VITASA: Shabani Jongo alivyotumia dakika 3 kumpiga Mmarekani Shawn Miller -

  Рет қаралды 39,984

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

Пікірлер: 52
@mtengwadj9390
@mtengwadj9390 3 жыл бұрын
Jongo Wa BAGAMOYO Mwenzangu safi sanaaa ila hakikisha Unafata sheria Utakua wa Kimataifa zaidi Yote Kwa Yote Ngumi nimchezo Wa Makosa Big UP Brother Jongo
@Ram_1893
@Ram_1893 4 жыл бұрын
Pongezi kwa ushindi mwamba Hakikisha unafuata sheria vyema za huu mchezo 👊👊🇹🇿
@hamzamnyawami6894
@hamzamnyawami6894 4 жыл бұрын
Mi ndo wa kwanza kuangalia likes zenu
@elviskiwanga257
@elviskiwanga257 3 жыл бұрын
Foul za kichwa nyingi sanaa.Jongo is a nice fighter but he should learn the basics .Congratulation jongo
@ibrahim10chimah64
@ibrahim10chimah64 4 жыл бұрын
Safi saña kwa kúipeperusha bendera ya nchi vyema
@bbshoptz6919
@bbshoptz6919 4 жыл бұрын
Jongo jongo is the one man army
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 4 жыл бұрын
kwa namna gan
@nuruworldinsight2957
@nuruworldinsight2957 4 жыл бұрын
Ila Jongo ukajifunze jinsi ya kupiga ngumi. Ngumi hazipigwi hivyo kama mtu asiekuwa na mafunzo. Na MPINZANI anapokua chini aiswihi kuendelea kumshambulia kaka. Hizo sio ngumi za mtaani broo. Hizo zna sheria na kanuni zake na unazijua, Sema tu kinyumbani NYUMBNI tunabebana hivo hivo.
@fabylyimo300
@fabylyimo300 4 жыл бұрын
Mwanangu huyu ni🇱🇷🇱🇷 gani
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 4 жыл бұрын
kuna nn kwan
@fabylyimo300
@fabylyimo300 4 жыл бұрын
@@mnzavachris5423 wewe huoni muameric anavocheza singeli
@gabrielmyovela9010
@gabrielmyovela9010 4 жыл бұрын
Hapo jongo amepiga vibaya
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 4 жыл бұрын
ukimaanisha
@suleimansuleiman2436
@suleimansuleiman2436 4 жыл бұрын
Huyu ni mmarekani wa Mbagala au?
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 4 жыл бұрын
y?
@expert5898
@expert5898 3 жыл бұрын
Hahahahaha!!! Huyo mzungu hakuja kupigana huyo... Hawa wanatuzuga.
@allyramadhani2632
@allyramadhani2632 4 жыл бұрын
Turn bicepts
@sirajimrope5994
@sirajimrope5994 4 жыл бұрын
Sio kila mzungu padre
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 4 жыл бұрын
ndo alichokipata co
@zananabalozi670
@zananabalozi670 4 жыл бұрын
Mfaume acha uongo wew lile pambano ulipigwa vizur sana
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 4 жыл бұрын
hamumkopeshi kabs
@aboodbawazir8338
@aboodbawazir8338 4 жыл бұрын
Hv jamani mbona siamin ameuumia Kerr au ndio mambo yetu yale
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 4 жыл бұрын
au co
@zeisharajab3704
@zeisharajab3704 4 жыл бұрын
Et kachukua na mkanda ovyooo tu
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 4 жыл бұрын
sawa mwana masumbwi
@zeisharajab3704
@zeisharajab3704 4 жыл бұрын
Kyaaaaaa ngumi hata hazijanoga jongo jongo anapiga ovyo ovyo ngumi ile aliyo pigana na mchumia tumbo ndio ngumi bhn
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 4 жыл бұрын
kwaio
@kalumbugideon4159
@kalumbugideon4159 4 жыл бұрын
Tanzania naona tuhamie ngumi soka tuhache
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 4 жыл бұрын
y
@allyramadhani2632
@allyramadhani2632 4 жыл бұрын
