Mwambieni yule dogo alie ichezea club ya Simba kutembea na mke wangu asijione kama ameshinda😢😢,mstari ulionikosha na kuniumiza zaidi
@KhalimaShelukindo7 ай бұрын
😅
@grevinmgaya92376 ай бұрын
Kipaji kilishaishaa sijui anacheza ndondo
@thendindindithendindindi16014 ай бұрын
@@grevinmgaya9237n nani Kwan huyo
@SalomoKatemboАй бұрын
Stamina
@Banokillertv4 ай бұрын
tulio sambamba nangoma hii 2024 gongeni basi like tuendele nayo
@Drash2549 ай бұрын
Wimbo umeimbwa ukaimbika....imagine wa Uganda 🇺🇬 hawawezi elewa huu wimbo watanzania big love ❤from 🇰🇪 🇰🇪
@joshuason5575 ай бұрын
Kiswahili ilikuwa mob 🤗lakin tumeelewa ✌🏿🇺🇬🫡
@kelvinebens52395 жыл бұрын
Nilicho gundua kwenye huu wimbo stamina ametoa ya moyoni kabisaa tena kwa hisia. Ila ujawahi kosea bro salute 🔥🔥
@imriddenvlogs10772 жыл бұрын
From uganda 🇺🇬 wapi likes za Uganda 🇺🇬. We love u man talented
@KiziboKigo5 ай бұрын
Tulio rudia kuskiliza huu wimbo 2024 tujuane kwa like
@ElianhoCBCirhuza-pp1ln3 ай бұрын
✌✌✌🤣
@JosephAmosiАй бұрын
duuuu7 deme wangu wa kwanza ni
@JoshwaaMollelMwangii8 ай бұрын
Aiseee hii inakubalika 💯 akunapinga mizi yoyotee 🇹🇿🤛🤛🤛🇰🇪🇰🇪💯💯💯
@December-p3n9 ай бұрын
Tunao endelea kufatilia Goma hili hadi 2024 gongeni like hapa
@VedastusHururu8 ай бұрын
💯
@mirajihassan25797 ай бұрын
🎉
@frankbundi77137 ай бұрын
Kenya onyesheni upendo 👊 👊
@ParchanceKanakato6 ай бұрын
Rdcongo tuko,butembo
@matrixke59942 ай бұрын
2024
@agnesrutebuka8275 ай бұрын
Huu wimbo mimi napenda chorus tu!!! 👑👑🙌🙌🙌
@onyolivino38465 ай бұрын
Asante amefanya @Atan mcheki kwenye account zake upate nyimbo zake zaidi
@abelysimbeye89035 жыл бұрын
Bora wew ametoka mwenyewe broo me alibeba na vyombo vya ndan vyote daaaaaa ASIWAZE
@sweetbertmwemezi79794 жыл бұрын
Daaaah kwl asiwaze
@eliyasanga63744 жыл бұрын
Duuu wanawake akili zao
@miketez21603 жыл бұрын
Life nayo na ndoa...aty unaeza kumpamia mkongo mkeo na usimridhishe, alfu anaempakia mkorogo ndo akamfanya amridhishe.... Daaaah.... 254....stamina is killing yo
@petermaengo4 жыл бұрын
"Asiwaze " imenikuna sana hii ngoma alafu nahisi huyu ndo stamina wengi tunaomjua gonga like kama tupo pamoja....nampa 5 producers kwa kusimamia kazi nzuri kama hizi...natamani nisign kwenye hii label inaonyesha uhalisia wa mziki na maisha yapo hapa ..hii ndio sanaa kamili.
