VITASA | Ibrahim Class vs Said Chino | KAZI IPO 27/05/2023

  Рет қаралды 196,797

Azam TV

Azam TV

Жыл бұрын

VITASA NIGHT: Hii ndiyo ilikuwa #mainCard katika Usiku wa Vitasa, Kazi Ipo ndani ya Where House, Masaki, Dar es Salaam, ikishuhudia Ibrahim Class akipata ushindi wa pointi dhidi ya ya rafiki yake wa utotoni, Said Chino.
Tazama pambano lote kama ilivyokuwa na utoe maoni yako...
#KaziIpo #Vitasa #IbraClass #SaidChino #VitasaNight

Пікірлер: 264
@abdulburaheze9582
@abdulburaheze9582 Жыл бұрын
ibrah anafurahisha jukwa kwa upiganaji mashabiki wa ibraha gonga like hapaaaa👊👊👊👊👊👊💪💪💪💪💪💪💪
@curleskennedy2218
@curleskennedy2218 Жыл бұрын
Hili shindano ni la level mbili tofauti, Kuna vitu unaona Ibra anauelewa na anajielewa strength zake na anazitumia haswaa. Oponent nadhani aliambiwa una ngumi nzito then akaingia kwenye mchezo, Class ametengenezwa
@jaybee3429
@jaybee3429 Жыл бұрын
IBRA CLASSIC ANA MCHEZO MZUR...HARD PUNCHING....JABU NYING...KAMA UMEELEWA WEKA LIKE
@alekasm
@alekasm Жыл бұрын
ffgvvvvvvvfbvvffvfjghggfgfhggggggggggfggggggcvggvvfvbggvbhhgvbbvbjhvbgjfncgjhvgjghvbkgjvggfgvgvvcdrrrhfvggcgvdvvvggbbcvgcccvcfvcvggfbcvgvfhcjffhcvfjgffhgkgggiggfgggcgcgjfbvvjfcjgcgjgvvvfdddfffffvbhfffggfhdddfgfvcccvbrfjhrrgrfffnvfbvvvfgvfd
@YustoMlay-is8ed
@YustoMlay-is8ed Жыл бұрын
Sana sana
@chuxdampa8664
@chuxdampa8664 Жыл бұрын
class unajua xan chino kapigwa roundi zote Yan class anaamua afanye nin kw wakat gani. (Big up Ibrahim kazi nzuri)
@modestsharia7127
@modestsharia7127 Жыл бұрын
Unajua kaka watu wengi hawajui ngumi huto class ni bondia wa kiwango cha juu sana huyo dogo bado atafute mwalimu mzuri
@KiongoziMwandamizi
@KiongoziMwandamizi Жыл бұрын
Ibrahim Class ni professional boxer, round ya 10 ameonyesha yeye ni boss wa mchezo, big up sana Class, Wonderful boxer✓✓
@hafidhsuleiman804
@hafidhsuleiman804 Жыл бұрын
Watu wengi wanasema Chino anarusha Makota..sio kweli! Chino anarusha ngumi zilizonyooka kabisa ila Ibrahim Class jamaa ni Class kweli...anashambulia na kutoka haraka hivyo ngumi za chini zinaonekana kulenga tofauti na alipo Class hivyo kudhaniwa ni makotakota!!! Kwa hakika Class ni The most skilled boxer in Tanzania...
