JazakhaAllah mungu akuzidishie elmi zaidi...ustadh
@aimanaiddy13135 жыл бұрын
Shukurani shee wetu mungu akuzidishi rehema juu yako kwakutuma mawaidha mazuri
@stevewanga9575 жыл бұрын
Shukran kwa ufundisho wako.... Maisha marefu sheikh
@salehkhalfan73454 жыл бұрын
Allah akulipe kila la kher kwa jihad yko ktk Dini
@mwachidzopoposalimpopo88903 жыл бұрын
ALLAH akupe umri mrefu nakupenda sana shk wetu😘😘😘😘
@HABIBULLAH-nd9ft5 жыл бұрын
Shukran maalim kwa ukumbusho mzuri,Allah akujaze kher nying sana
@lacroquetalacroqueta68135 жыл бұрын
Sh.Izzudeen .....Baarakallahu fik💙⚘
@rahmatahmed18713 жыл бұрын
Asalam Aleikum warahmatullah wabarakatu...shukran lek yaa sheikh kwa mawaidha haya.nimejifunza kitu.Allah akulipe kwa nia yako yaa rabby 🙏
@abdulazizmohamed37155 жыл бұрын
Allah akuzidishie akupe umri mrefu ili tupate faida nyingi kutoka kwako
@sharifmohd45723 жыл бұрын
Kilalakheir shekh mungu ukupe umr mref
@allanricardo89444 жыл бұрын
wallah shukran sana kwa mawaidha nzuri imenielimisha sana ila hapo tupu kwa tupu mbavu zangu shekhe somo nzuri sana jazak kheri mashallah
@mwambirekwamboka95255 жыл бұрын
Shukran Sanaa sheikh wetu kwa mafunzo muhimu katika jamii .in Sha Allah Mola Akujaze kheir r
@mariamaalouf61205 жыл бұрын
Mamh
@mariamaalouf61205 жыл бұрын
Jmm
@ibrahimsheha2155 жыл бұрын
@@mariamaalouf6120 hahah
@aishaabdulrahman83644 жыл бұрын
Mashallah umefanya uzuri kutueleza wazi nawala usiogope kutufahamisha wazi lazma tujue kila kitu
@user-ib8vb4kh3f Жыл бұрын
Mashaallah mungu akupe maisha marefu ustaz wet
@ZakyaMaarifa4 ай бұрын
MashaAllah shukran shekhe kwa mafunzo haya nimejifunza
@amerkombo66935 жыл бұрын
Masha Allah mada nzuri sana
@abubakarymwandusaabubakary57224 жыл бұрын
Allah akulipe kwamafunzo mema
@dr.hamiduibrahim13075 жыл бұрын
Nimejifunza kitu wallah! MB zangu hazikwenda bure
@jamilamunisi14805 жыл бұрын
Shukran sana Allah akujalie kheri
@khamisially29922 жыл бұрын
Wallah nikikuskiliza lazma nicheke.😁😁😁..Mashaallah hasbiyallah Allah akupe kheir daima🥰
@hazelbrown47124 жыл бұрын
Aibu na Maskitiko Makubwa kuna Baadhi ya Wanawake mpaka leo hawajitwahirishi hawaogi wakimaliza Siku za zao.. wanaoga tu kama kawaida ila hawaogi kwa Ajili ya kumaliza Periods.
@Omar_Sharif_Ali4 жыл бұрын
Watapata mboko siku ya kiama
@adilmohamed17843 жыл бұрын
Ni wajibu kwetu kuelemishana kama wajua hawajuwi
@mbarakaathumani30355 жыл бұрын
Allah akutunze mufti
@omaiim40144 жыл бұрын
Ahsante sana sheh wetyu tumekuelewa
@nasramuddy19563 жыл бұрын
Mashaalla mung akujaaliye maisha marefu 🙏🙏🙏🙏
@jumangomuo93015 жыл бұрын
kwakweli hustadh nnapenda sana unavyo changanua mada
@salmasaidi28754 жыл бұрын
Sanaa mashaa ALLAH
@amirifundi48314 жыл бұрын
Masha allaah
@uthmanali69035 жыл бұрын
Jazaka Allahu kher Sheikh
@oscarbravoug64304 жыл бұрын
Ati mume huawa mayahudi 😂😂😂😂😂(kubonyeza)
@khamisially29922 жыл бұрын
Allah akulipe kwa yale uyafundishayo shekhe wetu kipnz
Allah akuzidishie helimo na akulinde kila lashari, pia akupe nguvo ya kutukumbusha waislamo
@zulficarbacarsuale68775 жыл бұрын
Huo ndio wislam kuombea hery kwa allah
@nasrimathias18804 жыл бұрын
Verry nice good brass sheikh THE BIGGEST BOSS NASRI
@his-queenaisha70865 жыл бұрын
Shukran kwa mawaidha
@daressalaamtanzania27363 жыл бұрын
Slm lykm Samahani umeolewa?
