VITUKO VYA MASANJA KWENYE MAJI MAREFU KAZAMA MTONI!!

  Рет қаралды 58,960

FEEL FREE CHURCH Dar es salaam

FEEL FREE CHURCH Dar es salaam

Күн бұрын

VITUKO VYA MASANJA KWENYE MAJI MAREFU KAZAMA MTONI!!

Пікірлер: 97
@jasonjastinmatandala3037
@jasonjastinmatandala3037 5 жыл бұрын
Hakika kufanikiwa kuna hutaji kupambana sana Bila kujali watu wanasema nini kikubwa Ni kuangia njia unazopita kama zinaweza kufikisha kwenye malengo I learned great thing
@manongaclassic1113
@manongaclassic1113 5 жыл бұрын
Shikamo Baba. Roho yako uliyonayo na upendo ulionao ndio leo vimenifanya nami nijisihi nimtu niliyekumbukwa na Bwana. Love Love Love Love
@abdonkanuti1225
@abdonkanuti1225 5 жыл бұрын
Masanja ni mfano mzuri kwa vijana wengi waliofanikiwa na wanaotaka kufanikiwa, moja ya vitu ulivyofanikiwa sana ni UNYENYEKEVU na KUJISHUSHA, hongera sana.
@babadee4785
@babadee4785 5 жыл бұрын
This guy is a genius. Hapa ndo mahala watu wanachezewa akili na shetani kuanza kuwasema vibaya wenzao kwamba wanauza unga lakini ukweli ni kwamba pesa anayoingiza kwa miezi 6 tu kupitia shamba ni sawa na kiinua mgongo cha bregadia mstaafu wa jwtz miaka aliyokaa jeshini hadi akazeekea huko
@lightm2225
@lightm2225 5 жыл бұрын
Waonyeshe waone Kaka wakiona Magari makubwa oho ajiunga. Fanyeni kazi achenimbwebwe masanja anajituma. Ukirudi mjinikukukwamrija🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏barikiwasanaaaaaaaaaaaa
@salmamohamed3640
@salmamohamed3640 5 жыл бұрын
Hongera sana masanja umenihamasisha sana, nitakutafuta
@emiliussigalla7629
@emiliussigalla7629 5 жыл бұрын
Masanja bratha unanikumbusha mbali Sana nimelima Sana mpunga nikiwa mbalari kikazi hapo estet proti za upande wa nyeregete mlango wa tatu B ,nilipiga Sana pesa kwa Sasa nimehamishiwa mkoa wa songwe kaka malima mahindi na alizeti,japo kua soko la mahindi Lina suasua,tupige kazi wazee waa kazi pesa ipo shamba.
@neemamabiki6164
@neemamabiki6164 5 жыл бұрын
Yani mabosi wote wangekuwa na upendo kwa wafanyakazi wao kiasi hiki bila kujali anapesa kiasi gani ingekuwa raha sana,hakika wewe ni kioo cha jamii mchungaji.
@freckfide744
@freckfide744 5 жыл бұрын
masanja anelewa maisha sana big up mtumishi bonge la mpambanaji
@georgemassebu2083
@georgemassebu2083 5 жыл бұрын
Na kimsingi haya ndiyo maisha ya muafrika halisi
@westonmtweve3612
@westonmtweve3612 5 жыл бұрын
Hatareeee sanaaa witisha mswam makeketula
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 5 жыл бұрын
Masanja amefanikiwa mnasema yuko freemason hamuoni juhidi zake katika kilimo??Hongera kaka Masanja kwa kujikita na kuweka juhudi zako katika kilimo Baba Mungu awe nawe.
@mayusahussain8045
@mayusahussain8045 5 жыл бұрын
mimi naona anajituma sana kupambana
@charlesmyamba8531
@charlesmyamba8531 2 жыл бұрын
Masanja ujawahi jitenga na wtu mabosi wote wangekua na upendo uwo dah tungekua mbali
@stevenmaketa8051
@stevenmaketa8051 5 жыл бұрын
Nashindwa ht namna ya kukusifia cozz una inspire watu saana masanja nakisingi Hays ndio maisha halisi ya mtanzania
@RealGiftLydia
@RealGiftLydia 5 жыл бұрын
Najuwa unaombewa sana kila kukicha nami nasema tu kwamba Mungu akujalie afya tele maana wewe ni kielekezo tosha kwa kizazi cha sasa,una mtumikia Mungu Baba na bado shuguli za kimwili unapambana Bwana awe nawe daima kaka mtumishi
@milemo604
@milemo604 5 жыл бұрын
Mungu hakubariki mana nimejifunza mengi kutoka kwako. Hahujali hu star.