@princeking7042
@princeking7042 Жыл бұрын
True✊🏿✨💪🏾💪🏾🔥🔥
@boniphacechiwambo1011
@boniphacechiwambo1011 Жыл бұрын
Yuko vizuri saana
@boniphacechiwambo1011
@boniphacechiwambo1011 Жыл бұрын
Team Class 🎉🎉💪
@SamsonAndason
@SamsonAndason Жыл бұрын
lbrahimu class Ana onekana anacheza kwa makini san
@jimmymbella997
@jimmymbella997 Жыл бұрын
Umenena kwel kaka, IBRA anacheza vizuri mpaka raha yani
@vitalesmgenge9774
@vitalesmgenge9774 Жыл бұрын
Huyu mbena wa iringa ni fundi sana Hana hasila Hana papala japo upinzani kauona kweli chino co wakubeza akiongeza juhud tz tutakua na bondia wengi sana wenye uwezo,hongela clas ww ni teachel kweli👏👏👏👏
@timotheothadeomgassa4929
@timotheothadeomgassa4929 Жыл бұрын
Ndio maana akaitwa classic 😅
@jusamsaid1746
@jusamsaid1746 Жыл бұрын
Pambano zuri sana katika mashindano maneno ya majigambo muhimu Safi Sana Chino uko vizuri mno unless Ibra ni Next level uckate tamaa kikubwa kujituma
@dicksonmswigebisile7676
@dicksonmswigebisile7676 Жыл бұрын
Ibrahim Classic is CLASSIC.
@mawazochanya2081
@mawazochanya2081 Жыл бұрын
he is indeed.He has very good defensive skills. He needs to up his punching power though
@nyemondagalla608
@nyemondagalla608 Жыл бұрын
Ibra classic kama Bongani mchezo mzuri sana
@josephgama7810
@josephgama7810 Жыл бұрын
Haujakosea kusema hivyo nakubaliana na wewe.
@shundathegreat1988
@shundathegreat1988 Жыл бұрын
👋👋👋
@coolruler6820
@coolruler6820 Жыл бұрын
Huyu Chino si bondia mbaya,,,dogo yuko vizuri sana, head movement, footwork yupo vizuri, mwili wake umechangamka kila mahali, tatizo hajapata kocha mzuri wa kumjuza mbinu sahihi za utupaji ngumi pamoja na namna sahihi ya kutupa ngumi pale anapokuwa anakwepa
@jeniferjonas9348
@jeniferjonas9348 Жыл бұрын
Ibrahim king class is next level uwezi faninisha na chino japo akipata mwalimu mzuri ni bondia mzuri anaweza kua bondia mzuri sana ila Kwa Sasa Ibrahim class is just like bush 🔥🔥🔥🔥
@mlekwa
@mlekwa Жыл бұрын
Wameonyesha mchezo mzuri wote naeakubali💪🏿
@abdallahkambangwa7215
@abdallahkambangwa7215 Жыл бұрын
kwakweli ibra class ni bondia mzuri sana. ipo siku atafanya makubwa sana
@julianashani9408
@julianashani9408 Жыл бұрын
Ibra unaweza Kaka Mungu akusmamie uwe salama tu ktk mashindano yako
@user-yv7zv3cw8m
@user-yv7zv3cw8m Жыл бұрын
Huyu mwamba kujiita class ni sawa kabisa. Anasababishu enjoy kuangalia ngumi.
@abdulrahmanmohamed6135
@abdulrahmanmohamed6135 Жыл бұрын
Ibra yuko vizuri ila angelimaliza hili pambano mapema kama ange badilika na kupiga body punches ..otherwise future face of boxing in Tanzania ibra ❤❤
@abdulburaheze9582
@abdulburaheze9582 Жыл бұрын
ibraah imenifurahisha sana piga mazoez sna pambano taaaaam sana
@bakariathmanathman2187
@bakariathmanathman2187 Жыл бұрын
Ibra yuko vizuri Kwa sisi wakenya tunge kua na bondia kama huyu tunge jivunia hongera ibra
@Mpakauseme
@Mpakauseme Жыл бұрын
Yupo vizuri ni talent by nature ana akili ya ngumi
@naimabdul1231
@naimabdul1231 11 ай бұрын
Daah aliekupa hili jina ibra kakosea angekuita ibrahim quality unapiga ngumi za kwenye video kaka big up sana, side chino next time umeonyesha uvumilivu mkubwa bro pambano la kibabe sanaaaaaa
@dicksonmswigebisile7676
@dicksonmswigebisile7676 Жыл бұрын
Ibrahim Classic the Lennox Lewis of our age.