@his-queenaisha70863 жыл бұрын
@@daressalaamtanzania2736 ndio
@user-vb2sh3tj7u11 ай бұрын
Ahsante shekhe kwa mawaidha mazuri
@jumannemfaume3 жыл бұрын
Somo zuri sana shekhe sasa nimeelewa na mimi namna ya kuoga
@Keed-Mullah4 ай бұрын
Nimeona sana wakizungumza ila sikupata ufafanuzi mzuri kama huu Alhamdulillah 🤝🙏
@khadijahkhdoo63875 жыл бұрын
😂😂😂😂🙈🙈 asante sanaa
@johannahakim84703 жыл бұрын
Masha Allah Sheikh nimesikiya kama ni mapya naskuru Allah akulipe kila lakweri
@oyay28215 жыл бұрын
Duhh!!! Maelezo kamili
@iptisamalnabhani63033 жыл бұрын
Huyu Shaikh anajua kutoa mawaidha mashaallah
@husseinhaidhurojr54695 жыл бұрын
Hahahaha umenichekesha shekhe ila lizungumzie na hili wake zetu sisi wengine wanapaka vipodoz ambavyo huleta kero mda wakuua wayahud huleta karaha yaharuf
@awadhgugu3175 ай бұрын
Shekhe nani alikabwa koo akatokwa na mani badala ya choo😅😅😅😅😅
@abdallahmgalla62444 жыл бұрын
Allah akupe afya njema
@sibamanakhamishusseindurch10202 жыл бұрын
Jazakallahu sheikh wetu kwa elimu
@zinabzinabo89162 жыл бұрын
Shkuran jazillah Allah akupee uzima utufunze zaidi y apa
@mbaroukrajab Жыл бұрын
Allah akulipe kila la kheri sheikh wetu
@hidayajuma50205 жыл бұрын
mashallah mashallah mashallah mashallah
@ismailokoth68224 жыл бұрын
Allah ibariq!
@jauzatmusuya54135 жыл бұрын
je, mwanamke wakiisilamu kutunisha kichwanisawa?
@salimumuro46614 жыл бұрын
Ahsante sheikh mie nataka kuoga nifasi Leo naomben mnisaidie dua us kukoga nifas jaman
@salimumuro46614 жыл бұрын
Ni mke Wang lakn anayetaka kukoga nifas
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
@@salimumuro4661 unatia Nia ya kujisafisha na nifasi alafu unaoga kama unavyooga hedhi au janaba
@maarufabdul1284 жыл бұрын
Shukran sheikh
@swahibamussa23474 жыл бұрын
Mashallah nimekifunza kitu
@daudmwita2855 жыл бұрын
Shukraaan sheh
@pilikhamis29243 жыл бұрын
Maashaallaah maashaallaah asant nimefahamu
@awadhgugu3175 ай бұрын
Wewe shekhe wee jamaa😅😅😅😅😅
@zobidaal44235 жыл бұрын
Eti mapliti shekhe unavituko wewe😂😂
@minaminaa16695 жыл бұрын
😊😀
@abullahkabaka87743 жыл бұрын
😀😀
@zainaburajabu28635 жыл бұрын
Nakukubali sana mwalim fundisha
@hadiahussein98884 жыл бұрын
Je ukiwa umesuka msuko wakaida tu unaruhuswa kuog bila kufumua au mpk ufumue????
@emirmatimbwa70593 жыл бұрын
Haina ulazima kufumua ilimradi maji yafike kwenye ugozi kufumua nilazima pale unapotakakujitwaharsha na hedhi hapo ndo lazima
@nyokamuddy41945 жыл бұрын
Mwenyez Mungu akulipe kwa hili
@ayububakari85135 жыл бұрын
Maashaallah
@salmasaidi28754 жыл бұрын
Jazzakallahu khayir yaa Shaikh
@arabuseremansakinaarabusak84435 жыл бұрын
je umaliza kujamiana na mkeo kitandan na mashuka yamedondokewa naa manii au janaba wewe umepata udhu na walusiwa kulala ndan ya mashuka Yale au kitandan mle kwenye mashuka
@lutufiahamisi41595 жыл бұрын
lazima uyatoe
@majidihamisi7745 жыл бұрын
Ni vyema ukayatoa ndiomana wengine hua twaweka taulo maalum kidha hulitoa
@luisjr13015 жыл бұрын
Arabu Sereman Sakina Arabu Sakina Arabu wazin na mkeo?