@kingkasuku9703
@kingkasuku9703 5 жыл бұрын
Mungu azidi kukubariki
@amosdaudi9793
@amosdaudi9793 5 жыл бұрын
Hahahaha haina basata hiyo mzee baba unafaa kuingwa hadi kupumua (THE GREAT MASANJA )
@labanylabany2879
@labanylabany2879 5 жыл бұрын
wew masanjaa sijui damu ysko ipojee
@barakachami8218
@barakachami8218 5 жыл бұрын
Utani utani lkn utavuna Kk maisha yachukulia Kama utani utafika tu akuna kukata tamaa bro mambo unayoyafanya mngine hataona ujinga hila mm najifunza kwako jinsi yakuyakabili maisha unafanya km ufanyi masanja big up brother
@alexchungu8823
@alexchungu8823 5 жыл бұрын
Wew sio bishoo.. Safi sana..
@sarahkitindi3420
@sarahkitindi3420 3 жыл бұрын
Masanja
@samsonisaack833
@samsonisaack833 4 жыл бұрын
Saluti kwako
@asmahanyally3225
@asmahanyally3225 4 жыл бұрын
Masanja nimekuelea sana natamani kuja kupanda mpunga jamani
@swahilitheafricantongue7041
@swahilitheafricantongue7041 5 жыл бұрын
Hapo mwanawane sina cha kuongeza, zaid ya saluteeee
@jonasemanueli6189
@jonasemanueli6189 5 жыл бұрын
Hongera masanja hujawahi kujifanya kuwa star
@festomlowegypsum8214
@festomlowegypsum8214 5 жыл бұрын
Amina mtumishi wamungu
@stanysirmteule6789
@stanysirmteule6789 5 жыл бұрын
Ubongooo wakooo nimeukubaliii
@m.amanitv8534
@m.amanitv8534 5 жыл бұрын
Jamani nimejifunza kupitia huyu Kijana kiukweli Ubongo wako uko vizuri
@danielxhamba2531
@danielxhamba2531 5 жыл бұрын
nakukubali kinoma mwanangu salute sana
@eleciathesametome7304
@eleciathesametome7304 5 жыл бұрын
nampendaga sana masanja,,,,Mungu azidi kukulinda...
@hadijaabdallah5879
@hadijaabdallah5879 5 жыл бұрын
Hahahahaa hatari unanikumbusha mbali masanja
@ashuramamaashuraaachekuvaa7798
@ashuramamaashuraaachekuvaa7798 5 жыл бұрын
Adi raha mnachenza na boss wenu sio ma boss wengine babu washakuja na magali yao wew tena anakuona kama mavo wakati ndio unaemlimia shamba lake
@mcjoshuatanzania352
@mcjoshuatanzania352 5 жыл бұрын
Bro we ni noma unaondoka lini huko nije tusalimiane
@awaziernest8000
@awaziernest8000 5 жыл бұрын
Watu na kujichanganya kwao bhana
@leonarddeus5897
@leonarddeus5897 5 жыл бұрын
God blees u
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 5 жыл бұрын
Masanja nakukubali huna maisha ya bishoo kaka.
@victorluvanga4971
@victorluvanga4971 5 жыл бұрын
Nice bro
@nobimgaya5359
@nobimgaya5359 5 жыл бұрын
Nakukubali sana bro......
@mgallason...5686
@mgallason...5686 5 жыл бұрын
this is real GOOD time and enjoyable🤑🤑🤑🤑
@barnabastanford3500
@barnabastanford3500 5 жыл бұрын
We noma sanaaaaaa
@emgotailoring
@emgotailoring 5 жыл бұрын
Safi sana.
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 5 жыл бұрын
Boss gani mwenye pesa zake anaweza kuyafanya haya jamani,hakuna tusidanganyane Masanja sijui nikufananishe nanani sijamuona.ubarikiwe sana wengine wakifanikiwa wanajifanya maisha yazamani km haya hawajapitia
@isakaally298
@isakaally298 5 жыл бұрын
I LOVE YOU MORE MY BROTHER.
