No video

VITASA MWANZA | Hekaheka za Mandonga na Moses Golola wakati wakipima uzito

  Рет қаралды 32,435

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

Tazama mbilingi, vituko na mikwara kati ya mabondia Karim Mandonga na mpinzani wake Moses Golola kutoka Uganda.
Wawili hao watamenyana Jumamosi ya Julai 29, 2023 jijini Mwanza kwenye uziku wa Dozi Nzito

Пікірлер: 51
@totodavis1949
@totodavis1949 Жыл бұрын
I support mandonga from Kenya 🇰🇪
@gwantadibusta
@gwantadibusta Жыл бұрын
Mandonga kakutana na chizi mwenzie😂😂😂😂😂
@venturecollen1315
@venturecollen1315 Жыл бұрын
Yaani ndugu yetu ameakanyaga
@mohammadfahad3186
@mohammadfahad3186 Жыл бұрын
Naisubiri sana hii ngumi
@user-yi7gf1zk3x
@user-yi7gf1zk3x Жыл бұрын
I support mandonga from🇰🇪
@christiancalvin2183
@christiancalvin2183 Жыл бұрын
Mandonga kapigwa KO Kenya wiki iliyopita na wiki hii pia anapigana🙌🙌🙌
@salim02tv24
@salim02tv24 Жыл бұрын
Kama uefa champions
@asaadalbusaidi1870
@asaadalbusaidi1870 Жыл бұрын
Nakubali mandonga 😂😂usituangushe bwana juzi nilishindwa hata kukoment 😂😂👍
@musaelisha1425
@musaelisha1425 Жыл бұрын
MANDONGAA usituangushe mwanetu tuna Imani na wewe madonga changanya ngumi zotee😆😆😆
@nemeskimbe376
@nemeskimbe376 Жыл бұрын
Mmmmm ndonga akishinda akachinje Mbunzi
@hermankihwili1095
@hermankihwili1095 Жыл бұрын
Mandonga ana shinda jamaa kazoeya kiki boxer
@mwinyisarai-rm5oo
@mwinyisarai-rm5oo Жыл бұрын
Mashalove nashilole kesho
@kiya0910
@kiya0910 Жыл бұрын
Insha Allah mandonga utashinda
@iamnormal8648
@iamnormal8648 Жыл бұрын
Mandonga hapa alikutana na kichaa mwenzake wa maneno. Yaani mabishano yao utadhani mahubiri ya Mchungaji na mpambe wake kwenye kanisa la kiroho.
@islamrashid5451
@islamrashid5451 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 mliosema mandonga anaongea sana ilikua hamjamuona golila
@kibwanakidole1010
@kibwanakidole1010 Жыл бұрын
Kk mandonga usituangushe fanya ulivyofanya Kenya juz kat
@BON357
@BON357 Жыл бұрын
Kweri uyo muganga kutoka Uganda
@twalibmgagi1652
@twalibmgagi1652 Жыл бұрын
Kwan "Kutangaza" kwa watu wa Uganda maana yake ni nin? 😂😂😂😂😂
@ellysamjamany9475
@ellysamjamany9475 Жыл бұрын
Pitty for Tanzanians your tickets got lost
@DidasiIbengwe-it4zy
@DidasiIbengwe-it4zy Жыл бұрын
Mandonga jipange Hilo Jana hiii
@petrochikawe1797
@petrochikawe1797 Жыл бұрын
Jamaa ana mikwala si mchezo
@salimliemba3458
@salimliemba3458 Жыл бұрын
Jamaa WA Uganda maneno mengi Lakin sijui kama ajua kupijana hata kukinga ngumi hajui
@mokiraymond94
@mokiraymond94 Жыл бұрын
Tanzanians are easy to beat
@carolinenabwire8826
@carolinenabwire8826 Жыл бұрын
Even Mandonga was too loud when he came to Kenya. So let the Ugandan guy talk too.😅
@Brighton-JbOfficial123
@Brighton-JbOfficial123 Жыл бұрын
So what happened after😂😂
@mohdswahili7219
@mohdswahili7219 Жыл бұрын
Kama unapenda mandonga like hapa
@kiya0910
@kiya0910 Жыл бұрын
Wee hapa kesho tutaona kivumbi
@hemedsalummbarouk-ug4nx
@hemedsalummbarouk-ug4nx Жыл бұрын
Huyo wauganda hamuwezi mandoga alipigwa na Emanuel shija atamueza mandogo mandonga mtu kazi
@carolinenabwire8826
@carolinenabwire8826 Жыл бұрын
Mandonga ataonyeshwa chenye alionyesha hapa Kenya 😂😂
@shelyboyshely2928
@shelyboyshely2928 Жыл бұрын
Mandonga ukikaa gorola atachukua nyota yako
@suleimanmatege3899
@suleimanmatege3899 Жыл бұрын
Mi nko nyuma ya Golola 😂😂Mandonga ako kelele mingi
@mpundempunde1722
@mpundempunde1722 Жыл бұрын
Mandonga kayakanyagaaaa
@salumuseif3324
@salumuseif3324 Жыл бұрын
Mandonga kanuna et😂
@ShabanKurunge
@ShabanKurunge Жыл бұрын
Huyo jamaaa anatisha
@mbarakarajabu8748
@mbarakarajabu8748 Жыл бұрын
Kutangaza labda ni tusi kiganda🤣
@ibrahimnyange5255
@ibrahimnyange5255 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@yussufpazzi6715
@yussufpazzi6715 Жыл бұрын
Ili golila linaongea xana kweli
@ShedrackEnock
@ShedrackEnock Жыл бұрын
Round ya pili mandonga char
@SoudSaid-ts1cr
@SoudSaid-ts1cr Жыл бұрын
baka sasa mandonga keshapingwa
@santmasoud7664
@santmasoud7664 Жыл бұрын
Mandonga kama kanywea hivi
@maarlioo
@maarlioo Жыл бұрын
😂😂 Mandonga
@kiya0910
@kiya0910 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 aki chizi kweli
@Nyanda506
@Nyanda506 Жыл бұрын
Kuna mtu atajinyea wakati huu
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 Жыл бұрын
Hahaha hayabana tutaona
@mwenezumba7144
@mwenezumba7144 Жыл бұрын
NdDokubo
@yohanaally4544
@yohanaally4544 Жыл бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@abuu_town_tz7341
@abuu_town_tz7341 Жыл бұрын
Golola😅
@shebbywao3967
@shebbywao3967 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@kiya0910
@kiya0910 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
ROLLING DOWN
00:20
Natan por Aí
Рет қаралды 11 МЛН
7 Days Stranded In A Cave
17:59
MrBeast
Рет қаралды 96 МЛН
Кадр сыртындағы қызықтар | Келінжан
00:16
MANDONGA HAPOI! KAJA NA NDOIGE NGUMI INAYOKUNJA KONA
2:36
Wasafi Media
Рет қаралды 217 М.
ROLLING DOWN
00:20
Natan por Aí
Рет қаралды 11 МЛН