIWA KESI ZA 'UGAIDI'? ENYI MASHEKH....MUOGOPENI MWENYEZI MUNGU MTUKUFU....HAKI HULETA AMANI....WATU WATAANDAMANA KWA 'AMANI' KUISHINIKIZA SERIKALI YA MH. RAIS SAMIA 'IWAJIBIKE'.
@RizikiMlela
@RizikiMlela 2 күн бұрын
Wewenichawa Wacha kujifanya muisramu hujui hatahaki na amani ya watanzania amani watuwanauriwa amani watoto wanaibiwa amani watuwanahofu nainchiyao
@japhetnyese2285
@japhetnyese2285 2 күн бұрын
Tukiwa na hofu kama hii ya sasa, hatujazoea ndio maana tunakemea sana na kulaani vtendo vya utekaji ubarikiwe sana shehe
@DamasAmos-ue2gh
@DamasAmos-ue2gh 3 күн бұрын
Ivi wewe umetumwa na CCM wanao tekwa na kuuwawa uwaoni jee kuna amani gani apo Tanzania kuna wimbo wa amani lakini amani aipo usiwada nganye watanganyika wana amani wanao tuteka watanganyika atuna amani tuna uwawa kama kuku leo tuna kuwepo kesho kesho atupo Muna sema amani kuna amani apo maandamano ya mewashitua kwanini amukushituka watu walipo kuwa wakitekwa nakuwawa mlikaa kimya mlipo sikia maandamano anajifanya kukemea kama serikali nisikivu tokawatu walipo kupotea kwanini serikali sikufanya uchunguzi walisubili maandamano ndipo wafanye uchunguzi acheni kutufanya Mazizi. Amani ni wimbo wenu CCM amani ndio blanketi yenu yakujifi chia maovu yenu
@shetumbajumaa6464
@shetumbajumaa6464 2 күн бұрын
Masheikh wangu kama hamna la kusema kaeni kimya mbona masheikh wetu walipo tekwa na kuwekwa vizuizini hamkujitokeza?leo kuna nini!acheni uchawa
@ShaniUrembo
@ShaniUrembo 2 күн бұрын
Unazungumzia hofu gani ya Mungu? Chawa ww
@MohamedKitenge-o9j
@MohamedKitenge-o9j 2 күн бұрын
Mm muslim lakini shekh sikuelewi
@abednegosamson3622
@abednegosamson3622 2 күн бұрын
Mbinguni tutaenda wachache, ndo maana ukaiita Tanthania
@MagakaManyanya
@MagakaManyanya 3 күн бұрын
Mmelipwa shigap mnipe na mm kidogo nikalewe
@TomasiklistophaMwinuka
@TomasiklistophaMwinuka 2 күн бұрын
Muendele nauchawa wenu kwahiv nyie mnadiriki kuunga mkono watu wanapouawa
@MustaphaSeleman-z7c
@MustaphaSeleman-z7c 2 күн бұрын
Nenda kanye ulale
@IbrahimuSimba
@IbrahimuSimba 3 күн бұрын
Acheni udini kwenye mchi yetu nyinyi mashee mnaotumwa naserekali mbona mauwaji amkemei sasa
@laupetpet7779
@laupetpet7779 3 күн бұрын
Kwani kuandamana nidambi au nikosa kisheria??
@gabrielkitia6808
@gabrielkitia6808 3 күн бұрын
Yani waandishi wa habari mnashidwa kuwapa mike watu wa maana mnawapa mike machawa
@amosjoseph7241
@amosjoseph7241 3 күн бұрын
Watu kutekwa,kuteswa na wengine kuuwawa hamuoni kama ni taharuki kwa taifa? Kama angekua ametekwa mwanao ungesema ivo?