@oskamkwele7234 жыл бұрын
Sitamina nimekubar iyo nyimbo imebeba mashauli mazit San km unamkupali stamina bac mpe Moy IPO sk yatakua sawa
@oskamkwele7234 жыл бұрын
Kam unamkubar stamina bc mpe Moy IPO sk
@javaniwamakao49874 жыл бұрын
atari subscliber chanel yangu javani wamakao
@BossMistari4 жыл бұрын
Enjoy Your Favourite Artist Official New Video Song... kzbin.info/www/bejne/Z3_Cl2uCpa59isU
@mzungumzungu39883 жыл бұрын
Da asiwaze imenigusa sana
@DYKeynan5 жыл бұрын
Poleni wasmamizi, kwa ujinga mlosimamia. 100%💥
@ivanmcdonimcdoni78905 жыл бұрын
The first one from Mozambique. Personally me ni shabiki wa WCB, lakini napenda sana music wa huyu jamaa. Stamina is an awesome guy 👌🏽👌🏽👌🏽👌🏽👌🏽
@VictoriaMahewa10 ай бұрын
Ndoa ni nouma bro, japo wachache wanahesabika thank my brother for good song
@mapandejr89325 жыл бұрын
"Unawez mpakia mkongo mkeo na usimlizishe, arafu anae mpakia mkorogo ndo akafanya amridhishe" mstari nime ukubali sanahuu big up 🙌🙌🙌
@waltermfikwa43615 жыл бұрын
Mapande Jr ndugu yangu, mwenzio hapa nataman kujua kamaanisha nin ila naon huu mstari unanipa utata...
@samwelimseyi33885 жыл бұрын
Atari xn hp
@eneolatukio84935 жыл бұрын
Mi sijauelewa🙄😳
@samwelimoshi56145 жыл бұрын
@@waltermfikwa4361 njooo inbox nikuambie kamanisha nn 0714333699
@korneliserafini78435 жыл бұрын
Hahahaaaa bro kweli cha mkongo hatari sana ,huo mstari tunaelewa Wa chache Sana
@lovenessandrew91215 жыл бұрын
Roma this song is gonna touch the whole society man!kazi ya msanii ni sanaa na umedeliver....no matter how painful it is!
@salimmbarak21285 жыл бұрын
Ni Stamina
@kiuwamhina28025 жыл бұрын
Ni stamina baby, check your shit
@idrisashio8655 жыл бұрын
#fact
@WannaKnow5 жыл бұрын
Hehe😂
@mvoih48545 жыл бұрын
Kwa kweli bonge la ujumbe, kama umeulewa gonga like kwake!!!!
@edwardreonard98784 жыл бұрын
Duuuu inauma sana kaka pole sana wanawake viumbe vya ajabu wote madelila
@MrManchoso5 жыл бұрын
Wew ambae hujasikiza hii ngoma Kabla ya kuomba like hebu kwanza anza kusonya Classic music stamina wew ni mkali
@bernaberna81355 жыл бұрын
Mxiiiiieeewww
@thabitilinolo7405 жыл бұрын
Amin kwamba jamaa nizaid y Kipaji cha Hipapu ngoma kali acha like kam umeanglia zaid y mal100
@mwitarange89385 жыл бұрын
"Kaka yake Nilishakula so ruksa kutoa vyombo", "Ila atakayemuoa mwambie ampe mtaji wa Bodaboda", Wimbo mkali kila nikisikiliza natamani kurudia, Ujumbe kwa masela na wanandoa. Take it from Stamina
@Jakodondo75194 жыл бұрын
True that
@casidyromy87064 жыл бұрын
Mwita Range .
@vincesadick15032 жыл бұрын
Aya bulol
@mtembeijulias30744 жыл бұрын
Hayo ndo mapungufu yakutanguliza cheti badala ya mtihani so tahasisi ya mahusiano irekebishe kufungu cha ndoa tuwe tunaanza mtihani chet baadae ahsante starmina
@AlfanDidas10 ай бұрын
Kwer mzee iwe ivyo!!
@babyofficial77675 жыл бұрын
Dah hii ngoma inawagusa wengi japo like 100 jmny
@laurentthomas2355 жыл бұрын
Biblia imetuagiza kuishi kwa akili na wake zetu. Angalizo Kama huna akili usioe utakuja kuimba ujinga kama huyu mpuuzi utafikiri tulimtuma.
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪niwakilisha wakenya wote tunamkubali stamina 100/100
@walker25134 жыл бұрын
Tuko ndani
@allysaid82154 жыл бұрын
@MR KANTOROKE egg of foggy GGT
@mwanahmisidd77594 жыл бұрын
Namkubali sana hta nlimtumga bro namuita stamina
@dinafawzy13114 жыл бұрын
What country flag is this ?
