JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
@stewartdyamvunye-wz6rn6 ай бұрын
Asante sana mwanaharakati Heche kwa kutukumbusha kazi ya mbunge: 1. Kutunga sheria. 2. Kukosoa na kusimamia serikali. 3. Kuhakikisha serikali inapeleka maendeleo kwa wananchi. 4. Kufukuza kazi serikali ambayo inashimdwa kupeleka maendeleo kwa wananchi. 5. Kumfukuza kazi (impeach) rais. Natumai nimekuwa mwanafunzi mzuri na nimepata maksi nzuri leo katika mafundisho (somo) la leo la mwanaharakati Heche.
@deogratiusdonald51237 ай бұрын
Kolumba Lebabaz. Mshauri Mh. Heche agombee uenyekiti wachama taifa. Mwamba yupo vizuri balaaaaaaa!!!! Mbowe ana vichwaaa hatari sanaaa...
@tumainimwaifunga38847 ай бұрын
Sana
@faustinebahenobi34127 ай бұрын
Umeonaa eeh
@jumamalekela4636 ай бұрын
Brorher heche nakukubali sana unamaono halisi yauongozi namna yakuwatoawatu mahaliwalipo kusonga mbele namaisha yenyeunafuu kupitia malitulizokuwanazo,big up mybrother iposiku💪🏻💪🏻
@deogratiusdonald51237 ай бұрын
Hongereni sana global kwa kuvialika vichwa makini kwenye studio zenu. Kuna studio zinapenda kualika wale wanaosifia kila kitu. Waalikeni sana upinzani maana hao ndio wanaotusemea wananchii. Wanatutoa porini na kutuleta bara barani. Big up sana global TV. Ninyi mnaongoza wengine wanafuataaaaaaaa!!!!
@qonquererqanquerer17817 ай бұрын
👏
@bensonmwabulambo96637 ай бұрын
Kichwa kizuri hiki, SEMA watu makini ubezwa ❤❤
@apostelgodwin6 ай бұрын
I proud to be with You Brother in Home sit Tarime ...God lord bless You we play for u.. You do best and greater pokea maua yako🎉❤nipo dar nafuatilia hotuba yako daily points tupu
@josephmantago28377 ай бұрын
Aisee inauma sana kuona watu mhimu kama mh HECHE hawako madarakani kuiongoza nchi badala yake tunatawaliwa na machawa aisee mi naumia sana
@qonquererqanquerer17817 ай бұрын
Ni Hatari Akili Ndogo Kuongoza Akili Kubwa, Huyu Alifaa Kua Mtu Mkubwa Sana Wizi Wa Kura Nakukosa Tume Huru ya Uchaguzi Vinatunyima Mchango Watu Wa Maana Kama Heche, Katiba Mpya Ni Sasa.
@corporatethugsent73807 ай бұрын
Inauma saaanaaaa aseee
@shabanadam44767 ай бұрын
Brother John Big Respect Big brain long lifetime 🙏
@ChristianMkumbo-ix2ke7 ай бұрын
Brother your very smart
@msabahaali7587 ай бұрын
mh heche akili kubwa sana ccm wana kariri wamekosa ubunifu
Sifa za Watanzania walio wengi ni kuwa waongo, wanafiki na kujipendekeza.
@aminimushi69456 ай бұрын
Watanzania tunatakiwa tumuombe sana Mungu,hatuwezi kumpata spika wa bunge kama marehemu Sitta,Mungu amuweke pema huko aliko.
@PauloJigwa7 ай бұрын
Jamaa yupo vizuri sanaa
@tumainimwaifunga38847 ай бұрын
Yaani Heche Mungu amjalie maisha marefu aisee.
@alexmnogi18227 ай бұрын
Jamaa kichwa snaa...Hana anaposoma anavyokichwan akili kubwa sna asee! Dah!
@veronicanabina33806 ай бұрын
Saf sana uko vzr
@osiakita86937 ай бұрын
Kuna vitu vingi sana vya kumuinua mwananchi wa chini leo hii muwekezaji akija nchini anakuja na bajeti ya kuwalipa wafanyakazi wake malipo mazuri kabisaa lakini akifika hapa akionyesha malipo ya kuwalipa wafanyakazi anaambiwa hizo hela nyingi sana kuwalipa hawa watu wanaanza kupewa hela kidogo kabisaaaaa ambayo haiwezi kumuendeleza mfanya kazi ila wangesimamia watu wa sekta binafsi walipwe vizuri nchi hii ingekuwa inamelemeta sana
@recenttechnologiestanzania27037 ай бұрын
Kabisa kaka umesema ukweli watu wazima wanalipwa lakimoja na nusu
@athumankaswaga6057 ай бұрын
Mungu bariki hii hazina ya taifa....hakika Mbowe una watu makini sana
@qonquererqanquerer17817 ай бұрын
Ahsante Heche Kwa Haya Madini.
@MussaKulanga7 ай бұрын
Heche ni noma sana jembe kweli
@faridmnyamike5565 ай бұрын
Mhe.Heche ni Akili kubwa sana
@kambamazig020246 ай бұрын
Posho za namna hiyo wakati wananchi wanaumia! This is so sad!
@MiriamAziz-z5t7 ай бұрын
VIVA MH. HECHE....WAKATI WA MABADILIKO UMEFIKA!