@mudriqhamidu871
@mudriqhamidu871 Жыл бұрын
Kbra anapigana km Lenox lewis hatumi nguvu sn anatumia akili sn ktk kupìgana hii nimependa safi sn hawajakumbatiana hata mara 1 ❤❤
@jameschumbula7351
@jameschumbula7351 Жыл бұрын
Ibra class ajawahi mwacha m2 salama🤗✌️
@ramadhanipadon3577
@ramadhanipadon3577 Жыл бұрын
Ibrah class amestahili kushinda✨️
@petermabale4320
@petermabale4320 Жыл бұрын
Hili ni pambano bora sana, hakuna kukumbatiana round zote
@mudriqhamidu871
@mudriqhamidu871 Жыл бұрын
Inatembea punch t hpo vitendo vya mikono ni vingi sna mpk raha kuliangalia hili pambano
@nelsongabriel6324
@nelsongabriel6324 Жыл бұрын
Kabisa hadi raha kuangalia
@maandaziimakavuu3790
@maandaziimakavuu3790 Жыл бұрын
Ibrahim class uko vizuri sana una uzoefu wa kupigana umeshinda kialali!!!!
@thabitisimba1143
@thabitisimba1143 Жыл бұрын
Chino kanisuplies ni mzuri sana ila sasa kakutana na Bondia mwenye akir nying class ongera sana maana kumpigia chino kwa point sio mchezo bondia asie na akir kwa chino aendi hata round 5
@kiya0910
@kiya0910 Жыл бұрын
Hongera zao wote wako vizur kabisa
@ramakwio6480
@ramakwio6480 Жыл бұрын
Ibra classic 🔥🔥🔥
@mohammedlipindula5415
@mohammedlipindula5415 Жыл бұрын
Wachezaji wote mko vizuri
@user-du5sf9zk5h
@user-du5sf9zk5h Жыл бұрын
Azam tv waambie aidan n mwenzie wakiwa wanatoa tthimin waccimame upand mmoja
@samuelpaul5733
@samuelpaul5733 Жыл бұрын
Point Aisee hii sio kitu kizr sikuzote huwa wanafanya hvo ibra ibra ibra ibra mwingne hasifiwi sio pow wakosea
@chazp6436
@chazp6436 Жыл бұрын
Chino naye bondia mzuri sana
@babalaocollectionnoumasana
@babalaocollectionnoumasana Жыл бұрын
Yeah hayo ndo maneno upinzani kauonyesha sio mbaya Chino nae mtu
@denisclement4828
@denisclement4828 Жыл бұрын
Classic bwana Yuko smart,namkubali_ Rahaa
@user-tz2os5fj7e
@user-tz2os5fj7e Жыл бұрын
Unyama mwng ibra yupo vzr sn namkubali sn mwamba huyu
@champtynasser7372
@champtynasser7372 Жыл бұрын
Nyongezaa..... Naamini Rematch ikitokea kunaweza kuwa na matokeo tofauti thats why CHINO HAKUWA MDHAIFU SANA Alidhibitiwa tu game styles zake na IBRA
@asyahkimangale6785
@asyahkimangale6785 Жыл бұрын
Fight ngumu sana IBRA anaspeed CHINO anapower na hicho ndo kimempa ushindi CLASS.ila wote wanajua.