@chisagacomedy82744 жыл бұрын
254 tuko wengi
@dioncmusic70275 жыл бұрын
Kama umesikiliza hii ngoma zaidi ya marambili gonga like hapa twende sawaa
@gideonkamau94498 күн бұрын
Naomba kwanza kusonya😂😂😂 wapi likes ya rostam....hii ngoma kama umeikubali.🇰🇪
@mosesbariuh54435 жыл бұрын
Be wise as you engage yourself with women. Aisy!!! Stamina ushasema. Bonge la hit. 💯💯💯
@nurdinkijaji68865 жыл бұрын
moses bariuh hatari sana
@BossMistari4 жыл бұрын
Zimefanana.. kzbin.info/www/bejne/Z3_Cl2uCpa59isU
@peteradonga76685 жыл бұрын
Skizeni ujumbe wa Stamina kwanza LIKES mtaomba baadae..
@davidsedekia13375 жыл бұрын
Nataka kukupigia Lake marambili but imekataa badala tusikilize ngoma tuomba Lake
@mariyaal53665 жыл бұрын
Yuko vizuri nice song
@Babjerr5 жыл бұрын
Exactly
@shabanmnyama25675 жыл бұрын
Nimeipenda sana
@papadavio5 жыл бұрын
Tangu enzi za sikati Tama Badoo naganda sitamina ujumbe mzito Papa Davio from+254
@miketez21607 ай бұрын
2024...❤🇰🇪🇰🇪....😢cjai pata likes jameni
@frankbundi77135 ай бұрын
Kenya 🙌 🙌
@luthimunuo88384 жыл бұрын
Romaaa😭😭😭wimbo wako was ASIWAZE Ni kitu kinacho nisumbua mpaka Leo yaani badala ya kusikilza na kufurahi najikuta nalia tuu kwani Kuna misemo Ni adhabu kubwa kwenye ndoa.aliesema neno ndoa ndoano aliharibu sana.na aliefundisha mapenzi alisahau na tendo.ukweli cheti Cha ndoa hakina mchongo popote.bora sonara nilikula nusu asara.kama hujui ndoa uliza Kwanza upewa maelekezo ili usije ukajuta Kama walio kutangulia.big up Broo stamina😭😭😭🙏🙏🙏🙏god bless you
@jojoqn10435 жыл бұрын
❤❤❤❤😍😍😍 hisia za kweli kwa stamina
@dizzonofficial19375 жыл бұрын
"Aliesema ndoa ndoanoo hivii huyo mjinga ni naniii" !!!
@dullahbeats75394 жыл бұрын
Oya me namjua anapoishii
@dizzonofficial19374 жыл бұрын
@@dullahbeats7539 ntumie no zake kudadeq
@ibrahimsitati7443 жыл бұрын
"Akisikia nimekufa, mwambie asilie sana, aite rafiki wafurahi wachome nyama, nitazikwa na ndugu-marafiki na mafans kibao" kwa wale wote waliotuacha kwa sababu za kijinga
@humphreyjaoko9347 Жыл бұрын
peace
@joshuason557 Жыл бұрын
Khabla hujjafunga ndoa ,,sikiliza vizuli iyi ujjumbe ...........ndoa ndoano 🤷🙆✌️🇺🇬
Upo kwenye mahusiano ila hujui yanausiana na nini🙌🙌🙌🔥🔥😁😁
@eneolatukio84935 жыл бұрын
Kwa kifupi alifata mkumbo tu bila kujua anakumbana na nini😁😁😀
@lilianjeremia10245 жыл бұрын
@@eneolatukio8493 eiwaa rafiki yake kaoa na yeye akaoa😁😁😁😁
@mathiaslyamunda25265 жыл бұрын
Hahahahahaha
@dollytogodfrey35 жыл бұрын
Hahahahah
@juniorcx01145 жыл бұрын
Nipo
@florianmasawe95205 жыл бұрын
Duh!!! Mimi nimeielewa sana hii ngoma kwa ambae ameielewa kama mimi agonge like hapa!! Ndoa bhana walio kwenye ndoa wanatamani kutoka ambao hawapo wanatamani kuingia 😭🙏🙏
@flovamanmusic36635 жыл бұрын
dah true man
@samirrymichealpollah17675 жыл бұрын
DaaaaaH!!! Amakwel nDoa inamitiHani migimUsana thus why vyetiVyake vnaanZa kutoka kabla yamitiHan xo pole sanaBroo c0z wew nikakayake ushakula so muache2 atoeVyomBo
@charlesmoseslyimo89234 жыл бұрын
Pole sana Ndg. yangy Stamina. Tunajua hii ni historia ya kweli, na kwa wimbo huu umeamua kuwa kioo cha jamii. Nakushauri usikate tamaa, utampata wa kukufuta hili kovu na kukurejeshea furaha ya ndoa katika kujenfga familia yako.