@JosephKalegea
@JosephKalegea 3 күн бұрын
Shehe unaongerea utalii du nyiewasanii kweli kunamivutano hioiliyo 19:51 mwagika nipombe.utarii unaujua tunaongerea umwagaji dam uliopo wewe unaongerea utalii umechoka tunakusikia ukiongea. Matope
@MATIASSANANE
@MATIASSANANE 3 күн бұрын
Huna hofu ya Mungu mchumia tumbo
@KilonzoJohn-mg7cw
@KilonzoJohn-mg7cw 3 күн бұрын
Nyiee acheni uchawa mbona mnajua wajinga ninyi mnaoojita viongozi wa dini mmekua machawa hakuna viongozi wa dini Leo wengine wenu ni waganga njaa kemeenini ubaya na mauaji watu wanauwawa wanatekwa wako mashehe wameuawa wmefanywa vilema wengine wako jela mpaka Leo wewe shehe umekua mnafiki hujakemea Leo inatangazwa maandamano mnajifanya viongozi wa dini mnalaa I wanasiasa achane kudanganya watu hamna chochote
@desmondchelango
@desmondchelango Күн бұрын
Mezani kama patalejesha nawauaji wakapatikana basi tunapaomba hapo mezani ila kama hukuna kitakacho patikana basi nyamaza tu 🥺🥺🥺🥺🥺🥺
@malackedson7706
@malackedson7706 3 күн бұрын
Machawa ninyii
@jamalkishangu
@jamalkishangu 3 күн бұрын
Hao ni wanazuoni wanaona mbali.
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 3 күн бұрын
Kwa sababu kauliwa ALLY ,muislamu MWENZAO ndoo wanajitokeza,walivyouliwa wakristo mbona HAMKUTOKA?😢
@RamadhaniKitala-gx6wc
@RamadhaniKitala-gx6wc 2 күн бұрын
Kama haki hakuna amani inatoka wapi
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 2 күн бұрын
MMELIPWA NGAPI??
@neemanziku5403
@neemanziku5403 3 күн бұрын
Wauwaji na watekaji ndio chanzo kikubwa cha uvunjifu wa amani mi naona hivo
@SalimuAlmasi-lt9ud
@SalimuAlmasi-lt9ud 3 күн бұрын
Wala Hamtambuliki Kiongozi Wapi Nyinyi,,?
@IbrahimuSimba
@IbrahimuSimba 3 күн бұрын
Bila vita Akuna Uhuru nyamazeni nyinyi
@GoodTeck90
@GoodTeck90 3 күн бұрын
Mnataka amani, anzeni kwanza kutetea Haki za wale waliouawa bila hatia, haki za wale waliotekwa ktk nchi huru ....hapo ndipo amani itakuwepo. Je Mungu wako unayemwabudu alikufundisha kuwa kuna Amani bila haki !!??
@IsimailiAlii-cp8mw
@IsimailiAlii-cp8mw 2 күн бұрын
Kwanza simamiya haki bila haki hakuna amani
@FrankMashoto
@FrankMashoto 2 күн бұрын
Wee shekh hatuoni unachozungumza Bora ukae kimya
@personpeter2221
@personpeter2221 2 күн бұрын
Wafaasi wa mtume Muhammad
@AgustinoBuhha-j9r
@AgustinoBuhha-j9r 2 күн бұрын
Embu kwa wakati huu acheni suala la udini kama hivo kisa raisi ni muislamu alafuu nyie mnao jiita sijui mashekhe munamukosea sana mungu
@JohnLawei
@JohnLawei 2 күн бұрын
We ni kiongozi was dini gani shekhe au unadhalilisha uislamu
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 3 күн бұрын
WACHENI WAANDAMANE TUNAHITAJI VIWETE NCHINI TUWAFANYIE MIUJIZA WAPONE 😢😢😢😢😢
@caashamacalini3887
@caashamacalini3887 3 күн бұрын
Ukumbuke wewe shekhe aliyekufa ni binaadamu sio nguruwe Yule Sawa familia inakusikia roho zinawauma wana ndugu subiri wewe ndugu yako atekwe akauliwe unyamaze kimya Sawa nazani dini imekyshinda unakbilia kwenye sasa haziwafai sasa hayo maneno kawaambia wenye familia ambayo ndugu zao hawawaoni na wengine wameuliwa nyie mashabiki almost mashekhe wote vibaraka na njaa zenu mkipewa chochote basi tuondokeeni sie kama familia yako iko Sawa basi shukuru kama unataka kupewa nafasi sema hamna mtu ambae atakusikiliza shekhe waste your time watu wamechoka mashekhe wa bongo mtihani kweli njaa nyingi
@laupetpet7779
@laupetpet7779 3 күн бұрын
Viongoz wa dini hatwaamini tena watu wetu wanatekwa mmekaa mkimya Leo mnaongee nini wanaotekwa hamwajalu
@andrewkissava9184
@andrewkissava9184 3 күн бұрын
Wewe toka hapo kiongozi wa dini uchwala na lichawa
@josephudoba5563
@josephudoba5563 3 күн бұрын
Ingekua katekwa nduguyake sijui kama angekua na haya maneno
@msafirindalu122
@msafirindalu122 3 күн бұрын
Upuuzi tu
@JamesAbel-ig8wb
@JamesAbel-ig8wb 2 күн бұрын
Wambie serikali watoe haki kwanza. Waziri kusimamia uchaguzi unaona ni haki kweli!!!