@barakamgongolwa5137
@barakamgongolwa5137 Жыл бұрын
Mm sijaona upendeleo wowote Ibrahim class amecheza vzurii tuachee uongoo
@user-pe6kc7tm1g
@user-pe6kc7tm1g Жыл бұрын
🎉hamna kama class bongo tz
@user-kn2nj4jo7p
@user-kn2nj4jo7p Жыл бұрын
Naomba namba ya simu ya mlundwa,uyo alikua mwalimu wangu wa ngumi Kule mpanda mwaka 92 na 93 kwa bahati mbaya aliangukiwa na ukuta wa nyumba apo ndio ilikua mwisho wangu wa kucheza ngumi,kipindi hicho alikuwepo na omary yazidu,naomba Sana namba ya mlundwa
@kassimsalum1479
@kassimsalum1479 11 ай бұрын
Huwasichoki kuangalia hili pambano big up ibra kutoka 🇧🇷🇧🇷👍
@eliamaguchi10
@eliamaguchi10 Жыл бұрын
What a fight ❤❤ fantastic
@abdimsagati9667
@abdimsagati9667 Жыл бұрын
Ibra yupo vizuri
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 Жыл бұрын
kaz ya jab 1- kumstopisha adui 2- kumfanta adui ashndwe kukuingia 3- kumfanya mpigaji apate nafas nzur ya kuamua lkn wote n wazuri sana tu Kwa kweli tunajifunia watz kuwa na mabondia wazur na imara kama hawa.
@calvincletus5233
@calvincletus5233 Жыл бұрын
Mzee ww unajua ngumi
@ezzepuritykamwene2121
@ezzepuritykamwene2121 Жыл бұрын
Clss ni level kubwa sana,, mwenye namba yake anitumie nimpe hata ef 10 tu. Kishow love
@nikky4757
@nikky4757 Жыл бұрын
KUNA WASHABIKI HUMU HAMNA KITU KWA PAMBANO LILIVYOENDA CHINO HAYUPO LEVEL YA CLASS NA UZURI CLASS NI PRO AKUTAKA KUBISHANA KWA MDOMO KABISHANA KWA MKONO NA WOTE TUMEONA
@SudiKama-ok9eh
@SudiKama-ok9eh Жыл бұрын
One love class ❤❤❤❤
@user-el3mo4bu7h
@user-el3mo4bu7h Жыл бұрын
One love ❤❤❤❤❤
@noorululaatv8973
@noorululaatv8973 Жыл бұрын
Watangazanji hapo mezani hamjitambui hata kama mna mapenzi lkn sio kwenye public space... Alafu Hawa kina Class husifiwa tu lkn kiukweli kabisa .. Mchanjo na Mchanja Hawa wanatakiwa wapongezwe sana Tena sana
@Tzn255
@Tzn255 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@hafidhsuleiman804
@hafidhsuleiman804 Жыл бұрын
Ibra outboxed Chino in every round!!!
@shaabanali4869
@shaabanali4869 Жыл бұрын
Well played ibra class, big hand for you.
@jumahashimu3647
@jumahashimu3647 Жыл бұрын
Kukupenda tu munyarukolo vangu ibra nakukubali sn 💪💪
@tonyshineafrica8278
@tonyshineafrica8278 Жыл бұрын
point mbona kama uongo hv chino Kazidiwa sana kuscore
@ezzepuritykamwene2121
@ezzepuritykamwene2121 Жыл бұрын
Sasa uongelee nn wakati mazingira ya kuongea yanaletwa na ibra, sasa huyo dogo utamuongelea kipi ikiwa anapigwa.
@gbetter4713
@gbetter4713 Жыл бұрын
Ibra noma sana anapigana ngumi ambazo hazina papara kabisa huyo jamaa mwengine inaonesha anafosi ushindi lkn Hamna kitu
@josephbundala-rs2cs
@josephbundala-rs2cs Жыл бұрын
Ibra apewe pongezi ❤😂🎉😮😅
@user-pk3uc8gf2n
@user-pk3uc8gf2n 11 ай бұрын
Kiukweli wote mko vizuri ila kwenye ushindani lazima apatikane mmoja bingwa ivyo saidi chino usikate tamaa
@duniayetutz4424
@duniayetutz4424 Жыл бұрын
Kwa utaalm wangu wa mchezo Wa ngumi,Chino ni bondia mzuri Sema Hana balanc na ngumi zake yaan akitupa ngumi ikitokea amemkosa ibra bac a nakosa stamina, ibra anacheza kipro but hili pambano kwake halikua rahic hata kidogo ngumi zake hazna power tofaut na za Chino na kama angekua na ngumi kama za Chino hili pambano alikua anamaliza mapema
@alleyd.alleyd
@alleyd.alleyd Жыл бұрын
BRO HONGERA SANA..UNAZIJUA NGUMI...