@emiliussigalla7629
@emiliussigalla7629 5 жыл бұрын
Ilikua mwaka 2013 nilikutana na ww pale RUJEWA pindi sijahamieshwa kikazi ulikua dukani kwa keny, hadiwea ulikua ukisalimiana na mama keny nilikusalimu na ukanijibu freshi niliitaji nipige stori na ww ila ulikua fasta Sana ila takutafuta tuyajenge.
@dicksonmpululu1800
@dicksonmpululu1800 5 жыл бұрын
Duuuh! Kwel we in mtu wawatu!!!
@pelusiemanueli6926
@pelusiemanueli6926 4 жыл бұрын
Upo vzuli San masanja
@afandebrighttz2887
@afandebrighttz2887 5 жыл бұрын
hahahahaa saaaafi sana shamba shambani
@ADTZ-wk9rt
@ADTZ-wk9rt 5 жыл бұрын
masanja we ni noma
@theleo3899
@theleo3899 5 жыл бұрын
Hahaaaaaaa masanja kumbusha mbal sana mm apo
@uncledavitv6481
@uncledavitv6481 5 жыл бұрын
hahahaha mkandamizaji hiv unajijua kwamba wewe ni fala 😂😂😂😂 ...some joking
@suzanaaloyce8508
@suzanaaloyce8508 4 жыл бұрын
uncledAvi Tv ufala wake ni nini
@Crownvalz
@Crownvalz 5 жыл бұрын
Beach kidimbwi...
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 5 жыл бұрын
Dodoki daaa unakumbusha mbali sana😂😂😂
@fejam9223
@fejam9223 5 жыл бұрын
Raha sana haya mambo
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 5 жыл бұрын
Nguo ndio dodoki😂😂😂😂😂
@salomemwalukasa9184
@salomemwalukasa9184 5 жыл бұрын
yan masanja hapo safiiiiii
@frankdeus6951
@frankdeus6951 5 жыл бұрын
Yaaan hapo umenikumbusha mbal brother
@mimilenge9548
@mimilenge9548 5 жыл бұрын
Vizuri sana masanja
@abubakarikisuju5374
@abubakarikisuju5374 4 жыл бұрын
Massaja umenikumbusha kondoa sehem moja inaitwa kisese"kwenye mashamba ya mpunga tulikuwa tunaogelea hivyohivyo
@veronicambunda5516
@veronicambunda5516 5 жыл бұрын
dodoki 😂😂😂😂😂😂😂nakumbuka mbali sana
@jonijojoss9181
@jonijojoss9181 5 жыл бұрын
Mtu ulinikuta allkila chake mseme anaringa
@briannyiti208
@briannyiti208 5 жыл бұрын
Najiona Mimi kabisa nikiwa kijijini🤣🤣🤣
@Bonwyatt
@Bonwyatt 5 жыл бұрын
Learning only
@zainabukhalifa3967
@zainabukhalifa3967 5 жыл бұрын
🤣🤣😋🤣🤣🤣🤣🤣🤣 noma sana
@dieumercibarrack6539
@dieumercibarrack6539 5 жыл бұрын
Kwa kweli sijawai kumwona mutu mishi mwenyeupendo kama masanja kwa watumishi wa kubwa ambao ni shagaona
@gambonmgaya1286
@gambonmgaya1286 5 жыл бұрын
Hahaa
@matildamsekele6221
@matildamsekele6221 4 жыл бұрын
hivi hakuna maswindi?