@nikkithe2rd3833 жыл бұрын
am addicted to this song, i have to listen it daily before i sleep
@eliyasanga63745 жыл бұрын
Mke wangu katoroka nakuniachia mtoto mdogo ndani wa mwaka moja na miezi miwili sijui kaenda wapi natena kaondoka usiku tena mida ya 8:00 kasema Ana enda kununua mafuta ya kupikia ila kaenda mazima hajarudi ten a mpaka saa tisa usiku sijamuona ten a na saizi hajarudi saa tisa 3:05 nimeandika message kwa ukrasa wa stamina asante kaka maisha y angu kama umeyaona nitatuza mwanangu bila kujali mwanamke tena maisha yakumtegemea mwanamke yashaa nitoa imani nisito yataka tena
@khalifabiggy34392 жыл бұрын
Pole mwanangu
@eliyasanga63742 жыл бұрын
@@khalifabiggy3439 asante kaka sasa mtoto ana miaka nne amjui mama ake
@eliahrioba6679 Жыл бұрын
👊👊👊keep going brother
@eliyasanga6374 Жыл бұрын
@@eliahrioba6679 asante kaka sasa dogo ana miaka minne na miezi mitano amjui mama yake
@albertmoris79259 ай бұрын
Polee😢
@Alexmerck23245 жыл бұрын
Kama nawwe unaamini huwimbo unaujumbe mkubwa ndani yake gonga like apa 👇👇
@ezekielcharles79375 жыл бұрын
Good sana iyo nyimbo conk sa naaah
@Alexmerck23245 жыл бұрын
Ezekiel Charles nikweli kabisa
@cheedmadebe30615 жыл бұрын
Naaamini
@Alexmerck23245 жыл бұрын
Cheed Madebe nisahhi 😎
@saidathumani40855 жыл бұрын
Ndoa ndoano
@mohamedataulo4149Ай бұрын
Da! Baada ya kunikuta ya kunikuta ndipo nimeelewa kwa makini wimbo huu.
@cyprianoduor8705 жыл бұрын
From Mombasa Kenya this is what I call music for society ,good message from MR Bornventure
@foxboyofficial33345 жыл бұрын
Daaaaah blother katugusa tulio single Like utatisha Sanaa
@abdallasarai63275 жыл бұрын
"Sijui aliyenishauri nani" that's deep.
@tontonwakabila28364 жыл бұрын
Big up Kaka kwa nyimbo nzuri sana ,iyi nyimbo inagusa watu wengi sana ...
@uchebemedia54185 жыл бұрын
Kama Leo Umeview Tena Hii Ngoma Gonga Like Chap.!!