@lullebolle808
@lullebolle808 Жыл бұрын
Alafu jamaa anasema kaonewa acha uongo umepigwa wewe chino
@hallowkij5677
@hallowkij5677 Жыл бұрын
ibrahim clasic
@user-el3mo4bu7h
@user-el3mo4bu7h Жыл бұрын
Ibrahim nakupenda xana. 🎉 Mtoto tuuuu uyo ❤❤❤❤
@fredrickkomba4449
@fredrickkomba4449 Жыл бұрын
Ubora wa class; mwepesi sana, anatarget ya kupiga kwa point na anatembea
@iwishtv7907
@iwishtv7907 Жыл бұрын
Hawa wachambuzi hawajui ngumi hasa huyu Nasib Ramadhani na Patrick Nyembera Walau huyu Mchambuzi mmoja kidogo Aana mwanga, Jab ni ngumi muhimu sana kwa ajili ya kutenganisha Umbali, kuset trap na kumvurugia mipango mpinzani wako lakini sio ngumi yenye points nyingi, Strong jab ndio huwa na points kidogo, Jab nyingi alizorusha Ibrahim Class zilikuwa hazifiki kwa Chino na sio effective ingawa bado Ibrahim Class ameshinda kihalali
@jofuprince2294
@jofuprince2294 Жыл бұрын
Huko sahihi kabisa mkuu
@mtausi6995
@mtausi6995 Жыл бұрын
Ibrahim classic uko vzr sana
@wakembetajaphary6006
@wakembetajaphary6006 Жыл бұрын
Round ya pili haiingii hz kauli za mashabiki kiko wap😂😂😂unaweza fia ulingon kisa mashabik, hongeren mabondia nyote mmefanya kaz ni ujuz tu kutofautiana
@Khery-hi7rg
@Khery-hi7rg 4 ай бұрын
aise ni hatarii sana aise ibra Yuko vzr na anapiga ngumi za ufund
@EddyKatamba
@EddyKatamba 4 күн бұрын
Ibra atabaki kutwa Kobra mwenye sumu Kali.....
@user-jr9rv6cg8p
@user-jr9rv6cg8p Жыл бұрын
Nice classic
@atigeedee7766
@atigeedee7766 Жыл бұрын
Ibra upo vizuriii
@RICHARDDONARD-bh3ol
@RICHARDDONARD-bh3ol Жыл бұрын
Namtakia Ibrahim classic ushindi
@harunimfaume2121
@harunimfaume2121 Жыл бұрын
IBRA CLASSIC APEWE MAUA YAKE YANI ANA HESABU NYINGI SAANA HALAFU WOOTE KWENYE UPANDE WA LEDE LEDEE WAMETOKA HAWASHIKANI KAMA WALE AKINA FLANI NGUMI ZIMENYOOKA 👊👊
@haidarkitwana6783
@haidarkitwana6783 Жыл бұрын
Ibra anatumia mavimenti nyingiza muhamme ali chunguza
@muhandoally6501
@muhandoally6501 Жыл бұрын
Ibrahim class bondia mzr sana anapigana ngumi za akili sana sio papara
@BilobzBzee-ed5jy
@BilobzBzee-ed5jy 11 ай бұрын
Ibra classic Yuko vizuri Sana ngumi zake huwaga zimetulia Sana ataacheze na Nani? Kama atapigwa namaa atapiga huko vizuri na pia kulitazama binafsi napenda