@josephinekabuka38774 жыл бұрын
Ni vyema ukatoa na usichelewe kufua nguo yenye shahawa na ukiisha ifua unajisi wake huisha jioni hadi jioni
MaashAllah vizuri, Alhamdulilah, InshAllah heri, saumu ni ya Allah tu
@faudhiahamad82023 жыл бұрын
Muhim maji yafike
@captaineussuph59405 жыл бұрын
Man sha Allah
@abdillahsultan77755 жыл бұрын
Je Sheih wale ambao hawajaowa wakiwa na matamanio wakapiga punyote; je? hapa nifafanulie cjw sawa
@farhiya22055 жыл бұрын
Utaoga janaba mwenzangu...sababu utakua umetokwa na manii hapo,pia umejishika tupu kwa kujimalizia tama ulo kua nayo hadi ukamwaga nisawa na kuonana kimwili na mwanamke
@mohamedlali18215 жыл бұрын
@@farhiya2205 mn
@shahidhassan52934 жыл бұрын
Allah akustir fiddunia wal Akhira
@user-nb5yl3id7k10 ай бұрын
Masha allah akuhifadhi
@sureyomary79504 жыл бұрын
Amiin
@user-sm1wk5cg6n6 ай бұрын
Jazaakallahu khayrah,lakin nina swali shekh,nifasi ni nini?
@AshaChangwaru-hk5er11 ай бұрын
mwanaume akimpa mimba mke wa mtu anaruhusiwa kudai mtoto
@nzigepeter54655 жыл бұрын
Hahahaha,,,,,,,,ati eagle's nail
@kilimaentertainment16877 ай бұрын
Huyu ostadh amenyooka
@shabaniashabani34235 жыл бұрын
Ishall
@minakilua11695 жыл бұрын
Mashaallah........
@salama26254 жыл бұрын
Jazakhallah khaira sheikh
@elnabilbentaleb70084 жыл бұрын
Naomba Nieleweshwe Kiti kimoja,katika kuoga janaba wengine wanasema makopo saba mara wengine matatu lkn shekh umesema unafungulia maji kwa nilivyoelewa ata bomba la mvua unaweza kuoga kwa maana hyo cha muhimu ni maji tu yafike mwili mzima au vp???
@whardouhmidevuh90063 жыл бұрын
Nafikiri ni hvyo
@rizikisebe8905 жыл бұрын
Shukran
@Ukhtyzuhura3 жыл бұрын
Jazakhallahu khairaa ustadh
@user-xg1ri4md7tАй бұрын
Ukitia nia ya kuoga janaba chini na juu unatia nia ?
@xasanfaroole81605 жыл бұрын
Shukuran sheikh umenifundisha mengi
@lutufiahamisi41595 жыл бұрын
je nikioga na mume wangu pamoja inakuwaje
@officialjr22835 жыл бұрын
Ni SAWA
@ismailyusuph7403 жыл бұрын
Inaswih ‘ ogeni ila angalieni mkilitafuta janaba lingine wakti wa kuoga ‘ mlioge tena...!
@aminaamiri76843 жыл бұрын
@@ismailyusuph740 😃😃😃😃😃
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
@@ismailyusuph740 😂😂😂😂😂
@alhabsi6430 Жыл бұрын
@@ismailyusuph740🤣🤣🤣
@abdusam Жыл бұрын
Kwahiyo ukishatia nia na ukasifisha tupu kisha ukaoga hakuna haja ya udhu..??tayari uko na udhu ama naije??
@princessariana28282 жыл бұрын
Kufunga si lazma swalah sasa vp itaswih na ana janaba
@Ismailkhamis-or6dt4 ай бұрын
Ahsant
@user-ny1uv5vx5o Жыл бұрын
Nashukulu mungu kwa mawaidha
@wardamunguakulindenashaliz25564 жыл бұрын
Mungu akulinde
@rajaburamadhani11915 жыл бұрын
Jazzakanrah kheri
@anksusiabdurashid1143 жыл бұрын
Allaah Kareem Shukran
@mohammadkhalid3714 жыл бұрын
Hahahahahahahahahah ustadh huyo afanyaje majaribio kama hayo