@MwatijaFikoti7 ай бұрын
Heche unaakili sana Kwa mambo unayoongea ni kweli kabisa ila kijana hawaelewi kabisa.
@triphoniamapunda7 ай бұрын
Tanzania bwanaaa!!!
@feisalkhamis94457 ай бұрын
heche insha'Allah tukutane bungeni 2025
@PascleShayo7 ай бұрын
Heche nakukubal mbaya nafuatilia kile video yako napenda uzalendo🎉
@dominicksangu89346 ай бұрын
Upinzan mko vizur sana sana ila kwakukosa ktba mpya na uchaguz huru na haki tumehuru.
@pastorteddywaziri57547 ай бұрын
Kumbe hii inchi Kuna watu wanakula maisha wengine tunasurvive.Yaani kumbe mnalipwagwa milioni 12 Kwa mwezi halafu posho kila siku laki nne.Bado Tena mkistaafu mnalipwa dah!!
@faustinebahenobi34127 ай бұрын
Ahahaaa usiumue sio ww tu sote mioyo yetu inaumia ndo Tanzanian yetu iyo nchi ya kazi na bata
@alexmnogi18227 ай бұрын
Mpka jmaaa ( kurumba Hana chakuhoji) tunawashkru kwa kutuletea watu wenye akili kubwa kama hawa
@elibarikimollel71497 ай бұрын
Ndugai alilewa ukereketwa mpaka akajivua uSpika wake na elimu yake kwa faida ya siasa za maji taka wakati wa Magufuli,kiasi cha kujidharaulisha kwa wananchi kabla hajajitumbua mwenyewe kwa ujinga uleule....!
@ChristianMkumbo-ix2ke7 ай бұрын
Big brain always speak the fact
@NorbertusNyamuga7 ай бұрын
Mugaka mungu nakuona
@ChristianMkumbo-ix2ke7 ай бұрын
Madam President sikiliza watu wenye akili timamu
@allyshaban4067 ай бұрын
Bunge ni idara ya chama Cha mapinduzi
@kelvinmboya58467 ай бұрын
Akili nyingi ndio kama hizi.
@MrMwinyi7 ай бұрын
Akili kubwa hii, CCM haitaki watu wenye akili
@johnmligo69667 ай бұрын
Kwani hawa akina heche walisemaje juu ya Lowasa na baada ya kuhamia kwao WALISEMAJE? KWELI NYANI HALIONI 😂😂😂
@PhilipoMwita-ge2oj7 ай бұрын
Nakukubali mbunge wangu wa sirari wewe nijembe alafu nijembe tena
@tobiaspaul92037 ай бұрын
Àkili kama hizi ni adimu hongera heche
@davidami79807 ай бұрын
Heche kichwa sana
@godfreymrosso20517 ай бұрын
ukweli usemwe tuu huu jamaa ana IQ kubwa sana ni mtu wakumtumia
@alexmnogi18227 ай бұрын
Hvi hawa watu wapo selekalin? Mbna watu wenye akili ndo wnachukiwa hakika Dunia hii haipo sawa
@ChristianMkumbo-ix2ke7 ай бұрын
Kiongozi hakuna kitu kibaya kama unawabunge wa ugonjwa wa Akili Kwahiyo CCM wote wana ugonjwa wa Akili
Yaan wewe hakri yako ni sawa wabunge 200 ya wale wa kile chama Cha ndiyooo Kila kitu Wao ni uchawa nahuku inateketea
@karimmveyange2807 ай бұрын
Mal Rushwaa hugeuzwa kuwa mtumwa wa Mtoa RUSHWA. Ndiyo walivyo VIONGOZI walio saint mkataba ya madini kisha WANANCHI WAKASHANGILIA SAAANA.
@gilbertmathias75947 ай бұрын
Sasa tumweleweje huku anapinga ujenzi wa viwanda na mawazo ya jpm alokuwa nayo upande mwingine anasema vingejengwa viwanda watu wapate ajira na vitu vitengenezwe hapa . Nadhani Rais jpm ndo suala alokuwa anaubili sana kuwa hata madini yaongezwe thamani hapa nchini. Lkn sawa ndo kipindi cha kuanza kujifagilia njia mwakani.
@abubakarimussa91317 ай бұрын
Viwanda vipi niambie hata vitatu tu muhim
@Jal2107 ай бұрын
Kichwa hewa tu mpuuzi huyu kazi kubeza serikali hamna lolote na Chadema yenu
@faustinebahenobi34127 ай бұрын
Ww unaumwa akili sio bure
@Jal2107 ай бұрын
Wewe ndiyo mgonjwa kumsaidia mpuuzi
@reginas18327 ай бұрын
Delete ccm
@hajihassan54337 ай бұрын
Unafiki ndio kazi yenu nyote wanasiasa, hata Wapinzani walituambia Lowasa fisadi baadae mkamsifu. Ni upuuzi kusema Mbunge wa Tanzania amuwondoe Rais wakati Rais ni 51% ya Bunge, yaani Rais anaweza kufanya lolote bila Bunge wakati Bunge haliwezi kufanya lolote bila Rais. Utamfukuza je?
@abubakarimussa91317 ай бұрын
Mbuna hueleweki uone hata aibu
@athumankaswaga6057 ай бұрын
Haya mambo huwezi kuyaelewa ingali bado unaishi kwa shemejio subiri siku ndoa ya dadako ikivunjika ndio utaielewa dunia ikoje😢