@nkwabitz233
@nkwabitz233 5 жыл бұрын
emanuelllllll mgayaaaa
@gambonmgaya1286
@gambonmgaya1286 5 жыл бұрын
MASANJA POST UNAVUA KAMBARE UTATRENDI UMCHOME MPAKA UNAVYOMLA NA UGALI;
@halimatanzani8587
@halimatanzani8587 5 жыл бұрын
Hahahahahaha wewe ninoma nawapenda wote
@nabiimdogotv8686
@nabiimdogotv8686 5 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@yassirally3933
@yassirally3933 5 жыл бұрын
Unahela umefnikiwa nakupendea hunaga zarau unacheza na jamaa kama ucheza tu yani hujali mazingira hakuna ubossi
@elinhotitus8938
@elinhotitus8938 5 жыл бұрын
Wapi hapo ubaruku au mtoni
@elishaworkout6116
@elishaworkout6116 5 жыл бұрын
umenifrahisha San kaka
@frolaerick3054
@frolaerick3054 5 жыл бұрын
Hahahahah eti shati dodoki
@amosruta2308
@amosruta2308 5 жыл бұрын
Dahaaa apo umekunywa vikombe vingapi
@st.juniorsilwimba9691
@st.juniorsilwimba9691 5 жыл бұрын
hahahahah masanja Sikuwezi
@ellymakongo656
@ellymakongo656 5 жыл бұрын
😂 nlkua Miongoni mwa wabishi wa kusubscribe kwenye hii account yako lkn kwa hii video clip umenikamata asee... Nimejikuta nasubscribe ...this Africa hw we do
@aminasalim8367
@aminasalim8367 5 жыл бұрын
Oyaa wee kiboko mwanawane
@aminajuma6924
@aminajuma6924 5 жыл бұрын
Unavituko masanja adi raha
@Pastorlenhardkyamba
@Pastorlenhardkyamba 5 жыл бұрын
moto moto moto NAKUPENDA KAKA
@saidasimba9979
@saidasimba9979 5 жыл бұрын
Kichocho sasa apo
@sahiltvontheline5560
@sahiltvontheline5560 5 жыл бұрын
Huogopi mamba
@emanuelmasele8213
@emanuelmasele8213 5 жыл бұрын
Kaka masanja E.kama utaion post hii naomba mawaxliano ako via madukathegreat@gmail.com au Nmekuwa nikikutafta kwa muda mrefu sana pacpo mafanikio. Barikiwa
@evamyotamyota8830
@evamyotamyota8830 5 жыл бұрын
hahahahahaa
@hamidajuma7804
@hamidajuma7804 5 жыл бұрын
hakika wewe ni mfano wa kuigwa Nwana wane
@florabaruti8032
@florabaruti8032 5 жыл бұрын
hayo maji hayatembei mtaugua kichocho
@marypaul7455
@marypaul7455 5 жыл бұрын
Kchocho mjn tu ahahaa wanao jfanya wao ndo wanajua usafi kumbe hamna lolote watu wanalindwa na Mungu tu
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 5 жыл бұрын
😂😂😂😂
@mohameddamka922
@mohameddamka922 5 жыл бұрын
sijui nisubscribe?
@rebecaedson8664
@rebecaedson8664 5 жыл бұрын
😀😀😀😀
@getrudaadrian8558
@getrudaadrian8558 5 жыл бұрын
Barikiwa , hongera sn huna ht ubishoo wengine hpo ht chini asingegusa kwenye gari ananyoshea vidore tu pesa imejaa tena mfukoni na zarau juu hata vijana hao angewaona maskini tu hawa, kumbe ajui bila ya hao kazi haiendi na wao wana umuhimu, daaa Masanja Mungu azidi kukuinua zaidi ya hapo, nasi tunaiga mfano wko kk
@تكراانزانيا
@تكراانزانيا 5 жыл бұрын
Daaah natamani kuhamia huko
@wardamohamed5653
@wardamohamed5653 5 жыл бұрын
Unanikukumbusha Tanzania yang sana wew masanja nimemiss sana iyo Kaz 😂😂😂😂😂💗👌👍
JAMAA APATA MKE KUFANYA KAZI KWA MASANJA/BATA LA KUPANDA MPUNGA
10:44
FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Рет қаралды 47 М.
MASANJA AMKAZIA MUSSA KUINGIA BUNGENI DODOMA.
2:31
CHEKESHA TV
Рет қаралды 7 М.
Modus males sekolah
00:14
fitrop
Рет қаралды 20 МЛН
Apple peeling hack @scottsreality
00:37
_vector_
Рет қаралды 125 МЛН
Magic or …? 😱 reveal video on profile 🫢
00:14
Andrey Grechka
Рет қаралды 80 МЛН
TAZAMA BASHE, MPINA WALIVYOKUTANA USO KWA USO
10:18
Mwananchi Digital
Рет қаралды 31 М.
MASANJA MKANDAMIZAJI ACHEKESHA WATU MSIBANI | MASANJA TV
20:56
Masanja TV
Рет қаралды 164 М.
Kilimo cha Mpunga Madibira
2:32
Dream Media
Рет қаралды 6 М.
Ip Man 2 | The Boxing Competition
15:57
Cinewatch
Рет қаралды 8 МЛН
Masanja MONICA ft Walter Official Video
5:13
Link Tv Tanzania
Рет қаралды 677 М.
BATA POLI ANASA KWENYE SHAMBA LA MASANJA/AWA KITOWEWO
5:28
FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Рет қаралды 52 М.
Modus males sekolah
00:14
fitrop
Рет қаралды 20 МЛН