@omannal1281
@omannal1281 3 күн бұрын
Huna mpya shehe nyinyi machawa tu hio amani ipo wapi watu wanauliwa wanateswa ipo wapi hio amani wanafiki tu nyinyi.
@JackKanyigo
@JackKanyigo 2 күн бұрын
Amani gani mnaiongelea wakati watu wanauwawa henyi viongozi wanafiki angeuwawa nduguyo ungeliongelea habari ya utalii?..Wapinzani walishakaa na Rais na wakatoka na 4R lkn zinapuuzwa,,so for now ni watu kuwajibika hakuna mazungumzo kwenye uhai wa watu na Chadema wanataka kuona hatua zikichukuliwa kwa wanatenda hayo,.wasipochukua hatua wanaingia barabarani,xaxa kosa liko wapi?.mnataka wanachama wao waendelee kuuwawa na kutekwa then wakae kimya?.hata kama shule hamna tumieni akiri ya kuzaliwa kutafakari,haya mambo watu wanaumia nafsi zao..Acheni uchawa na udini kwenye roho na maisha ya watu wa mungu..
@JemeslaizerJemeslaizer
@JemeslaizerJemeslaizer 3 күн бұрын
Huna uhali,, ya kukosoa maandamano,, tutaandamana...., aliyepiga marufuku,, amefuata sheria,, maandamano,, si ni kwa mwojibu wa sheria.. Kama wewe ni chawa wa serikali,, usiegemee. Dini.. Kuwa na hofu ya mungu kwanza wewe..
@ChristmasMaheri
@ChristmasMaheri 3 күн бұрын
Wananchi wana matumaini makubwa sana kuhusu utendaji wa serkali wakiongozwa na Rais.Matokeo mabaya ya utendaji wa serkali kwa wananchi aelezwe nani na kwa vipi? Kwa mfano :1.Kuchezea Katiba ya nchi-wahalifu wanateka na kutoa uhai raia na bila kuwajibika.2.Watendaji wa serkali wanafisadi fedha za umma bila kukoma na kuwajibika-rushwa.
@LusekeloNgondya
@LusekeloNgondya 2 күн бұрын
Nimepoteza MB zangu kusikiliza Utopolo
@f.a6043
@f.a6043 2 күн бұрын
😂
MO DEWJI AZUNGUMZIA KUHUSU KUTEKWA KWAKE
28:50
BBC News Swahili
Рет қаралды 1,5 МЛН
Amazing Parenting Hacks! 👶✨ #ParentingTips #LifeHacks
00:18
Snack Chat
Рет қаралды 18 МЛН
哈莉奎因怎么变骷髅了#小丑 #shorts
00:19
好人小丑
Рет қаралды 45 МЛН
Bike vs Super Bike Fast Challenge
00:30
Russo
Рет қаралды 23 МЛН
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 2 Серия
31:45
Inter Production
Рет қаралды 1 МЛН
RSS ഉം ADGP ഉം!''ഗം'  | #GUM | 13 September 2024
19:57
asianetnews
Рет қаралды 241 М.
Fed Rate-Cut Size Debate | Bloomberg Surveillance | September 17, 2024
2:46:36
Amazing Parenting Hacks! 👶✨ #ParentingTips #LifeHacks
00:18
Snack Chat
Рет қаралды 18 МЛН