"VITONGOJI 7 KATI YA 9 KUNA SHULE ZA MISINGI HAPA LOIBORSOIT A" MH LENGAI

  Рет қаралды 239

OLDONYO MEDIA

OLDONYO MEDIA

Күн бұрын

"VITONGOJI 7 KATI YA 9 KUNA SHULE ZA MSINGI HAPA LOIBORSOIT A" MH LENGAI
Mwenyekiti wa kijiji cha Loiborsoit A Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Mh Lengai Salaash Ngulik Amesema Vitongoji 7 kati ya 9 katika kijiji hicho kuna Shule za Msingi hali inayopelekea Wazazi Kuongeza Muitikio wa kuwasomesha watoto wao.
Mh Lengai Ameyabainisha hayo baada ya OLDONYOMEDIA kufika katika kijiji hicho kujua hali ya upatikanaji wa Elimu , Ambapo kijiji hicho ina vitongoji 9 huku vitongoji 7 vikiwa na shule za Misingi , na kueleza mikakati ya kujenga Shule katika Vitongoji Viwili Ambavyo havina Shule.
Aidha Mh Lengai Ambaye pia ni Mkurugenzi wa Shirika la ENKAINA E RETOTO, Ameomba Serikali Kuongeza Walimu katika baadhi ya shule Ambazo Kuna uhaba wa Walimu.
Kwa Upande wake Mmoja wa Walimu wakuu Michael Ipanga Mkuu wa shule ya Msingi OLMOTOO Amesema katika Shule hiyo kuna Uhaba wa Vyumba vya Walimu , Umeme hali inayowapelekea Kwenda Shule ya Jirani kwa ajili ya kuchapisha Baadhi ya Kumbukumbu.
Akizungumza kwa niaba ya wazazi Bwana Ketuma Lulungen Amewashukuru Wadau wa Maendeleo katika kijiji hicho Akiwemo Mh Toima Mkurugenzi wa ECLAT FOUNDATION pamoja na Mh Lengai Mkurugenzi wa Shirika la ENKAINA-E-RETOTO, kwa kuunga Mkono Nguvu za Wananchi katika Kijiji hicho.

Пікірлер
How the Most Elite Spy Agency Operates
22:42
Newsthink
Рет қаралды 1,9 МЛН
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Los Wagners
Рет қаралды 23 МЛН
How it feels when u walk through first class
00:52
Adam W
Рет қаралды 20 МЛН
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 2,8 МЛН
Part 5. Roblox trend☠️
00:13
Kan Andrey
Рет қаралды 2,9 МЛН
Dakika 25 za hoja ya Mbunge Ole Sendeka, Mawaziri waingia 18 za Spika Tulia
25:57
Malalamiko ya Halima Mdee kuhusu uchaguzi
2:07
DW Kiswahili
Рет қаралды 411 М.
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Los Wagners
Рет қаралды 23 МЛН