@saidkizota3595
@saidkizota3595 Жыл бұрын
Watangaxaji machawa wa classic
@patrickmfundiri8669
@patrickmfundiri8669 Жыл бұрын
Chino ibra kakupa jina kajipange nimeona fght mwanzo mwisho hongera kwa kufanikiwa umemaliza kwa maumivu ila haukumdondosha ibra ulikanyaga mguu
@NuruSanga-yo2sl
@NuruSanga-yo2sl Жыл бұрын
Nakupenda mnyakukolo
@ramermohamedy4344
@ramermohamedy4344 Жыл бұрын
Watangazaji watangaza kishabiki ibra akipigwa wakaa kimya😂😂😂
@ladislausmoris9638
@ladislausmoris9638 Жыл бұрын
Tangaza ww
@omaryally5555
@omaryally5555 Жыл бұрын
Huyu chino anatumia nguvu nyingi kuliko akili. Yani anaenda kupambana kinguruengurue
@esthercharles5945
@esthercharles5945 Жыл бұрын
Ni kweli kabisa
@timotheothadeomgassa4929
@timotheothadeomgassa4929 Жыл бұрын
🤣
@ramadhanipadon3577
@ramadhanipadon3577 Жыл бұрын
😁😁😁
@Mpakauseme
@Mpakauseme Жыл бұрын
Kabisa ana kwendakwenda kama mnyama wa mwituni na kichwani mixer ganja nyingi dah kapigika arafu mwishoni kashangilia sana dah ndumu kweli sio nzuri 🤣
@gerardmbise8224
@gerardmbise8224 Жыл бұрын
Good 👊👊👊👊👊
@rama-sa-4856
@rama-sa-4856 Жыл бұрын
Class big class
@evansdecaprio8196
@evansdecaprio8196 Жыл бұрын
Ibra ni noma sana
@hafidhdrogba3392
@hafidhdrogba3392 Жыл бұрын
IBRAH Kaka ushauli wangu fanya km mwakinyo usipiganetena nawa tanzania wenzio lengolao kukushusha hapo ulipo.tumia akiliyako vizuli epuka mijitu yenye rohomba
@HassanMasasi-gg5rs
@HassanMasasi-gg5rs Жыл бұрын
Nakubaliana na ww ibra asipigane tena na watanzania watamfelisha
@fundibombazanzbar5717
@fundibombazanzbar5717 Жыл бұрын
Watangazaj mnaboa ni wapinzan amtakiwi kua upand mmoj
@louizedes8509
@louizedes8509 Жыл бұрын
IBRA CLASSIC international boxer
@mtengwadj9390
@mtengwadj9390 Жыл бұрын
Clasicc Nibondia Mzuri Afanyie Mazoezi Kubadilisha Miguu Na Nguvu Za Mikono Jifunze Kuficha sura kutumia mikono yako Speed imempunguzia Nguvu umefanya vizuri.....Na Kuhusu Chino ongeza Speed ya miguu mchanganyo wa ngumi zaidi ya tatu kuendelea fanya mazoezi yakukimbia huku unatupa ngumi hewa utakua bora zaidi Brother nimvumilivu unanguvu Bondia Mzuri ....Mchezo mzuri Nikilipoti Kutoka PWANI BAGAMOYO Mimi NIBONDIA WA UZITO WA JUU......
