Hivi ndio watu wenye hekima kama sanja watakavo weza kumiliki na kutawala kwa furaha
@babadee47855 жыл бұрын
Ila Biblia inasema jiwekeni tayari maana hamjui siku wala saa. Tafsiri yake ni kwamba mtu uwe tayari wakati wowote ule ukiitwa uwe na uhakika ma uendako. Paulo anasema kuishi ni Kristo kufa ni faida, mtumishi wa Mungu haogopi kufa kwa sababu anajua wapi anakwenda baada ya kufa kwake.
@lameckmwinuka85505 жыл бұрын
Amen bro
@luganomwambulukutu53115 жыл бұрын
Ila sio kujiombea kufa
@calebmasaba58155 жыл бұрын
@@luganomwambulukutu5311 Yes..sio kujiombea kifo
@kalufunyangenyakinyungu50874 жыл бұрын
Ila usijiombee kifo kwa makusudi na msisitizo inakuwa kama unamfundisha / unamuamrisha Mungu akufanyie utakayo ww kati tumeshaambiwa kesho yetu hatuijui zaidi ni kujiandaa kwa kutenda mema tu,ko Masanja mm naamini yupo sahihi.