@maulidisufi98914 жыл бұрын
Uchebe O nline TV
@rehemawidon40154 жыл бұрын
Ni shida
@msisili2 жыл бұрын
Bro mtandao una tatizo…..ningegonga like100🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@eliudchangamike78275 жыл бұрын
Km umesha sikiliza zaidi ya mara mbili 😣😣😣😣😣😣 gonga like yako
Hii ngoma ilitakiwa iwe on trend zaman sana cjui ilikuwa inakwama wap
@loveneslove58104 жыл бұрын
Ndo maana ndoa cheti chake ikawa ya facta San Yani unachukua cheti ndo unaingia kwenye mitihani hakika ndoa yataka moyo thank you bro!! Kwa ujumbe wako japo hta mm Nina changamoto ktk ndoa yang lkn nashukulu mung cjakutana na ya namna hii nazidi kuomba mungu ucku na mchana azidi kuisimamia ndoa yang #Respect San Kaka Ila ucjali ushaanguka na umenyanyuka chonde angalia San ucje rudia makosa Kaka usiogope kuoa Bali ogopa kukurupukia ndoa mshirikishe mungu ndoa yako nyingne then changamoto zickufnye ukate tamaa bro mitihani Ni mingi lakn lengo Ni kuperfoam katk malengo yetu nakutakia Kila laheri na mungu akuongoze pema panapo kufaa nashukulu San kwa kuweza kuwafmbua wengi 🙏🙏🙏🙏🙏Big up
@honorekiza5 жыл бұрын
Dah gonga like kama Moyo wako umeuma kwa hii stori ya kweli😭😭😭 Kuna mwingine amepanga kwenda kununua ile pete ya Stamina kwa nusu bei pale dukani😂😂😂
@justinmganiwa27905 жыл бұрын
Onore Mbeleci k
@Khamisimwamtemi86785 жыл бұрын
Nimemuelewa sana
@officialb_first13695 жыл бұрын
Duh
@shaddymarks74724 жыл бұрын
Straight outta kenya,,, we are asking for likes here but this guy has represented all men, we keep things inside us with leads to depression,,, big up
@Zanzibar_quiztv4 жыл бұрын
Special agent bullet sm Sm kzbin.info/www/bejne/rmKQm4anYt54m7c
@Zanzibar_quiztv4 жыл бұрын
Special agent bullet sm Sm 👇👇👇 kzbin.info/www/bejne/rmKQm4anYt54m7c
@mwanahmisidd77594 жыл бұрын
Daaaah Inafundisha
@ahadyeahboyemmanuel29994 жыл бұрын
Pole kwa kutoswa kama mm ningemto sadaka pole sana stamina
@ahadyeahboyemmanuel29994 жыл бұрын
Jikaze mana syo ridhiki yako
@gosbertbuberwa61985 жыл бұрын
😂😂😂😂 Pole Wasimamizi, Yakwamba Wangesimamia Ukucha Wangeongeza Familia! 👏👏👏🙌🙌🙌
@ebenezerykimendo1155 жыл бұрын
gosbert buberwa kafumbo ako brother
@navyoagrey75235 жыл бұрын
Hahaha hayaa
@gosbertbuberwa61985 жыл бұрын
@@ebenezerykimendo115 hatari Sana!
@gosbertbuberwa61985 жыл бұрын
@Ashura Hamisi 😃😃😃😃😃 yaap! Yaap!
@lovenessshaban30783 жыл бұрын
Nakubali Sana hii nyimbo aseee
@ezronkimaro79114 жыл бұрын
Nimekuwa nikiangalia video nying znazotrend zkifka no.1 uwa zikitoka azrudg trend teena ula huu umetoka afu ukarud teena trend no.1🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@jacksonreuben9485 жыл бұрын
*Hata Posa niliyotoa mwambieni aingize vikoba* daah hyu jamaa katisha san like hapa chin tulisongeshe mbele goma la mkali rostam tz
@hadjially90135 жыл бұрын
Ndoa ni kama boti haiwezi ikapaki stendi
@giftgwness1325 жыл бұрын
Huyo manzi mwizi arudishe hela za stamina za posa
@yohanagunda83355 жыл бұрын
Bongo la ngoma stamini
@feisalkigoda265 жыл бұрын
What goes around comes around.. Pole sana kaka
@frankryricstv1295 жыл бұрын
Kamaww tem rostam tujuane kwaku piga like hapa
@shedracksebastian12475 жыл бұрын
Nakubal
@NEXTtz5 жыл бұрын
Check kzbin.info/www/bejne/pJelemiah9mfmcU
@charlesmahundu2525 жыл бұрын
Frank Mgaya kama kawa
@mussamsuya66175 жыл бұрын
Mhh!!!