@RazakiMmalinda-rl3ej
@RazakiMmalinda-rl3ej Жыл бұрын
Class mawe💪💪💪
@djinnobwaytz9631
@djinnobwaytz9631 Жыл бұрын
WATANGAZAJI WAPUMBAVU WANAONGELEA UPANDE MMOJA TUU
@makongoronyerere1564
@makongoronyerere1564 Жыл бұрын
Nyie watangazak mnaushabik wakisenge, wote wasenge nyie mmeniudh utadhan nimtu wannje ,, ndy maana tz nishanba labb
@pharidashabani-zg4qy
@pharidashabani-zg4qy Жыл бұрын
Chino amejitahid sana pamoja na kua hakushonda
@masoudmasasi1801
@masoudmasasi1801 Жыл бұрын
YES NI BONDIA MZURI SANA KAMPA UPINZANI MKUBWA IBRA
@wakali_wa_masauti1884
@wakali_wa_masauti1884 Жыл бұрын
Ula goloveka umwana vavene ibra maana apyufile
@DullahMbonde-qw3zi
@DullahMbonde-qw3zi Жыл бұрын
Chino umekua sasa nimekubal💪🏻
@BahathKyando
@BahathKyando Жыл бұрын
Ibra pongez kwa mchezo mzur
@kibwanambelwa8352
@kibwanambelwa8352 Жыл бұрын
Naungana na chino kwa sababu nae angeamua kukaa mbali basi isingekua box mchezo mtamu kama huo Ibra yuko vzr sn game ilikua tamu
@abdulrahmanramadhanabdul-wv1jb
@abdulrahmanramadhanabdul-wv1jb Жыл бұрын
Nakukumba mwanangu chino
@hafidhsuleiman804
@hafidhsuleiman804 Жыл бұрын
The battle of power vs speed
@hamzamakame-fy6yp
@hamzamakame-fy6yp 6 ай бұрын
Si tunapenda kusifia class yup sw zidi ya chino kweli hii fight kasulubiwa kweli halafu hana mbini hapa
@user-js8zk6mb9w
@user-js8zk6mb9w Жыл бұрын
AZAM inabd muangalie kwenye swala la macommentetor kubase upande mmoja
@dadimtipodadi2259
@dadimtipodadi2259 Жыл бұрын
Wee nae mtangazaji chenga una upendeleo tu kwa Ibra ila chino yuko vizuri mno
@timotheothadeomgassa4929
@timotheothadeomgassa4929 Жыл бұрын
Tatizo ni kutumia nguvu nyingi kuliko akili lkn chino ana ngumi nzito ila tatizo ni akili ya namna ya kuzitumia nguvu hizo katika ku score. Ikumbukwe boxing ni mchezo wa kutumia akili na nguvu kiasi ili uweze kujibalance katika kumaliza round za mchezo na ikitokea umemtwanga kisawasawa opponent wako either kwa knockout basi pambano linamalizikia hapo hapo. But all in all boxing ni akili zaidi ili uweze kuscore points za kukupa ushindi na sio kupigana pigana tu kikubwa ni points za ushindi. Ila kama wangeamua kupigania mtaani mtaani tu hapo sawa kule uchagui pakupiga wewe tu na nguvu zako baaaasi.
@mohammeduseni2958
@mohammeduseni2958 Жыл бұрын
Kaka pamoja umemfunga mdomo bwege 💪
@user-js8zk6mb9w
@user-js8zk6mb9w Жыл бұрын
Mnaegemea upande mmoja bana….mmemtafutia ubingwa ibra kwa maneno yenu
@barakamichael1487
@barakamichael1487 Жыл бұрын
Ibrahim class Mawe 👏👏👏
VITASA | Ibrahim Class vs Xiao Tau Su | #UlingoWaMoto 28/10/2023
39:01
Was ist im Eis versteckt? 🧊 Coole Winter-Gadgets von Amazon
00:37
SMOL German
Рет қаралды 35 МЛН
Дибала против вратаря Легенды
00:33
Mr. Oleynik
Рет қаралды 5 МЛН
когда повзрослела // EVA mash
00:40
EVA mash
Рет қаралды 4,1 МЛН
The child was abused by the clown#Short #Officer Rabbit #angel
00:55
兔子警官
Рет қаралды 24 МЛН
Salama Na MWAKINYO Ep 44 | VITASA OVERLOAD Part 2
29:53
YahStoneTown
Рет қаралды 259 М.
❗️РОНАЛДУ С ДРУГОЙ ПЛАНЕТЫ🪐😱
0:56
ОСТОРОЖНО: СПОРТ !
Рет қаралды 476 М.
Что он делает с этими бочками?🤯
0:31
Segurança do Messi 😬 #shorts #futebol
0:34
VPHD
Рет қаралды 20 МЛН
❌the tape didn't hold up😆 #foryou #funny #sport #spiderman
0:24
Alex Karpik
Рет қаралды 1,9 МЛН