Yani mie sina cha kumdai BWANGA aiseeee tuna mabondia wazuri sana bado hawajapata promo jamaaaa ni mkali sana yani ngumi zake zinahamasisha kuangalia yuko vizuri sana well-done BWANGA
@abduryjumbe7447 Жыл бұрын
Champion Side bwanga umeshinda game kabisa umeonesha mashabiki zako ngumi zinachezwaje utafika mbali sana Kwa uwezo wa mwenyezimungu 💪
@dramadravany7251 Жыл бұрын
❤ boy anajua kazi umetisha mwamba anacheza kwa hakili sana
@EvalistTokwa-lw8hf Жыл бұрын
Dogo bwanga nimoto naona atawapa changamoto kubwa sana mabondia watz dogo ni🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪💪
@athumanimanzabay1894 Жыл бұрын
Said bwanga ww ni boxer mzuri saana 👏
@paulmwangoka6 ай бұрын
dogo bwanga unatisha Sana pia hongela mwakyembe Kwa kuonyesha ukongwe wako
@collinndabi1914 Жыл бұрын
Bonge ya game bwanga uko vizuri sana
@mengiuswege3654 Жыл бұрын
HII FIGHT IWE MAIN CARD KTK MARUDIANO ITAPENDEZA
@neemamangushi8187 Жыл бұрын
Naomba serikali imlinde Hyu Bwanga ni🔥🔥
@nicodemusmsemwa2040 Жыл бұрын
Good fighter.. Emmanuel mwakyembe.. keep it up
@dominicrobert266 Жыл бұрын
Saidi atafika mbali ameonyesha ana uwezo,ujuzi,uvumilivu na mbinu, keep it up Saidi Bwanga.
@emmanuelmnyambugha4512 Жыл бұрын
Bwanga yupo vizuri sana
@tahirnephessalum3678 Жыл бұрын
huyu dogo angejiandaa kwa hili pambana mwakyembe alikuwa anakaa mapema sana
@kidunapoletano3118 Жыл бұрын
Bwanga ni 🔥
@kamagaissa4561 Жыл бұрын
Huyo dogo mpinzani W Mwakiembe yupo vzr sanaaa Kama inawezekana awezeshwe afikie ndoto Zake kwny ngumi na kutangaza Taifa pia
@kizz_kido Жыл бұрын
Sideee maweee👊👊
@nuruworldinsight2957 Жыл бұрын
Huyo dogo BWANGA kama akiwa AMATEUR naziona MEDALI 🏅 Za DHAHABU MIKONONI MWAKE akiziletea TAIFA la TANZANIA (umri unamruhusu)
@Rolemodel_wa_taifa6 ай бұрын
AMACHA KULE SIO KWA KUUZA SURA
@denisimria3109 Жыл бұрын
bwangaa🔥🔥
@nuruworldinsight2957 Жыл бұрын
Kwa sisi tulio bahatika kumuona Rashidi Matumla eke SNAKE BOY wakati wa enzi zake Basi huyu mtoto Saidi Bwanga eke RING MASTER ni Snake boy 99 per cent. Na kama anatokea Mbagala bila shaka kapitia mikono ya gym ya Matumla . Mungu ampe mwendelezo mwema wa mwanzo wake.
@samsonhenry3871 Жыл бұрын
Oyaaa Uyu Bwanga ni Hazina Ya Taifa
@eddykatamba1008 Жыл бұрын
bwanga yuko vizr lakin kwa mwakyembe ajipange
@coolruler6820 Жыл бұрын
Ukiacha Mbwana Matumla na Rashidi enzi zao,,,Bwanga anapiga ngumi za kiwango, pambano bora la mwezi ni hili
@gwantadibusta Жыл бұрын
Said noma
@tentwice9291 Жыл бұрын
TOKA NIANZE KUANGALIA VITASA ILI PAMBANO SIJAWAI ONA UYU BWANGA ATARI
@nuruworldinsight2957 Жыл бұрын
Ana pambano lake lingn kamgonga kichizi Mchanjo. Mtafute HANA kazi mbaya DOGO anajua
@yudaaraphati9673 Жыл бұрын
Said bwanga💪🖤
@medsonmligo-vx9gk Жыл бұрын
Bwanga the champion
@tysonking9675 Жыл бұрын
Said kaza njanja we2 nakubali ipaishe mbangala mponda
@adolphdamas3189 Жыл бұрын
Bonge la fight...
@josephlorri431 Жыл бұрын
Fight bora usiku huu
@shaabanramadhan6770 Жыл бұрын
Huyu bwanga ni professional boxer hatari sn
@pirminmatumizi5464 Жыл бұрын
Yeah, hawa vijana wanacheza na kupigana ngumi za ushindani. Wakiendelezwa watafika mbali.
Tanzania kuna mabindia wazuri sana hao kina kiduku sijui mwakinyo wamebakia majina tu
@Abbasbakarsth Жыл бұрын
Azam jaribuni kuongea na hao majaji wenu wanazngua .. mchezo mzuri lakini mshindi kaonekana ni mwakyembe .. kila siku mapambano ushindi unatolewa kwa mikelele ya watu na si kanuni za boxing
@allymwachipanga2486 Жыл бұрын
nisawa lkn huenda wameangalia kummotisha bondia Mchanga ambaye wengi hawakumjua wala kumuona
@salimmalaka256 Жыл бұрын
SAIDI BWANGA MSHINDI WAMEMUONEA DOGO.
@jumajumanne4997 Жыл бұрын
Ongera mwakiembe zidisha mazoezi ila uyu dogo said bwanga akiwezeshwa atafka mbali mvumilivu sana
@pirminmatumizi5464 Жыл бұрын
Draw vipi tena wakati huyu alimwangusha mwenzie kwa konde zito. Hapo ndipo judges wa Bongo mnakoseaga.
@Ajoki7340 Жыл бұрын
Bwanga ni hatari sana... Kiufupi wapate wafadhili watafika mbali sana
@lamerckmsuya5513 Жыл бұрын
Sema kitu nimeona,watangazaji wanafanya promo
@mtengwadj9390 Жыл бұрын
Ngumi Burudani
@dullahtechtz3422 Жыл бұрын
Bwanga ni hatari
@lutenganolukali2122 Жыл бұрын
Mwakywembe alishinda Hill pambano ngumi nyingi zilifika usoni kwa mpinzani wake hakuna dro hapo
@kervinijosephu31645 ай бұрын
Kweli kabisa
@rickiefisher1085 Жыл бұрын
tangu nimeanza kucheq ngumi sijawahi ona ngumi ambazo zimepigwa kimpangilio kama hizi