@frankryricstv1295 жыл бұрын
@@charlesmahundu252 fresh tu
@Aron-ep2ge Жыл бұрын
Akisikia nmekufa.........................Chonde stamina toa hiyo mistari jmn, Ngoma Kali Kwa tuiowah tendwa but tusikufuru mungu ,kufufuka!!!!!!!!mhhhh!!!
@0scarnaizaoscar4805 жыл бұрын
Kama uko USA 🇺🇸🇺🇸🇺🇸na upo ndoani same time umemuelewa stamina NIPE LIKE ZAKE 🔥🔥🔥🔥✈️✈️✈️ ndoa shemo la wahuni
@Watema235 жыл бұрын
0scarnaiza Oscar sisi ambao atujaowa tuwe makini sana kuowa hapa marekani, ndoa ndo wano.
@0scarnaizaoscar4805 жыл бұрын
Acha tu brow niulize mm ndoa za America 🇺🇸🇺🇸🇺🇸 utadeal na 911 kila siku 😂
@suleimanhaji55595 жыл бұрын
Stamina
@suleimanhaji55595 жыл бұрын
Mhh
@ebenezerykimendo1155 жыл бұрын
Tumefunga mwaka 2019 na safina,Anaitwa Roma tunafungua mwaka mkombozi na hii
@luisambrose33495 жыл бұрын
Sio poa dis people nailed it
@ebenezerykimendo1155 жыл бұрын
Dahaaaaa imependeza sana
@filberthabashi33665 жыл бұрын
REGARDLESS OF PAIN, TEARS, DISSAPPOINTMENT, BETRAYAL, BUT NUMBER #1 ON TRENDING UNTIL 1MIL VIEWER. THUMB FOR STAMINA PLS
Daaaaaaaaaaah namkubali sana huyu jombiii, sema alikuwa amepotea but now naona amerudi kwa style yake ambayo ndio inamtofautisha na msanii yeyote hapa Tanzania. Kaza bob I'm your best fan of you, unanikumbusha sana ngoma yako ya Jamvi la wageni....... Salute mia mia mzeee, but huyo demu kama vp muache apakiwe mkorogoooo
@jaxboy58805 жыл бұрын
Wale tunao iangalia iii ngoma kali uku tunaxoma comment tujuane kwa like 👇🏼👇🏼👇🏼
@magiclife42065 жыл бұрын
Tupo wengi
@sweetbertmwemezi79794 жыл бұрын
Daaah yn unaweza kosa cha kusema
@sweetbertmwemezi79794 жыл бұрын
Ngoma kali sana thanks you brother kwa ku2fundishi aujakosea ata kdg
@mouhmahsein57985 жыл бұрын
Bonge LA ngoma hata like kumi tyu
@eriqemarson23625 жыл бұрын
Nakubaliana na wewe....tunakupa like zaidi ya Kumi tyu 👊🏼👊🏼👊🏼
@brainbuzzsystemtech.94085 жыл бұрын
Sasa nawashangaa nilike comments zako umeimba wew??
@maulakaroli83235 жыл бұрын
Like unazoomba kwani umeimba wewe?
@immaabukuku71805 жыл бұрын
Stamina anahitaji cancelling hayuko sawa anaonekana kweli amemaanisha maneno aliyo ya sema
@kasitraveller43125 жыл бұрын
Immaa Bukuku counseling
@sylvestorkadenge51805 жыл бұрын
hapana huu ni mziki kuna vitu lazima ameongeza na vingine kapunguza lakini kuna asilimia kubwa sana ya ukweli.
@revocatusnyamboga31505 жыл бұрын
Kaongea ya moyoni yupo sawa
@eliamnonjela82304 жыл бұрын
Hii nyimbo inanitiaga hasira juu ya ndoa yangu iliyoingia shombo tangia hapo haijawah faa tena@much respect to stamina to represent our feelings we are silently dying for.