That was wrong. Kampiga wakati mmarekani kapiga goti. Halafu mnasema anatakiwa amuhesabie. Nyie boxing mmejifunzia wap. Alitakiwa ahesabiwe ndio kwa kupiga goti au kugusa chini ila akiwa katika hio possition hutakiwa kumpiga. Ukimpiga ref anatakiwa atoe adhab
@allyumar4142
@allyumar4142 4 жыл бұрын
Aisee umeongea point yan kwa style hiz daima tutakua hatujui kitu.
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 4 жыл бұрын
makosa yapo na hutokea
@johnsonJuly
@johnsonJuly 4 жыл бұрын
ovyo tu ,refaree kaua mchezo ,mzungu kachezewa faulo lakini bado kamuhesabia si upumbavu huu mtu kapiga goti na bado kashambulia nilidhani angamuinua na kumuuliza kama anaendelea ama vipi eti yeye kaanza kumuhesabia upuuzi tu
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 4 жыл бұрын
sawa mwanuzi
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 4 жыл бұрын
R1 tu mtu anakumbatia bdo tu hukubali..kuwa basi hata mzalendo
@johnsonJuly
@johnsonJuly 4 жыл бұрын
@@mnzavachris5423 tatizo sio uzalendo ,tatizo ni kuua vipaji yaani tunavyobebana hapa nyumbani tukiemda nje tunaaibika ,angalia mataifa mengine kama Nigeria utakuta kuna kina Anthony Joshua ,usman kamaru ,Israel adesanya na wengine kibao tu ,Ghana wapo wengi sana na hii ni kwasababu wanacheza mchezo wa haki ila hapa nyumbani ni ovyo na ndio sababu ya kufanya vibaya mashindano na mapambano ya nje ,,uzalendo ni kumshabikia mpiganaji wetu ila sio refa kufanya upumbavu
@allyramadhani2632
@allyramadhani2632 4 жыл бұрын
Kwa staili hii, heavy weight yetu inabore hatuna heavy weight weny skills kweny ile level ya juu kabs
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 4 жыл бұрын
wakuze
@samsonyona193
@samsonyona193 4 жыл бұрын
sio kuponda ila ngomi tz tunajikongoja
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 4 жыл бұрын
ukimaanisha
@gulamomar6394
@gulamomar6394 2 жыл бұрын
HUYO MZUNGU SIO BONDIA 🤣
@ombmngoniofficial1753
@ombmngoniofficial1753 4 жыл бұрын
Hakuna ngumi hapo ni maigizo tu
@expert5898
@expert5898 3 жыл бұрын
Upuuzi mtupu
@cosmasdaud4472
@cosmasdaud4472 3 жыл бұрын
Aibu hii Mwakinyo atabaki yeye
@kipetasingo2774
@kipetasingo2774 4 жыл бұрын
bora uyu alienda kuroga sio yule iddi alipigwa afu akapewa ushindi
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 4 жыл бұрын
dah 😀
@machinefannatic99
@machinefannatic99 4 жыл бұрын
Huyo jongo kadanganya miaka sio 32 huyo 37
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 4 жыл бұрын
ivo!
@nuruworldinsight2957
@nuruworldinsight2957 4 жыл бұрын
Are u furk you wanted to kill mi ?, alisikika mzungu akigumia
@zabroninnocent8286
@zabroninnocent8286 4 жыл бұрын
Zerooo! Hamna kitu hapo
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 4 жыл бұрын
nani ss 0
@raphaelkatanga5335
@raphaelkatanga5335 4 жыл бұрын
Mmarekan pori labda
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН
BONDIA MCHUMIA TUMBO NA JONGO JONGO WALIVYOTAMBIANA
4:25
KIKEKE ÐIGITAL
Рет қаралды 191
Mohamed Salah Goals IMPOSSIBLE To Forget
10:05
Clinical Reds
Рет қаралды 296 М.
🔴#BREAKING:WAPINZANI WA YANGA WAPO NCHINI WAFANYA MAAJABU HOTELIN
8:10
Inhuman Power! New Knockout Giant in MMA - Renan Ferreira
13:12
VoteSport
Рет қаралды 3,3 МЛН
MTATA MTATUZI | JOHNSON KIWIA VS KENNEDY AYOO
22:35
Azam TV
Рет қаралды 3,9 М.