@issaramadhaniathuman11 ай бұрын
Ndoa ningumu Sana illah mungu asante. Tupo wngi tuloteswa illah hatuwezi sema wote tutakuwa wanaume malalamiko tunakausha tu tunaacha inyeeshe tujue wpi panavuja , aisha yaendelee hawaishi Hawa watu ukiona wametangaza wanaolewa tuwe nao makini hao ni mafriend
@goodlucktemu31495 жыл бұрын
tulio single ii nyimbo ina tuusu🔥 Gusa like kama umeelewa✋🏿
@andrewmsofu33905 жыл бұрын
weee usijishauli we owa ikifa tunazka
@abdallahramadhani96425 жыл бұрын
Inatuhusu sana
@eddymenas5 жыл бұрын
😂😂
@goodlucktemu31495 жыл бұрын
@@eddymenas 🤗
@goodlucktemu31495 жыл бұрын
@@andrewmsofu3390 dahh sijui itakuaje😊
@ciphertz5 жыл бұрын
Kama uko single na ujumbe umeuelewa gonga like
@felisterkamuli18935 жыл бұрын
Hahaa sifun wee oa tu bwana.. Ndoa hazifanan
@ciphertz5 жыл бұрын
@@felisterkamuli1893 somo Zuri sana kwetu
@juliussanane18605 жыл бұрын
Mi ndo mana cnaga shobo na hiz mambo za ndoa ubachela ndo naulewaga tu
@rosemaganga39015 жыл бұрын
Hii nyimbo nimeiyelewa
@fredrickwebiro36055 жыл бұрын
@@aminajohn9678 !
@jamali00175 жыл бұрын
Umeongea Sana broo kudadeki like zangu from🇰🇪🇰🇪🇰🇪👇👇
@nellysonjeambrose51095 жыл бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@marvotv5 жыл бұрын
Nene N kzbin.info/door/spwtwPhNmcupcRXwGemhQA Hello hope you good and healthy kindly Just Click on this link And S U B S C R I B E to my CHANNEL please 🙏😀 Subscribe May God Bless You
@marvotv5 жыл бұрын
jamali 001 yooo bro rieng safi Subscribe Arif wa KE Bless up
@michaelmrindoko19625 жыл бұрын
Stamina nakukubali Sana Ila usiwaze hayo ni mapitotu
@emmanuelamosi60255 жыл бұрын
emmanuel
@kevinkituyi51433 жыл бұрын
Mad respect Stamina.Huku Kenya tumekubali 👏👏👏
@stevekyando15615 жыл бұрын
Kama umeludia zaidi ya mala 2 like🇹🇿
@ashufaamlalila5 жыл бұрын
Alie ielewangoma hiii gonga like!
@roselynnsungwe82725 жыл бұрын
😉pesa aingize vikoba🤣🤣🤣
@kelvinmchau88155 жыл бұрын
Hii mara 3
@brainbuzzsystemtech.94085 жыл бұрын
Nilike nini kwani ni wewe umeimba?? We kima au??
@augustinopaschal1735 жыл бұрын
Saiz mtaan kwel nyimbo hii unaisiliza bila bando mstali hunyumba hii huu nyumba ile ad nyimbo inaisha
@reginaphilimon7825 жыл бұрын
tuliokubali huu wimbo tujuane hapa kwa like🙂🙂🙂
@KilimochaPapaiTz5 жыл бұрын
ile posa niliyo toa mwambieni aingize vikoba
@kastorkidumu65795 жыл бұрын
Mwambie Yule dogo anayechezea club ya simba
@kastorkidumu65795 жыл бұрын
Imeandikwa tuishi nao kwa akili
@revocatusnyamboga31505 жыл бұрын
Na ile cake Na yule mshenga
@limbusingili99675 жыл бұрын
Noma saaaaaaaaaaaaaaaan
@Ngepetv5 жыл бұрын
Vipi Kuna anae mkubali huyu jamaa tugonge like
@ngederemkatamkaachuwa64455 жыл бұрын
Nyimbo inameng sana
@NEXTtz5 жыл бұрын
Check kzbin.info/www/bejne/pJelemiah9mfmcU
@coronavirustanzania75145 жыл бұрын
Tupo pamoja, pata biashara nzuri hapa kzbin.info/www/bejne/eZDShoFji9OXjaM
@batulemwamwaja65245 жыл бұрын
Iv like zinkusaidia nn
@Ngepetv5 жыл бұрын
@@batulemwamwaja6524 Kama hujui faida y like bonyeza hapa kzbin.info/www/bejne/hYjNoWegf9WolcU
@NdikumwenayoFelix-t5d Жыл бұрын
Ukiamua kuingia kwenye uhusiano na binti wa kisasa, basi iandae loho yako. Chkuwa zako bwana Stamina, nimekusoma
@nicellylyimo67885 жыл бұрын
Kama umerud baada ya kusikiliza interview ya roma like tujuane
@jacobkasiaro95035 жыл бұрын
Daah sielewi
@chumatzchumatz30265 жыл бұрын
Bonge la ngoma
@zakyahya46455 жыл бұрын
Mimi apa mana dah roma kaniliza
@shabanikipande87485 жыл бұрын
nicelly lyimo 😂😂😂sure nimerud kwa umakin
@nicellylyimo67885 жыл бұрын
@@zakyahya4645 hahaha ndoa ipo mwaka huu kweli
@innocentg.27335 жыл бұрын
Rostam ni majembeeee kama unakubali hiyo piga like tuwe wazalendooo
@abdallahkombo3034 жыл бұрын
Heart touching song,,,big up brother stamina for great job
@innocentkriminol74804 жыл бұрын
Straight words,,,tunaishi dunia isio na upendo LOVE means nthng in this generation,,,bigup broo for the lesson najua inauma lakini ndo ivo komaaa kiume,,,,,,
@samsondaniel33774 жыл бұрын
Wimbo wa kwanza kuwa namba moja kwenye trend. Then ukatoka arafu baadae ukarudi tena namba moja. Kama umegundua ilo dondosha like.
@bernadkomba64534 жыл бұрын
Duuu!! Bonge la ngomaaaa
@mohammedrashid77354 жыл бұрын
Sio wa kwanza seduce me wa alikiba ulotolewa na zilipendwa then ukarud
@zuriathdasilver8104 жыл бұрын
Duu!!
@bahatimashaka88914 жыл бұрын
Nyimbo Zuli sana
@nillaelly45134 жыл бұрын
Staminaa
@douglasslawrence79925 жыл бұрын
Huyu na Roma ndo wana Hip Hop for real....i love them
@FXSAFARI5 жыл бұрын
"NDOA!!!! Sijui alinishauli Nani!😭" Pole bro na tukae humo 2020 mapema tu Mambo Moto🔥 hatari sana 😭
Daaaaaah pole sana bro stamina life goes Kama usmeguswa nipe like zangu 🇰🇳🇰🇳🇰🇳
@priscamawanja69835 жыл бұрын
Pole Sana kaka
@purikanovals30785 жыл бұрын
Hahahahahaha kwannn"
@purikanovals30785 жыл бұрын
Eteeeee
@mkongafiber42855 жыл бұрын
Gonga like kama umeangalia zaidi ya mara tano.
@jonasgodfrey46485 жыл бұрын
sio mara tano tu endless
@adamlibenanga50454 жыл бұрын
"Mwambieni yule dogo aliyechezea club ya Simba..kutembea na mke wangu asijione kama ameshinda..mi samaki, mapenzi yangu yana shombo..kaka yake nishakula, so rukhsa kutoa vyombo.."..
@eddodelima18844 жыл бұрын
Umevunja baba
@eddodelima18844 жыл бұрын
Umevunja baba
@paschalfaida25494 жыл бұрын
Iko njema ngoma
@mussakhamis86244 жыл бұрын
Nakubali sana huu wimbo huku nikiendelea kujifunza
@manenoathumanimunguawalind62774 жыл бұрын
Pamoja sn mzee
@martinmuzungu8622 жыл бұрын
Thank for speaking to many Wanaume hupitia mengi Sana na machozi hudondoka tumboni
@raphaelphenius3533 жыл бұрын
Leave out real reason for the song.... And take the song as a real life story situation that can can happen or ever happen to anyone..... THUMBS UP STAMINA My guy👍.... U delivered💯🔥🔥🔥